×

Kitaifa

Uganda Yazindua Gari la Kivita Lililoundwa Nchini Humo

KAMANDA wa vikosi vya ardhi nchini Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ameweka kwenye Twitter picha ya kile anachosema kuwa gari la...

READ MORE

Mwanafunzi wa Kitanzania Auawa kwa Risasi Marekani

Kijana wa Kitanzania aliyekuwa akiishi nchini Marekani na wazazi wake, Humphrey Magwira amepigwa risasi na kuuawa katika eneo la Fort...

READ MORE

Miaka 10 ya LSF: Watu Milioni 6.4 Wapata Msaada, Elimu ya Kisheria

Shirika la Huduma za Sheria (LSF) linatimiza miaka 10 tangu kuanzishwa kwake. Ni muongo mmoja ambao umewanufaisha mamilioni ya Watanzania...

READ MORE

Fisi Aua Mtoto Tena Shinyanga, Wazee wa Mila Wacharuka

Wakazi wa Kata ya Kitangiri katika Manispaa ya Shinyanga wamewaomba viongozi wa ngazi zote kuchukua hatua za haraka za kukabiliana...

READ MORE

Radi Yaua Ng’ombe 15

Radi iliyoambatana na mvua imeuwa ng’ombe 15 usiku wa kuamkia leo Oktoba 18, 2021, katika Kijiji cha Zaire kilichopo Kata...

READ MORE

Mbeya, Kilimanjaro Waongoza kwa Wanawake Wenye Vitambi

WANAWAKE wa Mikoa ya Kilimanjaro, Mbeya na Arusha wanaongoza kwa kuwa na unene uliopitiliza na kupata viribatumbo maarufu kitambi.  ...

READ MORE

Machinga Dar Waongezewa Siku 12

Serikali ya mkoa wa Dar es Salaam imewaongezea siku 12 wafanyabiashara ndogo ndogo (wamachinga) kuanzia leo wahame katika maeneo yasiyo...

READ MORE

Basi la Adventure Lapata Ajali Mlima Kamba

Abiria waliokuwa wanasafiri kutoka Mpanda mkoani Katavi kwenda Kasulu mkoani Kigoma, wamenusurika kifo baada ya Basi la Kampuni ya Adventure...

READ MORE

Kifo cha Ole Nasha, NEC Yatangaza Uchaguzi Ngorongoro

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), leo Jumatatu, Oktoba 18, 2021 imetangaza ratiba ya uchaguzi mdogo wa ubunge katika Jimbo...

READ MORE

Huyu Ndo DED Mkorofi Aliyetajwa na Rais Samia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa ukorofi na kukosekana kwa nidhamu ndiyo kulikopelekea kumhamisha...

READ MORE

Sabaya Anyolewa, Afikishwa Mahakamani Kesi Nyingine Tena

IKIWA ni siku tatu tangu alipohukumiwa kwenda jela miaka 30, yeye na wenzake wawili kwa makosa ya nunyang’anyi wa kutumia...

READ MORE

Mke Amchoma Kisu Mumewe

JESHI la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia mwanamke aitwaye Amina Hamis (32) kwa tuhuma za kumjeruhi kwa kumchoma kitu chenye...

READ MORE

Samia: Longido Kulikuwa na DED Mkorofi, Nilimuondoa – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi kufanya kazi kwa weredi na kuacha malumbano...

READ MORE

Young Thug Aiharibu Rolls-Royce ya Tsh Mil 600

Rapa maarufu wa pande za Joe Biden namaanisha Marekani, Jeffery Lamar Williams almaarufu kama Young Thug anayetamba na albamu yake...

READ MORE

Mwanafunzi Aozeshwa kwa Mahari ya Tsh. 330,000 na Nguruwe

MKAZI wa Kitongoji cha Mabatini, wilayani Nkasi mkoani Rukwa, Kennedy Fumpa (37), amekamatwa kwa tuhuma za kumuoa mwanafunzi wa darasa...

READ MORE

Rais Samia: Msiseme Mama Anazunguka tu – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amesema ziara anazofanya nchi mbalimbali zinafaida kubwa kwa nchi...

READ MORE

Kada wa Chadema Arudi CCM, Amuomba Kazi Rais Samia

ALIYEWAHI kuwa Diwani wa Sombetini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Ally Bananga, ametangaza kurejea katika chama tawala cha...

READ MORE

Ofisi ya Mtendaji wa Kijiji Yachomwa Moto

OFISI ya mtendaji wa kijiji cha Mwabagalu kata ya Nyabubinza wilayani Maswa Mkoa wa Simiyu imechomwa moto alfajiri ya leo...

READ MORE

Dkt. Gwajima Akutana Na Naibu Waziri Wa Afya wa Urusi

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu...

