×

Maisha

I AM SORRY DEAR ZINAVYOZOROTESHA PENZI!

KWA wale walio katika mapenzi matamu na ya kweli watakubaliana na mimi kuwa mapenzi yenye amani na masikilizano ni kama...

READ MORE

HESHIMU SANA ULIPO, NI SALAMA KULIKO UENDAKO !

JUMATATU nyingine tunamshukuru Mungu kwa kuiona siku mpya ya leo! Kama ilivyo ada, tunakutana hapa kupaena darasa la mahusiano.  Ndugu...

READ MORE

MKE MZURI, TAJIRI ILA LIMBUKENI WA MAPENZI WA KAZI GANI ?

U HALI gani mpenzi msomaji wangu wa safu hii. Karibu tena kwenye eneo lako hili la kujidai ambalo linayaweka sawa...

READ MORE

MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUINGIA KWENYE UCHUMBA-2

KUWA na mume au mke bora ni matokeo ya kuwa katika uchumba ulio bora na sahihi. Hakuna kitu kinachokuja kwa...

READ MORE

MWENYE NYUMBA HAKAI FOLENI

HALOOOO eeehhh…vijana wa leo wanakwambia ukitaka kuona raha ya pombe povu lake na mjini hakuna mtoto mdogo ati ukikaa baa,...

READ MORE

KAMA NI MZINGUAJI KWA NINI USUBIRI AKUACHE?

WATAALAM wa masuala ya mapenzi wanaeleza kuwa, unapokuwa katika uhusiano na mtu uliyetokea kumpenda sana, usimkabidhi moyo wako wote kwanza. ...

READ MORE

 RIYAMA AWAPONDA WANAOTOA SIRI ZA WAUME ZAO!

STAA wa filamu za Kibongo, Riyama Ally amewaponda wanawake wanaopenda kutoa siri za waume zao au wanaume wanaoachana nao na...

READ MORE

HISTORIA HAITAKUSAIDIA KITU, ANGALIA UPENDO WA DHATI – 2

WAPENDWA wasomaji wangu, leo tunaendelea na mada yetu ambapo tunaingia katika sehemu ya mwisho. Wakati fulani unaweza kukuta watu mtaani...

READ MORE

MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUINGIA KWENYE UCHUMBA

KUPATA mwenzi bora wa maisha siyo mchezo, lazima ubongo wako ufanye kazi sawasawa ili uweze kugundua kwamba mpenzi uliyenaye anafaa...

READ MORE

DIRISHA HALIFUNGWI NA KUFULI

SHOGA shangaa-shangaa mjini hapa, kama ni msimu embe subiri mwisho wa mwaka ndiyo hizooo zaja, uongo? Ukitaka kujifunza mbio wanasema...

READ MORE

UNAFANYA NINI ZAIDI YA KUMWAMBIA NAKUPENDA?

JAMBO la kufurahisha ni kwamba, ukifungua ukurasa huu, unakuwa na uhakika wa kuongeza kitu kipya katika maisha yako ya kimapenzi....

READ MORE

USICHUKULIE POA, MAMBO HAYA MADOGO HUBORESHAPENZI

MARAFIKI ni wakati wetu tena kuzungumza kuhusu uhusiano. Hebu nianze kwa kukuuliza swali, katika kuboresha penzi lako, huwa unafanya nini?...

READ MORE

KUKU HAKANYAGI MARUMARU

HALOOOOO eeeh sho­ga yangu mwenza­ko nam­shukuru Jalali kwa kunijalia uzima ulioni­wezesha kuonana nawe katika uga wetu huu tunaozungumzia ishu za...

READ MORE

YANAYOFANYA MKE KUTEMBEA NA RAFIKI WA MUME

UNAPOKUWA umeingia kwenye ndoa na mwanamke, utambue ana wanaume wengi wanaomtaka lakini huenda anawaka­talia kwa kuwa yuko na wewe.   ...

READ MORE

NGUVU YA UVUMILIVU NA MAANA YA MAPENZI!

NI Jumatatu nyingine njema, Mungu ametupa tuweze kujidaidai hapa duniani. Ni vyema kumshukuru na kuendelea kumsifu yeye siku zote za...

READ MORE

NAMNA YA KUJIWEKA ILI UOLEWE HARAKA

NI Ijumaa nyingine tunapokutana kwenye ukurasa huu mzuri. Ni matumaini yangu kwamba msomaji wangu unaendelea na majukumu yako vizuri.  Siku...

READ MORE

MABINTI WANAHADAIKA NA PETE ZA UCHUMBA

WEWE msomaji wa Boyfriend and Girlfriend ni kiungo muhimu sana katika maisha yangu. Hebu fikiria, vipi kama nitaandika tu halafu...

READ MORE

KIJIKO CHA JIKONI, HAKIOGOPI MOTO

HAYA jamani nimekuja miye mwenye maneno ya shombo, eti sina tofauti na harufu ya nguru, sina siri kama kitanda cha...

READ MORE

MAMBO MADOGO YANAVYOWEZA KUIVUNJA NDOA!

LEO tutaangalia mambo ambayo wewe unaweza kuyaona ni madogo madogo lakini hakika yanaweza kuivunja ndoa yako kama siyo kuiweka matatani....

READ MORE

EPUKA HILI UNAPOKUWA NA HASIRA NA MWENZA WAKO

JUMAMOSI nyingine Mungu amenijalia afya njema. Tunakutana tena kwenye uwanja wa mahaba, kupeana mambo mbalimbali yanayoweza kutusaidia katika mahusiano. Kizazi...

