×

Kitaifa

Wachimbaji wadogo wa madini watengewa eneo maalum

Msemaji wa Wizara ya Nishati na Madini, Badra Masoud, (kushoto) akitoa taarifa kwa waandishi wa habari (hawapo pichani).  Kulia kwake...

READ MORE

Serikali Yasema  Desemba 9  Siyo Siku ya Kazi kwa Watumishi wa Umma

Mkurungezi wa Idara ya Habari (Maelezo), Assah Mwambene (kushoto) akizungumza mbele ya wanahabari.  Kulia kwake ni Naibu Mkurugenzi wake, Vincent...

READ MORE

Shigongo: Bila Maarifa Hakuna Mafanikio

Mchungaji Muabuzi akitoa neno kwa waumini (hawapo pichani).Mgeni rasmi, Eric Shigongo akitoa neno wakati wa uzinduzi wa kitabu kipya cha Njia...

READ MORE

Picha za Rais Magufuli alipokutana na Prof. Lipumba, Ikulu Dar, leo

Rais Dk John Pombe Magufuli akisalimiana na aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba, Ikulu jijini Dar, mapema leo. Rais...

READ MORE

Sheikh Ponda aachiwa huru

Sheikh Issa Ponda. Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda aliyekuwa anakabiliwa na kesi ya jinai...

READ MORE

MSD yakarabati jengo la duka la dawa hospitali ya taifa Muhimbili

Mafundi wakikarabati jengo ambalo Bohari ya Dawa (MSD), itafungua duka la dawa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MSD) Dar...

READ MORE

Pop Up Shop yanogesha Swahili Fashion Week chini ya Vodacom

Francisca Mawala (kushoto) akipatiwa maelekezo na Mwanamitindo wa kampuni ya Manyatta inayojishughulisha na masuala ya mitindo, Anthonia Kilame( kulia) wakati...

READ MORE

Vijana wa Iringa wawezeshwa na Airtel FURSA‏

Mshiriki wa mafunzo ya Airtel Fursa mkoani Iringa Bi Fatuma Mkini (kushoto ) akipokea cheti cha ushiriki wa mafonzo hayo...

READ MORE

Maelfu wauaga mwili wa Mawazo Mwanza

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Mhe. Freeman Mbowe akiaga mwili wa aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho mkoa...

READ MORE

Waziri Mkuu awatimua watumishi wengine watatu TRA

Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Majaliwa Kassim Majaliwa, amewasimamisha kazi watumishi wengine...

READ MORE

Mawazo kuagwa leo jijini Mwanza, kuzikwa kesho Geita

Naibu Katibu Mkuu Chadema, Salum Mwalimu akionyesha kibali kilichotolewa na Manispaa ya Ilemela ili kuruhusu ibada ya kumuaga Marehemu Mawazo...

READ MORE

Rais Magufuli amsimamisha kazi kamishna wa TRA

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ndugu Rished Bade. Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania, Mh. Dkt...

READ MORE

Waziri Mkuu afanya ziara ya ghafla bandarini

Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa leo amefanya ziara ya...

READ MORE

Dereva bodaboda anusurika kichapo mikocheni Dar

Baadhi ya wananchi wakishudia bodaboada hizo zikiwa chini baada ya tukio husika. Bodaboda iliyo mbele ni ambayo ilikuwa ikiendeshwa na...

READ MORE

Barua kwa kwa watumishi wa umma

Nawasalimuni nyote katika jina la nchi yetu nzuri Tanzania, Jina ambalo huko nyuma sote tuliliimba “Tazama ramani utaona nchi nzuri,...

READ MORE

CUF yakanusha kurudia Uchaguzi wa Zanzibar

KWA VYOMBO VYA HABARI Tumepokea taarifa kwamba Balozi Seif Ali Iddi amehojiwa na Idhaa ya Kiswahili ya Radio France International...

READ MORE

Breaking News: Chadema washinda kesi ya Mawazo

Alphonce Mawazo enzi za uhai wake. HATIMAYE Mahakama Kuu jijini Mwanza imetoa hukumu ambapo Chadema na familia ya Mwenyekiti wa...

READ MORE

Waliotupwa lupango na DC Makonda ‘sasa kazi tu’!

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akizungumza na wakazi wa eneo la Wazo kijiji cha Nyakasangwe hii leo. Wananchi...

READ MORE

Tamasha kubwa la instagram kufanyika Escape One keshokutwa

Mkurugenzi wa Freconic Ideaz, Fred Ngimba, akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) juu ya kukamilika kwa maandalizi ya tamasha hilo linalotarajiwa...