READ MORE

Waziri Chande Azitaka Halmashauri Kuzibana Kumbi Zinazopiga Kelele

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Hamad Chande amezitaka halmashauri nchini kuhakikisha zinadhibiti nyumba za starehe...

READ MORE

TTCL Yawafunda Vijana Matumizi Sahihi Ya Tehama

  VIJANA nchini Tanzania wameshauriwa kuitumia TEHAMA kwa malengo yaliyokusudiwa ili iweze kuwasaidia kupiga hatua katika kujijenga kiuchumi. Ushauri huo...

READ MORE

Aliyejaribu Kujiua Mara Tatu, Hatimaye Ajiua

Mkazi wa Kijiji cha Riroda, wilayani Babati mkoani Manyara, Monica Manyara (65), amefariki dunia baada ya kujinyonga hadi kufa kwa...

READ MORE

Hatuna Upungufu wa Chanjo, Mzigo Mwingine Upo Njiani – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania haina uhaba wa chanjo ya Uviko – 19...

READ MORE

Sabaya Kukata Rufaa – Video

ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake watatu wanatarajia kukata rufaa baada ya kutoridhishwa na hukumu...

READ MORE

Sabaya: Mungu Yupo Kazini

ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai. Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya amewataka ndugu zake wasiogope kwani Mungu yupo kazini....

READ MORE

Ripoti ya CAG Kuanza Kuchambuliwa Bungeni

Vikao vya Kamati za Kudumu za Bunge la Tanzania vitaanza Jumatatu ya 18 hadi 30 Oktoba 2021. Pamoja na mambo...

READ MORE

Kijana Hamisi Afariki Dunia – Video

KIJANA Hamisi Salum (21) aliyekuwa akisumbuliwa na tatizo la kuvimba miguu amefariki dunia akiwa nyumbani kwao Tandika jijini Dar es...

READ MORE

Majaliwa: Tanapa, Wadau wa Utalii Shirikianeni Kuitangaza Rubondo

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA) ishirikiane na wadau wa masuala ya utalii ukiwemo uongozi...

READ MORE

Mbaroni kwa Tuhuma za Kutengeneza Vitambulisho Feki vya NIDA

  Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Abdul Selemani mwenye umri wa miaka 27, Mluguru mfanyabiashara wa stationary mkazi...

READ MORE

Wasifu wa Lengai Ole Sabaya

LENGAI Ole Sabaya amezaliwa 26/12/1986 mkoani Arusha. Amesoma Shahada ya Sayansi katika Elimu Chuo Kikuu cha Mtakatifu John Dodoma (St....

READ MORE

Breaking: Sabaya Ahukumiwa Jela Miaka 30

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro,...

READ MORE

Sabaya Akutwa na Hatia “Sio Mimi, Nilitumwa, Nataka Kufunga Ndoa”

Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Arusha, Odira Amworo amesema hakuna shaka washitakiwa watatu walifika dukani kwa Mohamed Saad siku...

READ MORE

Samia Aweka Jiwe la Msingi Hopsitali ya Mawenzi – Video

Rais Samia, Mapema Oktoba 15, 2021 ameweka jiwe la msingi katika Hopsitali ya Mawenzi Mkoani Kilimanjaro wakati akizindua jengo la...

READ MORE

Rais Samia Apokelewa kwa Mabango Kilimanjaro – Video

Baadhi ya wananchi wamejitokeza kwenye ziara ya Rais Samia Hassani Suluhu, wakiwa na mabango yenye jumbe mbalimbali, ikiwamo migogoro ya...

READ MORE

Mollel Atamani Uchaguzi Kesho, Kisa ni Hiki

Naibu Waziri wa Afya, Dk. Godwin Mollel, amesema akimtazama Rais Samia Suluhu Hassan anatamani uchaguzi uwe kesho ili watu waheshimiane...

READ MORE

Hukumu ya Sabaya Yaanza Kusomwa Kortini

HUKUMU ya kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya...

READ MORE

Prof. Ndalichako Awapa Maagizo Maafisa Elimu Ngazi Za Halmashauri

  Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako amewaagiza maafisa elimu wote wa ngazi za Halmashauri kuhakiksha wanasimamia...

READ MORE

Rais Samia Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Daraja la Rau – Video

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi katika Daraja la Rau, linalounganisha Moshi vijijini na Moshi mjini,...

READ MORE

Hukumu Ya Sabaya: Kinachoendelea Mahakamani-Video

Idadi kubwa ya wakazi wa jiji la Arusha wamejitokeza leo Ijumaa Oktoba 15, 2021 katika viwanja vya Mahakama ya Hakimu...

READ MORE

Rais Samia Kufanya Ziara ya Siku 2 Arusha

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hasani anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi siku mbili mkoani Arusha, ambapo atazindua miradi mbalimbali ya...

READ MORE