KUGOMBANA ni jambo ambalo halikwepeki katika uhusiano wa kimapenzi. Upo ugomvi ambao ni wa kawaida na huisha kirahisi lakini upo...
READ MORENI Jumatatu nyingine tunakutana kwenye darasa letu. Hapa tunajifunza na kupeana misingi ya kuhusu masuala mbalimbali ya uhusiano na maisha...
READ MOREMIAKA 20 iliyopita Taifa la Tanzania liligubikwa na majonzi mazito kutokana na kifo cha mwasisi wake, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere....
READ MOREWAKATI leo Watanzania wakiadhimisha kumbukumbu ya miaka 20 tangu rais wa kwanza Mwalimu Julius Nyerere afariki dunia, baadhi ya malengo...
READ MOREZAMA hizi ni za kusaidiana kwa kila kitu. Kama wewe ni binti ambaye unatamani na unataka ukute au upate mwanaume...
READ MORENI Ijumaa nyingine tuliyoj-aaliwa na Mwenyezi Mungu. Karibu kwenye uwanja wetu huu wa kupeana elimu juu ya uhusiano na maisha...
READ MOREWANAKWAMBIA ndege wafananao huruka pamoja nashanga wee bundi sijui utaruka na nani? Hehe heeeiyaaaaaa! Shoga mji wa moto huu, unaweza...
READ MOREKADIRI miaka inavyozidi kuyoyoma, wimbi kubwa la wanawake kutaka kuzaa limezidi kuongezeka. Hii inatokana na suala zima la umri. Mwanamke...
READ MOREHALOOOO eeeehhh shoga wanakwambia mjini raha jipe mwenyewe, hata kama mtu mzima nunua pampas kisha jikojolee, kwani bei gani! Unajifanya...
READ MOREUKIFANYA tathmini ya ndoa nyingi, ni wachache sana ambao watakuambia wanazifurahia. Wengi watakuambia wapo kwenye mateso mazito, wanatamani kutoka. Matatizo...
READ MORENI siku nyingine nzuri tunapokutana kwenye ukurasa huu, mahali ambapo tunajadiliana na kuelimishana kuhusu mambo mbalimbali yahusuyo uhusiano wa kimapenzi...
READ MOREMUNGU yu mwema, kwa uwezo wake tunakutana tena leo hapa kwenye ukurasa wetu ambao tunajifunza kuhusu uhusiano na mapenzi. Naamini...
READ MOREVANESSA MEDEE aka Cash Madame au VeeMoney, ni msanii wa kurekodi mwenye asili ya Arusha Tanzania. Vanessa ni mwimbaji, mwandishi...
READ MOREMARA nyingi sana inapotokea umejeruhiwa penzini, hususan na mtu ambaye ulikuwa na malengo naye, ni vigumu mno kupenda tena. Ni...
READ MOREMARAFIKI tunakutana tena kwenye safu yetu ya kupeana mawili matatu kuhusiana na uhusiano. Bila shaka kuna mambo mengi mapya huwa...
READ MOREWAAREEEEE miye ndiye dokta nimeachiwa hospitali wagonjwa wote ruksa kutibiwa bure, kulala bure hata wakitaka ruhusa nawaruhusu! Unaloooo bibiyeeee ulidhani...
READ MORENI juma lingine tulivu kabisa tunakutana kwenye ukurasa huu ambao unapata fursa ya kusoma dondoo mbalimbali zinazoweza kuyaboresha maisha yako....
READ MOREMOJA kati ya maswali ambayo vijana wengi wanakutana nayo mara kwa mara ni umeoa au umeolewa? Swali hili huwa linawakumba...
READ MOREYAWEZEKANA unapokuwa kwenye eneo salama katika uhusiano, unaweza usifikirie wale wanaopitia magumu, lakini nikuambie tu, uhusiano una nyakati tofautitofauti hivyo...
READ MORENI siku nyingine ninapo-kukaribisha msomaji wangu kwenye ukurasa huu murua, mada tunayoijadili ni ile tuliyoanza nayo wiki iliyopita, ni juu...
