NI Ijumaa nyingine tunapokutana, ni wajibu wetu kumshukuru Mungu kwa kutufanya tuione siku ya leo. Leo ningependa kuzungumza na wewe...
READ MORENI kona ya Boyfriend and Girlfriend kwa ajili ya vijana ambao bado wapowapo sana wakiha-ngaika huku na kule kutafuta mwenzi...
READ MOREPAMBEEEE heeeee unashangaa kumuona kuku kwa mganga umesahau kama rangi yake ndiyo imemroga! Wareeee reeee unachezea bomba wakati umevaa kijora! ...
READ MOREMPENZI msomaji wangu, naomba leo niende moja kwa moja kwenye mada yangu ya wiki hii ambayo kwa kiasi kikubwa inawagusa...
READ MOREMUWE wachumba, muwe ndani ya ndoa, tendo la ndoa lina umuhimu wake. Kwa namna moja au nyingine linakamilisha maana nzima...
READ MORENINA kila sababu ya kumshukutu Mwenyezi Mungu kwa wema wake, kwa kunipa na kukupa nafasi wewe msomaji wangu kujumuiika nami...
READ MOREMAMBO vipi marafiki? Naamini mpo wazima kabisa. Basi tuendelee na mada yetu tuliyoanza nayo wiki iliyopita, ambapo tunaangalia mambo ya...
READ MOREPAMBEEEEEE shoga wanakwambia mkaa mkaa tu hata uwekwe ndani ya maji utabaki kuwa mweusi, upo? Utabaki kushangaa wenzako tunapiga hatua...
READ MORENI matumaini yangu muwazima na mko na hamu kubwa ya kujua kile ambacho nimewaandalia kwa siku ya leo. Kama kawaida...
READ MOREDUNIA ya sasa kumpata mtu mwenye mapenzi ya dhati, mwenye moyo wenye huruma, anayejali na ambaye ana hofu ya Mungu...
READ MORENI Ijumaa nyingine ninapokukaribisha mpendwa msomaji wangu kwenye ukurasa huu murua. Siku chache zilizopita, nilipata bahati ya kuzungumza na msomaji...
READ MOREBOYFRIEND and Girlfriend ndiyo jina la kolamu, tukijadiliana mambo muhimu ambayo vijana walio kwenye urafiki, kabla ya kufikiria kuhusu uchumba...
READ MOREHALOOOO eeeehhh! Unajifanya barafu umesahau kama unayeyuka! Wee ringia sura siye tunaringia ngozi! Shoga nashanga unalamika oooh mambo yako hayaendi...
READ MOREKATIKA ulimwengu wa sasa, wapenzi wapo wa aina tofauti. Kuna wale ambao mwanamke anafanya kazi mwanaume hana kazi, mwanaume ana...
READ MOREULIMWENGU wa sasa umejaa sanaa. Watu wameingiza sanaa kwenye kila eneo. Sanaa ipo hadi kwenye masuala ya uhusiano. Mtu anamfuata...
READ MOREWAKATI MUNGU ni mwema, Jumapili nyingine tunakutana kwenye eneo letu la kupeana darasa la masuala ya uhusiano. Nafurahi kuona mkiendelea...
READ MORENI WIKI nyingine ninapokukaribisha msomaji wangu, wiki iliyopita tulianza kuielezea mada ya hapo juu kama inavyojieleza. Nilikusimulia kwa kifupi kuhusu...
READ MOREShoga wakati mwingine huwa naongea sana hadi koo lanikauka, naomba kwa leo niishie hapa! Kwa wewe ambaye upo kwenye uhusiano...
READ MORENI WAKATI mwingine mzuri ninapokukaribisha mpendwa msomaji wangu na mada tutakayoijadili leo ni kama inavyojieleza hapo juu. Nimekuwa nikipokea ujumbe...
READ MOREMARAFIKI leo tunamalizia mada yetu iliyoanza wiki iliyopita, msingi wa ninachokizungumza katika mada hii ni aina ya uhusiano usiofaa. Kuna...
