×

Kitaifa

Kigogo Aliyeomba Kukiri Kosa Akamzike Baba’ke, Mapya Yaibuka

UPANDE wa mashtaka katika kesi inayomkabili Mwanasheria wa Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Joseph Makandege umesema bado hawajafikia...

READ MORE

Kesi ya Sabaya Yakwama Kortini

Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita imeahirishwa...

READ MORE

Samia: Tutaendelea Kushirikiana na Burundi

TANZANIA imesema itaedelea kushirikiana na Burundi katika kuimarisha ulinzi katika mipaka yetu. Hayo yamesemwa na Rais Samia Suluhu, katika mazungumzo...

READ MORE

Mbaroni kwa Kukamatwa na Meno ya Tembo

JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili 1. Lipande Said Simwiche (62) na 2. Juma Pius (32) wote...

READ MORE

HESLB: Majina ya Wanafunzi 7,364 Waliopata Mkopo Awamu ya Pili

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza orodha ya awamu ya pili yenye wanafunzi 7,364 wa...

READ MORE

Mbuga ya Serengeti Namba Moja Tena

MAMLAKA ya Tuzo ya Dunia ya Safari (WTA) imeitangaza Mbuga ya wanyama ya Serengeti nchini Tanzania kama mbuga ya wanyama...

READ MORE

Utingo Malori ya Dangote Auawa kwa Kupigwa na Sungusungu – Video

  Utingo wa malori ya Kiwanda cha Saruji cha Dangote, Imani Abdallah Mnyoge mwenye umri wa miaka 31, mkazi wa...

READ MORE

Maagizo ya Waziri Mkuu kwa Wakuu wa Mikoa – Video

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Wakuu wa Mikoa yote nchini wanapaswa kusimamia kwa karibu fedha maalum ya sh. trilioni 1.3...

READ MORE

CHADEMA Yatoa Tamko Kesi ya Mbowe

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema uamuzi wa jana na Jaji Kiongozi Mustapha Siyani, pamoja na kuitwa uamuzi mdogo...

READ MORE

Ahukumiwa Kunyongwa Hadi Kufa kwa Kumuua Abiria

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Mkoa wa Mbeya, imemhukumu kunyongwa hadi kufa, Emmanuel Msomba (30) baada ya kupatikana na kosa...

READ MORE

Kigogo Vodacom Afunguka Alivyochunguza Simu za Sabaya

MENEJA Ulinzi na Ushirika wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wa Kampuni ya Vodacom (T) Makao Makuu Dar es Salaam,...

READ MORE

Hukumu ya Miaka 30 Jela: Sabaya Akata Rufaa

ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wamewasilisha taarifa ya kusudio la kukata rufaa Mahakama Kuu...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi TCU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Penina Muhando kuwa Mwenyekiti wa Tume ya...

READ MORE

Hukumu ya Aveva, Kaburu Yapigwa Kalenda Tena

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeshindwa kutoa hukumu kutokana na kutokamilika uandaaji wa hukumu na kuomba kuahirishwa kwa shauri hilo...

READ MORE

Rais Mwinyi Afanya Uteuzi Mpya

Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali akiwemo Jaji Khamis Ramadhan Abdalla kuwa Kaimu Jaji...

READ MORE

BoT Yapongeza Mfumo wa Majaribio ya Suluhishi za Kidijitali NMB

    BoT yapongeza Mfumo wa Majaribio ya Suluhishi za Kidijitali NMB Benki ya NMB imezindua Mfumo wa Majaribio ya...

READ MORE

Lindi: Dereva wa Lori Afariki Mikononi mwa Polisi

Jeshi la Polisi mkoani Lindi, wametolea ufafanuzi wa tukio la dereva wa lori aliyefariki mikononi mwa polisi mnamo Oktoba 17,...

READ MORE

CHADEMA Haijaridhika na Maamuzi ya Mahakama

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo, kimesema hakijaridhika na uamuzi uliotolewa na Jaji Kiongozi Mustapha Siyani katika kesi ndogo ndani ya...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Kikao ha Baraza la Mawaziri

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Oktoba 20, 2021 ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri...

READ MORE

Wakili IPTL Aomba Kukiri Makosa Akamzike Baba Yake

MWANASHERIA wa Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Joseph Makandege, ameiomba tena kufanya mazungumzo na ofisi...

READ MORE

Kumbukumbu za Miamala ya Simu za Sabaya Zatua Mahakamani

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha imetupilia mbali pingamizi la kutaka nyaraka mbalimbali zikiwemo kumbukumbu za kupiga na kupokea simu, kutuma...

READ MORE

Meneja Ulinzi Vodacom Apanda Kizimbani Kesi ya Sabaya

MENEJA wa Ulinzi na Mshirika Katika Vyombo vya Ulinzi na Usalama Vodacom PLC Makao Makuu, James Wawenje amepanda kizimbani leo...

