×

Michezo

Barbara: Tutafanya Maamuzi Magumu Dirisha Dogo

BAADA ya kutinga hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez amefunguka kuwa...

READ MORE

Uchebe Anukia Namungo

Habari kutoka ndani ya klabu ya Namungo zinasema kuwa viongozi wameanza kufanya mazungumzo na aliyekuwa kocha wa Simba na sasa...

READ MORE

Yanga, Azam Zaingilia Usajili wa Simba

WAKATI Simba SC ikitajwa kuwa karibu zaidi kuipata saini ya mshambuliaji wa Zanaco FC, Moses Phiri, imeelezwa kuwa Yanga na...

READ MORE

Hoteli ya Kifahali ya Messi Kubomolewa

Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mshambuliaji wa Paris Sanit-Germain (@psg) Lionel Messi (@leomessi) kushinda tuzo ya mchezaji bora...

READ MORE

Mambo Magumu Kwa Uchebe

Kocha Mkuu wa Abaluhya Football Club Leopards Sports Club ‘AFC Leopards’ ya Kenya, Patrick Aussems raia wa Ubelgiji ana wakati...

READ MORE

Bosi Yanga: Simba Haitupi Presha

SENZO Mbatha, Mtendaji Mkuu wa Yanga SC amebainisha kwamba hawana presha na watani zao wa jadi, Simba kuelekea kwenye mchezo...

READ MORE

Nabi Aahidi Ushindi Kariakoo Dabi

KUELEKEA mchezo wa Kariakoo Dabi Jumamosi hii dhidi ya Simba, Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, ameweka wazi kuwa licha...

READ MORE

Mwamuzi Simba vs Yanga Awekwa Mtu Kati

ZIKIWA zimebaki takribani siku nne kabla ya mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba dhidi ya Yanga, mwamuzi wa...

READ MORE

Mzunguko Wa Sita Hatua Ya Makundi Ya Ligi Ya Mabingwa Kumalizika Wiki Hii

Baadhi ya timu zimeshafuzu hatua ya Mtoano kunako Ligi ya Mabingwa, zingine, bado zinajitafuta na michezo ya mwisho itaamua. Wiki...

READ MORE

Aucho, Bangala Wakabidhiwa Mkude Yanga

VIUNGO wa Yanga, Mganda, Khalid Aucho na Mcongo, Yannick Bangala wamepewa jukumu moja kuelekea katika mchezo dhidi ya Simba kuhakikisha...

READ MORE

Simba Wabishi Aisee

LICHA ya kupoteza kwa kufungwa mabao 2-1 wakiwa ugenini mbele ya Red Arrows, wawakilishi wa Simba kwenye mashindano ya kimataifa...

READ MORE

Kocha Simba Aionya Yanga

WAKATI Simba ikiwa Zambia katika michuano ya Kimataifa, kocha msaidizi wa timu hiyo, Thierry Hitimana raia wa Rwanda amefichua kuwa kuwa...

READ MORE

Barbara: Tunahitaji Pointi Tatu za Yanga

MTENDAJI Mkuu wa Klabu ya Simba Barbara Gonzalez amesema kuwa hawataki kurudia makosa waliyofanya kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii...

READ MORE

Nabi Afunguka Sababu za Kumchagua Mayele

KOCHA wa Yanga, Nasreedin Nabi amesema kuwa anachagua kuanza na Fiston Mayele kwenye kila mchezo wa ligi kuu kwa kuwa nyota huyo anapendwa na mashabiki na...

READ MORE

23 Waitwa Taifa Stars Kuivaa Uganda

KOCHA Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars, Kim Poulsen, ametaja majina ya wachezaji 23 watakaoingia kambini leo...

READ MORE

Lewandowski Kupewa Tuzo Yake ya Ballon d’OR

Baada ya Lionel Messi kuzungumza kuwa mshambuliaji wa Bayern Munich Roberto Lewandowski anastahili kupewa tuzo ya Ballon d’Or ya mwaka...

READ MORE

Simba Yafuzu Hatua Ya Makundi, Dilunga Atupia

KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franc leo Desemba 5 kimefanikiwa kuandika historia mpya kwenye Kombe la Shirikisho...

READ MORE

Azam, Kagera Sugar Kazi Ipo

WAKATI Desemba 9, mwaka huu Azam ikitarajiwa kuwa mwenyeji wa Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja...

READ MORE

Wazambia Wanapigwa Tena Kwao

RED Arrows wana kazi kubwa zaidi leo ya kufanya mbele ya Simba ndani ya dakika 90 za pili wakiwa nyumbani...

READ MORE

Pablo Awagomea Mabosi Simba Kupangiwa Kikosi

KATIKA kuelekea Kariakoo Dabi, Kocha Mkuu wa Simba, Mhispania, Franco Pablo, ameuambia uongozi wa timu hiyo kuwa hatampanga mchezaji kwa...

