×

Michezo

Kipa wa Yanga Shikalo Atua KMC -Video

FAROUK Shikalo aliyekuwa kipa namba mbili wa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi leo Septemba 4 ametambulishwa kuwa mali...

READ MORE

Simba Yaahirisha Jambo Lake

Muonekano wa jezi mpya za klabu ya Simba zitakazotumika mechi za nyumbani msimu wa 2021/22 kwenye mashindano mbalimbali.   Wekundu...

READ MORE

Gomes Ampiga Biti Zito Morrison

UNAAMBIWA! Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes Da Rosa, amewataka nyota wake wote waliopo kwenye mapumziko mafupi kutojisahau kufanya mazoezi...

READ MORE

Baada ya Kupigwa na Msauzi, Tony Ataja Dawa – Video

Bondia wa Mtanzania, Tony Rashid ameshindwa kuutetea mkanda wake wa Ubingwa wa ABU dhidi ya bondia Bongani Mahlangu raia wa...

READ MORE

Waarabu, TP Mazembe Kukipiga Simba Day

  IPO wazi kwamba Septemba 19 mabingwa wa Ligi Kuu Bara, Simba kwenye Tamasha la Simba Day watacheza na moja...

READ MORE

Ndemla Atambulishwa Mtibwa Sugar – Picha

Klabu ya Mtibwa Sugar ya Turiani mkoani Morogoro, imefanikiwa kupata saini ya kiungo fundi mwenye uwezo wa kupiga mashuti ya...

READ MORE

Tony Rashid Alivyopigwa na Msauzi Raundi ya Mwisho – Video

Bondia wa Mtanzania ameshindwa kuutetea mkanda wa ABU dhidi ya bondia Bongani Mahlangu raia wa Afrika Kusini.   Gumzo limeendelea...

READ MORE

Mwakinyo Amtwanga Idongo kwa TKO – Video

Bondia namba moja Tanzania na Afrika, Hassan Mwakinyo ametetea ubingwa wa Super Welterweight baada ya kumpiga Bondia Mnamibia Julius Munyelele...

READ MORE

Feisal Ala Shavu Yanga

KOCHA mkuu wa Yanga, Nassredine Nabi amefunguka kuwa hana mpango wa kumhamisha Feisal Salum katika eneo la kiungo mshambuliaji kutokana...

READ MORE

Bangala Litombo Amvuruga Nabi

  MKUU wa benchi la ufundi la Yanga, Nasreddine Nabi amesema kuwa licha ya mchezaji wake Yannick Bangala Litombo kucheza...

READ MORE

CAF Yaukataa Uwanja wa CCM Kirumba

Biashara United haitaweza tena kucheza mechi zao za Kombe la Shirikisho Afrika kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza kama...

READ MORE

Kuvujishiana Jezi Tunakoelekea Itakuwa Vita – Video

KAIMU Msemaji wa Klabu ya Simba, Ezekiel Kamwaga amegusia sakata la kuvuja kwa jezi zao kabla ya siku ya uzinduzi...

READ MORE

Mrithi wa Nugaz Yanga Huyu Hapa

BAADA ya kuondolewa Yanga Ofisa Mhamasishaji, Antonio Nugaz, uongozi wa klabu hiyo umefunguka kuwa mrithi wa nafasi hiyo atatangazwa hivi...

READ MORE

Ambundo Awatangazia Upinzani Moloko na Farid

WINGA mpya wa Yanga, Dickson Ambundo amefunguka kuwa yuko tayari kupambana ili kumshawishi kocha mkuu wa timu hiyo, Nasreddine Nabi...

READ MORE

Cavani Amuachia Jezi Ronaldo

Klabu ya Manchester United imemkabidhi rasmi jezi namba 7 kwa Cristiano Ronaldo ambaye amesajiliwa hivi karibuni. Namba 7 ilikuwa inavaliwa...

READ MORE

Simba Yatambulisha Jezi zake Mpya

Klabu ya soka ya Simba imetambulisha jezi zake mpya kwaajili ya mashindano mbalimbali msimu wa 2021-22.

READ MORE

Fiston Mayele, Awatuliza Mashabiki Yanga

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Fiston Mayele, amewatuliza mashabiki wa timu hiyo kwa kutoa kauli nzito iliyoendana namatarajio ya kuipa mafanikio makubwa...

READ MORE

Simba Watangaza Viingilio Vya Simba Day 2021 – Video

KLABU ya Simba SC, Ezekiel Kimwaga leo Septemba 3, 2021 anaongea na wanahabari katika mkutano unafanyika katika Hoteli ya Hyatt...

READ MORE

DStv Yaja na Zigo Kama Lote

KAMPUNI ya MultiChoice Tanzania (DStv) imetangaza kuzindua rasmi kifurushi kipya cha bei nafuu kijulikanacho kama DStv Poa na kinapatikana kwa...

READ MORE

Yanga Yawapiga Friends Ranger 3-1

Klabu ya soka ya Yanga imeendelea kujifua kimya kimya ambapo mazoezi ya ndani yamefanyika Septemba 2, 2021 kwa kujipima nguvu...

