×

Michezo

Bocco: Tuna Kikosi Imara, Kitatupa Matokeo

JOHN Bocco, nahodha wa Simba amesema kuwa wana kikosi bora jambo ambalo linawafanya wawe na imani ya kupata matokeo mbele...

READ MORE

Video: Yanga Wafunguka Shabiki Wao Aliyetoka Kigoma

UONGOZI wa klabu ya Yanga, leo Mei 12, 2021 wamezungumza na wanahabari kuhusiana na shabiki wao aliyetoka Kigoma kwa mguu...

READ MORE

Breaking: Asukile wa Prisons Afungiwa Mechi Tano na Faini

NAHODHA wa kikosi cha Tanzania Prisons, Benjamin Asukile amefungiwa na Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) michezo mitano na faini ya...

READ MORE

Dili la Kane na Haaland Limebumishwa na Cavani

MCHAMBUZI wa masuala ya michezo na beki wa zamani wa kikosi cha Manchester United, Gary Nevile amesema kuwa kuongeza mkataba...

READ MORE

Morrison Aachwa Safari ya Sauzi

NYOTA wanne wa Simba wamebaki Bongo wakati timu hiyo ikikwea pipa kuelekea Afrika Kusini kwa ajili ya mchezo wa Ligi...

READ MORE

Dube Awatesa Makipa Azam

MSHAMBULIAJI wa Azam FC na raia wa Zimbabwe, Prince Dube, amewatesa makipa wa Azam kwenye mazoezi.Mzimbabwe huyo ni kinara wa...

READ MORE

Mechi Kali Za Epl, Serie A Na Laliga Kupigika Wiki Hi

Mechi za kukata na shoka za ligi mbalimbali kuchezwa wiki hii, timu nyingi zikielekea kujua hatima za ubingwa na ama...

READ MORE

Maamuzi Yaliyofikiwa Kuhusu Mechi ya Simba vs Yanga -Video

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa ameagiza mashabiki 43,947 waliokata tiketi kwenye mchezo wa Simba SC na...

READ MORE

Kombe la Shirikisho: Simba vs Dodoma Jiji, Yanga vs Mwadui

DROO ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho ambalo lipo mikononi mwa Simba imechezwa leo na ilikuwa mubashara AzamSports1HD. Mbele...

READ MORE

Solskajer Hafurahishwi na Kampeni za Gary Nevile

IMEELEZWA kuwa, Kocha Mkuu wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer na benchi lake la ufundi hawafurahishwi na kitendo cha beki...

READ MORE

Gomes: Simba Ilijiandaa Kuifunga Yanga

KOCHA Mkuu wa Simba, Mfaransa, Didier Gomes Da Rosa, amefunguka kuwa amesikitishwa na tukio lililotokea juzi Jumamosi katika mchezo wao...

READ MORE

Nabii Mashimo Afunguka Mazito Simba na Yanga “Nimewaona kwa Mganga”

NABII, Mashimo amesema kuwa anaweza kuzuia magoli ya Simba mbele ya Yanga, amesema kuwa hayajui majina ya wachezaji, ameomba kuwa...

READ MORE

Kocha Yanga Aitahadharisha Kaizer Chiefs

ALIYEKUWA Kocha wa Yanga, Mbelgiji, Luc Eymael, ameibuka na kubainisha wazi kwamba, wapinzani wa Simba, Kaizer Chiefs wanatakiwa kujiandaa kwelikweli...

READ MORE

Mashushushu Kaizer Chiefs Wala za Uso Dar

KAMA unadhani baada ya kuahirishwa kwa mchezo kati ya Simba na Yanga kuliwaumiza mashabiki pekee, basi sahau hilo kwani hata...

READ MORE

Tanasha Anukia Wasafi

MWANAMAMA kutoka nchi jirani ya Kenya, Tanasha Donna Oketch amesikika vizuri kunako muziki wa kizazi kipya. Katika miaka yake miwili...