READ MORE

Morrison Mjanja Kweli, Anajilinda na Corona

KIUNGO Mshambuliaji kutoka nchini Ghana na klabu Bingwa Tanzania Bara Simba SC Bernard Morrison ameanza kujihami na changamoto za kubambikiwa...

READ MORE

Udhamini wa Ligi: Mkataba wa GSM na TFF Watua FCC

Tume ya Ushindani wa Biashara (FCC) imesema imepokea malalamiko kutoka kwa wadau wa mpira wakiitaka kuchunguza udhamini uliofanywa na kampuni...

READ MORE

Ni Super Weekend Kunako Soka Barani Ulaya. Bundesliga, Serie A Na Epl Kimeumana

Baadhi ya mitanange ya kibabe kuchezwa kwenye ulimwengu wa kandanda wikiendi hii. Ni Super Weekend ya kibabe sana viwanjani. Mchongo...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la championi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Morrison Ajihami Ishu ya Covid-19

Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Ghana na klabu Bingwa Tanzania Bara Simba SC Bernard Morrison ameanza kujihami na changamoto za kubambikiwa...

READ MORE

Pablo Ambadilishia Mbinu Nabi Yanga

 KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco, ameweka wazi kuwa atabadilisha mbinu zake kuelekea katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya...

READ MORE

Simba Wapangua Fitina za Wazambia Wakiwa Dar

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Salim Abdallah ‘Try again’, amesema kuwa wanazijua mbinu na fitina zote za soka...

READ MORE

Man United Yaichakaza Arsenal

Mashetani Wekundu, Manchester United wameibuka na ushindi wa 3-2 dhidi ya Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu ya England katika...

READ MORE

Cheka, Alkasusu Wapima Uzito, Kupasuana Kesho

MABOANDIA Cosmas Cheka na Muhsini Swalehe ‘Alkasusu’ wamepima uzito jana tayari kwa pambano la ubingwa wa taifa wa TPBRC litakalopigwa...

READ MORE

Uchaguzi Bodi Ya Ligi Kufanyika Kesho, Moro

UCHAGUZI wa viongozi wa Bodi ya Lig (TPLB) utafanyika Ijumaa, Desemba 3, 2021 Cate Hotel mjini Morogoro.

READ MORE

Liverpool Yaitesa Everton

Liverpool imefanikiwa kuibuka na ushindi wa 4-1 ugenini kwa mahasimu wao wa Everton katika mchezo wa ligi kuu ya kandanda...

READ MORE

Chelsea Yaitungua Watford

Chelsea wameendelea kusalia kileleni mwa msimamo wa EPL baada ya kufanikiwa kuibuka na ushindi wa 2-1 ugenini dhidi ya Watford...

READ MORE

Beki wa Arsenal Gabriel Apambana na Majambazi Gereji Kwake

Nyota wa Klabu ya Arsenal, Gabriel Magalhaes amekabiliana na wezi waliokuwa wameficha nyuso zao na kujihami kwa silaha ikiwemo marungu...

READ MORE

Man City Yaichakaza Aston Villa

Kocha Steven Gerrard amepokea kichapo chake cha kwanza ndani ya EPL baada ya Aston Villa kulambishwa 2-1 na Manchester City...

READ MORE

Yanga Yaanza Mazungumzo na Chama

UONGOZI wa Yanga umeanza rasmi mazungumzo na wakala wa kiungo mshambuliaji Mzambia, Clatous Chama anayekipiga Klabu ya RS Berkane ya...

READ MORE

Wazambia Kuwafanyia Undava Simba

UONGOZI wa timu ya Red Arrows ya Zambia, umeweka wazi wamepanga kulipa kisasi katika mchezo wa marudiano dhidi ya Simba...

READ MORE

Simba, Yanga Zakutana Nchini DR Congo

UONGOZI wa kiungo fundi kutoka katika Klabu ya DC Motema Pembe ya nchini DR Congo, Karim Kimvuid Kiekie, umeweka wazi...

READ MORE

Morrison Awashtua Mabosi Simba

UONGOZI wa Simba umepanga kukaa mezani na kiungo wake mshambuliaji Mghana, Bernard Morisson kwa ajili ya kumuongezea mkataba utakaondelea kumbakisha...

READ MORE

Tanzania Yafuzu Kombe la Dunia Mchezo wa Soka Kwa Wenye Ulemavu

Waziri mwenye dhamana ya Michezo nchini, Innocent Bashungwa leo Disemba 1, 2021 amewaongoza watanzania kuishangilia Timu ya Tanzania (Tembo Warriors)...

READ MORE

Simba Yatanguliza Mashushushu Zambia, Rasmi Yanga Yaanza Mazungumzo na Chama | KROSI DONGO..

KARIBU katika ‘KROSI DONGO’ upate stori za kuaminika za michezo ndani na nje ya nchi.. 

READ MORE