READ MORETABASAMU ni tiba ya moyo, hujenga kujiamini na kutengeneza furaha ya siku yako. Husaidia sana kuondoa makunyanzi usoni. Binti mdogo...
READ MOREBINADAMU bwaana hata ukiogelea watakwambia unawatimulia vumbi, paaaambeee shoga! We endelea kunishangaa Anti Naa badala ushangae mlango mkubwa unalindwa kwa...
READ MOREUKWELI ni kwamba, wapo wanaume ambao wako kwenye ndoa lakini hawana amani kabisa. Wanatamani kutoka lakini haiwezekani, wanabaki kuugulia. Hii...
READ MORETUMSHUKURU Mungu kwa kutujalia uhai. Ni Jumatatu nyingine tunakutana kwenye uwanja wetu huu wa kupeana darasa la masuala ya uhusiano...
READ MOREMUNGU ni mwema! Ni Jumamosi nyingine tumekutana kwenye kilinge chetu cha kujifunza masuala mbalimbali yanayohusu maisha ya uhusiano. Tupo kwenye...
READ MORENI Ijumaa nyingine tunapokutana katika uwanja wetu huu mzuri, tukijuzana na kuelimishana kuhusu mambo mbalimbali yahusuyo mapenzi. Mada yetu ya...
READ MORELEO tupo kwenye sehemu ya mwisho kabisa ya mada hii. Tumeshaona mengi kuhusu namna ambavyo unaweza kujipandisha thamani kwa mpenzi...
READ MOREPAAAMBEEE shoga tumekutana tena kwenye kona yangu mimi shangingi mstaafu mwingine fotokopi, nasikia kuna watu wanajiita mashangingi wastaafu sifa yao...
READ MOREDIARY ya Shigongo: NI Jumamosi nyingine, naendelea na shughuli zangu za ujenzi wa taifa na nikiwa natafakari mambo mbalimbali yanayoendelea...
READ MORENI Ijumaa nyingine murua. Siyo mbaya kwa wanajamvi hili, ndugu, jamaa na marafiki kushirikiana katika mapenzi kama vile wakati wa...
READ MORETUNAENDELEA na mada yetu ambayo naamini ukiifuatilia hadi mwisho itakuachia mafunzo makubwa sana. Tunaangalia namna unavyoweza kupandisha thamani ya penzi...
READ MOREHAYA tena shoga yangu, kujifanya kuvamia sherehe za watu na dera la msiba kimbelembele hadi wka bi harusi inahu? Hivi...
READ MORETUNAKUTANA tena kupitia safu hii nikiamini kwamba umzima na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku kama kawaida. Mimi...
READ MORENI matumaini yangu mpenzi msomaji wa safu hii, utakuwa kwenye hali nzuri na tayari kusoma kile ambacho nimekuandalia Jumatatu hii....
READ MORENI wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana kupitia safu hii nikiamini Mungu amekujaalia afya njema na uko tayari kabisa kusoma kile...
READ MOREJUMAMOSI nyingine tunakutana kwenye darasa la mahusiano. Maisha yetu hayawezi kwenda bila ya kuhusiana, lazima tushirikiane, tusaidizane katika mambo mbalimbali...
READ MORETUNAENDELEA na mada tuliyoianza wiki iliyopita. Narudia tena kukusisitiza kwamba suala la kuingia kwenye ndoa halipaswi kufanywa kiwepesiwepesi kwa sababu...
READ MORENI Ijumaa nyingine nzuri, karibu jamvini! Mada niliyoanza kukufafanulia wiki iliyopita, ni kuhusu kitu kiitwacho Twin Soul Flame, yawezekana maneno...
READ MOREMARAFIKI tunaendelea na mada yetu iliyoanza wiki iliyopita ambapo tunaangalia namna ambavyo unaweza kujipandisha thamani yako kwa mwenzi wako. Tayari...
READ MOREKUJIFANYA mjanja ukafukuza kuku mweusi kwenye giza ulidhani utampata? Heee heeeiyaaa kwa taarifa yako muhogo muhogo hata ukiupaka blue band...
READ MORE