×

Kitaifa

Bomba la Mafuta la EAC Kuletwa Tanga

Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo akionesha mkataba uliosainiwa wa ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Hoima, Uganda hadi...

READ MORE

Kifungo cha Miaka 2… Nay Aapa Kumtoa Siwema Gerezani

Staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ na mzazi mwenzake, Siwema Edson. GLADNESS MALLYA Roho inauma! Staa wa Bongo...

READ MORE

Mchungaji: JPM aandaliwe mkesha wa maombi

Rais Dk. John Pombe Magufuli ‘JPM’ Stori: Oscar Ndauka, WIKIENDA DAR ES SALAAM: Neema ya Mungu! Mchungaji wa Kanisa la...

READ MORE

‘Shika Ndinga’ na Efm Kinondoni usipime!

     Washiriki wa shindano hilo wakishika ndinga. …Wakiwa katika mapumziko baada ya raundi ya kwanza kumalizika. Mshiriki akikomaa na pilkapilka...

READ MORE

Airtel yakabidhi hundi ya milioni 11 kwa UCAF

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Bi. Beatrice Singano Mallya (kushoto) akimkabidhi  hundi ya shilingi milioni 11 katibu wa mfuko wa mawasiliano...

READ MORE

RC Mwanza Atoa Saa 24 Kompyuta iliyoibwa ipatikane Ukerewe

  Mkuu wa mkoa wa mwanza John Mongella. Mkuu wa mkoa wa MWANZA John Mongella  ametoa saa 24 kwa kamanda...

READ MORE

Binti anayefanya kazi Mochwari atinga Global TV

Sabrina Gharib (19) anayefanya kazi kwa vitendo kimasomo  kwenye Mochwari  ya Hospitali ya Rufaa ya Tumbi Kibaha mkoani Pwani, leo...

READ MORE

Mvua zasababisha madimbwi Barabara ya Kijitonyama- Mabatini

Magari yakionekana kupita kwa tabu. Yakiendelea kupita kwenye madimbwi hayo. Waendesha bodaboda wakipita eneo hilo.   Bajaj ikipita eneo la...

READ MORE

Miss Universe Tanzania Kujenga Uelewa na Utetezi Kwa Watoto

Mkufunzi kutoka CCBRT, Dr. Nancy Lwezimula akifundisha jambo kuhusu mdomo sungura. Miss Universe Tanzania 2015, Lorraine Marriot akicheza na mtoto...

READ MORE

Binti wa Miaka 16 Kutoka Mwanza Ahutubia Umoja wa Mataifa

MSIKIE Binti Getrude Clement mwenye umri wa miaka 16 kutoka Jijini Mwanza, Tanzania akihutubia hafla maalum ya Mkutano wa Makubaliano...

READ MORE

Staili ya Magufuli Kuibuka Mitaani Yashtua Wengi

Rais John Pombe Magufuli akiwasalimia walemavu. Stori: Ojuku Abraham, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: Staili inayotumiwa na Rais John Pombe Magufuli...

READ MORE

Hatimaye Mahakama ya mafisadi kuanza Julai

Rais Dk. John Magufuli akizungumza jambo na Jaji Mkuu Mohamed Chande Othman (Picha ya maktaba). ULE msemo wa Kiswahili usemao...

READ MORE

Kigogo wa TRA, Miss Tanzania Waswekwa Tena Rumande

LEO April 1, 2016 Serikali iliwapandisha kizimbani aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania ‘TRA’ Harry Kitilya, mshindi wa...

READ MORE

Madaraja ya juu kivutio Dar!

     Daraja la wavuka kwa miguu kama linavyoonekana eneo la Morocco, Kinondoni Dar. Taswira ya Daraja la Buguruni jijini Dar...

READ MORE

Wasomaji Gazeti la Amani wavutiwa na Shinda Nyumba

  Wasomaji wa Gazeti la Amani wakiendelea kupata ufafanuzi kutoka kwa maofisa wa Global namna ya kushiriki bahati nasibu hiyo....

READ MORE

Bi. Samia Afungua Mkutano wa 4 wa Kuthibiti Silaha Haramu

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua mkutano wa nane kwa Mawaziri wa...

READ MORE

Hizi Ndizo Ruti za Mabasi 50 Yalioanza Kazi Mradi wa DART

Mabasi 50 yaliyoanza kazi rasmi leo Ijumaa April 22,2016. Ratiba ndefu imetangazwa. Lakini Lakini Kiwango cha nauli bado hakijawekwa wazi....

READ MORE

Jipatie nakala yako ya Championi IJumaa leo

KUFAHAMU YOTE HAYA NA MENGINE, NUNUA GAZETI LA IJUMAA, LEO April 22, 2016 KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS...

READ MORE

Magufuli: Wanaotetea majipu tutawatumbua

Rais John Pombe Magufuli WAKATI baadhi ya taasisi za haki za binadamu, wasomi na wanasiasa wakikosoa mfumo wa Rais John...

