×

Kitaifa

‘SHINDA NYUMBA’ YATIKISA MLANDIZI

  BAHATI Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili leo ilitembelea eneo la Mlandizi mkoani Pwani ambako Mr Shinda Nyumba...

READ MORE

Mbowe Aipinga Serikali Kuwanyang’anya Viwanda Wawekezaji

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema Serikali haiwezi kujenga viwanda peke yake bila kuihusisha sekta binafsi ambayo ndiyo mdau mkuu...

READ MORE

Yaliyojiri Kesi ya Askofu Gwajima ya Kushindwa Kuhifadhi Silaha na Risasi

  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Agosti 30, 2017 itatoa hukumu katika kesi ya kushindwa kuhifadhi silaha na risasi inayomkabili...

READ MORE

VIDEO: Bomoabomoa Mpanda ni Vilio Tupu, Mamia ya Nyumba Zabomolewa

Bomoabomoa Mpanda ni Vilio Tupu, Mamia ya Nyumba Zabomolewa Wakazi wa maeneo ya Tambukareli, Mpanda Hotel na Msasani, wamejikuta katika...

READ MORE

TANZIA: Mume wa Mbunge Mary Nagu Afariki Dunia

Profesa Joseph Nagu ambaye ni mume wa Mbunge wa Jimbo la Hanang mkoani Manyara, Dk Mary Nagu amefariki dunia katika...

READ MORE

Chadema Yalia na Serikali Kuhusu Mfumuko wa Bei Nchini

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema Serikali imeshindwa kusimamia mfumuko wa bei ya chakula nchini kwa sababu haitambui umuhimu wa...

READ MORE

Majaliwa Aagiza TAKUKURU Kukamatwa Viongozi Jiji la Mbeya kwa Ubadhirifu

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Mbeya kuwakamata, kuwahoji na kisha...

READ MORE

KISUTU: Kesi ya Aveva na Kaburu Yasogezwa Mbele

Kesi ya madai ya utakatishaji fedha inayowakabili viongozi wa Simba, Rais Evans Aveva na Makamu wake, Godfrey Nyange ‘Kaburu’ imeahirishwa...

READ MORE

TANZIA: Mmiliki wa Impala Afariki Dunia

Mfanyabiashara maarufu nchini, Maleu Mrema amefariki dunia jana akiwa kwenye matibabu nchini Afrika Kusini. Ndugu wa marehemu,Vincent Laswai alithibitisha msiba...

READ MORE

MR SHINDA NYUMBA ZAWADI MLANDIZI LEO

  BAHATI Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili leo itatembelea eneo la Mlandizi mkoani Pwani ambako Mr Shinda Nyumba...

READ MORE

Okwi: Nisubirini Uwanjani Niwanyooshe

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi amefunguka kwa sasa anaendelea na mazoezi na kikosi hicho ambapo mashabiki ambao wana hofu...

READ MORE

Kampeni ya ‘Magufuli Baki’ Kuanza ‘Soon’

  KAMPENI ya ‘Magufuli Baki’ iliyoanzishwa karibuni na mwanaharakati ambaye pia aliwahi kuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Sengerema kupitia...

READ MORE

MJEMA: TUNAWATHAMINI BODABODA KAMA WAFANYABIASHARA WENGINE

MKUU wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema amesema kuwa waendesha bodaboda wanathaminiwa na serikali kama walivyo wafanyabiashara wengine kwani wanaingiza...

READ MORE

Mbeya: Waziri Mkuu Atoa Siku 2 Madiwani Wamalize Tofauti Zao

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewapa siku mbili Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela Mkoani Mbeya kumaliza tofauti zao zinazokwamisha...

READ MORE

HAI: ‘Magumashi’ Yagundulika kwa Madiwani Waliohama Chadema

  Sakata la madiwani watatu waliojiuzulu wa Chama cha Demokransia na Maendeleo (Chadema) katika Jimbo la Hai, limechukua sura mpya...

READ MORE

Breaking News: Moto Umezuka Uwanja wa Ndege wa Songwe Mbeya

Moto mkubwa umezuka katika Uwanja wa Ndege wa Songwe jijini Mbeya leo Julai 29, 2017 majira ya mchana na kuzua...

READ MORE

VIDEO: Tazama Maajabu ya Maji Kupandisha Mlima Eneo la Kijungu- Rungwe

Maajabu! Inafahamika kwamba maji hayapandi mlima lakini je, unaweza kuamini kwamba maji eneo la Kijungu, Rungwe mkoani Mbeya maji yanapandisha...

READ MORE

Fatma Karume Amshtaki Polisi Aliyemzogoa Mahakamani, Adai Fidia Bil. 1

  WAKILI wa Mwanasheria Mkuu wa Chadema na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika, Tundu Lissu, Fatma Karume amefungua kesi...

READ MORE

Simulizi ya Kutisha ya Mwanamke ‘Mla Nyama za Watu’ Mbagala

  Duniani kuna mambo! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema, kufuatia simulizi ya kutisha, ya mwanamke aliyejitambulisha kwa jina la Amina Mpindogani...

READ MORE

Maazimio ya Baraza Kuu la CUF Lililokutana Leo Zanzibar

  Baraza kuu la Uongozi la Taifa la CUF ijumaa ya Julai, 28 limekutana kujadili mambo mbalimbali ambayo yanahusu chama...

