×

Kitaifa

Moto wa Msigwa Bungeni Leo, Wabunge Hoi – Video

Mbunge wa Iringa Mjini, Mch Peter Msigwa, amesimama Bungeni na kuihoji serikali kupitia kwa Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt....

READ MORE

BUNGENI LEO: Watoto Omba Omba Kupandishwa Mahakamani! – Video

  NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tamisemi, Joseph Kakunda amewaagiza wakuu wa wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri chini...

READ MORE

Video: MASHINJI “Nani Aliwafundisha Kuweka Mimba, Mnataka Wafe?”

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimezungumzia kauli ya Rais John Magufuli aliyoitoa akiwa ziarani mkoani Simiyu akiwataka wananchi wazae...

READ MORE

HALIMA WA MBAGALA AIBUKA KIDEDEA DROO YA MWISHO YA TUSUA MAISHA -VIDEO

Usiilalie bahati ya mwenzako mlango wazi! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mwanadada Halima Jabir wa Mbagala ameibuka mshindi wa droo...

READ MORE

Mwanafunzi Chuo Kikuu Iringa ashinda Milioni 239. 4 za M-Bet

  Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Iringa, Ibrahim Pius Mbwilo (28) ameshinda Sh 239,417,800 kupitia mchezo wa Perfect 12 unaoendeshwa...

READ MORE

CHADEMA: Rais Magufuli Arudishe Katiba ya WARIOBA – Video

Baraza la Wazee la Chadema limemtaka Rais Dkt. Jon Magufuli kuirudisha Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo mchakato...

READ MORE

DKT. KIGWANGALLA ARUHUSIWA KUTOKA MUHIMBILI – PICHA

JAPO la Madaktari Bingwa wa MOI linalomhudumia Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla limemruhusu kutoka wodini baada ya...

READ MORE

BREAKING NEWS: Maalim Seif Kutua Chadema Kuwania Urais- Video

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema endapo migogoro ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) itaendelea basi watamshawishi Katibu Mkuu...

READ MORE

Waziri Kabudi: “Mnaikejeli Mahakama? Nitaleta Marks Zenu Hapa” – Video

Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi amesimama Bungeni leo katika mkutano wa 12 na kutoa ufafanuzi kuhusiana na...

READ MORE

MAKONTENA YA MAKONDA YAMEKUA KAMA SINEMA

  MAKONTENA 20 ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda yalitakiwa kupigwa mnada kwa agizo la Waziri...

READ MORE

K-Vant ndani ya chupa mpya yazinduliwa mkoani Arusha

KAMPUNI ya Mega Beverages Company Limited, yenye makao yake makuu mjini Arusha, imezindua chupa mpya za kinywaji chake cha K-Vant...

READ MORE

CHADEMA: “CCM Wanamtumia LOWASSA, Hatutakubali” – VIDEO

WANACHAMA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamekilalamikia Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakidai kuwa chama hicho kinalitumia jina la...

READ MORE

Mavunde Aipongeza Puma kutoa Elimu Usalama barabarani shule za Msingi

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira na Wenye Ulemavu, Antony Mavunde, akizungumza jambo.   NAIBU Waziri Ofisi...

READ MORE

MAKONDA AKAZIA ONYO LA MGAMBO KUPIGA RAIA – VIDEO

MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda, ametoa taarifa ya kampeni ya usafi iliyoanza takribani mwezi mmoja uliopita...

READ MORE

SMART CODES YABORESHA MWONEKANO WA NEMBO YAKE

    KAMA moja ya maendeleo, Kampuni ya Smart Codes inayohusika na utoaji wa huduma za kiteknolojia na matangazo jijini...

READ MORE

Spika Ndugai Apiga ‘STOP’ Kucha na Kope Bandia Bungeni – Video

Spika wa Bunge la Jamahuri ya Muungano wa Tanzania, Job Yustino Ndugai leo Septemba 10, 2018 amepiga marufuku wabunge wanawake...

READ MORE

MAGUFULI: Ng’ombe Umtoe Kizazi, Wewe Utolewe Kizazi? Sikubali!

RAIS John Magufuli amepingana na sera ya  uzazi wa mpango akidai kuwa sera hiyo inapunguza nguvu-kazi kwa taifa na kuwataka...

READ MORE

JPM AMRARUA WAZIRI JAFO HADHARANI ‘SIJAFURAHISHWA KABISA’- Video

Rais Dkt John Magufuli ameataka wananchi kufanya kazi kwa bidii na kuongeza uzalishaji mali ili kuliendeleza Taifa. Rais Magufuli ametoa...

READ MORE

UTAPELIMKUBWA 40 YA MZEE MAJUTO

AMA KWELI kufa kufaana! Hayo ndiyo maneno unayoweza kusema endapo yatakufikia madai ya utapeli mzito unaofanywa na baadhi ya watu...

READ MORE

Mama, wanawe wanne yawafika mazito!

MAMA anayeishi na familia yake na kufanikiwa kuzaa watoto wanne kufikia hatua ya kulala kando ya barabara si kitu cha...