READ MOREHAYA tena shoga kama nakuona vile unavyojiuliza inakuwaje gari lina sofa lakini si za mbao! Haloooo eeeeeh! Weee zubaa tu...
READ MOREKUNA dada mmoja ameolewa na anafanya kazi benki. Dada huyu kila akitoka hujitahidi kuvaa vizuri lakini mume wake hajawahi kumwambia...
READ MOREMJASIRIAMALI mashuhuri nchini Marekani, Warren Buffett amewahi kusema; tofauti kati ya watu wenye mafanikio na watu wenye mafanikio zaidi ni...
READ MOREWANAUME wengi, hasa waliopo kwenye ndoa, wamekuwa wakilalamikia tatizo la wake zao, kukosa hamu ya kuwa nao faragha. Ni...
READ MOREKAMA nakuona vile, unaringia gauni la dukani unasahau kama umevaa viatu vya mtumba, heeee heeeeiyaaa! Unalo mwaka huu shoga! Wanakwambia...
READ MOREMAPENZI yanachukua nafasi kubwa sana katika maisha yetu lakini mapenzi hayahaya yanafikia hatua ya kuwadatisha baadhi ya watu. Wengi wasiojua...
READ MOREJUMATATU nyingine mpenzi msomaji wangu tunakutana kwenye eneo letu zuri la kupeana darasa la masuala ya uhusiano. Natumai umzima wa...
READ MOREULIMWENGU wa vijana wa sasa kumpata mwenza sahihi wa kufanya naye maisha ni nadra sana. Wengi wamegeuza suala la uhusiano...
READ MORENIMEWAHI kueleza hapa kwamba hakuna kinachoumiza moyo kama kuishi na mpenzi asiye mwaminifu na leo nasisitiza, kama kweli unampenda hebu...
READ MOREKILA mmoja anapenda kuwa na mwenzi wa maisha yake yote. Apendwe. Ampende. Hadi kifo kitakapowatenganisha. Ni hisia stahiki kabisa kwa...
READ MOREPAMBEEEE shoga wanakwambia ukimuona ngedere mjini basi ujue ana mwenyewe ati! Wareee reeeeee! Maskini hana mpambe na mjini hulali njaa...
READ MOREMAPENZI ya sasa yamejaa sarakasi nyingi sana, kwa yule aliyebahatika kuingia kwenye uhusiano anatakiwa kuwa makini kuhakikisha mapenzi hayamtibulii maisha...
READ MOREJUMAMOSI nyingine tunakutana kwenye kilinge chetu kujadili yale yanayohusu uhusiano. Tunajifunza kila siku hivyo ni vyema kujifunza, kung’amua mambo kwa...
READ MORENI Ijumaa nyingine nzuri tunapokutana katika uwanja wetu huu mzuri, kujuzana na kujadiliana kuhusu mambo mbalimbali yanayohusu uhusiano wa kimapenzi....
READ MOREUNANISHA-NGAA wakati umes-hindwa kuyalinda maboga utaweza wapi matikiti! Haloooo eeeehhh wanakwambia kuvimba kwa mchele hakushtui mwiko shoga, upo nyonyo? ...
READ MORENI mwaka mpya na mambo mapya lakini kiukweli kwenye suala la mapenzi hakuwezi kuwa na mambo mapya. Mambo ni yaleyale...
READ MOREMUNGU ni mwema sana, ni Jumatatu nyingine tunakutana kwenye eneo hili maridhawa la kupeana darasa kuhusiana na masuala ya uhusiano....
READ MOREKWA hakika Mungu ni mwema. Tunakutana tena Jumamosi nyingine kwenye kilinge chetu cha kupeana elimu ya masuala ya uhusiano. Kama...
READ MOREHAKUNA kitu kinachoumiza moyo kama unapogundua kwamba uhusiano uliopo ndani yake, unaelekea ukingoni. Mmeishi pamoja kwa muda mrefu, mmeoneshana mapenzi...
READ MOREKWENYE ndoa hizi ambazo wengi hutamani kuziingia kuna changamoto nyingi. Hii inatokana na jinsi ambavyo wanandoa wenyewe wanashindwa kubaini matatizo...
READ MORE