×

Kitaifa

JAJI AASA KUHUSU JUU YA KUENDELEZA MRADI WA MABORESHO

  WATUMISHI wa Mahakama ya Tanzania wamekumbushwa kuendeleza na kuthamini maboresho yanayoendelea ndani ya Mahakama kupitia Mradi wa Maboresho ya...

READ MORE

Meya Dar Ataka Kiswahili Kifundishiwe Sekondari, Vyuo

MSTAHIKI Meya wa jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita, ameishauri serikali kuanza kutumia lugha ya Kiswahili katika kufundisha masomo...

READ MORE

MIAKA 54 YA JWTZ: JENERALI MABEYO, MAKONDA WAFANYA USAFI

Wakuu hao wakiwa mstari wa mbele katika zoezi hilo.   MKUU wa Majeshi yaUlinzi nchini (JWT), Venance Salvatory Mabeyo na...

READ MORE

Hatimaye Bobi Wine Apelekwa Marekani Kutibiwa – Video

MBUNGE wa Kyadondo nchini Uganda, ambaye inadaiwa aliteswa na maafisa wa usalama, Robert Kyagulanyi maarufu kwa jina Bobi Wine tayari amesafirishwa kwenda nchini...

READ MORE

Mnunuzi Makontena ya Makonda Afunguka Mazito – Video

MWANANCHI mmoja ambaye amejitokeza kwenye mnada wa kununua makontena yaliyoingizwa nchini na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul...

READ MORE

FAMILIA YA MWALIMU NYERERE YARIDHIA MSITU WA MWALIMU KUHIFADHIWA

      SERIKALI imesema iko tayari kutangaza katika Gazeti la Serikali msitu wa Mwalimu Nyerere uliopo Butiama Mkoani Mara...

READ MORE

CCM Yafanya Uchaguzi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. Umoja wa Vijana wa CCM unapenda kuujulisha umma wa Watanzania na wanachama wote kwa ujumla...

READ MORE

MAKONTENA YA RC MAKONDA YASHINDIKANA KUUZWA – VIDEO

MNADA wa makontena 20 ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda umefanyika leo Jumamosi, Septemba 1, 2018...

READ MORE

Gari la Waziri Nusura Liue Mwendesha Baiskeli

MKAZI wa Kata ya Ngogwa, wilayani Kahama mkoani Shinyanga, Marco Charles (48), amenusurika kifo baada ya kugongwa na gari lenye...

READ MORE

Dar: Mgambo Washusha Kipigo Hevi kwa Raia Kisa Usafi – Video

IKIWA ni saa chache baada ya video kusambaa katika Mitandao ya Kijamii ikionyesha askari mgambo wakimpiga kijana Robson Orotho anayedaiwa...

READ MORE

ALICHOKISEMA RC PAUL MAKONDA LEO – VIDEO

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amevitaka vyama vyote vya siasa vinavyoendelea na Kampeni za Uchaguzi wa...

READ MORE

Hamza Majuto: Magufuli Aliniteua Nikiwa Kwenye Daladala – Video

GLOBAL TV imefunga safari mpaka katika Wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani kwa ajili ya kumtembelea na kuzungumza na Katibu...

READ MORE

Wanafunzi Waandamana Mwenzao Kupigwa na Mwalimu Hadi Kuzirai

WANAFUNZI wa kidato cha tano na sita katika Shule ya Sekondari Kalangalala mkoani Geita wameandamana kwenda kwenye ofisi ya Mkuu wa...

READ MORE

TAARIFA MUHIMU KUTOKA OFISI YA RC MAKONDA

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam inashangazwa na taarifa zinazo sambaa mtandaoni juu ya kuwepo kwa Mkutano...

READ MORE

Hofu Mauaji ya Albino Yaongezeka Kuelekea Uchaguzi wa 2020 – Video

HOFU ya mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi nchini inadaiwa kuongezeka hasa kuelekea katika uchaguzi mkuu ujao wa mwaka...

READ MORE

Mtoto Kuuawa kwa Kipgo, Mkuu wa Shule, Makamu, Afisa Elimu Wasimamishwa

KIFO cha mwanafunzi wa shule ya msingi Kibeta Siperius Eradius aliyedaiwa kuuawa na mwalimu wake kimeondoka na walimu watatu huku...

READ MORE

JPM AWASHA MOTO MAKONTENA YA MAKONDA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewataka viongozi wote nchini kutekeleza majukumu yao kwa...

READ MORE

Kimenuka! JPM Ataka Makonda Ayalipie Kodi Makontena Yake- Video

Rais John Magufuli ashangazwa na kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuingiza makontena 20 nchini...

READ MORE

MAKONTENA YA MAKONDA KUPIGWA MNADA JUMAMOSI

BAADA ya kushindikana kuuzwa kkwenye mnada wa kwanza kutokana na wateja kutofika bei, mnada wa pili wa makontena 20 yenye...

