×

Kitaifa

Nyumba yateketea kwa moto, Ilala – Dar

Kikosi cha Zima Moto kikiwa katikaharakati za kuuzima moto huo, huku nyumba ikionekana kuteketea.Nyumba hiyo baada ya moto kuzimwa.Wakazi wa...

READ MORE

Rais Magufuli atuma salam za rambirambi kufuatia kifo Mwenyekiti wa Chama Cha Madereva Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli anamtumia salamu za rambirambi Mwenyekiti wa Chama Cha Madereva...

READ MORE

Rais Magufuli afuta sherehe za uhuru

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue ametoa taarifa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

Mazishi ya Mawazo Bado Kizungumkuti… Chadema Kutinga Mahakamani

Na George Binagi Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimesitisha shughuli za mazishi ya aliekuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Mkoani...

READ MORE

Wazanzibari wa Marekani waandamana kulaani ZEC kufuta matokeo

WAZANZIBARI waishio Marekani wameandamana mpaka nje ya Ikulu ya Marekani wakipinga maamuzi ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kufuta matokeo...

READ MORE

Msaada wahitajika kwa mapacha walioungana‏

Mapacha wakiwa wameungana. Hawa watoto Zahra na Zarina wamezaliwa pacha walioungana tarehe 16/11/15 mama yao Bi Tausi Hageze akiwa njiani...

READ MORE

Kifo cha katibu wa chama cha madereva, Makonda atoa neno

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ambaye ni mlezi wa Chama cha Wafanyakazi Madereva Tanzania (TADU), akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji...

READ MORE

NSSF yaendesha kongamano la waajiri wa taasisi mbalimbali mkoani Tanga

Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori akizungumza wakati akifungua kongamano la waajiri wa Taasisi...

READ MORE

Airtel Fursa Dodoma yawafikia wajasiriamali wadogo wadogo

Meneja uhusiano wa Airtel Jackosn Mmbando akielezea kwa wajasiriamali wadogo wadogo jinsi vijana wanavyoweza kufanya ili kufaidika na mradi wa...

READ MORE

Picha za kumbukumbu baada ya rais Magufuli kuzindua bunge Dodoma‏

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Spika Mstaafu Mhe Pius Msekwa huku...

READ MORE

Ukawa waeleza sababu za wao kuzomea Bungeni jana

Wabunge wa Ukawa wakitoka bungeni hapo jana. WABUNGE wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wameelezea sababu zilizowafanya wao...

READ MORE

Bomoabomoa Mbezi Beach Acha Kabisa!

Wakazi wa maeneo ya Mbezi Beach wakishudia zoezi la bomoabomoa. Mwonekano wa nyumba ya gorofa moja kabla halijabomolewa. Tingatinga likianza...

READ MORE

Eric Shigongo James: Barua Kwa waheshimiwa wabunge

Bunge la Jamhuri ya Muungano. Nawasalimu nyote katika jina la nchi yetu Tanzania, Mimi ndugu yenu sijambo, naendelea kusukuma mbele...

READ MORE

Watu wenye silaha wavamia hoteli na kuteka watu Mali

Wanajeshi wakijaribu kuingia katika Hoteli ya Radisson Blu mjini Bamako. Hoteli ya Radisson Blu iliyovamiwa leo. Wanajeshi wenye silaha nchini Mali...

READ MORE

Mahafali ya 10 ya chuo cha kumbukumbu ya mwalimu nyerere yafana

 Mkurugenzi wa Elimu ya Ufundi na Ufundi Stadi Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Thomas Katebalilwe akihutubia kwa niaba...

READ MORE

Bunge latikisika, wapinzani watimuliwa

Na Elvan Stambuli BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo alasiri limetikisika baada ya wabunge wa upinzani kuwazomea viongozi...

READ MORE

Mtangazaji Prince Baina Kamkuru afariki dunia

Prince Baina Kamkuru enzi za uhai wake. Mtangazaji wa zamani wa Radio Free Afria (RFA), Clouds FM na Star TV,...

READ MORE

Bomoabomoa yaendelea Dar!

Tingatinga likishusha ukuta. Likizidi kubomoaVifusi baada ya kubomoa. Wakazi wakitoa vitu vyao nje ya myumba wakati wa bomoabomoa. Wananchi wakitaharuki...

READ MORE

Wateja wa Airtel kuangalia vipindi vya television kupitia simu za mkononi

Meneja Uhusiano wa Airtel Bwana Jackson Mmbando akiongea wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya “Airtel TV” itakayowawezesha wateja wa Airtel kuangalia...