READ MORE

Askofu Akutana na Waganga wa Kienyeji Gamboshi

ASKOFU wa Kanisa Katoliki Jimbo la Shinyanga Mhashamu Liberatus Sangu amekutana na Waganga wa tiba asili na tiba mbadala katika...

READ MORE

Kijana Mtanzania Aliyeuawa Marekani, Familia Yanena Mazito

Familia ya Kijana Mtanzania Humphrey Magwira aliyeuawa kwa kupigwa risasi siku ya Ijumaa kufuatia ajali ya gari alilokuwa akiendesha kugonga...

READ MORE

Jaji Siyani Ajitoa Kesi ya Mbowe

Jaji Mustapha Siyani aliyekuwa akiendesha kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake  amejitoka kuendesha kesi hiyo leo Jumatano,...

READ MORE

Askofu Mwamakula Alivyoangusha Maombi Mahakamani Kesi ya Mbowe

Askofu wa Kanisa la Uamsho la Moravian, Emmaus Mwamakula, ameendesha maombi maalum katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa...

READ MORE

Mahakama Yatupilia Mbali Pingamizi la Mbowe

Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, leo Jumatano Oktoba 20, 2021 imetoa hukumu ya kesi ndogo...

READ MORE

Uganda Yazindua Gari la Kivita Lililoundwa Nchini Humo

KAMANDA wa vikosi vya ardhi nchini Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ameweka kwenye Twitter picha ya kile anachosema kuwa gari la...

READ MORE

Mwanafunzi wa Kitanzania Auawa kwa Risasi Marekani

Kijana wa Kitanzania aliyekuwa akiishi nchini Marekani na wazazi wake, Humphrey Magwira amepigwa risasi na kuuawa katika eneo la Fort...

READ MORE

Miaka 10 ya LSF: Watu Milioni 6.4 Wapata Msaada, Elimu ya Kisheria

Shirika la Huduma za Sheria (LSF) linatimiza miaka 10 tangu kuanzishwa kwake. Ni muongo mmoja ambao umewanufaisha mamilioni ya Watanzania...

READ MORE

Fisi Aua Mtoto Tena Shinyanga, Wazee wa Mila Wacharuka

Wakazi wa Kata ya Kitangiri katika Manispaa ya Shinyanga wamewaomba viongozi wa ngazi zote kuchukua hatua za haraka za kukabiliana...

READ MORE

Radi Yaua Ng’ombe 15

Radi iliyoambatana na mvua imeuwa ng’ombe 15 usiku wa kuamkia leo Oktoba 18, 2021, katika Kijiji cha Zaire kilichopo Kata...

READ MORE

Mbeya, Kilimanjaro Waongoza kwa Wanawake Wenye Vitambi

WANAWAKE wa Mikoa ya Kilimanjaro, Mbeya na Arusha wanaongoza kwa kuwa na unene uliopitiliza na kupata viribatumbo maarufu kitambi.  ...

READ MORE

Machinga Dar Waongezewa Siku 12

Serikali ya mkoa wa Dar es Salaam imewaongezea siku 12 wafanyabiashara ndogo ndogo (wamachinga) kuanzia leo wahame katika maeneo yasiyo...

READ MORE

Basi la Adventure Lapata Ajali Mlima Kamba

Abiria waliokuwa wanasafiri kutoka Mpanda mkoani Katavi kwenda Kasulu mkoani Kigoma, wamenusurika kifo baada ya Basi la Kampuni ya Adventure...

READ MORE

Kifo cha Ole Nasha, NEC Yatangaza Uchaguzi Ngorongoro

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), leo Jumatatu, Oktoba 18, 2021 imetangaza ratiba ya uchaguzi mdogo wa ubunge katika Jimbo...

READ MORE

Huyu Ndo DED Mkorofi Aliyetajwa na Rais Samia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa ukorofi na kukosekana kwa nidhamu ndiyo kulikopelekea kumhamisha...

READ MORE

Sabaya Anyolewa, Afikishwa Mahakamani Kesi Nyingine Tena

IKIWA ni siku tatu tangu alipohukumiwa kwenda jela miaka 30, yeye na wenzake wawili kwa makosa ya nunyang’anyi wa kutumia...

READ MORE

Mke Amchoma Kisu Mumewe

JESHI la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia mwanamke aitwaye Amina Hamis (32) kwa tuhuma za kumjeruhi kwa kumchoma kitu chenye...

READ MORE

Samia: Longido Kulikuwa na DED Mkorofi, Nilimuondoa – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi kufanya kazi kwa weredi na kuacha malumbano...

READ MORE