×

Kitaifa

Kesi ya Bosi wa Jamii Media Yapigwa Kalenda

  DAR ES SALAAM: Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini hapa leo, Daesemba 29, 2016 imeahirisha kusikiliza kesi inayomkabili Mkurugenzi...

READ MORE

Kama Sinema Vile, Mapya Yaibuka Sakata la Kijana Aliyefariki Dunia Baada ya Nyoka Wake Kupigwa Hadi Kufa

TUKIO la kushangaza lililohusishwa na kifo cha Denis Komba (24) baada ya nyoka aliyekuwa naye kuuawa, limechukua sura mpya baada...

READ MORE

Mkazi wa Singida alamba kitita cha Mil 50/- m-Bet

Mkurugenziwa M-bet, Dhiresh Kaba (kushoto) na mshindi wa M-bet, Mkazi wa Mkoa wa Singida, Mrisho Joseph (kulia) wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu...

READ MORE

Jennifer Mgendi aibukia nyuma ya Mlima

JENNIFER MGENDI Mwimbaji wa Muziki wa Injili Nchini, Jennifer Mgendi ameibuka kwa kuachia album aliyoibatiza jina la  Nyuma ya Mlima....

READ MORE

Amuua Rafiki Yake kwa Mapanga, Ala Ubongo na Kutafuna Nyeti za Marehemu

MBEYA: JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya, linamshikilia mchimba dhahabu, Shija Salum (38), mkazi wa Kahama mkoani Shinyanga kwa tuhuma...

READ MORE

Magazeti Yote Ya Tanzania Leo Alhamisi Desemba 29, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Desemba 29, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa habari...

READ MORE

Chid Benz Abambwa ‘live’ Akibwia Unga, Ndani ya Chumba cha Hoteli

  Picha mbili juu zinamuonyesha Staa wa Bongo Fleva, Rashid Makwilo ‘Chid Benz’, akiandaa madawa kwa ajili ya kuvuta.  Na...

READ MORE

Barabara Jijini Dar Zapungua Foleni

Hali ilivyoonekana mchana wa leo Barabara ya Bibi Titi jijini Dar. Barabara ya kuelekea Posta Mpya nayo ilivyoonekana kutokuwa na...

READ MORE

‘Viuno Pub’ Yateketea Kwa Moto Sinza Dar

Gari la zimamoto likifika eneo la tukio. Kikosi kazi cha zimamoto kikiwa kazini kuuthibiti moto huo. Baa iliyoandikwa ‘Viuno Pub’...

READ MORE

Darassa Asepa na Kijiji Ilala, Aonjesha Mashabiki Shoo Kali ya Bure!

Meneja Mkuu wa Kampuni ya Global Publishers ambao ni waandaaji wa shoo ya R.O.M.A na Darassa, Abdallah Mrisho akitoa ufafanuzi...

READ MORE

Mke wa Aliyetobolewa Macho na Scorpion Atoa Ushahidi Mahakamani

Salum Njwete ‘Scorpion’ akiingia Mahakama ya Mwanzo Ilala, Dar. Scorpioni (mbele) akitoka mahakamani chini ya ulinzi mkali wa Kikosi cha...

READ MORE

Dhamana ya Lema Bado Ngoma Nzito na Leo Imekwama, Kula Mwaka Mpya Gerezani

ARUSHA: Mahakama Kuu Kanda ya Arusha iliyokuwa isikilize leo kesi ya rufaa ya Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (CHADEMA),...

READ MORE

Wadaiwa Sugu Elimu ya Juu Kuanza Kusakwa Nyumba Hadi Nyumba

Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu tanzania (HESLB), imesema itafanya kila liwezekanalo kuhakikisha linawatafuta wadaiwa sugu ambao watashindwa kurejesha...

READ MORE

Niyonzima: Tutapoza Machungu Na Mapinduzi

 Kiungo wa Yanga, Mnyarwanda, Haruna Niyonzima. Said Ally na Omary Mdose; Championi Jumatano KIUNGO wa Yanga, Mnyarwanda, Haruna Niyonzima, ameweka...

READ MORE

Beki Matata Yanga Apata Timu Uarabuni

Wachezaji wa timu ya Yanga wakifanya maombi na Kocha wao. Sweetbert Lukonge, Dar es Salaam : Championi Jumatano BEKI wa...

READ MORE

Nyoka wa Maajabu Afa na Mmiliki Wake Mkoani Songea

Mkazi wa Mtaa wa Mateka, Manispaa ya Songea, Denis Komba (26) kufa baada ya nyoka wake aliyekuwa amembeba kwenye mfuko...

READ MORE

Magazeti Yote Ya Tanzania Leo Jumatano Desemba 28, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Desemba 28, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa habari...

READ MORE

Producer Emma The Boy apata ajali mbaya

Producer maarufu wa THT, Emmanuel Maungu ‘Emma The Boy’ amepata ajali mbaya ya gari hivi punde maeneo ya Kabuku karibu...

READ MORE

Mjane wa Mtikila Avaa Viatu vya Mumewe, Asisitiza Mumewe Kauawa, Ataja Sababu

Elvan Stambuli na Sifael Paul | Gazeti la Uwazi, Toleo la Desemba 27, 2016 TUNAWEZA kusema ni mpiganaji wa kike,...

