Baraza la madiwani halmashauri ya Jiji la Mbeya limehoji kukosekana kwa kondomu kwa takribani miezi minne katika kumbi za starehe,...
READ MOREMAMA mmoja mkazi wa jijini Mwanza ambaye ni mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Islamic Nyasaka, Fatuma Rashadu amepata msala...
READ MOREMkazi wa Kijiji cha Manyanda Masele Kuyela (52) anashikiliwa na jeshi polisi mkaoni shinyanga kwa tuhuma za kumwozesha binti yake...
READ MORERais Samia Suluhu Hassan amewatumia salamu wahalifu hasa wa ujambazi ambao amesema wameanza kufanya matukio hayo, amewaonya wasijaribu kupima kina...
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaomba radhi wazee wa Dar es Salaam kutokana na utaratibu...
READ MORESerikali ya Tanzania imetaka kupuuzwa kwa taarifa zinazosambazwa mitandaoni na katika chombo cha habari kutoka nchi jirani ya Kenya zinazosema...
READ MOREMahakama ya Mkoa wa Kinondoni jijini Dar es salaam imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Elisha Mushi (22), mkazi wa...
READ MOREJeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga linamshikilia Peter Elias (29) mlinzi na mkazi wa Ndembezi Mjini Shinyanga kwa kosa la...
READ MORESpika wa Bunge , Job Ndugai amevitaka vyama vya siasa vinavyotaka kufukuza wanachama wao ambao ni wabunge kufuata sheria na...
READ MOREKatibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi amesema Wizara rasmi inaanzisha Mfuko wa Maendeleo ya...
READ MOREWananchi wa Kijiji cha Mawenzusi, Sumbawanga mkoni Rukwa, wamelalamikia utapeli unaofanywa na waganga wanaojiita lambalamba wanaopita majumbani na kuwaaminisha kuwa...
READ MOREJeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limejipanga kuimarisha usalama katika mechi ya Watani wa Jadi Simba dhidi...
READ MOREKWA mara nyingine Benki ya NMB imedhihirisha kauli mbiu yake kuwa ipo karibu na wateja, imekuja na maboresho ya...
READ MOREMwanamke aliyefukuzwa Marekani na kurejeshwa nchini mwao Rwanda, amekanusha mashitaka ya makosa ya mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 akisema...
READ MORERais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kesho Ijumaa Mei 7, 2021 anatarajia kuzungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es...
READ MORENaibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Watu wenye Ulemavu Mhe. Ummy Nderiananga amesema kuwa Serikali imejipanga kuendelea...
READ MOREAliyekuwa mwanasheria wa Kampuni ya kufua umeme ya IPTL, Joseph Makandege ameondoa rasmi maombi ya kufanya majadiliano ya kuimaliza kesi...
READ MOREHumphrey Mhagama amekamatwa kwa tuhuma kuomba Tsh. 500,000 ambapo alipokea Tsh. 250,000. TAKUKURU imesema Mtuhumiwa atafunguliwa Mashtaka kwa kosa la...
READ MOREUPANDE wa utetezi kupitia Mshtakiwa aliyekuwa Mwanasheria wa kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Joseph Makandege,...
READ MOREJeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linawashikilia watu 161 wanaotuhumiwa kuhusika na wizi wa magari, pikipiki na...
READ MOREMbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, amesema kwa sasa Tanzania haina maono ya muda mrefu kwa ajili ya...
READ MOREKatika mwezi huu wa Ramadhan familia nyingi nchini na duniani kwa jumla kuna nchi ambazo raia wake wanafunga saumu hii...
READ MOREMBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo akiambatana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Buchosa, Crispin Luanda wametembelea wakina mama ambao...
READ MOREMbunge wa Temeke (CCM), Dorothy Kilave ameihoji Serikali ina mpango gani wa kujenga shule katika jimbo la Temeke kwa sababu...
READ MOREWAENDESHA bodaboda wa kituo cha Kisangiro kata ya Kilema Kaskazini wilayani Moshi Mkoa wa Kilimanjaro wamevamia msiba wa Lenard Abel...
READ MORESERIKALI imetoa mwongozo namba sita kwa wasafi ri unaotaka abiria wageni au wakazi wanaoingia nchini kutoka nchi zenye aina mpya...
READ MOREMfanyabiashara Rostam Aziz amesema uwekezaji nchini Tanzania na Kenya haufanani akibainisha kuwa ni rahisi kuwekeza katika nchi moja na ngumu...
READ MORERais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amesema ushirikiano baina ya Tanzania na Kenya utayafanya mataifa hayo kupiga hatua katika maendeleo. ...
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan atahutubia Bunge la Kenya lililo na mjumuiko wa wabunge wa...
READ MORERais wa Kenya, Uhuru Kenyata ametoa wiki mbili kwa watendaji serikalini kuhakikisha sakata la mahindi ya Tanzania yaliyozuiwa kuingia Kenya...
READ MORETakribani makontena 500 yenye urefu wa futi 40 yametelekezwa katika bandari ya Dar es Salaam yakidaiwa kuwa na shehena ya...
READ MOREKAMPUNI ya Ndege Tanzania (ATCL) imesitisha safari zake za ndege kati ya Dar as Salaam na Mumbai (India ) kuanzia...
READ MOREWANANCHI wa mtaa wa Mpeto kata ya Ramadhani mjini Njombe,wameiomba Serikali kuingilia kati kesi ya mtoto wa mtaa huo aliyebakwa...
READ MORE Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru...
READ MOREWaziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, amesema kuwa na kitambulisho cha Utaifa (NIDA) hakuhalalishi Mtu kuwa Raia wa #Tanzania....
READ MOREMbunge Florent Kyombo amesema wananchi wa Mkoa wa Kagera ambao unapakana na nchi tatu wamekuwa wahanga katika kutambuliwa na kupatiwa...
READ MOREHABARI zilizotufikia hivi punde, Mkurugenzi wa Service and Montage Limited, Teddy Hollo Mapunda, maarufu ‘Dada Teddy’ amefariki usiku huu katika...
READ MOREMarais wa Tanzania na Kenya wametangaza hii leo kuwa nchi hizo mbili zimeingia makubaliano ya ujenzi wa bomba la gesi...
READ MOREWaziri Mkuu Kassim Majaliwa leo amefika nyumbani kwa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Magufuli...
READ MORE