×

Kitaifa

Ufaransa Waandamana Kupinga Chanjo ya Corona

ZAIDI ya watu laki moja wameandamana kote Ufaransa kupinga hatua za hivi karibuni za serikali za kuwashinikiza watu kwenda kuchanjwa....

READ MORE

Katambi Afunguka Makato Miamala ya Simu

MBUNGE wa Shinyanga Mjini Patrobas Katambi, amewataka wananchi wasilalamike juu ya makato ya miamala ya simu na ongezeko la bei...

READ MORE

Aliyeua na Kujiua Dar Alikuwa Mhasibu

ALEX Korosso kwa jina maarufu la Simba anayedaiwa kuua na kisha kujiua, alikuwa mhasibu wa Chama cha Waigizaji Tanzania (TDFAA),imeelezwa....

READ MORE

Neno la Mwisho la Aliyeuawa kwa Risasi Sinza

Edga Kombe ambaye ni mdogo wa Marehemu Gift Mushi, analiyeuawa kwa kupigwa risasi Sinza mkoani Dar es Salaam juzi, Julai...

READ MORE

Spika Mstaafu Anne Makinda Aipongeza HKMU Kwa Kuendelea Kujipanua

  SPIKA mstaafu, Anne Makinda amepongeza upanuzi unaofanywa na Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki (HKMU) maeneo ya Boko...

READ MORE

NMB Yatoa Msaada wa Sh. Mil 68 Kwa Mkoa wa Mara

Benki ya NMB imetoa msaada wenye thamani ya zaidi ya Sh. milioni 68 kwa ajili ya kusaidia Sekta za Elimu...

READ MORE

Live: Shigongo Anazungumza na Wanahabari Muda Huu

MBUNGE wa Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Eric Shigongo anazungumza na waandishi wa habari kuhusu masuala...

READ MORE

Ujenzi wa Majengo Mapya ya Chuo Cha Ualimu Kabanga Kuendelea Kuboresha Mazingira ya Utoaji Elimu

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Philip Isdor Mpango amesema ujenzi wa majengo mapya ya Chuo...

READ MORE

Shigongo Acharukia Wizi Fedha Serikalini – Video

Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, amegeuka mbogo kwa kile alichokiita kuwepo kwa baadhi ya watendaji wanaoiba fedha serikali....

READ MORE

Mwanza: Askofu Mwamakula, Lwaitama na Wengine 127 Watiwa Mbaroni

Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia watu 128, akiwemo Askofu Emmaus Mwamakula, Dkt. Lwaitama pamoja na baadhi ya viongozi wa...

READ MORE

Makamu wa Rais Azungumza na Wanakijiji Alipozaliwa Kigoma

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango hii leo Julai 17, 2021 amewatembelea na...

READ MORE

Shigongo Amuomba Rais Samia Amuondoe Mkurugenzi – Video

MBUNGE wa Buchosa, Eric Shigongo, amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan amuondolee Mkurugenzi wa Halmashauri ya Buchosa, Crispin Luanda kwani ameshindwa...

READ MORE

Rais Mwinyi Afanya Uteuzi Mpya

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Mwinyi amemteua Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa, Mbarouk...

READ MORE

Tanzania Kuanza na Chanjo Nne za Corona

WAKATI shehena ya chanjo za aina nne ikiwa njiani, Serikali imebainisha makundi yatakayoanza kukingwa maambukizi ya virusi vya corona.  ...

READ MORE

Nchi ya Tanzania na Rwanda Kuendelea Kujengeana Uwezo Kiteknolojia ya Mawasiliano

  WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk Faustine Ndugulile amesema nchi za Tanzania na Rwanda zitaendelea kushirikiana na...

READ MORE

Mrembo Amchoma Moto Mpenzi Wake Mpaka Kufa – Video

MWANAUME aliyefahamika kwa jina moja la Khamisi maarufu (Zungu), amefariki dunia baada ya mpenzi wake Neema Mushi waliokuwa wanaishi naye...

READ MORE

Hali ya Watanzania Afrika Kusini

Balozi wa Tanzania nchini Afrika ya Kusini, Meja Jenerali (Mst) Gaudence Milanzi, amesema kuwa hadi sasa bado hajapokea taarifa rasmi...

READ MORE

Jafo Asitisha Shughuli Za Uchenjuaji Mtambo wa Double F

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Selemani Jafo amesitisha shughuli za uchenjuaji wa dhahabu...

READ MORE

Maumivu Kodi Mpya Miamala ya Simu, Vilio Kila Kona

NI maumivu, ndivyo unavyoweza kueleza kilio kilichojitokeza kwa baadhi ya watumiaji wa simu za mkononi nchini baada ‘kodi ya uzalendo’...

