×

Kitaifa

Lipumba Atangaza Kuwavua Uanachama Wabunge 8 wa CUF

  Baraza Kuu la Uongozi la Taifa la Chama cha Wananchi (CUF) limewavua uanachama wabunge wanane wa chama hicho kwa...

READ MORE

DAR: Mtoto wa Miaka 11, Adaiwa Kubakwa Kisha Kunyongwa

  Mtoto wa miaka 11 amekutwa amekufa katika mazingira ya kutatanisha huku kukiwa na madai kwamba alibakwa kisha akanyongwa.  Mtoto...

READ MORE

Tanzania, Kenya Zaondoleana Vikwazo vya Kibiashara

SERIKALI za Tanzania na Kenya zimekubaliana kuondoa vikwazo vya kibiashara zilizokuwa zimewekeana kuhusu bidhaa kutoingizwa katika nchi hizo.   Akizungumza...

READ MORE

Mbasha, Flora Waliamsha Dude Upyaa!

  Waimba Injili Bongo ambao walikuwa wanandoa kabla ya kutalikiana mahakamani, Flora Daud Kusekwa ‘Madam Flora’, zamani alikuwa akitambulika kama...

READ MORE

Muumini Apigwa Risasi Akisubiri Ibada Ubungo

Muumini wa kanisa Katoliki, Adrian Mpande amepigwa risasi mbili akiwa anasubiri kuingia  kanisani katika Parokia ya Kibangu wilaya Ubungo jijini...

READ MORE

Kikwete Aongoza Mazishi ya Jaji Msuya Dar

    RAIS Mstafu wa Serikali ya Awamu ya Nne, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete amewaongoza waombolezaji waliofika katika makaburi ya Kinondoni...

READ MORE

Acacia Yatangaza Kupata Hasara Tsh. 391.9 Bilioni

ACACIA: Kampuni ya uchimbaji madini nchini, Acacia imetangaza kuwa imepata hasara ya takribani Tsh bilioni 391.9 kwa kipindi cha miezi...

READ MORE

Rais Magufuli: Siogopi Kufungwa

  RAIS Dkt. John Pombe Magufuli ‘JPM’ amesema yeye kama kiongozi mkuu wa nchi haogopi vitisho vya kufungwa ama kushtakiwa...

READ MORE

Jaji Msuya Alivyoagwa Dar

KAIMU Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Khamis Juma mapema leo amewaongoza waombolezaji kutoa heshima zao za mwisho kwa aliyekuwa...

READ MORE

Wawili Wafariki kwa Ajali ya Daladala Kugonga Treni, Dar

  Watu wawili wamekufa na wengine 36 kujeruhiwa katika  ajali iliyotokea leo asubuhi ikihusisha gari ya abiria aina ya coaster...

READ MORE

Katibu wa Habari Ikulu Ajiuzulu Kupinga Uamuzi wa Rais Trump

Msemaji wa Ikulu ya Marekani, White House, Shawn Spicer, amejiuzulu wadhifa wake kwa madai ya kupinga mabadiliko ya Timu ya...

READ MORE

Breaking News: Bodi ya Shirika la Masoko Kariakoo Yavunjwa

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, George Simbachawene amevunja rasmi Bodi ya Shirika...

READ MORE

Tundu Lissu Apelekwa kwa Mkemia Mkuu Kupimwa Mkojo

  Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema amesema baada ya Tundu Lissu kutolewa Kituo cha...

READ MORE

Siku ya Mashujaa Kufanyika nchini kote kwa huduma za kiafya

JESHI la Ulinzi laWananchi wa Tanzania leo limetoa taarifa kwa vyombo vya habari juu ya maadhimisho ya Siku ya Mashujaa...

READ MORE

Ziggy: Sitaki Kuitwa Msanii Wa Bongo Muvi

STAA wa filamu nchini  aliyewahi kung’aa kwenye filamu kama Wake Up, Kalambati Lobo, Handsome Fake na Maziko Saa 6, Sogurd...

READ MORE

#GlobalNews: Polisi Waondoka Kituoni na Tundu Lissu

Mbunge wa Singida Mashariki ambaye pia ni Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu aliyekamatwa na polisi jana jioni katika Uwanja...

READ MORE

Serikali Yafafanua Sheria Mpya Kuhusiana na Madini

  Serikali kupitia kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Profesa James Mdoe, imetangaza marekebisho kadhaa katika...

READ MORE

Hatimaye Millen Magese Apata Mtoto Baada ya Upasuaji Mara 13

  Miss Tanzania mwaka 2001, Happiness Millen Magese ambaye anafanya kazi ya uwanamitindo amebahatika kupata mtoto wake wa kwanza Julai...

READ MORE

JPM: Sitoi Chakula cha Msaada Ng’o, Asiyefanya Kazi Asile, Asiyekula Afe!