READ MORE

Johora Ashusha Presha Yanga Kimataifa

MLINDA mlango mpya wa Yanga, Eric Johora amefunguka kuwa matokeo ya mchezo wao uliopita dhidi ya Zanaco yamewapa ari zaidi...

READ MORE

Taifa Stars Yagawana Pointi na DR Congo

TIMU ya Taifa ya Kandanda ya Tanzania, Taifa Stars ikiwa ugenini imefanikiwa kugawana pointi na timu ya Taifa ya Jamhuri...

READ MORE

Safari Ya Kushiriki Kombe La Dunia 2022 Inaanza Sasa

Ni siku 10 za kuburudika na soka la Kimataifa. Timu za Taifa kuingia viwanjani kupambania nafasi ya kufuzu kucheza Kombe...

READ MORE

Bernard Morrison Amuwakia Manara

KIUNGO Mshambuliaji wa Simba Mghana, Bernard Morrison amemjia juu msemaji wa klabu ya Yanga, Haji Manara akimsihi awe na busara...

READ MORE

Mechi ya Zanaco Iwaamshe Wananchi Kimataifa

JUMAPILI iliyopita ilikuwa ni kilele cha Wiki ya Mwananchi ambapo kikosi cha Yanga kilishuka dimbani kuvaana na Zanaco FC kwenye...

READ MORE

Kigogo Simba Amtabiria Makubwa Inonga

MJUMBE wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Crescentius Magori amefunguka kuwa hana mashaka na uwezo wa beki mpya wa...

READ MORE

Adam Adam, Metacha Ndani ya Polisi Tanzania

ALIYEKUWA mshambuliaji wa Al Wahda FC ya nchini Libya, Adam Adam amefanikiwa kujiunga na Polisi Tanzania kwa mkataba wa miaka...

READ MORE

Twaha Kiduku: Mwakinyo Anajibiwa Ulingoni

Global TV Online imefanya mahojiano na bondia Twaha Kiduku ambae hivi karibuni alishinda pambano na kujipatia gari na amezungumza mengi...

READ MORE

Breaking: Yanga Yatangaza Kuachana na Antonio Nugaz

Uongozi wa Yanga umetangaza kuachana na aliyekuwa Afisa Muhamasishaji wa timu hiyo, Antonio Nugaz. Taarifa iliyotolewa leo na klabu hiyo...

READ MORE

Kamwaga: Ninaondoka Simba

Ezekiel Kamwaga ambaye ni Kaimu Afisa habari wa Klabu ya Simba SC amesema klabu hiyo inaendelea na mchakato wa kumtafuta...

READ MORE

Simba Kuwashusha Al Ahly Simba Day

HII ni ‘next level’ ndivyo unavyoweza kusema ambapo uongozi wa Simba rasmi umethibitisha kufanya mazungumzo na mabingwa wa Afrika, Klabu...

READ MORE

Simba Kuzindua Jezi Jumamosi Septemba 4 -Video

MKUU wa kitengo cha habari na mawasiliano Simba, Ezekiel Kamwaga leo Septemba 1, 2021 akiongea na wanahabari katika hoteli ya...

READ MORE

Samatta Arejea Ubelgiji, Royal Antwerp

Mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta amesajiliwa kwa mkopo wa msimu mzima na Klabu ya Ubelgiji, Royal Antwerp FC...

READ MORE

Kagera Sugar Yaikamua Simba Milioni 40, Kisa Mhilu

RASMI sasa Yusuph Mhilu ni mali ya Simba baada ya uhamisho wake kukamilika na mabosi wa Simba kuweka mkwanja mezani...

READ MORE

Breaking: Yanga Yamtangaza Senzo Kuwa Mtendaji Mkuu – Video

MAKAMU Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Fredrick Mwakalebela leo Agosti 31, 2021 amemtangaza, Senzo Mbatha kuwa Kaimu Mtendaji Mkuu (C.E.O)...

READ MORE

MO Ampa Maagizo Mazito Gomes

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba, Mohammed Dewji ‘MO’ amempa maagizo mazito kocha mkuu wa klabu hiyo Mfaransa, Didier...

READ MORE

Kiungo Mkenya Asepa Azam

KIUNGO wa kimataifa wa Kenya na klabu ya Azam, Kenneth Muguna leo Jumatatu anatarajiwa kuanza safari ya kuondoka kwenye kambi...

READ MORE

Henock Baka Amtaja Mugalu

BEKI mpya wa Simba, Henock Inonga Baka amesema kuwa Chris Mugalu ndiye mchezaji ambaye anampa ushirikiano mkubwa katika kuyazoea kwa...

READ MORE

Makambo Awapa Yanga Mabao 17

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Yanga raia wa DR Congo, Heritier Makambo ameweka wazi kuwa malengo yake makubwa msimu ujao ni...

READ MORE

Haji Manara Apata Ajali

Msemaji wa Yanga Haji Manara amekiri kupata ajali ‘mbaya’ ya gari jana usiku Jijini Dar es salaam na kusema alinusurika...

READ MORE