READ MORE

KUTENGANA KWA MUDA KUNAVYOWEZA KUOKOA PENZI LINALOKUFA

KATIKA safari ya mapenzi ya watu wawili wanaopendana, lazima kuna milima na mabonde. Wakati mwingine, changamoto zinazoibuka, zinakuwa ni ndogo...

READ MORE

MBINU ZA KUMVUTA MSICHANA MIKONONI MWAKO !-2

TUPO kwenye sehemu ya mwisho ya mada yetu, tukiangalia vitu ambavyo huwavutia zaidi wasichana. Lengo la mada hii ni kuwasaidia...

READ MORE

JUISI HAIWEKWI ASALI

PAMBEEE shoga wanakwam­bia ukitaka kujua utamu wa ngoma ingia ucheze na siku hizi mwanaume hasifiwi kuvaa bali pochi, upo nyonyo?...

READ MORE

TUKIWAPENDA WASIOTUPENDA, TUWE TAYARI KULIA!

HAKUNA shaka tulio wengi tupo katika uhu­siano wa kimapenzi wa mashaka. Hakuna hata mmoja wetu ambaye anaweza kujiamini­sha kwa asilimia...

READ MORE

MSIMAMO; SILAHA KUBWA YA MAFANIKIO PENZINI

JUMATATU nyingine nzuri imewadia. Mungu ametupa upendeleo mimi na wewe kuiona siku hii. Ni vyema tumshukuru yeye kwa zawadi hii...

READ MORE

DAWA KWA ANAYEUMIA KUKATALIWA !

MAPENZI ni hisia. Hisia kali za mapenzi zinaanzia moyoni. Macho yanaona, yanatamani, yanashawishika. Moyo unapokea matamanio na ushawishi wa macho....

READ MORE

USISIKILIZE WATU PEMBENI LAKINI KUWA MAKINI, LISEMWALO LIPO

UNAPOKUWA kwenye uhusiano wa kimapenzi na mtu unayempenda kwa dhati, unakuwa ni kama umepigwa na upofu fulani hivi, huwezi kusikia...

READ MORE

MSIBA HAUNA VIGELEGELE

YAANI shoga yangu leo nimekaa zaidi ya nusu saa natafa­kari meseji moja tu! Hata kama wa­nawake tumeum­biwa mateso si kwa...

READ MORE

MAPENZI KUNOGA KIPINDI CHA BARIDI NI TATIZO, SH’TUKA!

NI wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana kupitia safu hii nikiamini umzima na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku...

READ MORE

Si kila uliyenaye mtaoana

JUMATATU nyingine tunakutana katika eneo letu la kupeana darasa la masuala ya mahusiano. Mungu ni mwema ametujalia pumzi, hakika tumshukuru....

READ MORE

JINSI YA KUZUIA U.T.I KWA WATOTO

UGONJWA wa mfumo wa mkojo kitaalamu Urinary Tract Infection (U.T.I) umekuwa ukisumbua watu wengi. Leo tutazungumzia ugonjwa huu kwa watoto...

READ MORE

MBINU ZA WAPENDANAO KUISHI KWA FURAHA

MIGOGORO ya wapendanao kwa sasa imekuwa mingi. Ripoti mbalimbali zinaonesha kwamba kuna anguko kubwa la watu kupeana talaka, watu wanashindwa...

READ MORE

CHUNGA SANA, MITANDAO INAWEZA KUKUINGIZA CHAKA -2

HAPA kwenye Boyfriend and Girlfriend ndiyo sehemu pekee ambapo vijana ambao bado hawajaingia kwenye ndoa, hupata darasa zuri la mahusiano...

READ MORE

MCHAWI WA DEREVA BREKI

SHOGAAAAA eeehh wanak-wambia hata kizibo ni mfuniko japokuwa huwezi kufunikia sufuria, heee heeeeiyaaaa! Tangu lini kijiko cha jikoni kikaogopa moto? Unajifanya...

READ MORE

UKIFANYA HIVI, WENYE PESA WATAKUMEGEA PENZI LAKO!

LEO nataka kuzungumzia hili suala la baadhi ya watu kuwa wabinafsi, wabahiri na wasiowajali wapenzi wao kiasi cha kusababisha mapenzi...

READ MORE

UKITAKA KUANZISHA HUDUMA ZA ‘LAUNDRY’, FUATA HATUA HIZI RAHISI

  Udobi ni kazi ambayo imezoeleka kwamba inafanyika kikawaida kabisa. Wasichokijua wengi ni kwamba, unaweza kujikwamua kiuchumi na kupata mafanikio...

READ MORE

Ijue Hoteli ya Kwanza Duniani Iliyopo Angani

  KITUO cha Aurora ni hoteli ya kwanza duniani – kwenye mzunguko wa orbiti katika anga za juu ambayo ilinuiwa...

READ MORE

JINSI YA KUJINASUA KWENYE MATESO YA MAPENZI

NI Jumatatu nyingine mpenzi msomaji wangu. Mungu ametujalia uzima, kama upo na tatizo lolote basi usikate tamaa Mungu atakufanyia wepesi...

READ MORE

MAMBO YANAYOJITOKEZA MIEZI 7 MPAKA 9 YA UJAUZITO

MIEZI saba hadi tisa ya ujauzito huwa kwa kiasi kikubwa salama bila ya kuwa na dhoruba zozote na wakati huo...

READ MORE

KUNA FAIDA WAPENDANAO KUKWARUZANA

MUNGU ni mwema tena Jumamosi ya leo ametupa pumzi. Kwa wale wenye changamoto mbalimbali, msikate tamaa, Mungu atawatia nguvu mtarejea...

READ MORE