READ MORE

Jafo Aupa Tano Mradi wa Umeme wa Julius Nyerere

  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo ameridhishwa na uzingatiaji wa Sheria...

READ MORE

Kesi ya Sabaya ya Unyang’anyi Yafutwa, Mapya Yaibuka – Video

KESI no 66/2021 ya Jamuhuri dhidi aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili, Silivester Nyegu...

READ MORE

Rais Samia Ahutubia Burundi “Hakuna Haja ya Kwenda Ulaya” – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameanza  ziara ya kitaifa ya siku mbili nchini Burundi kuanzia...

READ MORE

Vodacom Yashinda Tuzo ya Kampuni Bora ya Mawasiliano

Kampuni ya Mawasiliano Vodacom imeshinda Tuzo ya Kampuni Bora ya Mawasiliano kwenye maonesho ya sabasaba jijini Dar es Salaam. Vodacom...

READ MORE

Mashahidi 66 Kesi ya Sabaya – Video

Mashahidi wa kesi namba 66 ya jinai ya mwaka 2021 wanatarajiwa kutoa ushahidi katika mashtaka mawili ya unyang’anyi kwa kutumia...

READ MORE

Huyu Ndo Kiumbe Mwenye Umri Mrefu Zaidi Aliye Hai

WAKATI mwingine kudra za Mungu hazichunguziki na hasa ukisikia kuna mnyama Kobe kafikisha umri wa miaka 189. Kombe huyo anaitwa...

READ MORE

Rais Samia Awasili Burundi – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan ameondoka leo Ijumaa, Julai 16, 2021 asubuhi kuelekea nchini...

READ MORE

Vodacom Foundation Yawapa Watoto Njiti Fursa Kuishi

  Ilikuwa ni asubuhi ya kawaida tu kama nyingine, siku hiyo mwaka jana ambapo Mama Hadija (siyo jina lake halisi),...

READ MORE

Amkimbia Mkewe Baada ya Kumfumania na Nguo za Ndani za Mchepuko

Mwanamke mmoja kutoka Nguuni, eneo la Mwingi nchini Kenya ameamua kumuacha mumewe baada ya kupata chupi ya mwanamke mwingine kwenye...

READ MORE

RC Makalla Awataka Wakurugenzi Kuwawezesha Maafisa Ushirika

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es salaam...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Mjumbe wa Mfalme wa Umoja wa Kiarabu

Rais Samia Suluhu Hassan, leo Julai 15, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na mjumbe maalum wa Mfalme wa Umoja wa...

READ MORE

Rais Samia Kufanya Ziara ya Siku Mbili Burundi

Rais Samia Suluhu Hassan, kesho Julai 16, 2021 anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi ya siku mbili nchini Burundi, kwa mwaliko...

READ MORE

RC Geita Aipongeza GGML kwa Kuwajengea Uwezo Wafanyabiashara Wadogo

    Mkuu wa Mkoa wa Geita, Rosemary Senyamule ameupongeza uongozi wa Kampuni ya Uchimbaji Dhahabu Geita- GGML kwa kushiriana...

READ MORE

Baba Ampa Mimba Mwanae wa Kumzaa, Alishampa Mwingine – Video

WASWAHILI wanasema ukistaajabu ya Musa, utayaona ya Firauni! Hebu vuta picha kichwani mwako, baba mzazi anafanya mapenzi kwa nguvu na...

READ MORE

Kirusi cha Corona Aina ya Delta Kinatajwa Kuwa ni Hatari

MKURUGENZI wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus, ameonya kwamba ulimwengu uko katika “kipindi hatari” cha janga la...

READ MORE

DPP Kuamua Hatma Hausiboi Aliyeua Familia Dar

JESHi la Polisi Mkoa wa Kinondoni limesema upelelezi kuhusu mauaji ya mama na watoto wake wawili wa kike umekamilika na...

READ MORE

Wateja Sabasaba Walivyovutiwa na simu Za TTCL

  SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limepata mafanikio makubwa katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 45 ya sabasaba 2021,...

READ MORE

NBC Yashikilia Tuzo ya Taasisi za Fedha

Dar es Salaam. Benki ya NBC nchini Tanzania, imeendelea kuwa kinara kwa mara ya nne mfululizo katika maonyesho ya Kimataifa...

READ MORE

Wanafunzi 11 Geita Wafukuzwa kwa Kubainika na Makosa ya Jinai

Kufuatia matukio matatu ya moto katika Shule ya Sekondari Geita ndani ya siku saba na kusababisha wanafunzi watatu kujeruhiwa, maabara...

READ MORE

Geita Sekondari Yaungua Moto Mara ya Tatu, Yafungwa

SERIKALI imelazimika kuifunga kwa muda wa siku 14 Shule ya Sekondari Geita iliyoko mkoani Geita kutokana na matukio ya kuungua...

READ MORE