×

Kitaifa

Halotel Yasherekea Siku ya Mwanamke Duniani Kivingine

  Kampuni ya Mawasiliano ya Simu ya Halotel ikiwa ni sehemu ya jamii ya Tanzania inaendelea kujali na kuchangia katika...

READ MORE

Naibu Waziri Aipongeza Dcb Kwa Kuwainua Wajasiriamali

  Naibu Waziri Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Bi. Mwanaidi Ali Khamis  ameipongeza Benki ya...

READ MORE

Shehe Kipozeo alivyompongeza Rais Samia

Hilali Shaweji Makarani ‘Shehe Kipozeo’ amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kukubali wito wa kuzungumza na viongozi wa dini. Amesema...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Viongozi wa Dini, Waomba kumaliza kesi ya Mbowe

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amezungumza na viongozi wa dini mbalimbali kuhusu maendeleo...

READ MORE

Pesa za Zawadi Nmb Mastabata Zabaki Mil 100

Msimu wa Tatu wa Kampeni ya NMB MastaBata inayoendeshwa na Benki ya NMB, umezidi kushika kasi kuelekea ukingoni baada ya...

READ MORE

GGML yabeba tuzo kampuni bora ya madini 2021

  KAMPUNI ya uchimbaji madini ya dhahabu Geita (GGML) imetunukiwa tuzo ya kuwa kampuni bora inayoendesha shughuli za uchimbaji wa...

READ MORE

Droo ya Mwezi wa Pili wa MastaBata kuwazawadia Wateja wake Tsh Milioni 25

Benki ya NMB imechezesha Droo ya mwezi wa pili wa MastaBata kivyakovyako jijini Dodoma na kuwazawadia Wateja wao jumla la...

READ MORE

GGML yashinda tuzo ya usalama duniani kwa mwaka wa tatu mfululizo

  KAMPUNI ya Uchimbaji madini ya dhahabu Geita (GGML) imetunukiwa tuzo ya Usalama ya Dunia ya 2021 kwa mwaka wa...

READ MORE

Ramli Chonganishi Zinavyomaliza Raia

JESHI la Polisi mkoani Morogoro inawashikilia watu wanane kwa tuhuma za mauaji na kujihusisha kupiga ramli chonganishi ambazo kwa kiwango...

READ MORE

Mstaafu Kikwete, Pinda Washuhudia Jitesh Akikabidhiwa Medali ya Kimataifa

    RAIS wa Ufaransa Emmanuel Macron amemtunuku medali inayotambulika ulimwengu mzima ya ‘Legion of Honour’ mfanyabiashara maarufu chini Tanzania...

READ MORE

TCB Yatoa Vifaa Vya Usalama Barabarani Kwa Jeshi la Polisi

   Benki ya Biashara ya Tanzania Commercial Bank TCB imekabidhi msaada wa vifaa vya kuongezea usalama barabarani pamoja na  vibanda...

READ MORE

TANESCO yatangaza tarehe kuanza kutumia mita zisizohitaji kuingiza ‘token’

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema kwamba kuanzia Julai mwaka huu litaanza kutumia ‘smart meters’ za umeme, ambapo mteja akinunua...

READ MORE

Serikali Yatoa Tamko kwa Watanzania waishio Ukraine

Taarifa ya Serikali ya Tanzania kuhusu Watanzania waishio Ukraine na kile kinachoendelea.

READ MORE

Zawadi za NMB Mastabata Kivyakovyako Zafikia Mil 80

  Jumla ya Sh Milioni 80,000,000 zimetolewa na Benki ya NMB kwa wateja 80 waliojishindia katika droo ya MastaBata Kivyakovyako....

READ MORE

Mzee wa Baraza la Mahakama Akwamisha Kesi Ya Mke wa Bilionea Msuya

Kesi ya mauaji  inayomkabili mke wa aliyekuwa mfanyabiashara marehemu bilionea Erasto Msuya, Miriam Mrita na mfanyabiashara Revocatus Muyella imeshindwa kuendelea...

READ MORE

Kigogo wa Chadema Akamatwa Tena

MKURUGENZI wa Mashitaka nchini Tanzania (DPP), Sylvester Mwakitalu leo amemuomdolea mashitaka ya uchochezi Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Chadema,...

READ MORE

TANESCO kuvuna bilioni 5 mapato ya mwezi kutoka GGML

          KUKAMILIKA kwa mradi wa kupeleka umeme kwenye Kampuni ya uchimbaji madini ya dhahabu ya Geita...

READ MORE

Samia awatwisha zigo la mauaji viongozi wa Dini

RASI Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa kidini na kimila kuwa chanzo cha kudhibiti mauaji yanayotokea mara kwa mara nchini,...