READ MORE

JPM na Museveni Kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi Bomba la Mafuta

  Tarehe 05 Agosti, 2017 siku ya Jumamosi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli...

READ MORE

Breaking News: Mfanyakazi wa Acacia Akamatwa Airport Dar Akiondoka Nchini

Kampuni ya Acacia imesema kuwa mmoja wa wafanyakazi wake wa kimataifa anayefanya kazi na Pangea Minerals Limited amezuiwa kuondoka Tanzania leo...

READ MORE

Wataalam wa Mionzi Wakutana Dar Kubadilishana Ujuzi

WATAALAM mbalimbali kutoka nchi tisa wamemaliza mafunzo maalum ya siku tano yaliyokuwa yakihusu masuala ya mionzi ambapo idara mbalimbali za...

READ MORE

Ester Bulaya Ambwaga Tena Wasira Kortini

Mahakama ya Rufani imetupilia mbali rufaa dhidi ya Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya (Chadema). Hukumu ya rufaa hiyo imesomwa...

READ MORE

Picha: Mawaziri 5 Watembelea Mpaka wa Tanzania na Uganda – Kagera

  Mawaziri watano wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania watembelea mpaka wa Tanzania na Uganda ili kutatua changamoto...

READ MORE

VIDEO: Serikali Yatangaza Kutokomeza Homa ya Ini

SERIKALI imesema itaweka mikakati ya nguvu katika kudhibiti na kuutokomeza kabisa ugonjwa wa homa ya ini kulingana na Mpango Mkakati...

READ MORE

Kesi Ya Akina Rugemalira na Singasinga Yaahirishwa

James Rugemalira (mwenye mvi) na mwenzake Harbinder  Singh Sethi wakifikishwa mahakani.   MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imeahirisha kesi...

READ MORE

VIDEO: Alichokizungumza Tundu Lissu Baada ya Kuachiwa na Polisi

  Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu ameachiwa kwa dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo muda mfupi...

READ MORE

Tanzania Kuendeleza Ushirikiano na India – Kassim Majaliwa

WAZIRI wa Maliasili na Utalii Profesa Jumanne Magembe amewapongeza waandishi wa habari kwa mchango wao kuendelea kutangaza utalii nchinikupitia vyombo...

READ MORE

Mteja Amuua Sangoma Baada ya Kushindwa Kutatua Shida Yake

Mganga wa jadi, Revocatus Kanjalanga (65) katika Wilaya ya Nkasi mkoani Ruvuma ameuawa kikatili kwa kuchomwa na mkuki mgongoni na...

READ MORE

Prof. Lipumba: Sijaitisha Baraza Kuu Visiwani Zanzibar (Video)

  Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) anayetambuliwa na Msajili wa Vyama, Prof. Ibrahim Lipumba, akanusha ripoti kwamba chama hicho...

READ MORE

Utafiti Twaweza: Nusu ya Watanzania Wako Salama

UTAFITI uliofanywa na taasisi ya Twaweza umeonyesha kuwa usalama kwa nusu ya Watanzania umeimarika katika mwaka mmoja uliopita kwa asilimia...

READ MORE

JPM Aacha Neema kwa Wamachinga Stendi ya Msamvu Moro

MOROGORO: Rais Magufuli amewataka wawekezaji wote waliobinafsishiwa viwanda mkoani humo na kushindwa kuviendeleza, wavirejeshe Serikalini ili wapewe wengine. Wakati huohuo,...

READ MORE

Ujauzito Wampeleka Puta Kadijanito

  MTOTO mzuri kwenye Bongo Fleva, Natasha Lisimo ‘Kadja Nito’ amekiri kupelekwa puta na ujauzito aliona ikiwemo kuwachukia baadhi ya...

READ MORE

Upelelezi Kesi ya Lissu Wakamilika, Kuunguruma Agosti 24

  Baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kumpa dhamana mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu upande wa mashtaka...

READ MORE

BREAKING NEWS: Tundu Lissu Aachiwa kwa Dhamana (Video)

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemwachia kwa dhamana Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema) na Rais wa Chama cha Wanasheria nchini,...

READ MORE

Wanawake Watano Wauawa kwa Kuchomwa Moto

  WANAWAKE watano wameuawa kwa kuchomwa moto Kijiji cha Undomo, Uchama, Nzega mkoani Tabora kwa tuhuma za kuhusika na imani...

READ MORE

40 Ya mke wa Mzee Yusuf utata

  DAR ES SALAAM: Dua kwa ajili ya mke mdogo (wa pili) wa Alhaj Mzee Yussuf aliyefariki dunia Juni 18,...

READ MORE

VIDEO: Mzee Majuto Awajibu Waliomzushia Kifo, Tazama Video Hii

Msanii Mkongwe wa filamu na uchekeshaji Amri Athumani amekanusha uvumi unaoendelea kuwa amefariki dunia na kuhakikisha kuwa yupo vizuri kiafaya...

READ MORE

MR NICE AFANYIWA KITU MBAYA GESTI

DAR ES SALAAM: Mfalme wa Takeu, Lucas Mkenda maarufu kama Mr. Nice juzi Jumatatu alifanyiwa kitu mbaya mae­neo ya uswahilini,...

READ MORE