×

Kitaifa

Producer Emma The Boy apata ajali mbaya

Producer maarufu wa THT, Emmanuel Maungu ‘Emma The Boy’ amepata ajali mbaya ya gari hivi punde maeneo ya Kabuku karibu...

READ MORE

Mjane wa Mtikila Avaa Viatu vya Mumewe, Asisitiza Mumewe Kauawa, Ataja Sababu

Elvan Stambuli na Sifael Paul | Gazeti la Uwazi, Toleo la Desemba 27, 2016 TUNAWEZA kusema ni mpiganaji wa kike,...

READ MORE

Meya wa Ubungo ataja sababu za kutoongozana na RC Makonda, Asema Siyo Bosi Wake!

Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob (kulia) akiingia kwenye ofisi za Global Publishers, kushoto ni Mhariri wa Gazeti la...

READ MORE

Mke Akimbia Kuchinjwa Kafara la Utajiri

Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan | Gazeti la Uwazi, Toleo la Desemba 27, 2016 Dar es Salaam: Ni tukio...

READ MORE

AY Amtambulisha Kwa Mara Ya Kwanza Mpenzi Wake!

Mwanamuziki wa Bongo Fleva,  Ambwene Yesaya ‘AY’ akiwa katika mapozi na mpenzi wake anaishi nchini Rwanda, Remy. Mwanadada, Remy akijiachia...

READ MORE

Waziri Mahiga Apokea Dola 50,000 kwa Ajili ya Waathirika wa Kagera

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga (Mb) akipokea mfano wa hundi kutoka kwa...

READ MORE

Chelsea Mabingwa Rasmi wa EPL 2016/2017

Antonio Conte akipeperushwa. Goalkeeper Thibaut Courtois akifurahia ushindi. Chelsea wakicheza ugenini wamechukua ubingwa wa Ligi Kuu ya England baada ya...

READ MORE

Zitto Kabwe Aanika Kilichomkuta Hospitalini Wakati Mkewe Akijifungua

Tujue ‘ blood Group ‘ zetu – Maana Hatujui Siku na Saa Zitto Kabwe Usiku wa kuamkia tarehe 26 Desemba...

READ MORE

Zitto Kabwe na Mkewe Wapata Mtoto wa Kike

    Nay wa Mitego Ametoboa Siri: Hiki ndicho Alichokimiss kwa Shamsa Ford

READ MORE

Mashushu Watanzania 8 Wadaiwa Kutiwa Nguvuni Malawi

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga. Na Mwandishi Wetu, Risasi KARONGA: Watanzania...

READ MORE

Mwanajeshi Anusurika Kufa Kwenye Ajali Ya Ndege Kimiujiza

Na Mwandishi Wetu   Bado Urusi ipo kwenye hali ya sintofahamu kufuatia ajali mbaya ya ndege, iliyotokea juzi na kusababisha...

READ MORE

TBL, CRDB Na MKCB Zaongoza Kwa Mauzo Soko La Hisa

Meneja wa Masoko Soko la Hisa na Biashara, Patrick Msusa akiongea na wanahabari (hawapo pichani) leo. …Akiendelea kutaja kampuni zilizo...

READ MORE

Kiongozi Ahama Kijiji kwa SMS za Kifo!

Richard Bukos na Issa Mnally, Gazeti la Uwazi, Toleo la Desemba 27, 2016. PWANI: Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya...

READ MORE

Magazeti Yote Ya Tanzania Leo Jumnne Desemba 27, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Desemba 27, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa habari...

READ MORE

Picha 42: Waziri Nape Aongoza Mamia Kuuaga Mwili wa Marehemu Mpoki Bukuku, Dar

Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa marehemu Mpoki Bukuku kuelekea Uwanja wa Shule ya Sekondari Tabata Kimanga, jijini Dar....

READ MORE

Benki Kuu Yakanusha Taarifa Kuhusu Noti ya TZS 500 Kutotumika Tena Baada ya Disemba 31, 2016

Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuwafahamisha wananchi wote kuwa habari inayoenea katika mitandao mbalimbali ya kijamii kwamba noti ya shilingi...

READ MORE

Darassa, Roma Kufunikana Nichane Nikuchane, Dar Live

Darassa Hebu vuta picha usiku mmoja unakwenda kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Burudani wa DAR LIVE halafu unakuta wasanii wa...

READ MORE

Mkulima Achomwa Mkuki Mdomoni, Watokeza Shingoni

  OFISI YA MBUNGE Jimbo la Mikumi inalaani sana kitendo cha kinyama kilichofanywa na Ndugu zetu wa jamii ya wafugaji...

READ MORE

Polisi Wakatisha Raha Coco Beach

   Umati wa watu walikowa kwenye Ufukwe za Cocco. Vibaka, Mateja wahatarisha usalama, kamari, karata tatu, machangu tishio. Richard Bukos...

