×

Kitaifa

Madereva Waliotekwa Na Waasi Nchini DRC, Waachiwa

Baadhi ya malori yaliyochomwa moto na waasi hao siku walipowateka madereva. Chama cha Wasafirishaji wa Malori nchini Tanzania – TATOA...

READ MORE

Shirika La Ndege la Etihad na mshirika wake Air Serbia wasaidia wakimbizi na yatima wa Belgrade

Kutoka Kushoto ni Rais wa Kamati ya Bunge, Mwakilishi kutoka WAHA na Balozi wa Falme za Kiarabu-Serbia wakikabidhi msaada kwa...

READ MORE

Penny: Kuwa Singo Kuna Raha Yake

   Penniel Mungwilwa ‘Penny’. ALIYEKUWA Mtangazaji wa Redio Efm ambaye pia ni zilipendwa wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ Penniel Mungwilwa...

READ MORE

Picha za Trump na Flaviana Matata Zaibua Mambo Bongo

DAR ES SALAAM: Zikiwa zimesalia takriban siku 53 kufika Novemba 8, mwaka huu, siku ya Uchaguzi wa Urais wa Marekani,...

READ MORE

Jacqueline Mengi Afanya Uzinduzi Wa Duka La Samani (Molocaho – Amorette)

Mrembo wa taji la Miss Tanzania 2000, Bi. Jacqueline Mengi akizungumza na wageni walikwa pamoja na waandishi wa habari (hawapo...

READ MORE

Mimba sasa yamtesa Zari

   Mpenzi wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari’. MPENZI wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari’ anaonekana...

READ MORE

Hukumu Ya Rufaa Ya Zombe na Wenzake Kutolewa Leo

Aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Dar es Salaam (RCO) Kamishna Msaidizi wa Polisi Abdallah Zombe Baada ya kimya kirefu,...

READ MORE

Diamond amdis kiba

  HABARI ya mjini ambayo huenda huifahamu ni kwamba, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amenunua nyumba tatu...

READ MORE

Siku Mwalimu Nyerere Alipofanya Maamuzi Magumu

ILIKUWA mwaka 1955 mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliamua kufanya maamuzi magumu ya kuamua kuachana na kazi yake ya ualimu kwenye...

READ MORE

Matukio Ya Bungeni Mjini Dodoma Leo

 Spika wa Bunge la Jamahuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiingia katika ukumbi wa Bunge kuongoza kikao cha...

READ MORE

Tanzania, Kongo kufanya kongamano la pamoja

TANZANIA kwa kushirikiana na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zinatarajiwa kufanya kongamano la pamoja  la kibiashara kujadili ongezeko la biashara...

READ MORE

Video: Serikali Yatoa Tamko Madereva Kutekwa DRC

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mindi Kasiga akizungumza...

READ MORE

Madereva Kutoka Tanzania Watekwa Nchini DRC

Baadhi ya magari yanayodaiwa kuchomwa moto. Chama cha Wamiliki wa Magari ya Mizigo nchini Tanzania (TATOA) kinaripoti kwamba, waasi wa Mai...

READ MORE

NIDA Yatoa Vitambulisho Vya Taifa Kwa Wabunge

 Waziri wa Nishati na Madini na Mbunge wa jimbo la Musoma, Mhe.Profesa Sospeter Muhongoakipokea Kitembulisho chake cha Taifa chenye saini kwa...

READ MORE

Watano Kortini Kwa Kumdhalilisha Rais Magufuli

Rais Dk. John Magufuli.   VIJANA watano wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kumdhalilisha Rais Dk. John Magufuli na Jeshi la...

READ MORE

Huyu Ndiye Mshindi Wa 500,000/- Za Gazeti la Amani

HATIMAYE! Mshindi wa pili wa Chemsha Bongo katika gazeti hili la Amani amepatikana na kukabidhiwa zawadi yake ya Sh. 500,000....

READ MORE

Ester Kiama Atajwa Kujiuza, ang’aka (Video)

Muigizaji mrembo anayepanda kwa kasi kwenye gemu la filamu Bongo, Ester Kiama akifanya mahojiano na Boniface Ngumije (kushoto). Na Boniface Ngumije/Amani...

