×

Michezo

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Wafungaji Wanaoongoza kwa Mabao Simba Sc Msimu Huu

Licha ya klabu ya Simba Sc kuanza vibaya msimu huu wa NBC Premier League, mshambuliaji wa klabu hiyo Meddie Kagere...

READ MORE

Wachezaji Wote Ligi Kuu Bara Watolewa AFCON

Kuanzia Januari 9, 2022, mashabiki wa soka Barani Afrika na waliopo sehemu mbalimbali nje ya Afrika walianza kuelekeza umakini wao...

READ MORE

Wafungaji Wanaoongoza kwa Mabao Ligi Kuu Mpaka Sasa

Dalili za ubingwa zinanukia mitaa ya Jangwani ambapo mpaka sasa klabu hiyo imekua imara sana karibu maeneo yao yote ya...

READ MORE

Mfahamu Gabadinho, Nyota Aliyewindwa na Yanga, Aacha Rekodi AFCON

Nyota wa klabu ya Orlando Pirates, Gabadinho Mhango ametupwa nje katika michuano ya kombe la mataifa Afrika akiwa na timu...

READ MORE

Kumbe Tatizo la Simba Lipo Hapa!

  Klabu ya Wekundu wa Msimbazi Simba imeendelea na kupata matokeo mabovu katika michezo yake ya Ligi Kuu NBC Tanzania...

READ MORE

Yanga Waibomoa Simba SC, Mchongo Mzima Uko Hapa

Simba Sc na Yanga ndio wababe na mabingwa wa nchi hii kwa miaka mingi sana kwenye michuano mbalimbali ikiwa ni...

READ MORE

Bundi Aliyeng’ang’ania Msimbazi

Bundi ni ndege ambaye anatajwa kua na mikosi sana ulimwengu huu, jamii nyingi zimekua na imani tofauti tofauti juu ya...

READ MORE

Kizza: Inonga, Onyango ni Mabeki Bora

Baada ya kupeleka msiba mzito katika mitaa ya msimbazi, mshambuliaji wa kimataifa kutoka nchini Burundi Hamis Kizza anayekipiga katika klabu...

READ MORE

Ubingwa Wanukia Jangwani, Takwimu Hizi Hapa

Klabu ya Yanga imekuwa na nafasi kubwa sana msimu huu wa kuweza kutwaa ubingwa wa NBC Premier League hali hii...

READ MORE

Mkude Akana Kumfundisha Matusi Morrison

Baada mchezaji wa Simba Sc, Bernard Morrison kudai kuwa mchezaji mwenzake Jonas Mkude ndiye amekua akimfundisha Lugha ya Kiswahili chenye...

READ MORE

Nabi Ampa Saido Mchongo … Soma Hapa

SASA uhakika kiungo mshambuliaji wa Yanga Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’ raia wa Burundi, ataendelea kuichezea timuhiyo katika msimu ujao, hii ni...

READ MORE

Mastaa 10 Yanga Kuikosa Mbao FC

KIKOSI cha Yanga SC kitashuka tena uwanjani Jumamosi ya Januari 29, 2022 kucheza na klabu ya Mbao FC ya jijini...

READ MORE

Manara Atamba: Msimu Huu ni Shangwe tu kwa Yanga

WAKATI Simba SC wakihaha kurejea katika njia ya furaha na kusaka namna ya kutetea ubingwa wa Tanzania Bara kwa mara...

READ MORE

Kocha Pablo Aomba Radhi Mashabiki wa Simba

KOCHA Mkuu wa Timu #Simba, Franco Pablo Martin amewaomba radhi mashabiki na wanachama wa klabu hiyo kufuatia kichapo cha 1-0...

READ MORE

Manara Kuhama Nchi

MSEMAJI wa Klabu ya Young Africans, Haji Sunday Ramadhani Manara ameweka nadhiri ya kuhama nchi, endapo klabu hiyo itashindwa kutwaa...

READ MORE

Senzo: Ubingwa Yanga ni Suala la Muda Tu

OFISA Mtendaji Mkuu (CEO) wa klabu ya Yanga, Senzo Mbatha ameweka wazi kuwa kwa moto ambao kikosi chao kinaendelea kuuwasha...

READ MORE

GSM Wamuita Mayele Fasta

YANGA kweli safari hii imepania kuhakikisha kuwa inawalinda mastaa wake hiyo ni baada ya uongozi wa klabu hiyo chini ya...

READ MORE

Mastaa Yanga Wakomba Mamilioni

USHINDI wa 11 walioupata Yanga, umewapa wachezaji wa timu hiyo bonasi ya Sh 265Mil katika michezo ya Ligi Kuu Bara...

READ MORE

Yanga Watua Mwanza ‘Kibosi’ Wapokelewa na Mashabiki

Kikosi cha Yanga kimewasili Mwanza leo Januari 27, 2022 tayari kwa maandalizi ya mchezo wetu wa Kombe la ASFC dhidi...

READ MORE

Sababu 5 Kipigo Cha Simba , Kocha Nabi Asema “Simba Washaumia Tayari” | Krosi Dongo-Video

KARIBU katika ‘KROSI DONGO’ upate stori za kuaminika za michezo ndani na nje ya nchi.. 