READ MORE

Zari: Wenye Wivu Wajinyonge

PAMOJA na kukanusha mara kadhaa akisema wao ni marafiki tu, hatimaye mwanamama Zari The Boss Lady amechoka kufichaficha kwani penzi...

READ MORE

Tabora Mkawe Vinara Utekelezaji Anwani za Makazi, Postikodi: Mhandisi Kundo

  Nabu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Mhandisi Kundo Mathew amewataka Viongozi na Watendaji wa Mkoa...

READ MORE

Kauli ya Nape Kuhusu Bunge Live

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema serikali inaliangalia suala la kurejesha Bunge Live ili wananchi...

READ MORE

Babu Tale, Salome Makamba Wazungumzia Hali ya Prof. Jay

  Mbunge wa Morogoro Vijijini, Hamisi Shaban Taletale ambao wapo katika Kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo...

READ MORE

Wateja 700 Wabeba Mil 70 Droo Ya “Mastabata Kivyakovyako”

IKIWA ni Wiki ya Saba tangu kuanza kwa Kampeni ya ‘NMB MastaBata Kivyako Vyako’ jumla ya shilingi milioni 70 zimetolewa...

READ MORE

Mitazamo Tofauti Rais Samia Kukutana na Lissu Ughaibuni

MUDA mfupi baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kukutana na kufanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na...

READ MORE

Baba Adaiwa Kumpa Mimba Binti Yake

Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Tumaini wilayani Iramba mkoani Singida, amesimamishwa masomo baada ya kubainika kuwa...

READ MORE

Brig. Jenerali Ibuge Azindua Tawi La TCB Mbinga

Tanzania Commercial Bank (TCB) imeendelea kuongeza jitihada kuwafikia Watanzania katika kila kona ya nchi kwa madhumuni ya kujenga jamii yenye...

READ MORE

Mtoto Auawa kwa kukatwa mapanga na binamu yake

MWANAFUNZI wa darasa la 7 shule ya msingi Mwenge manispaa ya Morogoro, Faidhati Ibrahim (13), ameuawa kwa kukatwa na mapanga...

READ MORE

NMB Kuwakomboa Wamachinga

Kwa mara nyingine tena, Benki ya NMB imeonyesha ni benki inayojali watu wa hali zote kiuchumi na kijamii, na leo...

READ MORE

Watu 9 Mikononi mwa Polisi kwa Kuuza viungo vya binadamu

Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limekamata mtandao wa watu 9 ambao wametajwa kuhusika na tuhuma za mauaji pamoja na...

READ MORE

Maamuzi Kesi ya Mbowe Ijumaa Hii

NI siku 6 mfululizo za uchovu, hasira, vicheko na afya kutokuwa imara kwa shahidi wa 13 kutoka upande wa Jamhuri,...

READ MORE

Bodaboda Aliyepotea Akutwa Amekufa porini

MATUKIO ya mauaji yanaendelea kutikisa nchini! Madereva wa pikipiki maarufu bodaboda kwa kushirikiana na polisi katika Manispaa ya Mtwara Mikindani,...

READ MORE

Sakata la ‘Amka Umeze P2’, Waziri Ummy Atoa Tamko

Kufuatia kuwepo kwa maneno yanayosambaa ‘Amka umeze P2’, Waziri wa ya Afya, Ummy Mwalimu ameeleza kuwa wao kama Serikali wasingependa...

READ MORE

Mamia Wajitokeza Kufungwa Gereza Jipya Kwa Hiyari Yao

Waswahili wanasema jela jeraha, ubaya ubayani! Kwa nchi nyingi za Kiafrika, jela ni mahali ambapo hakuna ambaye yupo tayari kuingia...

READ MORE

Ajinyonga Akituhumu Ndugu Wajomba Zake Kuua Ndugu Zake 16 Kishirikina

Williamu Mwalugelo (46) mkazi wa Kawajense Manispaa ya Mpanda amejinyonga kwa kutumia kamba ya manila kwa kujining’iniza kwenye dari chumbani...

READ MORE

Waziri Nape Afanya Uteuzi Bodi ya TSN

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye amefanya uteuzi wa Wajumbe sita wa Bodi ya Kampuni ya...

READ MORE

Majaliwa Atua Ngorongoro

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema serikali inaangalia utaratibu utakaofaa kuhusu suala la uhifadhi katika eneo la Loliondo lililopo kwenye Wilaya...

READ MORE

Rais Samia Atua Ikulu ya Ufaransa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Ufaransa Mhe. Emmanuel Macron...

READ MORE