UPANDE wa mashtaka katika kesi inayomkabili Mwanasheria wa Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Joseph Makandege umesema bado hawajafikia...
READ MOREKesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita imeahirishwa...
READ MORETANZANIA imesema itaedelea kushirikiana na Burundi katika kuimarisha ulinzi katika mipaka yetu. Hayo yamesemwa na Rais Samia Suluhu, katika mazungumzo...
READ MOREJESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili 1. Lipande Said Simwiche (62) na 2. Juma Pius (32) wote...
READ MOREBODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza orodha ya awamu ya pili yenye wanafunzi 7,364 wa...
READ MOREMAMLAKA ya Tuzo ya Dunia ya Safari (WTA) imeitangaza Mbuga ya wanyama ya Serengeti nchini Tanzania kama mbuga ya wanyama...
READ MOREUtingo wa malori ya Kiwanda cha Saruji cha Dangote, Imani Abdallah Mnyoge mwenye umri wa miaka 31, mkazi wa...
READ MOREWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Wakuu wa Mikoa yote nchini wanapaswa kusimamia kwa karibu fedha maalum ya sh. trilioni 1.3...
READ MORECHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema uamuzi wa jana na Jaji Kiongozi Mustapha Siyani, pamoja na kuitwa uamuzi mdogo...
READ MOREMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Mkoa wa Mbeya, imemhukumu kunyongwa hadi kufa, Emmanuel Msomba (30) baada ya kupatikana na kosa...
READ MOREMENEJA Ulinzi na Ushirika wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wa Kampuni ya Vodacom (T) Makao Makuu Dar es Salaam,...
READ MOREALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wamewasilisha taarifa ya kusudio la kukata rufaa Mahakama Kuu...
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Penina Muhando kuwa Mwenyekiti wa Tume ya...
READ MOREMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeshindwa kutoa hukumu kutokana na kutokamilika uandaaji wa hukumu na kuomba kuahirishwa kwa shauri hilo...
READ MORERais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali akiwemo Jaji Khamis Ramadhan Abdalla kuwa Kaimu Jaji...
READ MOREBoT yapongeza Mfumo wa Majaribio ya Suluhishi za Kidijitali NMB Benki ya NMB imezindua Mfumo wa Majaribio ya...
READ MOREJeshi la Polisi mkoani Lindi, wametolea ufafanuzi wa tukio la dereva wa lori aliyefariki mikononi mwa polisi mnamo Oktoba 17,...
READ MORECHAMA cha Demokrasia na Maendeleo, kimesema hakijaridhika na uamuzi uliotolewa na Jaji Kiongozi Mustapha Siyani katika kesi ndogo ndani ya...
READ MORERAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Oktoba 20, 2021 ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri...
READ MOREMWANASHERIA wa Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Joseph Makandege, ameiomba tena kufanya mazungumzo na ofisi...
READ MOREMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha imetupilia mbali pingamizi la kutaka nyaraka mbalimbali zikiwemo kumbukumbu za kupiga na kupokea simu, kutuma...
READ MOREMENEJA wa Ulinzi na Mshirika Katika Vyombo vya Ulinzi na Usalama Vodacom PLC Makao Makuu, James Wawenje amepanda kizimbani leo...
READ MOREASKOFU wa Kanisa Katoliki Jimbo la Shinyanga Mhashamu Liberatus Sangu amekutana na Waganga wa tiba asili na tiba mbadala katika...
READ MOREFamilia ya Kijana Mtanzania Humphrey Magwira aliyeuawa kwa kupigwa risasi siku ya Ijumaa kufuatia ajali ya gari alilokuwa akiendesha kugonga...
READ MOREJaji Mustapha Siyani aliyekuwa akiendesha kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake amejitoka kuendesha kesi hiyo leo Jumatano,...
READ MOREAskofu wa Kanisa la Uamsho la Moravian, Emmaus Mwamakula, ameendesha maombi maalum katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa...
READ MOREMahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, leo Jumatano Oktoba 20, 2021 imetoa hukumu ya kesi ndogo...
READ MOREKAMANDA wa vikosi vya ardhi nchini Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ameweka kwenye Twitter picha ya kile anachosema kuwa gari la...
READ MOREKijana wa Kitanzania aliyekuwa akiishi nchini Marekani na wazazi wake, Humphrey Magwira amepigwa risasi na kuuawa katika eneo la Fort...
READ MOREShirika la Huduma za Sheria (LSF) linatimiza miaka 10 tangu kuanzishwa kwake. Ni muongo mmoja ambao umewanufaisha mamilioni ya Watanzania...
READ MOREWakazi wa Kata ya Kitangiri katika Manispaa ya Shinyanga wamewaomba viongozi wa ngazi zote kuchukua hatua za haraka za kukabiliana...
READ MORERadi iliyoambatana na mvua imeuwa ng’ombe 15 usiku wa kuamkia leo Oktoba 18, 2021, katika Kijiji cha Zaire kilichopo Kata...
READ MOREWANAWAKE wa Mikoa ya Kilimanjaro, Mbeya na Arusha wanaongoza kwa kuwa na unene uliopitiliza na kupata viribatumbo maarufu kitambi. ...
READ MORESerikali ya mkoa wa Dar es Salaam imewaongezea siku 12 wafanyabiashara ndogo ndogo (wamachinga) kuanzia leo wahame katika maeneo yasiyo...
READ MOREAbiria waliokuwa wanasafiri kutoka Mpanda mkoani Katavi kwenda Kasulu mkoani Kigoma, wamenusurika kifo baada ya Basi la Kampuni ya Adventure...
READ MORETume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), leo Jumatatu, Oktoba 18, 2021 imetangaza ratiba ya uchaguzi mdogo wa ubunge katika Jimbo...
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa ukorofi na kukosekana kwa nidhamu ndiyo kulikopelekea kumhamisha...
READ MOREIKIWA ni siku tatu tangu alipohukumiwa kwenda jela miaka 30, yeye na wenzake wawili kwa makosa ya nunyang’anyi wa kutumia...
READ MOREJESHI la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia mwanamke aitwaye Amina Hamis (32) kwa tuhuma za kumjeruhi kwa kumchoma kitu chenye...
READ MORERAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi kufanya kazi kwa weredi na kuacha malumbano...
READ MORE