×

Kitaifa

Waziri Kairuki Akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje...

READ MORE

Waziri Kairuki Azindua Vitendea Kazi Vya Doria Misituni Vyenye Thamani Ya Tsh bILIONI 6

• Asisitiza lengo ni kuboresha utendaji kazi Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amezindua vitendea kazi vya...

READ MORE

Exim Yajivunia Mafanikio Mwaka 2023, Yaongeza Faida kwa Asilimia 36

  Benki ya Exim imetangaza ripoti yake ya kifedha ya Mwaka 2023, inayoonesha mafanikio makubwa katika njanja mbalimbali ikiwemo ongezeko...

READ MORE

Maadhimisho Miaka 47 ya CCM, Mbunge Cherehani Atoa Madawati 975

Na Mathias Canal, Ushetu-Kahama Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe Emmanuel Cherehani kupitia Ofisi ya mbunge ametoa madawati 975 yenye...

READ MORE

CRDB Yazindua Msimu wa Tatu wa Kampeni ya ‘Benki ni SimBanking’

Katika jitihada zake za kuhamasisha matumizi ya mifumo ya kidijitali nchini, Benki ya CRDB imezindua msimu wa tatu wa kampeni...

READ MORE

Hakielimu, Chuo Kikuu HAMK Kuimarisha Elimu ya Undi na Mafunzo Tanzania

Mkuu wa Uchumi na Utawala Umoja wa Ulaya, Karina Dzialowska (wa pili kushoto) pamoja na Afisa wa Umoja wa Ulaya...

READ MORE

Makatibu Wakuu wa Vyama Sita Marafiki vya Ukombozi Mwa Afrika Wasaini Katiba ya Usimamizi Shule ya Uongozi

Makatibu Wakuu wa Vyama Sita Marafiki vya Ukombozi Kusini mwa Afrika, wakisaini Katiba ya Usimamizi na Uendeshaji wa Shule ya...

READ MORE

Prof. Joyce Ndalichako Akabidhi Mashamba na Vitendea kazi Kwa Vijana

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako (Mb) amekabidhi mashamba...

READ MORE

NMB Yazindua Akaunti Ya NMB Pesa, Isiyokuwa Na Makato Ya Mwezi

Benki ya NMB imeanzisha kampeni kubwa ya kuhamasisha na kuwawezesha watu wengi kufungua akaunti ili waweze kunufaika na faida za...

READ MORE

Waziri Makamba Akutana na Waziri wa Uhamiaji na Bima ya Taifa wa Bahamas

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe January Makamba amekutana na Waziri wa Uhamiaji na Bima...

READ MORE

Halotel yamzawadia Gari Mpya Mshindi wa Kampeni Kabambe ya Kivumbi na Halotel

Kampuni ya simu ya Halotel leo imetoa na kukabidhi zawadi kubwa ya gari aina ya Mazda CX5 kwa mshindi wa...

READ MORE

CRDB Bank Foundation, UNDP Kuwezesha Wajasiriamali Wanawake na Vijana

*CRDB Bank Foundation, UNDP kuwezesha wajasiriamali wanawake na vijana kunufaika na fursa za AfCFTA* Taasisi yetu ya CRDB Bank Foundation...

READ MORE

Halotel Yafanya Usafi Soko La Makumbusho

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Halotel pamoja na wafanyakazi wake wemeshiriki katika zoezi la usafi soko la Makumbusho jijiji...

READ MORE

Mhandisi Luhemeja: Tufanye Kazi Kwa Ushirikiano na Kutangaza Mafanikio Yetu

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhandisi Cyprian Luhemeja, amefanya kikao kazi na watendaji...

READ MORE

OSHA Yaagizwa Kusajili Maeneo Yote ya Kazi nchini Ifikapo Juni 2024

Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umeagizwa kusajili maeneo yote ya kazi nchini pamoja na kuhakikisha kwamba...

READ MORE

Wafanyakazi Benki ya NBC, Wadau Waanza Safari Kuitambulisha POS ya NBC Mlima Kilimanjaro

Wafanyakazi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) na wadau mbalimbali wa utalii mkoani Kilimanjaro wameanza safari ya kihistoria ya...

READ MORE

Naibu Waziri wa Uchukuzi Kihenzile Akabidhi Kontena Lenye Vifaa vya Hospitali ya Wilaya ya Mufindi

Mbunge wa Mufindi Kusini ambeye pia ni Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amekabidhi kontena lenye shehene yenye vifaa mbalimbali...

READ MORE

Sekta Binafsi Kushirikishwa Masuala ya Maji

Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amewataka Watendaji wa Wizara ya Maji kutekeleza miradi kwa weledi, viwango na kuzingatia...

READ MORE

Benki Ya NBC  Yazindua Kampeni Ya”Tabasamu Tukupe Mashavu’’ Kumwaga Zawadi Kwa Wateja Msimu Wa Sikukuu

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua kampeni yake ya msimu wa Sikukuu za mwisho wa mwaka  inayofahamika kama “Tabasamu...

READ MORE

Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Maji Kufanyika Arusha

Waziri wa Maji Jumaa Aweso anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa wadau wa sekta ya maji utakaofanyika kwa siku...

