WATANZANIA wametakiwa kuacha kuibua taharuki kwa kuzusha taarifa za uongo ambazo hazina uthibitisho kwa kuwa kufanya hivyo ni kinyume cha...
READ MOREImelezwa kuwa wanaume wapo katika hatari kubwa ya kuugua Ugonjwa wa Figo unaotokana na Kisukari na Presha ukilinganisha na Wanawake....
READ MOREJeshi la Polisi mkoa wa Arusha linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kumteka mtu mmoja raia wa China ambaye...
READ MOREMkazi mmoja wa Mlandizi Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani anashikiliwa na polisi kwa tuhuma ya kukutwa na laini 74...
READ MOREMahakama ya Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro imewahukumu kifungo cha mwaka mmoja jela ama kulipa faini ya shilingi laki tano...
READ MOREWAZIRI wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasilisha Mapendekezo ya Serikali ya Mpango, Kiwango na Ukomo wa Bajeti...
READ MOREWAFANYABIASHARA wanne wa Dar es Salaam, wamefikishwa Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka mawili likiwemo la kukutwa...
READ MORESiku ya Jumatano watu 2286 wameripotiwa kufariki dunia kutokana na Ugonjwa wa Corona nchini #Brazil kwa mujibu wa takwimu za...
READ MOREKAMPUNI ya SEPCO DEBT COLLECTION AND AUCTIONEERING COMPANY LIMITED inawatangazia mnada wa hadhara. Kwa idhini tuliyopewa na kampuni ya SUNBEAM...
READ MOREMTOTO Charles Mathias Mbena (6) mkazi wa Kibungo Juu, Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro ameonesha kipaji cha hesabu ambapo anaweza...
READ MOREShule ya Sekondari Kome iliyoko Halmasahauri ya Buchosa Wilayani Sengerema mkoa wa Mwanza iliyoshika nafasi ya mwisho kwa miaka mitatu...
READ MORENAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana, Mhe. Patrobas Katambi, jana...
READ MOREMLINZI wa nyumba ya aliyekuwa Jaji wa mahakama ya Rufani Tanzania, marehemu Jaji Bethuell Milla, Samson Ndavi na mkewe Christina...
READ MORERais mstaafu wa Somalia, Ali Mahdi Muhammad amefariki dunia Jumatano Machi 10 katika Hospitali ya Nairobi, Kenya alipokuwa anapatiwa matibabu...
READ MOREKanali Fabian Ignas Massawe amefariki leo, Jumatano Machi 10, 2021. Kanali Massawe aliwahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera ambapo...
READ MOREHalmashauri ya wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita, imeendesha operesheni kupitia waganga wa jadi kutoka Shinyanga na kufanikiwa kuwaua fisi...
READ MOREOFISI ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), imewataka walimu kujiepusha kuweka rehani kadi zao za benki(ATM), wanapokopa...
READ MOREMKURUGENZI wa Taasisi ya Doris Foundation, Doris Mollel, amepata ajali leo maeneo ya Mtumba Dodoma alipokuwa akitoka kwenye kikao...
READ MOREKatibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika amekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano, Itikadi,...
READ MORENAIBU Waziri wa nchi, ofisi ya waziri mkuu, sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na wenye ulemavu, Patrobas Katambi, leo Machi...
READ MORENAIBU Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema mahindi yanayotoka Tanzania yanakidhi vigezo vya kiafya kinyume na taarifa zinazosambaa kutoka Kenya....
READ MOREJESHI la Polisi Kitengo cha Kuzuia na Kupambana na dawa za kulevya (ADU), limewakama watu wanne akiwemo mwanafunzi wa Chuo...
READ MOREKAMANDA wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Fortunatus Muslimu, amesema kuwa Polisi bado wanaendelea na uchunguzi wa tukio la mgonjwa Piche...
READ MOREWaziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mhe. Ummy Mwalimu amewaahidi Wanawake kuwasaidia kuanzisha dirisha maalumu...
READ MORENAIBU Waziri wa nchi, ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na wenye ulemavu, Patrobas Katambi, ametembelea ofisi...
READ MOREMWANAMUZIKI Rayvanny usiku wa kuamkia leo Machi 10, amezindua ofisi ya studio yake iliyopo Mbezi Rainbow jijini Dar.
READ MOREKatika mwendelezo wakuadhimisha siku ya wanawake Duniani, kampuni ya Halotel Tanzania imeendelea kuunga mkono juhudi za wanawake wapambanaji katika majukumu...
READ MOREKINA mama wajawazito wilayani Kilindi mkoani Tanga wamewalalamikia wanaume wanaowapa ujauzito kukwepa kwenda kliniki kupima afya zao kama kanuni...
READ MOREWakati Watanzania wengi wakipambana na maradhi mbalimbali yanayosababisha changamoto za upumuaji, ikiwemo nimonia na Corona, wizara ya afya imeendelea...
READ MOREMADIWANI wa halmashauri ya Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro wamewafukuza kazi daktari na muuguzi wa hospitali ya wilaya hiyo...
READ MOREWafanyabiashara wawili wamefikishwa katika mahakama ya Wilaya Kinondoni kwa tuhuma za kukutwa na pombe ya kienyeji aina ya gongo yenye...
READ MOREMkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, Salama Mbarouk Khatib ametoa onyo kwa watu wanaochukua mchanga wa kaburi la Marehemu Maalim...
READ MOREWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekabidhi vifaa mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 357 kwa vikundi vitano vya...
READ MOREBaadhi ya wanawake wa Wilaya ya Serengeti wamelalamikia utamaduni wa kuolewa na makaburi ambao bado upo hadi sasa kwa baadhi...
READ MOREKATIKA kipindi cha miaka mitano, hadi Februari 2021, serikali ya awamu ya tano imefanikiwa kutekeleza jumla ya miradi 1,845 yenye...
READ MOREWaziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dr.Faustine Ndugulile amewasihi Watumiaji wa simu kuangalia laini zilizosajiliwa kwa majina yao kupitia...
READ MOREAFISA Elimu wa Mkoa wa Lindi, Victor Kayombo amesema wanafunzi 2,162 ambao ni sawa na 13% ya Wanafunzi 15,860 waliochaguliwa...
READ MOREMTAWA muuguzi wa Kituo cha Kuhudumia Wagonjwa wa Ukoma cha Nazareth kilichopo Ifakara, Agatha Mbalalila (50), amefariki baada ya mmoja...
READ MOREKatika kuazimisha siku ya wanawake duniani, kampuni ya Halotel Tanzania imesherekea kwa kuunga mkono juhudi za wanawake katika majukumu yao...
READ MOREMamlaka ya Kilimo na Chakula ya Kenya imedai uchunguzi umebaini kuwa mahindi yanayoingia kutoka Tanzania na Uganda sio salama kwa...
READ MORE