READ MORE

Meya wa Ubungo ataja sababu za kutoongozana na RC Makonda, Asema Siyo Bosi Wake!

Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob (kulia) akiingia kwenye ofisi za Global Publishers, kushoto ni Mhariri wa Gazeti la...

READ MORE

Mke Akimbia Kuchinjwa Kafara la Utajiri

Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan | Gazeti la Uwazi, Toleo la Desemba 27, 2016 Dar es Salaam: Ni tukio...

READ MORE

AY Amtambulisha Kwa Mara Ya Kwanza Mpenzi Wake!

Mwanamuziki wa Bongo Fleva,  Ambwene Yesaya ‘AY’ akiwa katika mapozi na mpenzi wake anaishi nchini Rwanda, Remy. Mwanadada, Remy akijiachia...

READ MORE

Waziri Mahiga Apokea Dola 50,000 kwa Ajili ya Waathirika wa Kagera

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga (Mb) akipokea mfano wa hundi kutoka kwa...

READ MORE

‘Pedeshee’ Ndama Kula Mwaka Mpya Lupango

  Ndama Shaaban Hussein ‘Pedeshee Ndama’ (mwenye pingu) alipofikishwa mahakamani Kisutu leo. DAR ES SALAAM: KESI  ya mfanyabiashara wa jijini...

READ MORE

Zitto Kabwe Aanika Kilichomkuta Hospitalini Wakati Mkewe Akijifungua

Tujue ‘ blood Group ‘ zetu – Maana Hatujui Siku na Saa Zitto Kabwe Usiku wa kuamkia tarehe 26 Desemba...

READ MORE

Zitto Kabwe na Mkewe Wapata Mtoto wa Kike

    Nay wa Mitego Ametoboa Siri: Hiki ndicho Alichokimiss kwa Shamsa Ford

READ MORE

Mashushu Watanzania 8 Wadaiwa Kutiwa Nguvuni Malawi

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga. Na Mwandishi Wetu, Risasi KARONGA: Watanzania...

READ MORE

Mwanajeshi Anusurika Kufa Kwenye Ajali Ya Ndege Kimiujiza

Na Mwandishi Wetu   Bado Urusi ipo kwenye hali ya sintofahamu kufuatia ajali mbaya ya ndege, iliyotokea juzi na kusababisha...

READ MORE

TBL, CRDB Na MKCB Zaongoza Kwa Mauzo Soko La Hisa

Meneja wa Masoko Soko la Hisa na Biashara, Patrick Msusa akiongea na wanahabari (hawapo pichani) leo. …Akiendelea kutaja kampuni zilizo...

READ MORE

Kiongozi Ahama Kijiji kwa SMS za Kifo!

Richard Bukos na Issa Mnally, Gazeti la Uwazi, Toleo la Desemba 27, 2016. PWANI: Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya...

READ MORE

Magazeti Yote Ya Tanzania Leo Jumnne Desemba 27, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Desemba 27, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa habari...

READ MORE

Picha 42: Waziri Nape Aongoza Mamia Kuuaga Mwili wa Marehemu Mpoki Bukuku, Dar

Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa marehemu Mpoki Bukuku kuelekea Uwanja wa Shule ya Sekondari Tabata Kimanga, jijini Dar....

READ MORE

Benki Kuu Yakanusha Taarifa Kuhusu Noti ya TZS 500 Kutotumika Tena Baada ya Disemba 31, 2016

Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuwafahamisha wananchi wote kuwa habari inayoenea katika mitandao mbalimbali ya kijamii kwamba noti ya shilingi...

READ MORE

Darassa, Roma Kufunikana Nichane Nikuchane, Dar Live

Darassa Hebu vuta picha usiku mmoja unakwenda kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Burudani wa DAR LIVE halafu unakuta wasanii wa...

READ MORE

Mkulima Achomwa Mkuki Mdomoni, Watokeza Shingoni

  OFISI YA MBUNGE Jimbo la Mikumi inalaani sana kitendo cha kinyama kilichofanywa na Ndugu zetu wa jamii ya wafugaji...

READ MORE

Polisi Wakatisha Raha Coco Beach

   Umati wa watu walikowa kwenye Ufukwe za Cocco. Vibaka, Mateja wahatarisha usalama, kamari, karata tatu, machangu tishio. Richard Bukos...

READ MORE

Pichaz: Coco Beach Kulivyonoga Sikukuu ya Krismasi

PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS/GPL ILIKUPITA HII? Mpaka Home; Haya Ndo’ Maisha Halisi ya Darassa, Cheki Video Akipika Msosi Gheto

READ MORE

Lori Laua Padri Saa 6 Kabla ya Krismasi

GEITA: TAKRIBANI watu saba wamekufa akiwamo Padri katika ajali ya barabarani, saa sita kabla ya sikukuu ya Krismasi. Watu hao...

READ MORE

DIAMOND PLATNUMZ & WASAFI CLASSIC: Shoo Ya Vodacom Wasafi Festival Yaacha Historia Mkoani Iringa

Usiku wa Dec 25, 2016  wakali wa Bongo Fleva akiwemo Diamond Platnumz, Harmonize, Rayvanny, Queen Darleen, Q Boy, Chege pamoja...

READ MORE