×

Kitaifa

Mbunge wa CCM Amtembelea Lissu Hospitalini Nairobi

MBUNGE wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu (CCM) amemtembelea Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu aliylazwa...

READ MORE

Breaking News: Nyumba ya Zitto Kabwe Yateketea kwa Moto

  NYUMBA ya Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT – Wazalendo) iliyopo Mwandiga, mkoani Kigoma yateketea kwa moto. Habari...

READ MORE

Bavicha Wasisitiza Kumuombea Lissu Kesho

BARAZA la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) limesema kuwa wataendelea na mpango wao wa kumuombea dua Mbunge...

READ MORE

Bongo Movie, Bongo Fleva & Wanasoka Waungana Kampeni ya Uzalendo Kwanza

KAMPENI ya Uzalendo Kwanza iliyoanzishwa na Wasanii wa Filamu, Bongo Movie imezidi kuota mizizi baada ya kutanua matawi yake kwa...

READ MORE

Baada ya Kushutumiwa na UN, Tanzania Yaikana Korea Kaskazini

SERIKALI ya Tanzania imesema imeshtushwa baada ya kuorodheshwa miongoni mwa nchi za Bara la Afrika ambazo zimechunguzwa na Umoja wa...

READ MORE

Polisi Yawapiga Stop Chadema Kufanya Maombi kwa Lissu

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limepiga marufuku maandamano, maombi na mikusanyiko isiyo halali huku likielekeza kuwa...

READ MORE

Waziri Mkuu Awatumia Salamu Watu Wasiojulikana

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, leo Septemba 15, 2017 ameelezea juu ya kusikitishwa kwake na tukio la kinyama la kushambuliwaji kwa...

READ MORE

RC, Gambo apunguza kero za wananchi Arumeru

MKUU wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo ametoa msaada wa mifuko 200 ya saruji na nondo tani mbili, kwa ajili...

READ MORE

Spika Ndugai Awatahadharisha Wabunge Kuhusu Usalama Wao -(Video)

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amewatadharisha wabunge kuwa makini na usalama wao mahali popote wanapokwenda kufuatia matukio mengi ya uhalifu...

READ MORE

Breaking News: Askofu Gwajima Afutiwa Kesi Yake Kisutu

  ASKOFU wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amefutiwa kesi ya kushindwa kutunza silaha baada ya mahakama kushindwa...

READ MORE

Dereva wa Mbunge John Heche Avamiwa, Akatwa Mapanga

DEREVA wa Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, John Heche (Chadema) amevamiwa na watu wasiojulikana kisha kumkata kwa mapanga usiku...

READ MORE

Waziri Mkuu, Majaliwa Aahirisha Bunge Hadi Novemba

WAZIRI Mkuu, Kasimu Majaliwa akitoa Hoja ya Kuahirisha Bunge mjini Dodoma leo amefafanua kuhusu hali ya wakulima na changamoto wanazokumbana...

READ MORE

Polisi, TCRA Watoa Ufafanuzi Kuhusu Uhalifu Mitandaoni

JESHI la Polisi nchini kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wametoa ufafanuzi kuhusu kushamiri kwa uhalifu wa makosa...

READ MORE

Vigogo Walionaswa na Shehena ya Almasi Airport Wapandishwa Kortini

WATUHUMIWA waliokamatwa na mzigo wa Almasi zenye thamani ya Sh 32.3 bilioni katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius...

READ MORE

Yusuf Manji Aachiwa Huru, Afutiwa Mashtaka ya Uhujumu Uchumi (Video)

MAHAKAMA ya leo Alhamisi, Septemba 14, imemuachia huru mfanyabiashara Yusuf Manji (41) na wenzake katika kesi ya uhujumu uchumi baada...

READ MORE

Hakimu Akinukisha Kortini Sakata la Harbinder Seth Kukataliwa Kutibiwa

MSHTAKIWA Habinder Sethi ameiambia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa bado hajatibiwa. Sethi amesema hayo mahakamani baada ya wakili wake...

READ MORE

Viongozi Vyama Visivyo na Wabunge Bungeni Wamtunishia Misuli Jaji Mutungi

Viongozi wa vyama vya siasa ambavyo havina wawakilishi bungeni, leo wamezungumzia namna wanavyoipinga barua waliyotumiwa na Msajili wa Vyama vya...

READ MORE

Mbunge Aanika Ukweli Kuhusu Deni la Ndege Iliyompeleka Lissu Nairobi

MBUNGE wa Mpendae – Zanzibar, Salim Turky (CCM) leo Alhamisi, Septemba 14 amefafanua kuhusu ukweli wa ndege iliyomsafirisha Mbunge wa...