Rais John Magufuli amesema serikali yake imedhamiria kumaliza tatizo la usafiri wa barabara nchini. Aidha amesema serikali yake haitatoa chakula...

READ MORE

Polisi Yaua Wawili Kibiti

  Jeshi la Polisi nchini limefanikiwa kuwaua watu wawili wanaosadikiwa kuwa ni miongoni mwa wahalifu wanaoendesha mauaji katika Kanda Maalumu...

READ MORE

SAID WA SCOPION AMGEUZIA KIBAO MKEWE, DNA YATAJWA WATOTO MAPACHA

Ni kuhusu watoto mapacha, mke ampa laana nzito Songombingo la ndoa ya jamaa aliyetobolewa macho na Scorpion, Said Mrisho na...

READ MORE

Tundu Lissu Akamatwa Airport Akijiandaa Kwenda Rwanda

  Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema),  Tundu  Lissu amekamatwa leo, Alhamisi, Julai 20 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...

READ MORE

Mkazi wa Kigoma Aibuka Kidedea Droo Ndogo ya Tano ya Shinda Nyumba

  ILE droo ndogo ya tano ya shindano la Bahati Nasibu la Shinda Nyumba linaloendeshwa na Kampuni ya Global Publishers...

READ MORE

KWA HALI ALIYO NAYO… DUA ZENU KWA MZEE MAJUTO

  MWEZI Mei, mwaka huu, gazeti ndugu la hili, Ijumaa Wikienda liliripoti habari mbaya juu ya lejendari wa vichekesho Bongo,...

READ MORE

JPM Aagiza Mil. 200 za Mradi wa Maji Jeshini Zitumike kwa Wananchi

  Rais John Magufuli ameagiza Sh. 200 milioni zilizopangwa kutumika katika mradi wa maji katika kambi ya jeshi zianze kuimarisha...

READ MORE

Mbunge wa Jimbo la Temeke Aswekwa Rupango

Mbunge wa Temeke, Abdallah Mtolea yuko rumande tangu jana baada ya kukamatwa na Polisi akituhumiwa kuendesha gari ambalo bima yake...

READ MORE

TCU Yabadili Mfumo wa Kujiunga Elimu ya Juu

  Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imesema maombi ya kujiunga na elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2017/2018...

READ MORE

Jaji Msuya kuzikwa Jumamosi, Dar

Mwili wa aliyekuwa Jaji wa mahakama kuu ambaye amejiuzulu  hivi karibuni, Upendo Msuya unatarajiwa kuzikwa Jumamosi katika makaburi ya Kinondoni...

READ MORE

VIDEO: Rais Magufuli Awataka Wakimbizi wa Burundi Warudi Kwao

  Rais John Magufuli amemtaka Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mwigulu Nchemba kusimamisha kuwapa uraia raia wa Burundi...

READ MORE

JPM Mgeni Rasmi Mkutano wa 33 wa Kitaifa wa ALAT

  JUMUIYA ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) inatarajiwa kufanya mkutano wake wa 33 kitaifa katika Jiji la Mbeya Agosti...

READ MORE

Mkuu wa Usalama Barabarani Yamkuta, Afutwa Kazi

NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, amelitaka Jeshi la Polisi kumuondoa katika nafasi ya Mkuu...

READ MORE

Breaking News: Mama Mzazi wa Zari, Afariki Dunia!

Mama mzazi wa Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’, Halima Hassan amefariki dunia asubuhi hii, baada ya kuugua kwa wiki...

READ MORE

Edward Lowassa Aripoti kwa DCI Kuhojiwa

  Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amewasili leo, Julai 20 saa mbili asubuhi makao makuu ya Jeshi la Polisi...

READ MORE

LIVE: Ziara ya Kikazi ya Rais Pierre Nkurunzinza Nchini Tanzania

Rais John Magufuli amekutana na Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza mkoani Kagera ambako wanatarajiwa kuwa na mazungumzo. Nkurunziza amewasili mjini...

READ MORE

ZITTO KABWE AWAGEUKIA CHADEMA

  KIONGOZI Mkuu wa Chama Cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ambaye pia ni Mbunge wa Kigoma Mjini, katika kile kilichoonekana kuwapa...

READ MORE

Rais Magufuli Atoa Mil. 1 Kukarabati Dirisha Alilovunja Akiwa Form 2

  Mapema leo asubuhi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli ametembelea Shule ya Seminari ya Mtakatifu...

READ MORE

VIDEO: Lissu Agomea Mahakamani Akihofia Kukamatwa

  Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema) na Rais wa Chama cha Mawakili nchini (TLS), Tundu Lissu mapema leo amegoma kutoka...

READ MORE

Magufuli Atoa Siku 14 Vituo vya Mafuta Kutumia EFDs

  Rais John Magufuli ametoa siku 14 kwa wamiliki wa vituo vya mafuta kote nchini kutumia mashine stahiki za risiti...

READ MORE