READ MORE

RC HAPI: Hata Msigwa Anaweza Kurudi CCM – Video

MKUU wa Mkoa wa Iringa, Ally Salum Hapi, leo Alhamisi, Agosti 30, 2018 ametembelea ofisi za makampuni ya Global Group...

READ MORE

Daktari Bingwa Atumwa Kuchunguza Mwili wa Mtoto Aliyeuawa Kagera

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ameeleza kusikitishwa kwake na kitendo cha mwalimu mmoja katika...

READ MORE

RC ALLY HAPI AAHIDI MAKUBWA IRINGA

Ally Hapi akiongea jambo katika ofisi za Global Group. MKUU wa Mkoa wa Iringa, Ali Hapi,  amesema anatarajia kuufanya mkoa...

READ MORE

RC Ally Hapi Atembelea Ofisi za Global Group – Pichaz

MKUU wa Mkoa wa Iringa, Ally Salum Hapi,  leo Alhamisi, Agosti 30, 2018 ametembelea ofisi za makampuni ya Global Group...

READ MORE

MAZISHI ya MAMA ‘SUGU’, Mbowe, Msigwa Wanena Mazito! – Video

MAMA mzazi Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi, Bi. Desderia aliyefariki dunia katika Hospitali yaTaifa ya Muhimbili, amezikwa jana...

READ MORE

RAIS WA ZIMBABWE AMTEUA JENERALI MWAMUNYANGE

RAIS Emmerson Mnagangwa wa Zimbabwe, amteua Mkuu wa Majeshi wa Tanzania Mstaafu, Jenerali Davis Mwamunyange katika Tume ya Kutathmini Athari...

READ MORE

Askari Polisi Wawili Wafukuzwa Kazi Mwanza

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Jonathan Shana, amewafuta kazi askari polisi wawili jijini humo...

READ MORE

Mikataba ya Majuto, Kanumba, Wastara, Mwakyembe Afunguka – Video

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe ametoa ufafanuzi juu ya mikataba ambayo alikuwa anaingia msanii wa vichekesho...

READ MORE

MAHAKAMA KUU KANDA YA DAR  YAZINDUA PROGRAMU YA KUELIMISHA WATEJA WAKE

  Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam imezindua rasmi programu maalum ya kuzungumza na wateja wake kwa lengo la...

READ MORE

KAKA wa LISSU: Huyu Musiba ni Nani Asikamatwe? – Video

KAKA wa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema), Alute Mughwai Lissu, amesema mwanaharakati Cyprian Musiba anapaswa kukamatwa na kushtakiwa...

READ MORE

Tamko la Serikali Sakata la Mwanafunzi Aliyepigwa Hadi Kufa – Video

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Joyce Ndalichako amefungukia sakata la mtoto wa darasa la tano katika Shule ya Msingi Kibeta,...

READ MORE

Tundu Lissu Afunguka Kurejea Tanzania

MBUNGE wa Jimbo la Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu ambaye yupo nchini Ubelgiji akipatiwa matibabu kutokana na majeraha ya kupigwa...

READ MORE

Mwanza: Polisi Wawili Wakamatwa na Meno ya Tembo

ASKARI wawili wa Jeshi la Polisi mkoani Mwanza wamefukuzwa kazi baada ya kupatikana na nyara za Serikali ambazo ni meno...

READ MORE

NMB YAPIGA JEKI SHULE ZA MSINGI NA HOSPITALI NCHINI

      BENKI ya NMB imetoa msaada wa madawati 100 kwa shule za msingi mbili, vifaa vya ujenzi na vifaa...

READ MORE

Arumeru wafurahia Mawasiliano ya uhakika kutoka Halotel  

  Wakazi wa kijiji cha Timbolo, Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, wamepongeza jitihada za mtandao wa simu wa Halotel kwa...

READ MORE

Tanzia: Mhasibu Mkuu Bugando Hospital, Ajiuwa kwa Kujirusha Gorofani

Mkurugenzi wa Fedha na Mipango katika Hospitali ya Rufaa Bugando ya jijini Mwanza, mtawa Suzan Bathlomeo amefariki dunia baada ya...

READ MORE

Sugu Alivyomwaga Machozi Akisoma Wasifu wa Mama Yake – Video

  MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu), ameshindwa kujizuia na kujikuta akiangua kilio na kumwaga machozi alipokuwa akisoma wasifu...

READ MORE

Mtoto Darasa la 5 Adaiwa Kuuawa kwa Kipigo cha Mwalimu

MWANAFUNZI wa darasa la tano katika Shule ya Msingi Kibeta, Sperius Eradius (13) amefariki dunia akidaiwa kupigwa na mwalimu wake...

READ MORE