READ MORE

Kisa Lissu… Mchungaji Msigwa, Amvagaa Spika Ndugai

MBUNGE wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa amemjia juu Spika wa Bunge, Job Ndugai akimtaka kuacha kudanganya kuwa ndege iliyomsafirisha...

READ MORE

Mabasi Mwendo Kasi Yagongana, Yasababisha Foleni Shekilango

ASUBUHI ya leo katika eneo la makutano ya barabara za Morogoro Shekilango jijini Dar es Salaam, palikuwa na foleni ndefu...

READ MORE

Polisi Yapiga Marufuku Kumuombea Tundu Lissu

CHADEMA Mkoani Rukwa kimeshindwa kufanya Ibada ya maombi kwa ajili ya Mwanasheria Mkuu wa Chama hicho, Tundu Lissu aliyejeruhiwa kwa...

READ MORE

Mkurugenzi wa Shirika la Ndege ATCL Ahukumiwa Jela

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), David Mataka na mwenzake...

READ MORE

Mlinzi wa ‘Soja’ Mstaafu Aacha Bunduki Kitandani, Awafungulia Wahalifu

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limetoa taarifa kuhusu tukio la Meja Jenerali Mstaafu Vincent Mribata aliyevamiwa na...

READ MORE

Twaweza: Asilimia 80 ya Wananchi Waamini Taarifa Itapunguza Rushwa

Taarifa kwa waandishi wa habari Septemba 13 2017 Wadau waitaka serikali kutekeleza Sheria ya Upatikanaji wa Taarifa Duniani kote, sheria...

READ MORE

Manji Anyang’anywa Shamba na Serikali

SERIKALI imelifuta shamba la mfanyabiashara Yusuf Manji lililopo Kigamboni, lenye ukubwa wa eka 714. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo...

READ MORE

Breaking News: Jambazi Aliyeongoza Mauaji ya Polisi 8 Kibiti Auawa -Dar

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, jana Septemba 12, maeneo ya Kivule Chanika lilifanikiwa kumuua jambazi sugu...

READ MORE

JPM Aivunja Mamlaka ya Uendelezaji wa Mji wa Kigamboni

RAIS wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amevunja Mamlaka ya Uendelezaji wa Mji wa Kigamboni (KDA)...

READ MORE

Spika Ndugai, Zitto Kabwe Watifuana Bungeni

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amesema kuwa anaweza kumpiga marufuku Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT Wazalendo), Zitto Kabwe kuongea bungeni...

READ MORE

Majanga! Familia Zatupiwa Vyombo Vyao Nje, Nyumba Yavunjwa

MAJANGA! Jumla ya familia zipatazo saba wiki moja iliyopita zilijikuta katika wakati mgumu kufuatia kubomolewa kwa nyumba waliyokuwa wakiishi, kufuatia...

READ MORE

Wakazi wa Arumeru Wanavyotaabika na Ukame, Hali Inatisha! (Video)

UHABA mkubwa wa maji umeyakumba baadhi ya maeneo mkoani Arusha ambapo wananchi wanalazimika kuamka saa tisa usiku na kutembea umbali...

READ MORE

DAR: Nyaraka za Manji Zasalimika Uvamizi Ofisi za Mawakili

WATU wasiojulikana waliovunja ofisi za mawakili wa Prime Attorneys ambayo pia inashughulikia kesi ya Yusuf Manji wameiba Sh3.7 milioni na...

READ MORE

Taarifa Kuhusu Alikopelekwa Dereva wa Lissu

WAKATI Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto akimtaka dereva wa Mbunge wa Singida Mashariki kufika katika Ofisi za...

READ MORE

LIVE TBC 1: Matukio Yote ya Leo Jumanne, Septemba 12

Chadema: Lissu Amevunjwa Mguu na Nyonga Lakini Jasiri, Tumuombee!

READ MORE

MC Pilipili Apata Ajali Mbaya ya Gari (Video)

MCHEKESHAJI maarufu nchini, Emmanuel Matebe Mathias ‘MC Pilipili’ amepata ajali mbaya ya gari katikati ya Kijiji cha Nyasamba na Bubiki...

READ MORE

Spika Aagiza Zitto Ahojiwe, Kubenea Asakwe – (Videos)

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amemuagiza kutafutwa kwa namna yoyote Mbunge wa Ubungo(Chadema), Saed Kubenea apelekwe kesho kwenye Kamati ya...

READ MORE

Sekeseke… Wapinzani Wagomea Kuapishwa Mbunge wa CUF ya Lipumba (Video)

SEKESEKE Party Two limeuibuka tena bungeni Dodoma leo Septemba12, 2017 mara baada ya wabunge wa Chama Cha Wananchi CUF wanaomuunga...

READ MORE