×

Kitaifa

Meya wa Kinondoni, Boniface Jacob Ahojiwa na Polisi

Pamoja na ufafanuzi huo, Jacob aliwataka baadhi yao (askari) kushiriki kwenye mkutano huo wa wanahabari kufuatilia alichotaka kuwaeleza wanahabari na...

READ MORE

Mahakama Yaizuia NHC Kupiga Mnada Mali za Freeman Mbowe

Mahakama Kuu ya Tanzania, Kitengo cha Ardhi imeliamuru Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kutouza au kupiga mnada mali za...

READ MORE

Zantel Yatoa Mbuzi kwa Watoto Yatima Kusherehekea Sikukuu ya Idd

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya simu za mkononi ya Zantel, Benoit Janin kulia), akikabidhi mbuzi 12 kwa Kaimu Mufti, Sheikh...

READ MORE

Mamia Wachangamkia Chemsha Bongo Ya Kwenda Dubai

Dereva wa Bodaboda wa Kijiwe cha Maji Chumvi, Tabata Kisukuru, Julius akisoma Gazeti la Amani kwa umakini. Wasomaji wa Gazeti...

READ MORE

Kauli ya Kamanda Sirro Kuhusu Kukamatwa kwa Wanaolala Gesti Mchana, Dar

Kamishna wa Polisi Kanda Maalum Dar Es Salaam anatoa rai kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam na wageni...

READ MORE

Mama Lwakatare Awanusuru Wafungwa 12 Keko

Kanisa la Assemblies of God, Mikocheni B (Mlima wa Moto) chini ya kiongozi wake, Mchungaji Dk. Getrude Lwakatare, limewatoa wafungwa...

READ MORE

JPM Aongoza Mkutano wa 17 wa Dharula wa Wakuu wa EAC, Ikulu-Dar

 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu Mkuu wa Jumuiya Bw. Liberat...

READ MORE

Bungeni: Majibu ya Waziri Mkuu Kuhusu Mauaji ya Askari na Uchumi wa Nchi

DODOMA: Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaendelea kukutana na wadau tofauti wanaohusika na masuala ya uchumi katika kuhakikisha...

READ MORE

Mahakimu 11 Wafukuzwa Kazi, Wengine 30 Kikaangoni

WATUMISHI 34 wa mahakama wakiwemo mahakimu 11, wamefukuzwa kazi kutokana na makosa mbalimbali ya kinidhamu. Aidha, Tume ya Utumishi wa...

READ MORE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Akagua Makazi Yake Mapya Dodoma

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amefanya ziara ya kukagua ujenzi wa makazi mapya ya Waziri Mkuu katika eneo la Mlimwa na...

READ MORE

Museveni Awasili Dar Kuhudhuria Mkutano wa Viongozi wa EAC

Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akitambulisha wasaidizi wake kwa Mgeni wake, Rais wa Uganda...

READ MORE

Wazee Wahofia Chadema Kuhujumiwa

BARAZA la Wazee la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) limesema lina hofu ya kuhujumiwa chama chao kupitia kwa ofisi...

READ MORE

Mr. Championi Agawa Zawadi Taifa kwa Wasomaji Wake

Mr.Championi akipozi na Msanii wa kuigiza kutoka kundi la Kashikashi la Mizengwe aitwaye, Jesca Kindole ‘Safina’ akipozi na Mr.Championi. GAZETI...

READ MORE

Ummy Mwalimu Atoa Onyo kwa Wazazi wa Wanafunzi Wanaomaliza STD VII

Mhe. Ummy Ally Mwalimu ambaye ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto katika Serikali ya Awamu ya...

READ MORE

Hatimaye Mtatiro ‘Amchana’ Prof. Lipumba, Amuita ni Jemedari Aliyekimbia Vita

Dar es Salaam: Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya CUF, Julius Mtatiro amesema aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahim...

READ MORE

Ndugai Awarejesha Bungeni Ukawa, Atoa Somo

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akiingia kwenye ukumbi wa Bunge kwa ajili ya kuendesha...

READ MORE

Kortini kwa Kumtisha Rais Magufuli Kupitia WatsApp

Mfanyabiasha  Leonard Materu (31) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka ya kutuma ujumbe wa kumtishia...

READ MORE

Anaswa Akiuza Wasichana Kama Vitumbua

Musoma: Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara linamshikilia Julita Lucas (30), mkazi wa kijiji cha Masinki Wilaya ya Serengeti kwa...

