×

Kitaifa

Watu 22 Mbaroni kwa Mauaji Mbeya

KUFUATIA kuwepo kwa wimbi la matukio ya mauaji jijini Mbeya, Jeshi la Polisi mkoani humo limewatia nguvuni watu 22 kwa...

READ MORE

Rasi Samia Atoa Maagizo kwa Wakaguzi wa Ndani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewaagiza Wakaguzi wa ndani wa Halmashauri kufanya kazi kwa...

READ MORE

Asakri: Hatukumshuhudia Mbowe Akipanga Ugaidi

INSPEKTA Tumaini Swila amedai yeye pamoja na wapelelezi wenzake hawakuwahi kumshuhudia Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akiwa katika kikao cha...

READ MORE

Sabaya: Amaliza Kujitetea

MSHITAKIWA wa kwanza katika kesi ya uhujumu uchumi, Lengai Ole Sabaya (35) amemaliza kujitetea katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa...

READ MORE

Mwanafunzi Afariki, Watatu Walazwa Baada ya Choo Kuporomoka

MWANAFUNZI mmoja alifariki na wengine watatu walilazwa hospitalini baada ya choo cha shule ya upili ya Nyabondo kuporomoka. Tukio hilo...

READ MORE

Wasira: Sitaki Tena Urais

MBUNGE wa zamani na Waziri Mstaafu wa Wizara mbalimbali nchini, Mzee Steven Wasira amesema kuwa kwa sasa hana mpango tena...

READ MORE

Rais Samia: Nassari Alikuwa Akituchachafya Bungeni

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu,  Februari 7, 2022 akiwa kwenye ziara Mkoani Mara amesema anashukuru kwamba taarifa...

READ MORE

Madarasa Yageuzwa Kituo cha Kuvuta Bangi

​​​​​​​WANAFUNZI wanaosoma katika shule mbili za msingi za Kijichi wilayani Temeke mkoani Dar es Salaam, wako hatarini kuathirika kiafya na...

READ MORE

Moto Waua Watoto Wawili Ndani ya Nyumba

WATOTO wawili wa familia moja wamefariki dunia baada ya kukosa hewa ya kutosha chumbani katika nyumba waliyokuwa wakiishi katika Kijiji...

READ MORE

Serikali Yahimiza Wananchi Kulipia Kwa Wakati Viwanja Vilivyopimwa

Serikali imetoa wito kwa wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam kulipia kwa wakati gharama za maandalizi ya Hati za...

READ MORE

NMB Yazindua Uuzaji wa Hati Fungani Maalum

  Benki ya NMB imetangaza kuanza kuuzwa rasmi kwa hati fungani ya miaka mitatu inayomlenga mwekezaji yeyote aliye tayari kuwekeza...

READ MORE

Maafisa Ugani Wapigwa Msasa, Kupeleka Elimu Vijijini

Kampuni ya Bens Agrostar CO Company Ltd imewapa elimu mbalimbali maafisa ugani  wa kampuni hiyo namna bora watakavyomsaidia mkulima katika...

READ MORE

DC Nyangasa Aitaka TCB Kuongeza Wigo Wa Huduma Zake

MKUU wa Wilaya ya Kigamboni, Fatuma Almasi Nyangassa, ameiomba benki ya Tanzania Commercial Bank (TCB) kupanua wigo wa huduma zake...

READ MORE

BETWAY Yazindua Programu Ya Maboresho ya Viwanja Vya Michezo

Kampuni ya michezo ya kubashiri ya kimataifa, Betway Tanzania imezindua rasmi programu yake ya maboresho ya viwanja vya michezo. Programu...

READ MORE

Mwalimu Auawa kwa Kupigwa na Kitu Kizito

MWALIMU wa Shule ya Msingi Kisokwe, Wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma Albert Kaguli (43) amekutwa ameuawa na watu wasio julikana kwa...

READ MORE

Ratiba ya Kukatika Umeme Februari 6, Hii Hapa

Shirikal la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Rukwa, limetoa taarifa ya kukatika umeme kesho Februari 6, 2022 kuanzia saa 1:00...

READ MORE

Breaking: Zungu, Kigwangalla, Mwinyi Wajitosa Unaibu Spika

Wabunge wanne wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, wamechukua fomu za kuwania kugombea unaibu Spika, leo Febriari 5 jijini Dodoma....

READ MORE

Mganga wa Jadi Adaiwa Kuua Wateja Wake Wawili na Kuwatupa Msituni

WATU wawili, Suzana Mtitu (38) na Kassim Kitamkanga (35) wakazi Makambako Mkoani Njombe wamekutwa wamefariki katika msitu wa Tanwat uliopo...

READ MORE

Kimbunga Batsirai Chatabiriwa Kutua Tanzania

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ya uwepo wa kimbunga Batsirai katika maeneo ya Kusini Magharibi mwa...

