×

Kitaifa

Madereva Walevi Kupimwa Kilevi Kwa Mashine Pwani

KATIKA hatua ya kukomesha ajali za magari mkoani Pwani imeamua kuwapima kilevi madereva wote wanaopita mkoa huo. Zoezi la kuwapima...

READ MORE

JPM Amjulia Hali Meja Jenerali Mstaafu Aliyejeruhiwa kwa Risasi

RAIS John  Magufuli leo Jumanne ametembelea Hospitali ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Lugalo, Jijini Dar es Salaam...

READ MORE

Watu Wasiojulikana Watokomea na Sh3.7M Ofisi ya Mawakili (Video)

WATU wasiojulikana waliovunja ofisi za mawakili za Prime Attorneys wameiba Sh3.7 milioni na nyaraka kadhaa, zikiwemo hati za viwanja. Msemaji...

READ MORE

Polisi Wakanusha Askari Wao Kenya Kuhusishwa Shambulio Dhidi ya Lissu

  MSEMAJI wa Jeshi la Polisi nchini, Barnabas Mwakalukwa, amekanusha taarifa zinazosambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii zikionyesha picha za...

READ MORE

Chadema: Hatuna Imani na Polisi Kuwasaka Waliomshambulia Lissu

CHAMA cha Demokrasia Maendeleo (Chadema) kimeitaka serikali iwaite wapelelezi kutoka nje ili kuwabaini watu waliopanga njama za kumuua Mbunge wa...

READ MORE

Chadema: Lissu Amevunjwa Mguu na Nyonga Lakini Jasiri, Tumuobee!

CHAMA cha Demokrasia Maendeleo (Chadema) kimesema hali ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, ambaye alishambuliwa na watu wasiojulikana mjini...

READ MORE

Breaking News: Watu Wasiojulikana Wavamia Ofisi za Wakili wa Manji

Ofisi ya mawakili ya Prime Attorneys imevamiwa usiku wa manane na watu wasiojulikana ambao wameiba kasiki lenye fedha na nyaraka....

READ MORE

Wananchi Waomba Chakula Kifutwe Msibani

BAADHI ya wananchi wa Nzengo ya Amani ‘B’ Kata ya Nyihogo katika Halmashauri ya Mji wa Kahama mkoani hapa, wameuomba...

READ MORE

Mbunge Aitaka Serikali Ipitishe Tohara kwa Wanaume Iwe Lazima

BUNGENI, DODOMA: Mhe. Hawa Ghasia(Mb) ameitaka Serikali iifanye tohara kwa wanaume iwe lazima ili kupunguza maambukizi ya UKIMWI. Akijibu swali...

READ MORE

ARUSHA: Mwili wa Mtoto Waokotwa Mferejini

MWILI wa mtoto ambaye anakadiriwa kuwa na umri wa siku moja umeokotwa kwenye mfereji wa kupitisha maji machafu katika eneo...

READ MORE

Kampuni ya Uchimbaji Almasi Yasitisha Shughuli Zake Tanzania

  KAMPUNI ya uchimbaji madini ya Almasi ya Petra Diamonds imesimamisha shughuli zake za uchimbaji katika mgodi wake uliopo Mwadui...

READ MORE

WAZIRI MKUU ATOA MSAADA WA SH. 10M KWA MWANAMUZIKI WA DANSI

  11 SEPTEMBA , 2017                                     TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WAZIRI MKUU ATOA MSAADA WA SH. MILIONI 10  ...

READ MORE

Katibu Mkuu Chadema Ahojiwa Kuhusu ‘Watu Wasiojulikana’

KATIBU Mkuu wa Chadema, Dk Vincent Mashinji amesema polisi wamemhoji wakitaka kujua kuhusu kauli zake za watu wasiojulikana kama anaweza...

READ MORE

Sakata la Tanzanite na Almasi, Ngeleja Ahojiwa na DCI

MBUNGE wa Sengerema, William Ngeleja (CCM) amehojiwa kwa saa moja katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI), jijini...

READ MORE

Lowassa Amtembelea Lissu Hospitalini Nairobi

MMOJA wa viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambaye pia alikuwa mgombea wa urais katika uchaguzi uliopita, Edward...

READ MORE

Rais Magufuli ‘Agomea’ Jukumu la Kunyonga Wafungwa

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amemtaka Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma kutompelekea...

READ MORE

Wizara ya Afya Yazindua Mpango Shirikishi wa Takwimu za Afya

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa kushirikiana na wafadhili, wamezindua rasmi mfumo maalum wa kukusanya taarifa...

READ MORE

Droo Kubwa… Shinda Nyumba Hii Septemba 27

  BAADA ya wasomaji kukata kuponi zao kwa ajili ya kushiriki Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili kwa...

READ MORE

IGP Simon Sirro Aifungukia SportPesa (VIDEO)

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro ameipongeza Kampuni ya Michezo ya Kubashiri nchini, SportPesa ambayo imekabidhi pesa...

READ MORE

Shinda Nyumba Yatikisa Kiwagwa, Nyumba Mpya Kutolewa Sept. 27

ZIKIWA zimebaki takribani wiki mbili ili kuchezeshwa kwa droo kubwa katika Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili zikikatika...

