×

Kitaifa

Serikali Kwa Ushirikiano na Wadau wa Hamburg Kuimarisha Bustani za Majiji

SERIKALI kwa kushirikiana na wadau kutoka nchi ya Hamburg ,wameonyesha dhamira ya uboreshaji wa bustani mbalimbali zilizopo katika miji  ikiwemo...

READ MORE

TET na Taasisi Tano Zisizo za Kiserikali Zasaini Makubaliano Kuboresha Elimu Nchini

Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) leo tarehe 29/11/2023 imesaini makubaliano na taasisi tano zisizo za kiserikali yenye  lengo la kuboresha...

READ MORE

Msimu Huu wa Sikukuu, Airtel Money na WhiteBall Wazindua ‘Cheza Ushinde’

   Wateja wa AIRTEL MONEY kupata fursa ya kujishindia pesa,simu, TV na PikiPiki msimu huu wa sikukuu kila siku...

READ MORE

Dk Gwajima: Msiishie Kukomenti Mitandaoni Zuieni Ukatili wa Kijinsia

WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dk Dorothy Gwajima amewataka watu wasiishie tu kukomenti kwenye mitandao...

READ MORE

NMB, Oryx Tanzania wazindua ‘Moto Mkali Bei Poa,’ Kukopesha Gesi ya Kupikia

BENKI ya NMB imeingia Makubaliano ya Ushirikiano (MoU) na Kampuni ya Uuzaji na Usambazaji Gesi ya Oryx Gas Tanzania, yaliyopewa...

READ MORE

Tuzo za Wakuu na Watendaji Wa Makampuni 100 Bora Tanzania Kuchochea Ufanisi Kazini

TUZO za wakuu na watendaji wa makampuni 100 bora zaendelea kuwa chachu ya maendeleo Nchini kwa kuendelea kufanya kazi zaidi...

READ MORE

NMB Mlipa Kodi Mkubwa na Bora Zaidi Tanzania 2023

Huu ni mwaka wa pili mfululizo kwa Benki ya NMB kupata tuzo hizi. Jumla ya Tuzo ilizopata Benki ya NMB...

READ MORE

Washindi wa Droo ya Saba ya Y9 Microfinance Wapatikana

Washindi wa Droo ya saba ya Y9 Microfinance wamepatikana ambapo mshindi wa pikipiki anaitwa Anorld Jacob huku mshindi mwingine wa...

READ MORE

Shule za St. Mary’s Zaendelea Kung’ara Darasa la Saba

SHULE za St Mary’s nchini zimeendelea kufanya vizuri kwenye mitihani ya darasa la saba kwa wanafunzi wake kupata wastani wa...

READ MORE

Kampuni ya T-PESA: Maadhimisho Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa Umeleta Chachu Katika Utoaji Elimu kwa Wateja

KAMPUNI Tanzu ya Shirika la Mawasiliano Tanzania, T-PESA imesema kuwa uwepo wa Maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa umeleta...

READ MORE

CMSA: Upatu Haramu Unafilisi

MAMLAKA ya masoko ya mitaji na dhamana (CMSA) imeitaka jamii kujihadhari na upatu haramu kwani ni hatari kwa maendeleo na...

READ MORE

Benki ya NBC Yashirikiana Taasisi Sita Kuongeza Ukusanyaji Wa Mapato Zanzibar  

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesaini hati ya Makubaliano (MOU) na taasisi sita za Serikali ya Mapinduzi Zanzbar (SMZ)...

READ MORE

REA Yafikisha Umeme Kwenye Vijiji 455 Mkoani Lindi

Jumla ya vijiji 455 kati ya 524 vya Mkoa wa Lindi vimekwishafikishiwa huduma ya umeme na kazi inaendelea katika vijiji...

READ MORE

Agizo La Naibu Waziri Mkuu Kufikisha Huduma Ya Umeme Mtwara Laanza Kutekelezwa

KUPELEKA WAKANDARASI KUFANYA TATHIMINI MADIMBA NA MSIMBATI KABLA TA UTEKELEZAJI WAKALA wa Nishaji Vijijini (REA) umeanza utekelezaji wa maagizo ya...

READ MORE

NSSF Ilifanya Uamuzi Wa Kizalendo Kutoa Fedha Kwa Ajili Ya Ujenzi Daraja La Nyerere, Kigamboni

*Yampongeza Mama Samia kwa kuruhusu matumizi ya bando, yawahamasisha wananchi kutumia mfumo huo   Kamati ya Kudumu ya Bunge ya...

READ MORE

Kesi ya Shambulio la Mwili Kuendelea Kusikilizwa Mwezi Desemba 

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni, inatarajia kuendelea kusikiliza kesi ya tuhuma za shambulio la mwili Desemba 7,2023 inayomkabili mfanyakazi wa...

READ MORE

NBC Yatoa Elimu ya Kifedha kwa Wanafunzi Shule ya Sekondari Tambaza

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imetoa elimu ya masuala ya kibenki na umuhimu wa kujijengea utamaduni wa uwekaji akiba...

READ MORE

Hizi hapa sababu za NMB kuipa kipaumbele miradi ya kijani

NMB yabainisha sababu za kuipa kipaumbele miradi rafiki kimazingira Benki ya NMB imesema imeanza kuzingatia kwa karibu masuala ya uhifadhi...

READ MORE

Hafla Ya Uzinduzi wa Mauzo ya Hisa za Upendeleo za Kampuni ya TCCIA Investment Plc Yafaana!

Serikali kupitia Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) ina jukumu la kuweka mazingira wezeshi ya kisera, kisheria na...

READ MORE

Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini Aagiza Miradi Ikamilike Kabla ya Desemba 2023

ATAKA WAKANDARASI KUHAKIKISHA UBORA NA WELEDI KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini, Balozi Meja Jenerali Mstaafu...