READ MORE

Kampuni ya Bima ya Phoenix Tanzania yabadilisha jina kwenda MUA Tanzania

Kampuni ya Bima ya Phoenix Tanzania yabadilisha jina kwenda MUA Tanzania kuakisi ubora na ukuaji wa huduma Dar es Salaam,...

READ MORE

Benki ya NBC, Wafanyakazi Wakabidhi Msaada Kwa Wahanga wa Mafuriko Hanang

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) sambamba na wafanyakazi wa benki hiyo leo wamekabidhi msaada wa fedha taslimu kiasi cha...

READ MORE

CRDB leo Yakabidhiwa Cheti cha Viwango vya Usimamizi wa Huduma za TEHAMA

Benki ya CRDB leo imekabidhiwa cheti cha viwango vya Usimamizi wa Huduma za TEHAMA cha ISO 20000-1:2018 kilichotolewa na Shirika...

READ MORE

Kesi ya Shambulio la Mwili Kusikilizwa Jumatatu 

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam inatarajia kuendelea kusikiliza kesi ya tuhuma za shambulio la mwili jumatatu inayomkabili...

READ MORE

Tanesco Watoa Tamko Kuhusu Hitilafu Iliyojitokeza Katika Gridi ya Taifa

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linautaarifu umma kuhusu hitilafu iliyojitokeza katika Gridi Taifa leo tarehe 08 Disemba 2023 majira ya...

READ MORE

Benki ya NBC, Taasisi ya Benjamini Mkapa Wazindua Ufadhili wa Mafunzo ya Ukunga kwa Wauguzi 50

Morogoro, Benki ya NBC kwa kushirikaina na taasisi ya Benjamin Mkapa Foundation wamezidua rasmi utekelezaji wa mpango wa ufadhili wa...

READ MORE

Absa Tanzania Yazindua Mfumo wa Malipo ya Kadi za Benki Kupitia Simu za Mkononi

Absa MobiTap inawezesha wauzaji kupokea malipo ya kadi za benki kutoka kwa wateja kwa kutumia simu janja kama mashine ya...

READ MORE

CEO NMB Ashiriki Mkutano wa Benki ya Dunia, Akutana na Rais wa Taasisi Hiyo

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ruth Zaipuna ameshiriki uzinduzi wa Mkutano Mkuu wa Benki ya Dunia (IDA20...

READ MORE

Mwenyekiti wa Bodi ya NSSF Afanya Ziara ya Kikazi Makao Makuu

*Aahidi ushirikiano wa kutosha kufanikisha utendaji wa Mfuko *Mkurugenzi Mkuu aweka wazi mafanikio na mikakati ya uboreshaji huduma Mwenyekiti wa...

READ MORE

Wananchi Ngorongoro Wanahamishwa Kwa Kuzingatia Haki za Binadamu

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geofrey Pinda amesema Wananchi wa Ngorongoro wanaohamishwa kutoka eneo la...

READ MORE

Airtel Kutoa Intaneti na Mawasiliano Bure Hanang

Kampuni ya simu za Mkononi  Airtel imeoneshwa kuguswa na tukio la waathirika wa wilaya ya Hanang na kuungana na watanzania...

READ MORE

Benki ya NMB Yasaidia Wahanga wa Mafuriko Hanang

Wahanga wa mafuriko Wilayani Hanang, Mkoani Manyara, waliopoteza ndugu zao, makazi, pamoja na mali, wamepatiwa misaada ya kibinadamu na Benki...

READ MORE

NMB Yang’ara Tuzo za Mwajiri Bora mwaka 2023

Benki ya NMB imenyakua tuzo nne kwenye shindano la mwaka huu la Mwajiri Bora wa Mwaka (EYA 2023), ukiwemo ushindi...

READ MORE

Naibu Waziri Mwana FA ‘Anogesha’ Tamasha la Exim Bima Festival, Atoa Neno

  Dar es Salaam: Disemba 4, 2023: Naibu Waziri Wa Utamaduni, Sanaa Na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA), mwishoni mwa...

READ MORE

Kongamano la SHILO laanza kwa kasi

KANISA la Mlima wa Moto Mikocheni jijini Dar es Salaam, limezindua kongamano liitwalo SHILO kama sehemu ya kumuenzi mwanzilishi wa...

READ MORE

Fao La Huduma ya Utengamao Kuongeza Faraja: Prof. Ndalichako

SERIKALI kupitia Mfuko wa Fidia kwa Wafanmyakazi (WCF) imetangaza Fao jipya la Huduma ya Utengemao wa Kijamii (Social Rehabilitation) kwa...

READ MORE

Wahitimu 15 Shahada ya Udaktari HKMU Wapewa Neno

CHUO Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki (HKMU), kimeiomba serikali itoe ruzuku kwa vyuo vikuu vinafsi ili kuvijengea uwezo kuboresha...

READ MORE

Daktari Mdogo Kuliko wote HKMU atoa Neno Kuhitimu Akiwa na Umri Mdogo

MHITIMU wa fani ya udaktari ambaye ni mdogo kuwahi kutokea tangu kuanzishwa kwa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert kairuki...

READ MORE

Tanzania Kuwa Mwenyeji Mkutano  wa Kimataifa Kujadili Changamoto za Usonji na Utindio wa Ubongo

Tanzania inatazamiwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Kimatifa unaolenga kujadili changamoto zinazohusiana na usonji na utindio wa ubongo utakaofanyika tarehe...

READ MORE