READ MORE

CUF ya Lipumba na CUF ya Maalim Seif Wavurugana Bungeni

WABUNGE wa CUF wameonekana kuvurugana Bungeni Mjini Dodoma leo Jumatatu, Septemba 11, kutokana na mgogoro unaoendelea katika chama hicho baada...

READ MORE

Wema Akesha Akimlilia Tundu Lissu

TUKIO la kushambuliwa kwa kupigwa risasi kwa Mbunge wa Singida-Mashariki, Tundu Lissu ambaye ni wakili na Mwanashieria Mkuu wa Chama...

READ MORE

Airtel TImiza yafaidisha wajasiriamali zaidi nchini

DAR ES SALAAM, Airtel Money imetangaza kuwa zaidi ya asilimia 80 ya wateja wake sasa wanaweza kupata mikopo rasmi kwa...

READ MORE

Picha: Majimaji Yatoshana Nguvu na Prisons

TIMU ya Majimaji ya Mjini Songea, juzi ilitoka sare ya bao 2-2 na Timu ya Tanzania Prisons ya Mbeya katika...

READ MORE

Tshabalala Yamkuta Mazito Simba

AMA kweli hakuna ufalme unaodumu milele! Beki Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ alikuwa kama mfalme wa nafasi ya kushoto msimu uliopita pale...

READ MORE

BreakingNews: Rais Magufuli Amwapisha Prof. Ibrahim Juma Kuwa Jaji Mkuu

RAIS Dkt. John Magufuli amemwapisha Prof. Ibrahim Juma kuwa Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akichukua nafasi ya...

READ MORE

Yaliyojiri Bungeni Dodoma Leo Septemba 11

Kikao cha 5 cha Mkutano wa 8 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo kimeendelea mjini Dodoma ambapo...

READ MORE

Polisi Wakamata Magari 8 Tukio la Lissu, Wamsaka Dereva Wake

KAMANDA wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto amemtaka dereva wa Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema) Tundu Lissu, ajitokeze...

READ MORE

Mrisho Gambo: Mama Yangu Alikuwa Muuza Sambusa, Baba Dalali

MKUU wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amesema hali ya umasikini ya katika familia yao ilimfanya ajitume zaidi kutimiza kile...

READ MORE

Bavicha Wamuomba JPM Aunde Tume Huru

BARAZA la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka Serikali kuunda tume huru kwa ajili ya kuchunguza matukio...

READ MORE

Ghorofa Jingine la Lugumi Lanunuliwa kwa Milioni 700

GHOROFA  la Upanga mali ya  Kampuni ya Lugumi Enterprises Limited limenunuliwa leo (Septemba 9) na kampuni ya Al- Naeen Enterprises...

READ MORE

Sakata la Madini Laendelea Kuwang’oa Vigogo Serikalini (VIDEO)

IKIWA siku mbili baada ya Ripoti ya Uchunguzi wa Biashara ya Madini ya Almasi na Tanzanite kumng’oa Waziri wa nchi...

READ MORE

Hussein Bashe: Hakuna Mwenye Uhakika na Maisha Yake (Video)

MBUNGE wa Nzega Mjini, Hussein Bashe amemtaka Spika wa Bunge, Job Ndugai kuiagiza Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama...

READ MORE

Maghorofa, Magari ya Lugumi Yapigwa Mnada Dar

KAMPUNI ya Udalali ya Yono leo Septemba 9, 2017 imepiga mnada maghorofa yanayomilikiwa na kampuni ya Lugumi. Maghorofa hayo mawili...

READ MORE

Mrembo Amfanyia Kitu Mbaya Kinyaiya

DAR ES SALAAM: MTANGAZAJI maarufu Bongo, Benny Kinyaiya ameingia kwenye kashfa nzito baada ya video yake akiwa anapapasana kimahaba na...

READ MORE

Mbowe: Madaktari Bado Wanapigana Kuokoa Uhai wa Lissu Nairobi

MBUNGE wa Singida Mashariki Tundu Lissu ambaye alipigwa risasi jana Alhamisi mjini Dodoma, anaendelea kupokea matibabu katika Hospitali ya Aga-Khan...

READ MORE

Vilio, Simanzi Vyatawala Mazishi ya Mtoto Mourine Aliyetekwa Arusha

VILIO na simanzi vimetawala leo katika Jiji la Arusha huku maelfu ya waombolezaji wakijitokeza kuuzika mwili wa mtoto Maureen David...

READ MORE

IGP Sirro Afunguka Shambulio la Lissu, Kutekwa Watoto Arusha

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Nyakoro Sirro leo Septemba 8, 2017 amezungumza na waandishi wa habari na...

READ MORE

Aveva, Kaburu Ngoma Bado Nzito Kisutu

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo September 9, 2017 imeutaka upande wa mashtaka katika upelelezi wa kesi inayomkabili Rais wa...

READ MORE

Manji Agoma Kuvuliwa Udiwani na CCM, Atoa Kauli Nzito Kortini

MFANYABIASHARA Yusuf Manji ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo September 9, 2017 kuwa yeye bado ni Diwani wa Kata...

READ MORE