×

Mahaba

‘I LOVE YOU’ NYINGI ZA NINI? UKIPENDA ONESHA MATENDO!

MAPENZI yanachukua nafasi kubwa katika maisha yetu. Mimi na wewe tunahitaji kuwa na wapenzi tena wenye mapenzi ya dhati ili...

READ MORE

NI VYA ‘KIJINGA’ LAKINI VINA FAIDA PENZINI VIFANYE ,

MAPENZI ni matamu, mapenzi yana raha yake haswa ukimpata mtu anayekupenda kama ambavyo wewe unampenda. Kinyume chake, mapenzi hugeuka kuwa...

READ MORE

KELELE NYINGI ZINAPOTEZA UELEKEO

  HALOOO ehhhh tena ya kisoda ati! Miye kama kichwa vile, usiponinyoa utanisuka! Nimeingia tena ustake kuniuliza leo nimefurahi nini! Shoga...

READ MORE

YANAYOWEZA KUMFANYA MKE AKATEMBEA NA RAFIKI WA MUMEWE!

NI wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana tena kupitia safu hii nikiamini umzima bukheri wa afya na unaendelea vyema na majukumu...

READ MORE

UNARINGIA SHEPU , UZURI, FARAGHA UNAJIMUDU?

ULIMWENGU wa sasa umejaa wanawake wazuri sana, kila unayemuangalia unaona kuna vitu f’lani Mungu kamjaalia. Unaweza kukutana na msichana ambaye...

READ MORE

HIKI NDICHO WANAWAKE WENGI WANAKOSAGA KWA WAUME ZAO

NI wiki nyingine ninapokukaribisha mpenzi msomaji wangu katika ukurasa huu mzuri. Leo ningependa tujadiliane kuhusu jambo hili ambalo kwa kiasi...

READ MORE

RAHA YA MUME ASIKUPE TABU SANA!

JUMATANO nyingine hiyo tumekutana shoga yangu! Anti Naa wa kujimwayamwaya nipo tena mjengoni shoga! Heee heeeiyaaa na watanawa maji ya...

READ MORE

Kwa Nini Wanaume Wanaongoza kwa USALITI?-2

  TUNAENDELEA na mada tuliyoianza wiki iliyopita. Ieleweke kwamba lengo langu si kuonyesha kwamba kundi moja ni bora kuliko kundi...

READ MORE

Wawanawake Wazuri Hawafai Kuolewa?

 UNA dhana ipo hususan kwa wanaume wengi kwamba, wanawake wengi wazuri hawafai kuolewa. Wanaishibisha hoja yao kwa kutoa mifano, kwamba...

READ MORE

Unajiaminishaje Kwamba Uliyenaye Anakupenda kwa Dhati?

NI matumaini yangu muwazima na mko na hamu kubwa ya kujua kile ambacho nimewaandalia kwa siku ya leo. Kama kawaida...

READ MORE

Eid Mubaraka! Nakukumbusha Kufanya Haya Sikukuu Hii!

 ASSALAM aleikum! Nianze kwa kuwaambia wasomaji wangu wote popote mlipo; EID MUBARAK! Mungu awajaalie kila la heri, msherehekee sikukuu hii...

READ MORE

Uzuri wa Gari Bovu Lipate Mteremko

YAANI shoga yangu leo nimekaa zaidi ya nusu saa natafakari meseji moja tu! Shoga hata kama wanawake tumeumbiwa mateso si...

READ MORE

KWA MISINGI HII, KAMWE PENZI LAKO HALITADUMU

TUANZE kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia siku hii njema. Kama kawaida hapa huwa tunazungumza mapenzi na maisha kwa jumla....

READ MORE

Huwezi Kufanikiwa Penzini Bila ‘Mishale’, Ipokee Kadiri Uwezavyo!

UNAPO-MUONA mtu amefanikiwa kwenye uhusiano wake, amefunga ndoa na mwenza wake na kufanya sherehe, akili ya harakaharaka inaweza kukutuma uamini...

READ MORE

HIZI NDIZO MBINU ZA MABINGWA WA KUSALITI!

USALITI ni jambo baya katika uhusiano. Usaliti si ujanja japo wengi wanaowaza kusaliti huwa wanajiona wajanja. Wanajiona wamewini pale ambapo...

READ MORE

MBINU ZA KUMFANYA AAMINI KAMA KWELI UNAMPENDA KWA VITENDO-2

WIKI iliyopita nilianza kuichambua mada hii kama inavyosomeka hapo juu. Narudia tena kusisitiza, kumwambia I Love You nyingi mpenzi wako...

READ MORE

Usidharau tende kisa zinaliwa kwa msimu

HAYA tena shosti wangu ndo naingia tena mjini, najua umenisubiri sana baada ya wiki jana kuwachamba wale wavivu, wakilala hawaamki...

READ MORE

Mlio Wapenzi, Katika Hili Mnajitafutia Mwisho Mbaya!

NI matumaini yangu kwamba umzima na unaendelea vyema na mishemishe zako za kila siku kama kawaida. Kwa wale waislam wenzangu...

READ MORE

Umewahi Kujiuliza kwa Nini Hupendwi

TUPO kwenye Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Tunamshukuru Mungu kwa kuendelea kuwa pamoja nasi na kututia nguvu kwa yale...

READ MORE

JINSI YA KUMTAMBUA MWANAUME TAPELI WA MAPENZI

DUNIA ya sasa imejaa sarakasi nyingi za mapenzi. Kila mmoja analia na maumivu yake, hakuna aliye salama, maana siku hizi...

READ MORE

Ukiwa na sifa hizi, kila mwanaume atatamani kukuoa!

