ZAMA hizi ni kusaidia kwa kila kitu. Kama wewe ni binti ambaye unatamani na unataka ukute au upate mwanaume wa...
READ MOREWIKI hii nataka kuzungumzia suala zima la kusaka mafanikio huku nikikuuliza wewe msomaji wangu kwamba, umeamua kufanikiwa katika maisha yako...
READ MORETunaendelea kuelezea magonjwa ya moyo. MAGONJWA ya moyo yameshika kasi hapa nchini kiasi cha kutishia uhai wa watu wengi. Hata...
READ MOREWiki iliyopita tulianza kueleza kuhusu tatizo la msongo wa mawazo na jinsi linavyowasumbua watu wengi. TULIANZA kwa kutazama dalili za...
READ MORENIANZE kwa kumshukuru Mungu kwa pumzi ambayo ameniwezesha kuendelea kuitumia bila malipo yoyote. Pole msomaji wangu wa XXLove ambaye unasumbuliwa...
READ MOREKARIBU Alhamisi nyingine mpenzi msomaji wa Ulimwengu wa Mahaba, nikushukuru kwa maoni na ushauri wako iwe kwa SMS au kunipigia...
READ MORELEO kwenye kona hii ya Mapishi tutaona jinsi ya kupika biriani ya nyama ya mbuzi. MAHITAJI Nyama ya mbuzi- kilo...
READ MOREHALOOO eeehhh tena ya kisoda! Anti Naa mwenyewe nimekuja tena na safari hii nipo kuwatetea wanawake wenzangu, shtuka shoga...
READ MOREBAADA ya ukimya wa muda mrefu, aliekuwa mmiliki wa Kituo cha Tiba Asili cha Fore Plan, Dk. Mwaka ameibuka live...
READ MORENAJUA kabla sijaanza na salamu utaanza kujiuliza MC Sophia leo kulikoni tuache kubana! Mara ohhh kubana tuziachie nguo na nywele,...
READ MOREHEEEE heeeeiyyaaaaa shoga yangu wa ukweee upo? U hali gani Jumanne ya leo! Kama nakuona vile ulivyotoa mijicho kama mwari...
READ MORENI matumaini yangu kwamba msomaji wangu uko poa, nakukaribisha tena jamvini, leo tukiwa tunaendelea na mada tuliyoianza wiki iliyopita...
READ MORESITAKI uniulize ooh MC Sophy kazidi sasa, kila siku haanzi na salamu, kuchamba tu! Weee! Aliyekwambia hii sehemu ya kuchamba...
READ MOREJENGA tabia ya kumshukuru Mungu kwa kila jambo katika maisha yako, liwe baya au jema. Wakati mwingine kuna mambo...
READ MORELEO sitaki uniulize, Anti Naa sijui hujaanza na salamu, sijui nimeamkaje na tena uishie hapohapo! Kuna jambo mwenzenu limenifika hapa!...
READ MOREMAPENZI yana raha kama pande mbili zikiwa na amani. Mwanamke awe na amani, mwanaume pia. Tofauti na hapo, penzi hugeuka...
READ MOREHEYAHEYA! Acha nicheke miye sidaiwi na mtu, kama pumzi navuta tena hewa ya bure ya nini kujibana mwenzangu, najiachia nitakavyo!...
READ MORELEO kwenye safu yetu hii tutaona jinsi ya kuchanganya lipstick kuleta muonekano bomba kwenye mdomo wako cha muhimu ni kujua...
READ MOREMPENZI msomaji ungana nami katika kumshukuru Mungu kwa nafasi aliyonijalia kuweza kuandika makala haya (ukiona mpenzi wako hakufuatilii…) ya XXLove...
READ MOREKWANZA nimshukuru Mungu kwa kunijalia afya njema. Pia nikukaribishe msomaji wangu katika jamvi lako ulipendalo la UIimwengu wa Mahaba. Leo...
READ MOREWAHENGA wanasema sahani iliyofunikwa, kilichomo kimesitirika! Basi kama hujanielewa utanielewa nikimaliza makala haya, upo? Ni Jumanne nyingine shoga yangu tunakutana...
READ MOREMpenzi msomaji ni Jumatatu nyingine Mungu ametujalia kukutana katika kuelimishana juu ya maisha ya uhusiano kupitia safu yetu nzuri ya...
READ MORELEO kwenye safu yetu hii tutaangalia tabia ndogondogo ambazo zinafanywa na wanandoa au wapenzi lakini wengi wao hawajui kuwa zinachangia...
READ MOREWIKI hii msomaji wangu nataka kuzungumzia tabia ya wale ambao wapowapo tu, hawafanyi chochote kuyaboresha maisha yao badala yake...
READ MORENI dhahiri kwamba mapenzi ni maisha na vita yake haijawahi kumuacha mtu salama, uwe mwanajeshi, mbunge, kinyozi, au hata komando...
READ MOREKAMA nakuona vile jicho kodo kisa kuangalia eti leo MC Sophy atamchamba nani? Unikome, sipo hapa kumchamba mtu miye!...
READ MORESALAMU waleykumu wapenzi wa kona yangu mimi Anti Naa, kwa uwezo wa Manani nina imani wote hamjambo wazima wa afya...
READ MOREILIPOISHIA… MPENZI msomaji baada ya kuwa nami mwanzomwisho katika simulizi ya maisha ya Asha Baraka, mmiliki wa Bendi ya...
READ MOREUHALI gani msomaji wangu! Ni matumaini yangu kuwa uko poa kabisa. Ni ijumaa nyingine nzuri ninayokualika kwenye uwanja huu, kwa...
READ MORESIKITIKO la mahaba lashinda msiba! Umewahi kusikia maneno hayo ya wahenga? Bora usimuliwe lakini usipitie kipindi cha sikitiko la...
READ MORENI Ijumaa nyingine tunapokutana jamvini, nakukaribisha kwa moyo mkunjufu. Wiki iliyopita tulianza kujadiliana kuhusu mada hii, ya kuwa makini...
READ MOREHaya haya tena shoga yangu wa ukwee! Kama kawa nimerudi tena kama moto wa tipa usiozimwa na magari ya...
READ MORENIMSHUKURU Mungu kwa Jumatatu nyingine murua, niwape pole wale wote ambao wanakutana na changamoto mbalimbali za maisha ya kila siku,...
READ MORENi matumaini yangu kwamba mpenzi msomaji wangu uko poa na unaendelea na majukumu yako kama kawaida. Ni wakati mwingine...
READ MORELEO nitaongelea tiba ya mtu anayetapika, huenda umekula kitu kibaya kimechafua tumbo, au umekula chakula chenye sumu au ni mama...
READ MOREHAYA tena Anti Naa mwenye maneno ya shombo nimekuja tena, sina tofauti na mnazi unaojiotea ufukweni ambao wakati wote upo...
READ MORETunaendelea kuchambua madhara ya ulevi baada ya wiki iliyopita kusimulia mengi, ni vema kufuata ushauri wa kitaalamu kuhusu utumiaji wa...
READ MORESHOGA; He he he heeeeiya, acha nicheke miye MC Sophy mwana wa mashabiki, mjukuu wa maiki! Shoga hivi unajua kuna...
READ MORENIANZE kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa wema wake, kwa kunivusha kwenye changamoto nyingi ambazo nakutananazo. Pili nikutakie heri ya Sikukuu...
READ MOREKUPITIA safu hii uipendayo, leo ninakupa njia nne zitakazolifanya penzi lako liendelee kunoga, hata kama litakuwa limeanza kufubaa utaliamsha upya....
READ MORE