READ MORE

Global Publishers: Tunalaani upotoshaji huu

Kumekuwa na upotoshaji mkubwa wa makusudi unaofanywa na baadhi ya watu kupitia mitandao ya kijamii kwa kugeuza maudhui ya  habari...

READ MORE

Rais Magufuli amuapisha Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe...

READ MORE

Dk. Tulia achaguliwa kuwa Naibu Spika kwa 71.2%

Dk. Tulia Ackson Mwansasu akila kiapo mara baada ya kuchaguliwa kuwa Naibu Spika wa Bunge. Dk. Tulia Ackson Mwansasu wakati...

READ MORE

Waziri, Mkuu Majaliwa ashinda kwa asilimia 73.5

Waziri Mkuu Mteule Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa. Mpambe wa Rais Kanali Mkeremi akiingia bungeni mjini Dodoma leo asubuhi akiwa na...

READ MORE

Aliyekuwa Mkurugenzi wa ATCL na wenzake 2 wakutwa na hatia

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imemkuta na hatia aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Ndege la Taifa (ATCL), Bw....

READ MORE

Lipumba: Magufuli anakabiliwa na hali ngumu ya bajeti

Profesa Ibrahim Lipumba. HATIMAYE aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi CUF aliyejiuzulu uenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba ameibuka...

READ MORE

Airtel yazindua huduma ya wateja kuangalia vipindi vya TV katika simu

Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando, akitoa ufafanuzi kwa wanahabari (hawapo pichani), namna watakavyoweza kujiunga na kufaidi habari kupitia huduma...

READ MORE

Marubani wawili wa kike Zimbabwe waweka historia Afrika

Makapteni wawili wa kike Chipo M. Matimba (kushoto) akiwa na Elizabeth Simbi Petros (kulia) waliruka na ndege aina ya ‘Boeing...

READ MORE

Breaking News: Waziri Mkuu atajwa Bungeni

Waziri Mkuu Mteule Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Majaliwa Kassim Majaliwa. Rais Dk. John Pombe Magufuli amemteua...

READ MORE

Mfuko wa pensheni wa PSPF

READ MORE

PSPF wazindua mpango wa matibabu kwa wanachama wa mfuko huo

Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, SSRA, Omar Kahlfan, (atikati), Mkurugenzi wa Uendeshaji wa PSPF,...

READ MORE

Ratiba ya Mkutano wa Kwanza wa Bunge, Tarehe 13-20 Novemba 2013

Download Ratiba Yote hapa===>RATIBA YA MKUTANO WA KWANZA WA BUNGE LA 11

READ MORE

Kill Marathon yazinduliwa jijini Dar

Naibu Mkurugenzi wa Vijana, Habari, Utamaduni na Michezo, Alex Nkenyenge akisistiza jambo kwenye hafla hiyo.Naibu Mkurugenzi wa Vijana, Habari, Utamaduni...

READ MORE

Hukumu kesi ya Sheikh Ponda yaahirishwa tena

Kiongozi wa Taasisi na Jumuiya za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda. MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro, kwa...

READ MORE

Kwa staili hii, ajali hazikomi!

Lori lenye kontena ambalo halijafungwa vizuri likiwa barabarani. Dereva akiendelea na safari bila kujali hatari yoyote. Safari ikiendelea. Katika hali isiyo...

READ MORE

Serikali kukabiliana na wezi wa umeme

Msemaji wa Wizara ya Nishati na Madini, Badra Masoud (kushoto), akizungumza jambo kwa wanahabari (hawapo pichani). Kulia kwake ni Mkurugenzi...

READ MORE

Rais Magufuli asaini Kitabu cha Maombolezo Ubalozi wa Ufaransa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisaini kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi wa Ufaransa jijini...

READ MORE

Bomoa bomoa Mwenge yawaliza wengi Dar

Tingatinga likiwa kazini kubomoa nyumba zilizo ndani ya hifadhi ya barabara. Vumbi likiwa limetanda eneo hilo. Ulinzi ukiwa umeimarishwa eneo...

READ MORE

Watumiaji Instagram wasaidia wagonjwa Ocean Road

Mmiliki wa Twaiba Classic Centre akitoa michango kwa baadhi ya wagonjwa. Wana-Instagram wakiwa katika picha ya pamoja nje ya Hospitali...

READ MORE

Uwazi latoa msaada wa viti vya wagonjwa, Moi

Afisa Tawala wa Global Publishers, Soud Kivea (katikati) akizungumza jambo mbele ya wanahabari (hawapo pichani). Kutoka kushoto ni Afisa Uhusiano...

READ MORE