  KUOLEWA ni heshima kwa mwanamke. Heshima hiyo inaenda mbali zaidi hadi kuwagusa wazazi wa binti ambaye ataolewa. Wazazi wanatembea...

READ MORE

Unatamani uhusiano wa wenzio uwe wako?JIFUNZE!

 KUTAMANI kitu cha mwingine kwa mtazamo chanya yawezekana ikawa ni jambo jema katika maisha. Yaani ukaona mwenzako ana maendeleo fulani,...

READ MORE

Ukiona Haya Kwa Mpenzi Wako, Jua Hakutaki!

MAPENZI wakati mwingine ni kama uchizi. Mwanadamu hujikuta anapoteza uwezo wake wa kufikiri kwa sababu tu ya nguvu ya mapenzi....

READ MORE

Jinsi ya kuepuka matatizo ya nguvu za kiume

MATATIZO haya ya nguvu za kiume humuathiri mwanaume na mwanamke kwa ujumla.Tatizo hili hulalamikiwa aidha na mwanaume mwenyewe au mwanamke...

READ MORE

Ukitaka Uchekwe Mjini, Mgeuze Mkeo Kuwa Pambo la Nyumba!

AWALI ya yote napenda kuwatahadharisha wanaume wanapenda sana kuwaona wake zao wakikaa nyumbani tu bila kujishughulisha na kusema, eti wao...

READ MORE

Mbinu Za Kumfurahisha Mpenzi Wako Muwapo Faragha

TENDO la ndoa (kwa wa­nandoa) si tu linatumika kuboresha uhusiano kati ya mume na mke bali pia ni dawa inay­oweza...

READ MORE

Mambo Yatakayokufanya Udumu Kwenye Penzi Jipya

HAKUNA muda ambao hisia za mapenzi na msisimko huwa mkubwa kama kipindi ambacho upo kwenye penzi jipya. Ukiwauliza watu wengi...

READ MORE

Mambo Ya Kufanya Kabla Ya Kuingaliia Kwenye Ndoa

DUNIA ya sasa si kama ya zamani. Ndoa zimekuwa hazidumu kama ilivyokuwa zamani. Hii yote imetokana na mmonyoko wa maadili...

READ MORE

HATA KAMA UMEUMIZWA SANA, BADO UNAYO NAFASI YA KUPENDA TENA

HABARI yako msomaji wa kona hii! Ni matumaini yangu kwamba uko poa na unaen­delea na majukumu yako ya kila siku....

READ MORE

Matukio Mabaya, Yawaongoze Kufanya Maamuzi Magumu!

NI vigumu sana kumuacha mtu umpendaye. Unapompenda mtu mara nyingi hufikirii kufanya maamuzi yoyote hasi. Akili yako kamwe haimuwazii mambo...

READ MORE

SABABU ZA WANAUME KUPENDA WAKE ZA WATU!

ASSALAM aleikum mpenzi msomaji wangu, umzima? Unaendeleaje na mishughuliko yako? Mimi mzima, namshukuru Mungu kwa kunijaalia kuwa miongoni mwa wale...

READ MORE

SHOGA: FENI HAIWASHWI UFUKWENI!

HALOOO eeeehhh tena ya kisoda! Ukinuna nuna mimi napeta, kula nala, kunywa nanywa na siku zinakwenda, upo? Shoga mwezi dume...

READ MORE

Changamoto Ya Kumfumania Umpendaye Na Hatari 5 Za Kumuacha

KATIKA maisha ya kimapenzi yapo mengi ya kuvumilia ili kuweza kudumu na huyo uliyetokea kumpenda. Hata hivyo kuna ambayo kuyavumilia...

READ MORE

Anayecheza Na Moyo Wako ni Sawa Na Muuaji; Utamjuaje?

WENGI wamejikuta kwenye majuto kwa kuwakabidhi watu wasiofaa mioyo yao. Wameambulia mateso makali, wamejikuta wamepoteza muda kwani wameachwa solemba wakati...

READ MORE

Anayecheza na MoyoWako ni Sawa na Muuaji; Utamjuaje?

WENGI wamejikuta kwenye majuto kwa kuwakabidhi watu wasiofaa mioyo yao. Wameambulia mateso makali, wamejikuta wamepoteza muda kwani wameachwa solemba wakati...

READ MORE

Unataka Kurudiana Naye? Vizuri Ukayafahamu Haya-2

NI matumaini yangu msomaji uko poa, na­kukaribisha tena jam­vini tuangalie sehemu ya pili ya mada yetu. Wiki iliyopita tulijadiliana kwa...

READ MORE

Wanandoa Wenye Ajira Wanavyoweza ‘Kuwekeana Breki’ Za Kimafanikio!

HABARI za leo msomaji wangu, natumaini kuwa nguvu za Mungu zinakulinda na kukupatia ushindi katika matatizo ya maisha unayokutana nayo....

READ MORE

Mapenzi matamu ni kushirikishana na kushauriana

KILA kunapokucha ni vyema ukamshukuru Mungu kwa maana bila yeye, mimi na wewe tusingeweza kukutana katika safu yetu hii nzuri...

READ MORE

Linyanyue Penzi Lako Lililolegalega!

NI wiki nyingine mpenzi msomaji tunakutana tena katika Jamvi la XXLove ikiwa ni wiki ya pili ya mwezi wa kwanza...

READ MORE

Ukimfanyia Haya Mwanaume Hakuachi Abadani!

KESHO kutwa Jumatatu ndiyo Sikukuu ya Krismas, Wakristo na wasio Wakristo wataungana pamoja kusherehekea sikukuu hiyo ya kuzaliwa kwa Yesu...

READ MORE