READ MORE

Serikali yapiga marufuku uchapishaji wa Kadi za Xmass na Mwaka Mpya

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue amepiga marufuku utengenezaji na uchapishaji wa kadi za Christmas na Mwaka Mpya kwa gharama...

READ MORE

Rais Magufuli afuta siku ya Ukimwi, aagiza pesa ya bajeti inunue ARV

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dk John Magufuli. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dk...

READ MORE

Barua ya wazi kwa Rais wetu Dk. John Pombe Magufuli

Rais John Pombe Magufuli. TUNACHUKUA fursa hii ya kipekee kukupongeza Rais Dk. John Pombe Magufuli kwa fursa aliyokupa Mwenyezi Mungu...

READ MORE

Taswira ya Papa Francis akiwa katika Ikulu ya Kenya jana

Kiongozi wa Wakatoliki duniani, Papa Francis akihutubia Taifa la Kenya jana Ikulu. ….Akiendelea kuongea na wananchi wa Kenya. …Akisalimiana na...

READ MORE

Gavana nchini Kenya matatani kwa kumfuata Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli. GAVANA wa Jimbo la Siaya, nchini Kenya, Cornel...

READ MORE

Rais Magufuli afuta sherehe za maadhimisho ya Ukimwi

Rais Dk. John Pombe Magufuli. Rais John Magufuli amesitisha maadhimisho ya siku ya Ukimwi kitaifa ambayo yalikuwa yafunguliwe mkoani Singida...

READ MORE

Papa Francis awasili Kenya

Kiongozi wa Wakatoliki duniani, Papa Francis wa Kwanza akiwasili leo Kenya. Akiwasiliana na kiongozi wa Wakatoliki nchini Kenya. Papa Francis...

READ MORE

Papa Francis kutua kwa kishindo Nairobi jioni leo

Papa Franci akipanda ndege yake uwanja wa ndege wa Fiumicino, Roma kuelekea Nairobi Kenya. Hii itakuwa ziara yake ya 11...

READ MORE

Waziri Mkuu ataka kila mkurugenzi asome hotuba ya rais, aifanyie kazi

 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akisalimiana na katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za...

READ MORE

Mbunge kingu aeleza sababu ya kukataa posho za bunge

Elibariki Kingu akitoa ufafanuzi wa jambo mara baada ya kuulizwa maswali kutoka kwa wanahabari.Kutoka kushoto ni Hamisi Ngila, aliyekuwa mpinzani...

READ MORE

Breaking News: Kesi ya Mazishi ya Mawazo yaahirishwa

Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza, imeahirisha kesi iliyofunguliwa na familia ya marehemu Alphonce Mawazo kupinga amri ya Jeshi la Polisi...

READ MORE

Makonda awahimiza wakuu wa idara yake kufanya kazi kwa kujituma

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (katikati) akizungumza mbele ya wakuu wa Idara za sekta mbalimbali (hawapo pichani). Kutoka...

READ MORE

Airtel yazindua ‘Airtel Care’ programu kwa wateja

Meneja Uhusiano wa Airtel, Bw Jackson Mmbando pamoja na Afisa Masoko Intaneti wa Airtel , Eric Daniel wakionyesha huduma mpya ya...

READ MORE

Rais Magufuli gumzo mitandaoni, Wakenya wasifia uchapakazi wake

Rais JohnPombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Rwanda, Paul Kagame. SIFA kubwa aliyonayo Rais Dk John Pombe Magufuli ya uchapakazi...

READ MORE

Mgogoro wa kuaga mwili wa Mawazo, hali ilivyo jijini Mwanza

Mmoja wa viongozi wa Chadema akiwatuliza wafuasi wa chama hicho waliokusanyika kwenye hoteli ya Gold Crest. Kundi la wafuasi wa...

READ MORE

Mgogoro wa Zanzibar watinga Ikulu ya Marekani

Wanachama wa ZADIA kutoka majimbo tafauti nchini Marekani wakionyesha mabango yao.Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazanzibari Waishio nchni Marekani (ZADIA), Bw....

READ MORE

Hatma ya mwili wa Mawazo kuagwa Mwanza, kuamuliwa leo

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akitoa taarifa kwa wananchi baada ya Chadema Kufungua Kesi Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza, jana...

READ MORE

Mbunge wa Singida Magharibi awasilisha barua ya kukataa posho

Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Immanuel Kingu.

READ MORE

Balozi sefue akagua Muhimbili

Balozi Ombeni Sefue alipowasili katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili akisalimiana na wafanyakazi wa hospitali hiyo. Balozi Sefue (kushoto) akiendelea...

READ MORE