READ MORE

Morrison Atajwa Kuibukia Yanga

KIUNGO mshambuliaji wa Kimataifa raia wa Ghana, anayekipiga ndani ya Klabu ya Simba, Bernard Morrison amemamisha kwa muda hadi suala...

READ MORE

Mke Ajinyonga Kwenye Gesti ya Mumewe

KATIKA hali isitokuwa ya kawaida, mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Naomi mkazi wa Mji mdogo wa Katoro Wilayani...

READ MORE

Sakata la Askari Kujinyonga, Mauaji Kilindi, Majaliwa Aagiza Kusimamishwa Kazi RPC, RCO

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemuagiza Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro awasimamishe kazi maafisa wa Polisi wa...

READ MORE

Kikwete: Rais Samia Alipokea Wadhifa Huo Kipindi Kigumu

Rais mstaafu awamu ya nne, Jakaya Kikwete amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa uongozi wake mzuri wa Serikali na CCM,...

READ MORE

Waya wa Umeme Waua Watu 26 Sokoni

TAKRIBAN watu 26 wamefariki baada ya waya wa Umeme kukatika na na kuanguka sokoni katika wilaya ya Matadi – Kibala...

READ MORE

Misri Yaitungua Cameroon, Sasa Kucheza Fainali na Senegal

TIMU ya taifa ya Misri Pharaos imeingia tena katka fainali za kombe la mataifa ya Afrika 2021 baada ya kuwafunga...

READ MORE

Aliyeua kwa Kisu Vingunguti Akiri Kosa, Aachiwa Mahakamani

Mahakama ya Kuu Kanda ya Dar es Salaam imemwachia huru mfanyabiashara Steven Aloyce mkazi wa Vingunguti kwa masharti ya kutotenda...

READ MORE

Mtoto Aliyepotea Kimaajabu Apatikana, Hakumbuki Chochote

IDRISSA Mkenge (16), mkazi wa Magomeni, mkoani Dar es Salaam, ambaye alikuwa anatafutwa na wazazi wake baada ya kutoripoti shuleni...

READ MORE

Makonda Kusakwa

MWANAHABARI mkongwe nchini Tanzania, Saed Kubenea, anakusudia kuiomba Mahakama ya Kinondoni, itoe wito mpya kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa...

READ MORE

Kichwa cha Mlinzi Aliyeuawa Chapatikana, Muuaji Naye Mbaroni

JESHI la Polisi Mkoani Arusha linamshikilia kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Raymond Mollel ammbaya amekamatwa kwa tuhuma za mauaji...

READ MORE

Rais Mwinyi Atumbua Watano

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa viongozi watano wa idara...

READ MORE

Mradi wa Maji Kichefuchefu Wamchefua Shigongo

MBUNGE wa Buchosa, Mhe. Eric Shigongo ametaka majibu ya Serikali kuhusu mradi mkubwa wa maji Lumeya, Nayakaliro, Kalebezo hadi Nyehunge...

READ MORE

Rais wa MasterCard International Ashuhudia Droo Ya Tano Ya Nmb

Rais mpya wa MasterCard International- Sub Sahara Africa, Mark Elliott, ameshuhudia droo ya wiki ya tano ya Kampeni ya NMB...

READ MORE

Mtoto Achomwa Moto Sehemu za Siri na Mjomba Aake

MTOTO wa miaka 10 (jina limehifadhi) katika Halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, ambaye ni mwanafunzi wa darasa la...

READ MORE

Wauza Jezi Feki za Yanga Wanaswa Dar

JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limewakamata watu 17 kwa tuhuma za kuuza jezi bandia za timu ya...

READ MORE

Suala la Anuani za Makazi Litakamilika Kabla ya Sensa

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema suala la anuani ya makazi zitakamilika kabla ya...

READ MORE

Mwanamke Anyongwa Nyumbani Kwake

Jeshi la Polisi mkoa wa Geita linaendelea na uchunguzi kufuatia tukio la mauaji ya mke wa mfanyakazi wa mgodi wa...

READ MORE

Silaa Atamani Aweso Apewe PhD

Mbunge wa jimbo la Ukonga jijini Dar es Salaam, Jerry Silaa, amempongeza Waziri wa Maji Jumaa Aweso, kwa utendaji wake...

READ MORE

Mwanafunzi Auawa Kinyama, Anyofolewa Viungo vys Siri

WATU wasiojulikana wamemuua kikatili mwanafunzi wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Tutuo, Sikonge mkoani Tabora, Maria Kazungu (13)...

READ MORE

IGP Sirro: Tukio Mtwara Lisiwafanye Watanzania Lutoliamini Jeshi Lenu

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Simon Sirro, amewaambia wananchi kuwa tukio la Mtwara lililowahusisha Maofisa wa Jeshi la...

READ MORE

Rais Samia: Jukumu la Mahakama ni Kutoa Haki – Video

Rais Samia Suluhu Hassan amesema jukumu la msingi la mahakama ni kutoa haki na katika utekelezaji wa jukumu hilo, mahakama...

READ MORE