×

Kitaifa

Shinda Nyumba Droo Ndogo Ya 5… Yavutia Wadhamini Zaidi

  WAKATI maandalizi ya Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili droo ndogo ya tano yakiendelea, Kampuni ya Michezo...

READ MORE

Amber Lulu Adaiwa Kuvutishwa Unga!

  SIKU zote ubuyu wa Zanzibar unahitaji mate mengi ili uumungunye sawia na uzuri wake ni kwamba haukinaishi! Muuza sura...

READ MORE

Yaliyojiri Bungeni Mjini Dodoma Leo Jumatatu, Julai 3

  *YALIYOJIRI BUNGENI KATIKA KIKAO CHA 58 CHA MKUTANO WA SABA WA BUNGE LA 11 LEO TAREHE 03 JULAI, 2017*....

READ MORE

Matukio Mbalimbali Viwanja vya Sabasaba Baada ya JPM Kuzindua Maonyesho (+Pichaz)

MAMIA ya wananchi wamejitikeza leo katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere, Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam kushuhudia ufunguzi wa...

READ MORE

GlobalTVOnline: JUMBA LA DHAHABU – Sehemu ya 19

Unaikumbuka Tamthiliya ya Jumba la Dhahabu? Usikose kuitazama upya kupitia Global TV Online ambapo kuanzia leo na kila siku ya...

READ MORE

Rais Magufuli Amuweka Njia Panda Mkurugenzi TanTrade

  Rais John Magufuli  ameshangazwa na kauli ya Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Maendeleo na Biashara nchini...

READ MORE

Mtangazaji Azam TV, Fatna Ramole Aliyekuwa Hajulikani Alipo kwa Saa 48, Apatikana

Saa kadhaa baada ya kuanza kusambaa kwa taarifa za kupotea kwa mtangazaji wa Runinga ya Azam TV, Fatna Ramole, ikidaiwa...

READ MORE

Kauli ya Rais Magufuli Kwenye Uzinduzi wa Maonyesho ya Sabasaba

RAIS MAGUFULI AKIZINDUA MAONYESHO HAYO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amezindua rasmi Maonyesho ya...

READ MORE

VIDEO: Kauli ya Sheikh Ponda Kuhusu Denti UDSM Aliyeuawa na Polisi kwa ‘Ujambazi’

Sheikh Ponda amezungumza hayo baada ya maziko ya mwili wa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Marehemu...

READ MORE

TCRA Yapiga Marufuku Matangazo Kwenye Miito ya Simu

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imepiga marufuku matangazo ya biashara yanayowekwa mtumiaji anapopiga simu ili kutoa fursa kwa watumiaji kupata...

READ MORE

VIDEO: Polisi Yaua Watu Wanne Wanaodhaniwa Kujihusisha na Mauaji Kibiti

    Jeshi la Polisi nchini limefanikiwa kuwaua wahalifu wanne wanaosadikiwa kuwa miongoni mwa wahalifu wanaoendesha mauaji katika wilaya za...

READ MORE

Majina ya Watuhumiwa Wanaotafutwa kwa Mauaji ya Kibiti Haya Hapa

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Eng. Hamad Yussuf Masauni ametangaza kuwa, Jeshi la Polisi linawaska watuhumiwa 16 wa mauaji...

READ MORE

VIDEO: Masauni, Sirro Watangaza Msako wa Watuhumiwa 16 Wauaji wa Kibiti, Rufiji

  Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Eng. Hamad Yussuf Masauni ametangaza kuwa, Jeshi la Polisi linawaska watuhumiwa 16 wa...

READ MORE

Ummy Mwalimu: Aliyedai Kuibiwa Pacha Temeke Alikuwa na Mimba ya Mtoto Mmoja (VIDEO)

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema ripoti ya uchunguzi wa utata wa watoto pacha ambao mmoja anadaiwa kuibwa katika Hospitali...

READ MORE

Zitto Kabwe Awapinga Mnyika, Lema Kuhusu Miswada ya Dharula ya Madini Kujadiliwa Bunge

Jana miswada mitatu inayohusu madini ilisomwa bungeni kwa mara ya kwanza jana. Miswada hiyo iliwasilishwa kwa hati ya dharura kama...

READ MORE

Njombe: Mwalimu Afumaniwa Akifanya Mapenzi na Mwanafunzi Wake Darasani

    Mkuu wa Wilaya ya Wanging’ombe, Mkoani Njombe, Ally Kasinge ameagiza kushikiliwa kwa Makamu Mkuu wa shule ya sekondari...

READ MORE

Hivi Ndivyo Jamal Malinzi Atakavyoondoka Kwenye Urais wa TFF

  Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi na Katibu Mkuu wake, Selestine Mwesigwa wamenyimwa dhamana na kupelekwa...

READ MORE

Freema Mbowe Afunguka: Polisi Msituzibe Midomo

Mwanyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amelitaka jeshi la polisi nchini kutowafunga midomo na kusema kitendo...

READ MORE

Shinda Nyumba Yawaibukia Wasomaji wa Tegeta na Viunga Vyake

  Wasomaji wa magazeti ya Global Publishers ambayo ni Amani, Ijumaa, Ijumaa Wikienda, Risasi, Uwazi, na Championi wa pande za...