READ MORE

Kidoa Nusura Aachike

WIKI kadhaa tangu aingie katika uhusiano na jamaa mmoja anayedaiwa kuwa ni kigogo, muuza nyago kwenye video za Kibongo, Asha...

READ MORE

Mama Mzazi Asimulia Bintiye Alivyozikwa Akiwa Hai (Video ipo hapa)

Richard Bukos na Issa Mnally,  Risasi MCHANGANYIKO PWANI: Huu ni unyama asilimia mia! Ndivyo alivyoanza kusimulia mama wa marehemu Amina...

READ MORE

Serikali Na Taasisi Za Kiraia Zakutana Morogoro

Dr. Stephen Nindi Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Mipango na Matumizi ya Ardhi Tanzania akizungumza jambo juu...

READ MORE

Prof. Ndulu: Pato la Taifa Limeongezeka

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Prof. Benno Ndulu akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Baadhi ya wanahabari wakifuatilia mkutano huo....

READ MORE

Diamond Aanza Kupoteza Umaarufu

MWANAMUZIKI Diamond Platnumz wa Tanzania, anayefanya vyema kwenye ulimwengu wa muziki Bongo kwa maana muziki wa Bongo Fleva na nje...

READ MORE

Vodacom Yaendelea Kufanikisha Wiki Ya Usalama Barabarani

Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini, Kamanda Mohammed Mpinga (kulia) akikabidhiwa stika na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa...

READ MORE

Simbachawene Awapa Somo Wakurugenzi Wapya

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi), George Boniface Taguluvala Simbachawene amewapa somo wakurugenzi...

READ MORE

Wanafunzi Wadaiwa Kuwacharaza Viboko Walimu Wao

Wanafunzi wa Kidato cha Sita Shule ya Sekondari Usevya wilayani Mlele Mkoa wa Katavi, wanadaiwa kuwashambulia kwa kuwacharaza viboko walimu...

READ MORE

Jamhuri Yajibu Kesi Ya Dada’ke Msuya

UPANDE wa Jamhuri leo umetoa majibu ya hoja ya kutaka kufutiwa mashtaka ya mauaji inayomkabili mke wa marehemu bilionea Erasto...

READ MORE

Wakazi Wa Airport, Ukonga Walipongeza Uwazi

WAKAZI mbalimbali wa maeneo ya Air Port na Ukonga-Banana, jijini Dar, leo Jumanne wamekutana uso kwa uso na promosheni ya...

READ MORE

Majaliwa Aongoza Harambe Kuchangia Waathirika Kagera

WAZIRI MKuu mheshimiwa Kassim Majaliwa jioni hii kaongoza harambe maalum iliyofanyika jijini Dar es Saalm ikiwakutanisha mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi...

READ MORE

Jahazi, Msagasumu Waacha Historia Dar Live Jana

KUNDI la Muziki wa Taarab lisilo na mpinzani Bongo, Jahazi Modern sambamba na Mfalme wa Singeli, Msaga Sumu jana waliandika...

READ MORE

Exclusive Picha za Marehemu Tupac Zavuja

  Leo tunaungana na mashabiki wa Hiphop duniani kote kumkumbuka rapper, Tupac Amaru Shakur ‘2PAC’ kifo chake ambacho kilitokea tarehe...

READ MORE

Serikali Ya Mapinduzi Zanzibar Kuanzisha Mfuko Wa Hija

Rais  wa  Zanzibar  na  Mwenyekiti  wa  baraza la  Mapindunzi, Dk. Ali  Mohamed Shein SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) iko mbioni kuanzisha...

READ MORE

Majaliwa: Nyumba za ibada zihamasishe amani

Waziri mkuu mh. Kassim Majaliwa WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewaomba viongozi wa dini zote kutumia nyumba za ibada kuwahamasisha waumini...

READ MORE

Taarifa Rasmi Ya Serikali Kuhusu Tetemeko La Ardhi Mkoani Kagera

1 Tukio la tetemeko: Tarehe 10/09/2016 saa 9 na dakika 27 mchana kumetokea tetemeko la ardhi mkoani Kagera.   Kitovu...

READ MORE