RAFIKI yangu, katika kipindi hiki ambacho kuna sintofahamu nyingi, kutiliana shaka na hata kutengana, ni muhimu kujenga hulka ya kujaliana...
READ MOREJUMATANO nyingine Mungu ametukutanisha. Kama ilivyo kawaida, hapa huwa tunajadili mambo mbalimbali yahusuyo masuala ya mahusiano. Ili uweze kuishi vizuri,...
READ MOREHAKUNA kitu kizuri kwenye uhusiano kama kujua mwenzako anapenda nini. Unapomjua mwenzako anachokipenda, itakusaidia katika suala zima la kudumisha uhusiano....
READ MOREDUNIA ya sasa mambo yamekuwa rahisi. Teknolojia imefanya vitu vingi ambavyo vilikuwa vinachukua mlolongo mrefu kutendeka kwa muda mfupi tu....
READ MOREWAPO watu ambao wameoa au wana wapenzi walioahidiana kwa mambo mengi, lakini wamekuwa wakikabiliwa na tatizo la kuvutwa kimahaba na...
READ MOREUHUSIANO wa kimapenzi kwa vijana wengi hukumbwa na changamoto nyingi. Zipo sababu kadhaa zinazosababisha hilo, lakini kubwa zaidi ni ugeni...
READ MORERAHA ya uhusiano wa mapenzi ni kumpata mwenza sahihi na kwa wakati muafaka. Unapopishana na muda, unachelewesha maendeleo yako maana...
READ MOREKUNA huu msemo usemao, mvumilivu hula mbivu. Hakuna ambaye ni mgeni wa msemo huu, hukuna asiyejua elimu tunayoipata kutokana na...
READ MOREDUNIANI tunaishi kwa kutegemeana. Kwenye maisha kila mtu anamhitaji mwenzake kwa namna moja au nyingine. Anahitaji msaada wa mawazo, ushauri...
READ MOREMPENZI msomaji wangu, kilio cha wengi walio kwenye uhusiano ni kuhisi wanasalitiwa na wapenzi wao waliotokea kuwaamini sana. Wapo...
READ MOREMWISHONI mwa wiki iliyopita, nilipata bahati ya kukutana na mmoja kati ya wasomaji wangu wa siku nyingi ambaye amekuwa akiufuatilia...
READ MOREMiss Tanzania wa kwanza, Theresa Shayo akipita kwenye kingo za bwawa la kuogelea la hoteli ya Kilimanjaro mwaka 1967. Mwaka...
READ MOREHATA Jinsi tulivyoumbwa, kila mmoja anapenda sana kuwa na ule uhuru wake wa faragha au kwa Kingereza wanaita privacy....
READ MOREMARA nyingi inapotokea umejeruhiwa penzini hususan kwa mtu ambaye ulikuwa na malengo naye ni vigumu sana kupenda tena. Ni vigumu...
READ MOREYAWEZEKANA kwa kipindi kirefu ulikuwa ukitamani kumpata mpenzi wa kweli ambaye atakupenda na kukufanya uyafurahie mapenzi na maisha kwa jumla....
READ MOREUTOKANA na mila mbalimbali, baadhi ya watu wamekuwa wakiamini kwamba mwanamke ni daraja la pili. Daraja la kwanza na lenye...
READ MORENI siku nyingine Mungu ametupa pumzi tunaendelea kusukuma gurudumu la maisha yetu ya hapa duniani, yatupasa tumrudishie yeye sifa na...
READ MOREWIKI hii nitazungumzia sifa tano za mwanamke ambaye anastahili kuwa mke au kwa kizungu tunasema ‘wife material’. Nafanya hivi ikiwa...
READ MOREMTU mwenye mawazo, ni yule ambaye muda wote anayatazama mambo kwa ubaya, analalamika, analaumu wengine, anapenda kuwashambulia wengine kwa kauli...
READ MORENi wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana kupitia safu hii nikiamini kwamba umzima na unaendelea kupambana kuhakikisha maisha yako yanakuwa mazuri....