READ MORE

Waya wa Umeme Ulioning’inia Barabarani Wazua Taharuki

Magari yakipita huku waya wa umeme ukiwa umening’inia.Hali ilivyokuwa huku madereva wakijitahidi kuukwepa waya huo.Foleni kubwa huku magari yakilazimika kutumia...

READ MORE

Mabasi yaendayo kasi katika majaribio Dar

Kamera za tovuti hii leo zimenasa taswira saba za mabasi yaendayo kasi yakiwa katika majaribio kwenye maeneo mbalimbali ya Jiji la...

READ MORE

Photoz: Waziri Mkuu katika mazishi ya Askofu Isuja

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Askofu Mkuu wa Jimbo la Dodoma , Beatus Kinyaiya katika mazishi ya Askofu...

READ MORE

NMB yazindua Business Club Ifakara

Mkuu wa Wilaya ya Kilombelo Mhe. Leph Benjamini Gembe akifungua pazia kuashiria uzinduzi rasmi wa NMB Business Club ndani ya...

READ MORE

Polepole na Hapi Waapishwa Rasmi Kuwa Wakuu wa Wilaya

Mkuu wa Wilaya ya Musoma, Humphrey Polepole, kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mara, Magesa Mulongo. Wakuu wa wilaya za Kinondoni...

READ MORE

Madhehebu ya shia yamuunga mkono kasi ya Rais Magufuli

Shekh Hemed Jalala akifafanua jambo kwa wanahabari KASI  ya Rais, Dkt. John Pombe Magufuli inazidi kushika moto baada ya Kiongozi...

READ MORE

JK katika mazungumzo na viongozi wa CCP (Pichaz)

Rais wa awamu ya nne, Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye mazungumzo na viongozi wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CCP)...

READ MORE

Kumi Bora ya Shindano la Airtel Trace Music Stars Wapatikana

Mmoja ya majaji wa shindano la Airtel Trace Music Stars ambaye ni mtangazaji wa TV mahiri, Mwanamuzi, Mwigizaji na mfanya...

READ MORE

Mwili wa Liyumba waagwa jijini Dar

Gari lenye mwili wa  marehemu ,Amatus Liyumba ukiwasili leo mchana Nyumbani kwake Mikocheni jijini Dar. Jeneza lenye mwili wa marehemu...

READ MORE

Picha 11: Waliofariki Baada ya Gari Kuzama Baharini Dar Wapatikana

Zoezi la uokoaji likiendelea ndani ya Bahari ya Hindi.Mwili wa marehemu Nice Mwakalago baada ya kupatikana.Mwili wa marehemu ukishushwa nchi...

READ MORE

Hatimaye Kampuni ya Lugumi Yajitokeza Live!

SURA MPYA ya Sakata lililoibuliwa na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kuhusu Kampuni ya Lugumi Enterprises Ltd....

READ MORE

Vodacom Tanzania Foundation Kuwezesha Wanawake 1000 Kutibiwa Saratani

Wakina mama wanaotibiwa ugonjwa wa kansa ya kizazi katika hospitali ya Ocean road wakifurahia jambo na Mkuu wa Vodacom Foundation,...

READ MORE

Watuhumiwa wa ujambazi, wala kichapo hevi Kariakoo

WATU wawili wanaodaiwa kuwa majambazi wamenaswa leo Kariakoo jijini Dar es Salaam na kupewa kichapo ‘hevi’ kutoka kwa wananchi wenye...

READ MORE

Wawili wafariki baada ya gari kuzama baharini

Kikosi cha Uokoaji kikiopoa mwili wa mmoja wa watu waliokuwa kwenye gari hilo. WATU wawili wanasadikiwa kufariki dunia baada ya...

READ MORE

Diamond Anunua Mjengo Mwingine Mpya!

Diamond Platnumz akiwa na mwanaye ‘Tifaah’. STAA wa wa Bongo fleva, Diamond Platnumz ‘Baba Tifaah’ ameendelea kujiimarisha kiuchumi na kuonyesha...

READ MORE

Wenje Alivyoanika Ufisadi Uliofanywa na Wilson Kabwe, Mwanza

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Bw. Wilson Kabwe. ALIYEKUWA mbunge wa Nyamagana jijini Mwanza, Ezekiel Wenje aliwahi...

READ MORE

Cheki Video: Hali ya Chid Benz Yazidi Kuimarika

BAADA ya kumaliza mwezi mmoja akipata matibabu, afya ya rapa Chid Benz imeendelea kuimarika kila kukicha kufuatia tiba anayoendelea kuipata...

READ MORE

Waziri Kitwanga Naye Aikana Kampuni ya Lugumi

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga. WAKATI Sakata lililoibuliwa na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali...

READ MORE

Bunge lajadili taarifa ya Mkataba wa Lugumi

Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Aeshi Hilaly. HATIMAYE taarifa ya utekelezaji wa mkataba tata wa Kampuni ya Lugumi Enterprises, iliyoshinda...

READ MORE

Baada ya Wiki 2, Watumishi Hewa Shinyanga Wafikia 226

  Rais John Pombe Magufuli akihutubia umati uliofurika kwenye uzinduzi wa daraja la Kigamboni. IKIWA ni wiki mbili tu tangu...

READ MORE