READ MORE

Pichaz: Coco Beach Kulivyonoga Sikukuu ya Krismasi

PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS/GPL ILIKUPITA HII? Mpaka Home; Haya Ndo’ Maisha Halisi ya Darassa, Cheki Video Akipika Msosi Gheto

READ MORE

Lori Laua Padri Saa 6 Kabla ya Krismasi

GEITA: TAKRIBANI watu saba wamekufa akiwamo Padri katika ajali ya barabarani, saa sita kabla ya sikukuu ya Krismasi. Watu hao...

READ MORE

DIAMOND PLATNUMZ & WASAFI CLASSIC: Shoo Ya Vodacom Wasafi Festival Yaacha Historia Mkoani Iringa

Usiku wa Dec 25, 2016  wakali wa Bongo Fleva akiwemo Diamond Platnumz, Harmonize, Rayvanny, Queen Darleen, Q Boy, Chege pamoja...

READ MORE

Wengi Wajitokeza Kwenye Msiba Wa Mpoki Bukuku Tabata

Mhariri Mtendaji wa gazeti la Mtanzania, Absalom Kibanda akimfariji mjane wa marehemu Mpoki Bukuku, Lilian nyumbani kwa marehemu, Tabata Bwawani,...

READ MORE

Rais Magufuli Ashiriki Ibada ya Krismasi Singida

Rais Magufuli na mke wake Mama Janeth Magufuli leo wakiwa katika ibada ya Krismasi katika Kanisa Kuu la Moyo Mtakatifu...

READ MORE

Video: Alichokifanya Diamond Platnumz Usiku Wa WCB Jangwani Sea Breeze Dar

KCEE LIVE PERMANCE DIAMOND PLATINUM ALIVYOWASILI KWA BOTI KWENYE SHOW YA WASAFI BEACH PART WASAFI BEACH PART SHOO NDIVYO ILIVYOANZA...

READ MORE

Taarab Ya Jahazi Yafunika Dar Live Mkesha Xmas

Mashabiki wakiburudika katika ukumbi wa maraha wa Dar Live. Mwanamuziki wa Jahazi Modern, Prince Amigo, akitoa burudani ya kufa mtu...

READ MORE

Shoo Ya Diamond Platnumz (Wasafi) Yaacha Historia Jangwani Sea Breeze Dar (Video)

Rais wa Wasafi na staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz akifanya makamuzi usiku wa kuamkia leo Jangwani Sea Breeze jijini...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Atinga Gereza La Ukonga

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua gwaride lililoandaliwa na Jeshi la Magereza wakati alipowasili kwenye gereza la Ukonga jijini Dar es...

READ MORE

Magazeti Yote Ya Tanzania Leo Ijumaa Desemba 25, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Desemba 25, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa habari...

READ MORE

Diamond Akipafomu live Jangwani Sea Breeze

Rais wa Wasafi, Diamond Platnumz akifanya makamuzi usiku huu Jangwani Sea Breez jijini Dar. Mashabiki wakimshangilia Diamond Platnumz (hayupo pichani)....

READ MORE

Hivi Ndivyo Sinema ya Faru John Inavyochezwa

STORI: MWANDISHI WETU | Gaztei la Risasi Jumamosi, Toleo la Desemba 24, 2016 DAR ES SALAAM: Ile sinema ya kifo...

READ MORE

Basata Yawakumbusha Wamiliki Wa Kumbi Za Burudani Kufuata Sheria

BASATA YAPIGA MARUFUKU DISKO TOTO Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ambalo ni msimamizi wa sekta ya Sanaa na burudani...

READ MORE

Abiria Wafurika Ubungo, Kwenda Mikoani Kula Sikukuu

Mkuu wa kitengo trafiki wa Kituo cha Mabasi cha Ubungo, Mkaguzi wa Polisi, Ibrahim Samwix akiwa chini ya basi liendalo...

READ MORE

Stars Yapanda Kwa Nafasi Nne Tu Fifa

Kikosi cha Taifa Stars. TANZANIA kupitia Taifa Stars imefanikiwa kupanda kwa nafasi nne kwenye viwango vya Shirikisho la Soka la...

READ MORE

Wachagga Wanaporejea Nyumbani Krismasi, Mwaka Mpya!

Na Walusanga Ndaki Gaztei la Risasi Jumamosi, Toleo la Desemba 24, 2016 ASUBUHI moja mwaka jana, wiki moja kabla ya...

READ MORE

Kimya cha Mbowe Kuhusu Kupotea kwa Ben Saanane, Hatimaye Afunguka!

MBEYA: Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema amekuwa kimya muda mrefu kuhusiana na kupotea katika mazingira ya kutatanisha, msaidizi wake...

READ MORE

Kingunge: Bila Tume Huru, Wapinzani Wasahau Kuingia Ikulu

MWANASIASA mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru amesema bila ya kuwa na tume huru ya uchaguzi na Katiba Mpya, vyama vya...

READ MORE

Magazeti Yote Ya Tanzania Leo Jumamosi Desemba 24, 2016 Yako Hapa

  Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Desemba 24, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa...

READ MORE