READ MORE

Rais Magufuli Aridhia Kusaini Miswada Mitano Kuwa Sheria za Nchi

Na Eleuteri Mangi-Maelezo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameridhia na kusaini Miswada mitano kutumika...

READ MORE

Jeshi la Magereza Lawasilisha Taarifa za Utekelezaji wa Sheria ya Bodi za Parole

Jeshi la Magereza nchini limekabidhi rasmi ripoti ya taarifa ya utekelezaji wa sheria ya bodi za Parole kwa Mwenyekiti wa...

READ MORE

PICHA: Rais JPM Atembelea Eneo Lililokuwa na Nyumba za Magomeni Kota

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongozana na Waziri wa Ardhi Mhe John Lukuvi, Mkuu...

READ MORE

Serikali Yakanusha Kuhusu Makamu wa Rais Kujiuzulu

YAH: KUKANUSHA TAARIFA INAYOSAMBAZWA KWENYE MITANDAO MBALIMBALI YA KIJAMII Ofisi ya Makamu wa Rais inakanusha taarifa inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii...

READ MORE

‘Uwazi’ Lachangamkiwa na Wasomaji Mabwepande

Ofisa Usambazaji wa Global Publishers, Jimmy Haroub, akisoma gazeti hilo na mdau wake aliyejitambulisha kwa jina la Sophia. Mwanadada aliyejitambulisha...

READ MORE

Mzee Mwinyi Mgeni Rasmi Sikukuu Ya Eid-El-Adh-Ha

Stori: Denis Mtima RAIS mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Sherehe za Sikukuu...

READ MORE

Matukio Ya Bungeni Mjini Dodoma Leo

 Baadhi ya Wabunge wakiingia katika ukumbi wa bunge kuhudhuria mkutano wa nne(4) wa  bunge la kumi na moja (11) la...

READ MORE

Tamko la ACT-Wazalendo Kuhusu Hali ya Nchi ya Kisiasa

DAR ES SALAA, JUMANNE, 06 SEPTEMBA 2016 Utangulizi Jana Jumatatu, 5 Septemba 2016, Kamati Kuu ya Chama cha ACT-Wazalendo ilikutana...

READ MORE

Ndalichako ahimiza wasomi kujiajiri

Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako. WAZIRI wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya...

READ MORE

Salum Mwalimu na Wafuasi 18 wa Chadema Waachiliwa kwa Dhamana

Mahakama ya Hakimu Mkazi Simiyu imewaachia kwa dhamana Naibu Katibu Mkuu wa Chadema (Zanzibar), Salum Mwalimu na wafuasi wengine 18...

READ MORE

Serikali Kuwalinda Watoa Taarifa Za Uhalifu

Mkurugenzi Msaidizi Utekelezaji wa Katiba kutoka Wizara ya Katiba na Sheria, Bw. Kamana Stanley akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar...

READ MORE

Naibu Waziri Tamisemi, Selemani Jafo Anusurika Kifo Ajalini Mbeya

   Gari la Naibu Waziri wa Tamisemi likionekana baada ya kugongwa katika ajali hiyo. Gari lililoigonga gari la Naibu Waziri...

READ MORE

Hatimaye Polisi Yawakamata Majambazi 3 Hatari Dar

Kamanda wa Polisi kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Simon Sirro akizungumza na wanahabari leo jijini Dar. Silaha nzito...

READ MORE

Washiriki 29 Wa Maisha Plus East Afrika 2016 Waingia Rasmi Kijijini Kuanza Safari Ya Kuisaka Mil.30

 Ally Masoud  maarufu kwa jina la Kipanya akiwa katika kijiji na Babu mwenyeji wa kijiji cha Maisha Plus wakijadili jambo...

READ MORE

Lindi, Arusha Kufungua Dimba Airtel Rising Stars Taifa

Afisa Uhusiano Airtel Tanzania Jane Matinde akiongea wakati wa kuchezesha droo ya fainali za taifa ya michuano ya vijana chini...

READ MORE

Picha 10: Dereva wa Kirikuu Anusurika Kifo Baada ya Gari Lake Kuwaka Moto

Gari lilivyokuwa kwa ndani baada ya kuwaka motoAskari wa Kikosi Maalum cha Zima Moto pamoja mashuhuda wa tukio hilo.Gari lilivyowaka.MashuhudaMashuhuda. ...

READ MORE