READ MOREWATU wengi ambao wana matatizo katika ndoa au uhusiano wao wa kimapenzi, wanapokuja kwangu kwa lengo la kutaka ushauri, huwa...
READ MORE“MIMI nipo kwenye ndoa, huu ni mwaka wa tatu sasa. Tatizo lililonifanya niombe ushauri, mume wangu ana kawaida ya kuwa...
READ MOREULIMWENGU wa sasa, wapendanao wengi wanaishi kwa machale. Ni staili ile ya mguu pande, mguu sawa. Kwamba ukimzingua, anakuzingua. Mwaga...
READ MOREMaisha yanaenda kasi sana huku suala la ndoa likiwa ni kipaumbele cha kwanza na kigumu kwa wanawake. Matokeo yake wengi...
READ MOREKUNA watu ambao wamejikuta hawakubaliki kwenye jamii zao. Jambo hilo ni baya na husababisha tatizo kubwa la kisaikolojia kwa mhusika....
READ MORENIANZE kwa kumshukuru Mungu kwa kunijalia kuiona siku hii ya leo nikiwa mzima wa afya. Ni matumaini yangu kwamba na...
READ MOREKUOLEWA au kutoolewa ni majaaliwa ya Mungu lakini zipo sababu ambazo zinaweza kumfanya mwanamke akawa anatanga na njia kila...
READ MORENIANZE kwa kumshukuru Maulana kwa kunijalia kuiona siku hii ya leo nikiwa mzima wa afya. Ni matumaini yangu kwamba na...
READ MOREKATIKA kuangalia tabia za wanawake, ni vyema ukawa chonjo kwani ukiingia chaka wanaweza kuyafanya maisha yako ya uhusiano kuwa balaa....
READ MORETUNAISHI katika dunia ya utandawazi ambapo sasa karibu kila mtu anamiliki simu, hata wale wenye uwezo wa chini kabisa. Ukijaribu...
READ MOREWAPO watu ambao kila siku wanalalamika maisha kwao ni magumu, kila kitu hakiendi n.k. Lakini pia kuna wale ambao ni…
READ MORENI IJUMAA nyingine ambayo Mwenyezi Mungu ametukirimia na mimi ninawakaribisha hapa jamvini, mahali ambapo tunajadili mapenzi na maisha kwa jumla....
READ MOREASIKWAMBIE mtu, maumivu ya kumpenda mtu halafu yeye akawa hakuelewi huwa yanauma sana. Unateseka kisaikolojia, unafanya kila unalotakiwa kufanya ili...
READ MOREKWENYE ulimwengu wa mahaba, wengi wanaumizwa. Wengi hufikia hatua ya kukata tamaa na kusema hawatapenda tena. Hawaoni umuhimu, wameambulia karaha...
READ MOREWANAWAKE wengi wanateseka penzini kwa kutowatambua vizuri wanaume wenye mapenzi ya dhati. Wengi hujikuta kwenye maumivu makali kwa sababu ya...
READ MOREULIMWENGU wa sasa, wapendanao wengi wanaishi kwa machale. Ni staili ile ya mguu pande, mguu sawa. Kwamba ukimzingua, anakuzingua. Mwaga...
READ MOREMOJA kati ya kilio kikubwa cha mabinti ni kupata wanaume sahihi wa kuwaoa. Ishu si tu kuolewa lakini kupata mume...
READ MOREUHUSIANO wa kimapenzi una changamoto nyingi sana, idadi ya wanaolizwa na mapenzi inazidi kuongezeka kila kukicha, visa vya mapenzi vya...
READ MOREMAPENZI ni hisia. Unapompata mtu akakupenda kwa dhati, ni vigumu sana kuyatambua mateso ya wengine wanayopitia kwenye mahusiano yao. Wapendanao...
READ MOREMAPENZI ni sanaa ambayo kwa hakika haitaki hasira hata kidogo. Ubunifu, utulivu wa akili na utundu binafsi ni kati ya...
READ MORE