READ MORE

CCM Walaani Matamshi ya Lowassa… Waitaka Serikali Imchukulie Hatua

Chama cha Mapinduzi CCM kimelaani kauli za kichochezi na za kidini zinazotolewa na baadhi ya wanasiasa nchini, zenye lengo la...

READ MORE

Mwanza: Mtoto Aibiwa, Mama Yake Adanganyiwa Tsh. 10,000 Ya Kununua Mkate

Mtoto mwenye umri wa miezi minne ameibiwa katika mtaa wa ustawi wa jamii kata ya Nyamanoro wilayani Ilemela jijini Mwanza....

READ MORE

IGP Sirro Awafariji Wafiwa wa Viongozi Kibiti

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Mangwi wilayani Kibiti alipokwenda kuwapa...

READ MORE

VIDEO: Lowassa Afika kwa DCI Kuhojiwa, Ulinzi Mkali, Atakiwa Kurudi Tena Julai 13

  DAR ES SALAAM: Waziri Mkuu wa zamani na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chadema, Edward Lowassa  amewasili katika makao...

READ MORE

Denti UDSM Aliyeuawa na Polisi kwa Ujambazi Hatimaye Kuzikwa Kesho

  HATIMAYE mwili wa denti wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Salum Almas aliyeuawa kwa kupigwa risasi na...

READ MORE

Dar: Mwanafunzi Ajirusha Toka Ghorofa ya Nne Hadi Chini (VIDEO)

Mtoto anayedhaniwa kuwa ni Mwanafunzi wa  Shule ya DYCCC iliyopo Chang’ombe karibu na Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam...

READ MORE

#GloblaNewsUpdates: Malinzi, Mwesigwa na Kaburu Wafikishwa Kortini

          #GloblaUpdates: Hatimaye Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) imewafikisha katika Mahakama ya...

READ MORE

Breaking News: Chadema Wamtolea Tamko Kali Mzee Mwinyi Baada ya Kutaka Magufuli Atawale Milele

Baraza la Wazee wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), limetoa kauli kali kwa rais mstaafu, Ali Hassan Mwinyi, kufuatia...

READ MORE

Siku Chache Baada ya Kifo cha Mkewe, Mzee Yusuf Afungukia Kuoa

Zikiwa zimepita siku kumi tangu apate pigo la kufiwa na mkewe mdogo, Chiku Khamis, aliyekuwa Mfalme wa Taarab Bongo na...

READ MORE

Mr Shinda Nyumba; Anakula Kilo Moja ya Unga, Mlo Mmoja

KWA mbali, ukimtazama unaweza kudhani un­akutana na Hasheem Thabeet, yule kijana wa Kitan­zania aliyekuwa akicheza Ligi ya Kikapu ya Marekani,...

READ MORE

Wanafunzi Majeruhi Ajali ya Arusha… Maombi Yamejibu

  SIKU 46 tangu wanafunzi watatu wa Shule ya Msingi Lucky Vincent ya jijini Arusha wafike nchini Marekani kwa ajili...

READ MORE

Mauaji Kibiti: Risasi Tano Zimetumika Kuondoa Uhai wa Mwenyekiti na Mtendaji

  Risasi tano zimetumika kuwaua Mwenyekiti wa Kijiji cha Mangwi na Ofisa Mtendaji wa kijiji hicho, kisha kumjeruhi machoni Mwenyekiti...

READ MORE

Undani wa Mnenguaji wa Twanga Pepeta Aliyeua na Kutoweka

  MNENGUAJI wa Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ aliyefahamika kwa jina Idd Masamaga maarufu kama ‘Maga’, anadaiwa kumpiga na...

READ MORE

Kamati Yapendekeza Mbunge wa Chadema Asimamishwe Kuhudhuria Vikao vya Bunge

Kamati  ya Haki Kinga na Madaraka ya Bunge imependekeza Mbunge wa Viti Maalum (Chadema) Conchesta Rwamlaza asimamishwe kuhudhuria vikao vitatu...

READ MORE

Kauli ya TAKUKURU Baada ya Kuwakamata Jamal Malinzi, Mwesigwa

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania, (Takukuru) imethibitisha kumshikiria Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi...

READ MORE

Watoto wa Mzee Yusuf: Yupo Wapi Mama?

HAKIKA ni huzuni! Zikiwa zimepita siku kumi tangu apate pigo la kufiwa na mkewe mdogo, Chiku Khamis, aliyekuwa Mfalme wa...

READ MORE

Rais wa Tff Malinzi na Katibu Wake Watiwa Mbaroni na TAKUKURU

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi na Katibu Mkuu wake, Selestine Mwesigwa wanashikirikia na Taasisi ya Kuzuia...

READ MORE

Breaking News: Mtendaji wa Kijiji Auawa Kibiti, Nyumba ya Mwenyekiti Yachomwa Moto

  KIBITI: Viongozi wawili wamepigwa risasi katika Kijiji cha Mangwi kilichopo Kata ya Mchukwi wilayani Kibiti usiku wa kuamkia leo...

READ MORE