READ MORE

NAMA International Conference kuzikutanisha asasi za kiraia

KAMPUNI ya Kimataifa ya Mikutano na Maonesho iitwayo, NAMA International Conference and Exhibition  (NICX) inatarajia kufanya kongamano kubwa ambalo linalenga...

READ MORE

JPM: Walisema Mtaka Hafai Kuwa Hata DC, Leo Anaongoza Kuchapa Kazi – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ameendelea na ziara yake ya kukagua na kuzindua miradi...

READ MORE

LUGOLA Alivyofurahia JPM Kumtimua Mkurugenzi! – VIDEO

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amempongeza Rais Dkt John Magufuli kwa kumtimua Mkurugenzi aliyekamatwa na ubadhilifu...

READ MORE

ANAYEDAIWA KUMUUA MWANAKWAYA GESTI AKAMATWA KANISANI

  KIJANA anayedaiwa kumuua Mariam Charles (26), mwanakwaya wa Kanisa la AICT, Chang’ombe (anafahamika kwa jina moja la Frank) amekamatwa...

READ MORE

VILIO TUPU! KUAGWA KWA MWANAKWAYA ALIYEUAWA GESTI – PICHAZ

VILIO, simanzi na mazjonzi vimetawala miongoni mwa waombolezaji leo Jumamosi, Septemba 8, 2018 wakati wa kuaga mwili wa mwanakwaya Mariam...

READ MORE

TUSUA MAISHA… NANI KUIBUKA MSHINDI DROO YA MWISHO?

PENALTI ya mwisho! Hebu vuta picha, wewe ni mchezaji wa mpira wa miguu, mpaka dakika tisini zinaisha hakuna mshindi, unawadia...

READ MORE

Mwanakwaya Aliyeuawa Gesti, Familia Yasimulia Mazito – Video

DAR ES SALAAM: Tukio la mwanakwaya wa Kwaya ya Vijana ya Kanisa la AICT-Chang’ombe (CVC) Mariam Charles, 25, (pichani) mkazi...

READ MORE

BAD NEWS: AJALI YA MAGARI MATANO MBEYA, WALIOFARIKI WAFIKA 15

IDADI ya watu waliokufa katika Ajali ya lori iliyogonga Magari mengine manne kabla ya kupinduka na kuwaka moto kwenye mteremko...

READ MORE

TUKIO ZIMA: Wanafunzi Wachomana Visu DAR! – Video

MWANAFUNZI wa Shule ya Sekondari Msimbazi anadaiwa kuchoma mwanafunzi mwenzake kisu kichwani baada ya kutaka kulipiza kisasi kutokana na ugomvi...

READ MORE

Kimenuka: Muro Aichana Hadharani Hotuba ya Chama, “Mtakufa” – Video

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Jerry Muro ameichana Hotuba ya Chama Cha Ushirika cha Wilaya ya Arumeru iliyosomwa na kukabidhiwa...

READ MORE

KING MSUKUMA Afunguka Mali Zake Kupigwa Mnada – Video

Baada ya taarifa kusambaa katika mitandao ya Kijamii kuwa Mali za mbunge wa Jimbo la Geita Vijijini (CCM), Joseph Kasheku...

READ MORE

Serikali Yawasilisha Marekebisho Sheria ya TLS, Wabunge ni Marufuku

SERIKALI imewasilisha marekebisho ya Sheria ya Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) sura namba 307 ambapo sasa watumishi wa umma, madiwani,...

READ MORE

SAYONA YAJA NA JUISI YA BOKSI, YAMWAGA AJIRA

  KAMPUNI ya Sayona Fruits Ltd, imekuja na bidhaa mpya ya juisi ya boksi na kumwaga ajira 350 za kiwandani....

READ MORE

OHOOO! MAMA ASAULA UWANJANI

MAMA mmoja ‘jimama’ ambaye inasemekana ni mke wa mtu aliyetajwa kwa jina moja la Latifa, mkazi wa mjini hapa, ametia...

READ MORE

JPM AWALILIA 11 WALIOFARIKI AJALINI MBEYA – VIDEO

Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kufuatia ajali iliyotokea leo katika mteremko wa mlima Igawilo jijini Mbeya...

READ MORE

MBEYA: MAGARI MATANO YAGONGANA, 11 WAFARIKI DUNIA – VIDEO

AJALI mbaya imetokea katika mteremko mkali wa Iwaranje maeneno ya Igawilo leo Ijumaa, Septemba 7, 2018 ikihusisha malori matatu ya...

READ MORE

KESI YA AKINA AVEVA, ‘KABURU’ JARADA LAO BADO LIPO KWA DPP

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu  jijini Dar es Salaam, upande wa utetezi umeomba iwafutie mashtaka  aliyekuwa rais wa Klabu ya...

READ MORE

MAGUFULI Ambadilikia JOHN HECHE, “Toa Mkono Mfukoni” – Video

RAIS Dkt. John Magufuli amemmtaka mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche kuwa na nidhamu wakati akizungumza na mkuu huyo wa...

READ MORE