READ MORE

Simba Yanyooshwa na Kagera Kaitaba, Kiiza Atupia

Uwanja wa Kaitaba dakika 90 zimekamilika mbinu ya Pablo Franco imekwama mbele ya Kagera Sugar. Ni Hamis Kiiza dakika ya...

READ MORE

Misri, Ivory Coast Mtifuano Mzito

VIGOGO wa Afrika, Misri na Ivory Coast watakuwa dimbani leo katika hatua ya 16 bora ya michuano ya kombe la...

READ MORE

Djuma, Bangala Watimka Yanga

MASTAA wa Yanga, Djuma Shaaban na Yannick Bangala jana Jumanne saa tisa kamili alfajiri walipanda ndege kurejea nyumbani kwao DR...

READ MORE

Simba Kukiwasha na Kagera Sugar Kaitaba Leo

UONGOZI wa Simba umesema kuwa wana furaha kubwa kwenda kucheza Bukoba kwenye uwanja wa kisasana wenye hadhi yao dhidi ya...

READ MORE

Ambundo Aahidi Makubwa Yanga

WINGA wa Yanga, Dickson Ambundo, amefunguka na kuelezea matumainiyake ndani ya kikosi hicho baada ya juzi Jumapili kufunga bao la...

READ MORE

Barbara: Ubingwa Ni Mali ya Simba Msimu Huu

MTENDAJI wa Klabu ya Simba, Barbara Gonzalez, amesisitiza kuwa ishu ya nani atakuwa bingwa wa ligi kuu msimu huu, ipo...

READ MORE

Benzema Hatiati Kuwakosa PSG

STAA wa Real Madrid, Karim Benzema huenda akaukosa mchezo Robo Fainali wa Copa del Rey na ule wa Hatua ya...

READ MORE

Kisa Kuondolewa Afcon, Mastaa Nigeria Watishiwa Kuuwawa

WACHEZAJI wa timu ya taifa ya Nigeria, Maduka Okoye ambaye ni golikipa na kiungo Alex Iwobi wametishiwa kuuwawa baada ya...

READ MORE

Mashabiki wa Simba Wapata Ajali Kahama, Sita Wajeruhiwa

  Gari iliyokuwa imebeba mashabiki wa klabu ya Simba SC tawi la Wekundu wa Chalinze kutoka Kahama kwenda mkoani Kagera...

READ MORE

Mechi ya Yanga na Mbao Yahamishwa Uwanja

Shirikisho la soka nchini Tanzania (TFF) limethibitisha kuhamishwa kwa mchezo wa Kombe la Shirikisho ‘ASFC’ hatua ya 32 kati ya...

READ MORE

Azam FC Wamtangaza Abdi Hamid Kuwa Kocha Mkuu

Klabu ya soka ya Azam imemtangaza Abdi Hamid Moallin kuwa kocha mkuu wa kikosi hicho kwa mkataba wa miaka mitatu...

READ MORE

Kisa Kuvuliwa Ubingwa, Mwakinyo Adai ni Wivu Tu

  BAADA ya Shirikisho la Ngumi za Kulipwa Duniani (WBF), kuwavua mikanda yao ya ubingwa wa Intercontinetal, Hassan Mwakinyo na...

READ MORE

Mfahamu Kazuyoshi… Umri wa Miaka 54 na Bado Anasakata Kabumbu

ANAKUAMBIWA umri sio tatizo kwake, huyu ni Kazuyoshi Miura raia wa Japan mwenye umri wa miaka 54, amesaini kandarasi ya...

READ MORE

Abdi Banda Aomba Radhi

Beki wa Mtibwa Sugar, Abdi Banda amewaomba radhi wadau wa soka nchini Tanzania kufuatia kauli aliyoitoa dhidi ya wachezaji wa...

READ MORE

Kocha Yanga Afunguka Diarra Kusotea Benchi Afcon

KUENDELEA kusugua benchi kwa mlinda mlango namba moja wa Yanga, Djigui Diarra, akiwa na kikosi cha timu ya Taifa ya...

READ MORE

Mukoko: Nitamiss Ugali na Samaki

Baada ya kuthibitishwa ameondoka Young Africans na kusajiliwa TP Mazembe ya nchini kwao DR Congo, Kiungo Mkabaji Mukoko Tomombe ametoa...

READ MORE

Msongamano Waua Watu Sita AFCON Cameroon

WATU sita wameripotiwa kufariki na makumi kadhaa kujeruhiwa katika msongamano uliotokea nje ya uwanja unaopokea mechi za Kombe la Mataifa...

READ MORE

Bosi Simba: Yanga Ubingwa Bado

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Salim Abdallah Muhene ‘Try Again’, amesema kuwa licha ya kushindwa kupata ushindi katika...

READ MORE

Chico Ampa Kiburi Nabi Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, raia wa Tunisia, Nasreddine Nabi, amesema kuwa ujio wa kiungo mshambuliaji,Mkongomani, Chico Ushindi, umeongeza ubora na...

READ MORE