×

Michezo

Mangungu: Simba Hali ni Shwari

MWENYEKITI wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu, amesema licha ya timu yao kukosa matokeo mazuri katika michezo mitatu iliyopita ya...

READ MORE

Straika Mkongo Aanza Nyodo Simba

MARA baada ya kufunga bao lake la kwanza tangu kuanza kwa msimu huu, mshambuliaji Mkongomani ndani ya kikosi cha Simba,...

READ MORE

Kibwana Anahesabu Siku Yanga

BEKI kiraka wa Yanga, Kibwana Shomari na mwenzake Abdallah Shaibu ‘Ninja’, wanahesabu siku tuza kurudi uwanjani mara baada ya kupona...

READ MORE

Aubamayeng Ajiunga Rasmi Barcelona

MSHAMBULIAJI nyota wa kiimataifa raia wa Gabon, Pierre-Emerick Aubamayeng hatimaye ameagana na Klabu ya Ligi Kuu Uingereza Arsenal na kujiunga...

READ MORE

Aubameyanga Atimkia Barcelona

MUDA wowote kuanzia sasa, mshambualiaji wa Arsenal, Pierre-Emerick Emiliano François Aubameyang atajiunga na Barcelona kwa mkopo kabla ya dirisha la...

READ MORE

Mbeya City Yaichimba Mkwara Yanga

KOCHA Mkuu wa  Mbeya City, Mathias Lule, ameitahadharisha Yanga, kuwa isitarajie kupata mteremko katika mchezo ujao wa Ligi Kuu Tanzania...

READ MORE

Unaambiwa Nabi Hawazi Kingine Zaidi ya Ubingwa FA

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema ushindi wa bao 1-0 walioupata dhidi ya Mbao FC kwenye Uwanja wa CCM...

READ MORE

Mo Salah Aizamisha Morocco, Aipeleka Misri Nusu Fainali

Mshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah ameiongoza Egypt kwa mara nyingine kuhakikisha wanatinga hatua ya nusu Fainali. Katika mchezo huo Mafarao hao...

READ MORE

Greenwood Akamatwa kwa Tuhuma za Ubakaji

Mchezaji wa Manchester United Mason Greenwood amekamatwa kwa tuhuma za ubakaji na shambulio kufuatia madai kwenye mitandao ya kijamii.  ...

READ MORE

TP Mazembe Wamfuata Msuva Dar

UONGOZI wa Klabu ya TP Mazembe, umefunguka kuhitaji kumsajili winga Mtanzania, Simon Msuva anayekipiga Wydad Casablanca ya Morocco, huku ukiweka...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazet la Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania...

READ MORE

Tango Aibuka Bingwa John Walker Waitara Trophy

NYOTA wa mchezo wa gofu, Injinia Joseph Tango mwenye handicap 13, juzi Jumamosi alifanikiwa kuibuka mshindi wa jumla wa mashindano...

READ MORE

Mshery Aingia Anga za Diarra

ABOUTWALIB Mshery, kipa namba mbili wa Yanga, ameingia anga za Djigui Diarra kwa kugandamizia yale ambayo aliyafanya katika mechi tatu...

READ MORE

Dar City Yaichimba Mkwara Simba

UONGOZI wa Dar City umefunguka kuwa mchezo wao wa leo Jumapili dhidi ya Simba, utakuwa mkali zaidi tofauti na ile...

READ MORE

Pablo Franco Atetea Mfumo wa Guardiola Simba

KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco, ametetea uamuzi wake wa kucheza bila straika halisi katika mchezo wao wa Jumatano iliyopita...

READ MORE

Nkane, Mshery Kutibua Usajili wa Nabi Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, raia wa Tunisia, Nasreddine Nabi, amenogewa na ubora wa wachezaji wazawa aliowasajili katika dirisha dogo huku...

READ MORE

Mzee Dalali Awashukia Mabosi Simba

KUKOSA matokeo mazuri kwa timu ya Simba kumemuibua mwenyekiti wa zamani wa timu hiyo, Mzee Hassan Dalali ambapo amewashukia viongozi...

READ MORE

Mastaa Simba Wapigishwa Tizi Kwenye Jua Kali

PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba  Ijumaa aliwafanyisha mazoezi wachezaji wake kwenye mchana wa jua kali ikiwa ni maandalizi ya...

READ MORE

Kumekucha, Watanzania Wakwanza Kilimanjaro Marathon Kuzawadiwa Viwanja na SPC

WAANDAAJI wa Kilimanjaro Premium Lager Marathon wametangaza mdhamini mpya wa mbio hizo, Surveyed Plots Company (SPC) Ltd ya Jijini Dar...

READ MORE

Mtibwa Sugar: Yanga Wanaletwa Manungu

OFISA Habari wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru ameweka wazi kwamba hawafikirii kuacha kuutumia Uwanja wa Manungu kwa wakati huu kwenye...

READ MORE

Yanga Yaichana Mbao Kirumba

MCHEZO wa kombe la shirikisho la Azam  Azam Sports Federation Cup (ASFC) hatua ya 32 umekamilika, kwa Yanga kuibuka na...