READ MORE

Serikali Yaipa REA Bil 170 Utekelezaji Miradi ya Umeme Mtwara

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt Dotto Biteko amesema serikali imetoa BILIONI 170 kwa ajili ya utelekezaji wa...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa: WCF ipo, Utaishi Vizuri na Utatunza Familia Yako”

  WAZIRI Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amemuhakikishia Mnufaika wa Fidia inayotolewa na Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Bi. Halima...

READ MORE

HaloPesa Yazindua “Okota na Halopesa”

Kuelekea Katika Msimu wa Sikuukuu Halotel ikiwa kampuni inayosifika nchini kupitia huduma yake ya kifedha ya HaloPesa, imekuja kivingine na...

READ MORE

Rotary Tanzania Kuendesha Kambi ya Matibabu Bure Jumamos Bunju Shule

Mamia ya wakazi wa Bunju na maeneo ya Jirani wametakiwa kujitokeza kwa wingi siku ya Jumamosi Novemba 18 2023 katika...

READ MORE

Benki ya Absa Yajizatiti Katika Kuwawezesha Watoto wa Kitanzania

ILI kuhakikisha watoto wa kitanzania wanafikia malengo yao ya kimaisha, Benki ya Absa Tanzania imetoa msaada wa kiasi cha Sh...

READ MORE

Wawezeshaji Wa Kitaifa wa Mafunzo ya Mtaala Mpya Wapaswa Kuzingatia Mafunzo kwa Umakini

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Tecknolojia, Dk Franklin Rwezimula amewataka wawezeshaji  kitaifa  wa mtaala wa Elimu ya...

READ MORE

Benki ya Mwanga Hakika Yaja na “PINK Mwanamke Account” Kuwawezesha Wanawake Kifedha

*Wateja kupata uhakika wa kuweka akiba na kufurahia faida kwenye amana zao Benki ya Mwanga Hakika Limited imekuja na huduma...

READ MORE

CRDB Yaweka Historia Kushinda Vipengele Vilivyokuwa Kwenye Comsumer Choice Awards Africa 2023

Benki ya CRDB yaweka historia kwa kushinda idadi nyingi ya vipengele vilivyokuwa kwenye Comsumer Choice Awards Africa 2023 kwa kupata...

READ MORE

TET Yawasilisha Mtaala Mpya Katika Mkutano wa Umoja wa Wakuu wa Shule za Msingi

Mkurugenzi Idara ya Ubunifu na  Ukuzaji Mitaala kutoka Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) Dkt. Godson Lema amewasilisha anzia mwaka Januari,...

READ MORE

Wateja wa Y9 Microfinance Waongezewa Dau la Mkopo

 Taasisi ya kifedha ya Y9 Microfinance imeendelea na utaratibu wake wa kukabidhi zawadi kila wiki ambapo wiki  hii wamekabidhi zawadi...

READ MORE

Wanufaika Mradi wa KLIC Watakiwa Kutunza Vifaa Vya TEHAMA-TET

Shule zote nchini zilizonufaika  na vifaa vya mradi wa  KOREAN  E-LEARNING IMPROVEMENT COOPORATION(KLIC) ulio chini ya Ofisi ya Elimu ya...

READ MORE

Tamasha La FintechFestival Kuibua Fursa za Uwekezaji Nchini

TAMASHA la FinTech kuibua uwezo wa FinTech nchini na kuonyesha fursa kwa wawekezaji wa kimataifa kujitosa katika soko la Tanzania...

READ MORE

TRA Yaanza Wiki ya Shukrani Kwa Mlipakodi, Kutatambua walipakodi Waliofanya Vizuri

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) leo Novemba 08, 20223 imeanza Wiki ya shukrani kwa mlipakodi ambapo itatambua walipakodi wao waliofanya...

READ MORE

TET Na Korea Kusini Wasaini Mkataba wa Miaka Mitatu wa Kukuza TEHAMA Wa KLIC

WIZARA ya Elimu, Sayansi  na Tekonolojia (WyEST) kupitia Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) imesaini mkataba wa hati ya makubaliano (MoU)...

READ MORE

NMB Yaingia Makubaliano Kuwezesha Mashirikiano Baina ya Sekta za Serikali na Sekta Binafsi Zanzibar

Benki ya NMB imesaini Mkataba wa Makubaliano (MoU) na Idara ya Mashirikiano baina ya Sekta za Serikali na Sekta Binafsi...

READ MORE

Mradi wa KLIC Kusaidia Wanafunzi wa Shule za Msingi Katika Matumizi ya TEHAMA

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) Dkt. Aneth Komba amesema kuwa, ujio wa mradi wa “Korea e- learning...

READ MORE

Naibu Waziri Mkuu Dkt. Biteko Akutana na Mkurugenzi Mkuu PSSS

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Bideko, amekutana na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya...

READ MORE

Kamanda Muliro Atoa Tahadhari Ya Kiusalama Mchezo wa Soka Kati ya Simba na Yanga Leo

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linatambua kuwa leo Jumapili, Novemba 05, 2023 kwenye Uwanja wa Benjamini...

READ MORE

Nmb Yaja na Bonge la Mpango, Kuwanufaisha Wakulima

  Benki ya NMB Kanda ya Kusini imezindua kampeni maalum kwa wakulima wa kanda hii ijulikanayo kama Bonge la Mpango...

READ MORE

Kongamano la Kimataifa Ubora wa Elimu Kufanyika Dar

  MTANDAO wa Elimu Tanzania (TEN/MET) unaoundwa na Asasi za Kiraia (AZAKI) 219 zinazofanya kazi katika sekta ya elimu Tanzania Bara...

READ MORE