READ MORE

Barbara Aitwa Polisi, Asota Saa Nzima

MTENDAJI Mkuu (C.E.O) wa Simba, Barbara Gonzalez jana Ijumaa alilazimika kusota kwa saa zima kwenye Kituo Kikuu cha Polisi (Central)...

READ MORE

Mshery Afungukia Ujio wa Diarra Yanga

KIPA wa Yanga, Aboutwalib Mshery amesema kuwa atatumia uwezo wa kipa mwenzake, Djigui Diarra katika kujifunza mambo mbalimbali ndani ya...

READ MORE

Pablo Ajitibulia Mwenyewe Simba SC

KOCHA Mkuu wa Simba, Mhispania, Franco Pablo, ameweka rekodi ya kucheza michezo mitatu mfululizo ya Ligi Kuu Bara, sawa na...

READ MORE

Yanga Hawazuiliki, Waonyesha Dalili 5 za Ubingwa

YANGA huu msimu ni wao, kutwaa kombe la Ligi Kuu Bara wana asilimia kubwa sana, kwani wameonyesha dalili zote za...

READ MORE

Kiiza Aweka Rekodi ya Ajabu Ligi Kuu

HAMIS Kiiza (Diego) ndiye aliyebaki kwenye kumbukumbu mbaya kwenye vitabu vya Simba baada ya kuwafungia Kagera Sugar bao 1-0 na...

READ MORE

Simba: Tunahujumiwa

MMOJA wa mabosi wakubwa wa Simba ametamka kwa hasira jijini Dar es Salaam: “Tunahujumiwa.” Kisha akatangaza kufanya maamuzi magumu ndani...

READ MORE

Pablo Atangaza Vita Mpya Simba

KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco, juizi Alhamisi alishuka na kikosi cha klabu hiyo kutokea mkoani Kagera, na kuchimba mkwara...

READ MORE

Fei Toto, Makambo, Aucho Watupwa Nje Yanga

VINARA wa Ligi Kuu Bara, Yanga, wanatarajiwa kuwakosa mastaa wake sita katika mchezo wa Kombe la FA watakaocheza dhidi ya...

READ MORE

Yanga Yatumia Sh Mil 265 Kushinda Mechi Zao, Hersi Aanika

USHINDI wa 11 walioupata Yanga, umewapa wachezaji wa timu hiyo bonasi ya Tsh milioni 265 katika michezo ya Ligi Kuu...

READ MORE

Kiwango cha Chama Kudaiwa Kuporomoka, Staa Simba Aanika Haya

LICHA ya baadhi ya mashabiki wa soka kuonyesha kutoridhishwa na kiwango cha kiungo, Cleotus Chama kwenye mchezo ambao Simba ilikubali...

READ MORE

Nabi: Sitaki Kusikia Mchezaji wa Yanga Akizungumzia Simba

KOCHA Mkuu wa Kikosi cha Yanga, Mohamed Nabi amesema amewapiga marufuku wachezaji na benchi la ufundi la timu hiyo kuzungumzia...

READ MORE

Burudani Inanoga Viwanjani, Afrika Na Ufaransa Mambo Ni Moto!

Robo fainali ya mashindano ya AFCON kuendelea wikiendi hii. Mataifa 8 kuipambania nafasi ya kutwaa ubingwa wa Afrika. Kule Ufaransa,...

READ MORE

Pablo Ashushiwa Rungu TFF kwa Kupiga Viti Mateke, Djuma Yamkuta

BODI ya Ligi ya Soka Tanzania Bara imempiga faini ya Tsh milioni 3.5, Kocha Mkuu wa Simba SC, Pablo Martin...

READ MORE

Jeshi Laamuru Wachezaji Kurudisha Posho Baada ya Kushindwa AFCON

Serikali ya taifa la Afrika la Magharibi la Guinea imewataka wachezaji wa timu ya taifa ya mchezo wa kandanda waliokuwa...

READ MORE

Kocha wa Yanga Avunja Ukimya Kuhusu Diarra

KOCHA wa Makipa wa Klabu ya Yanga, Milton Nienov ameweka wazi kuwa michuano ya AFCON 2021 inayoendelea kutimua vumbi huko...

READ MORE

Kilichotokea Baada ya Simba Kufungwa na Kagera

Huenda walidhrika na mafanikio ya kutwaa ubingwa wa mashindano ya kombe la Mapinduzi huko visiwani Zanzibar au ndio matokeo ya...

READ MORE

Komba Kuchezesha Mechi Ligi ya Mabingwa Afrika

MWAMUZI wa Tanzania Frank Komba ameteuliwa na CAF kuwa miongoni mwa Waamuzi watakaochezesha mchezo wa hatua ya Makundi Ligi ya...

READ MORE

Mkata Umeme Simba Asiye na Bahati kwa Mashabiki

Licha ya Klabu ya Simba kuanza vibaya kwenye michezo ya mzunguko wa kwanza wa NBC Premier League msimu huu lakini...

READ MORE

Mbappe: Alianzia Mwanza, Sasa Anafanya Makubwa Ulaya

Kelvin John nyota ambaye alizaliwa mkoani Morogoro lakini maisha yake ya soka yalianzia jijini Mwanza katika michuano ya Umisseta. Kelvin...

READ MORE