READ MORE

Simba: Hatujui Nini Kiliwapata Yanga

UONGOZI wa Simba umesema kuwa haujui kilichowapata watani zao wa jadi Yanga kwa kushindwa kufuata mabadiliko ambayo walipewa muda mfupi...

READ MORE

Wakili Yanga Awapa Neno Bodi ya Ligi

SAKATA la kuahirishwa kwa mechi ya Watani wa Jadi, Simba na Yanga, limezidi kushika kasi baada ya Bodi ya Ligi...

READ MORE

Simba Yakwea Pipa Kuwafuata Kaizer Chiefs Afrika Kusini -Video

KIKOSI cha Simba SC kimeondoka nchini leo Mei 11, 2021 kuelekea Afrika Kusini kwa ajili ya mchezo wao wa kwanza...

READ MORE

Video: Meneja Wa Simba – “Tunaiheshimu Yanga”

KIKOSI cha Simba SC kimeondoka nchini leo kuelekea Afrika Kusini ambapo itavaana na Kaizer Chief kati ya Mei 14 na...

READ MORE

Mechi Nyingine ya Simba Yaahirishwa

BODI ya Ligi Tanzania (TPLB) imetangaza kuahirishwa kwa mchezo wa Simba SC dhidi ya Coastal Union uliyopangwa kuchezwa Mei 11,2021...

READ MORE

Simba, Yanga Wapelekwa Kamati ya Saa 71

Bodi ya Ligi nchini imesema suala la mechi ya watani wa jadi kuahirishwa litajadiliwa leo Mei 10, 2021, kwenye Kamati...

READ MORE

Breaking: Simba Watoa Tamko Kuhusu Mechi Yao

TAARIFA rasmi ya Klabu ya Simba baada ya kuahirishwa kwa mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Yanga SC uliopangwa kufanyika...

READ MORE

Canelo Alverz Amkalisha Saunders

NGUMI kali ya kati kwenda juu (Uper Cut) ya Saul ‘Canelo’ Alvarez ilitosha kumchakaza Billy Joe Saunders  akishindwa kuinuka kutoka...

READ MORE

TFF Yaomba Radhi Mechi Ya Yanga na Simba Kuarishwa

Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) leo Mei 9, 2021 limetoa taarifa kuhusu mchezo wa jana Mei 8, Simba v Yanga,...

READ MORE

Breaking: Mechi ya Simba na Yanga Yaahirishwa

  Mechi ya watani wa jadi kati ya Simba na Yanga, uliopangwa kufanyika leo Jumamosi, kuanzia saa 1:00 jioni umehairishwa...

READ MORE

Wachezaji wa Yanga Waondoka kwa Mkapa – Video

Wachezaji wa Klabu ya Yanga na Benchi la Ufundi wameondoka katika uwanja wa Mkapa baada ya kusubiri kwa dakika 15....

READ MORE

Yanga Yagomea Mabadiliko ya Mechi Yao na Simba

Muda mfupi baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kusogeza mbele mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL)...

READ MORE

Kariakoo Dabi Piga Haooo!

PIGA haooo! Unaweza kusema hivyo kufuatia miamba ya soka hapa nchini ikionekana kutunishiana misuli kuelekea mchezo wa leo Jumamosi katika...

READ MORE

Gazeti la Championi Latoa Tiketi Kwa Mashabiki wa Simba/Yanga

KAMPUNI ya Global Group kupitia gazeti namba moja la michezo Tanzania, Championi limetoa zawadi za tiketi kwa wateja wake ili...

READ MORE

Simba: Yanga Wanakufa Nne – Video

RAHA ya mchezo wa Simba na Yanga hupatikana nje na ndani ya uwanja, huku nje ni tambo za mashabiki na...

READ MORE

Kariakoo Dabi… Yanga Yafunika kwa Mauzo ya Jezi

KUELEKEA katika mchezo wa Dabi ya Kariakoo kati ya Simba dhidi ya Yanga, Yanga imeongoza kwa mauzo kuliko Simba. Mchezo huo...

READ MORE

Serikali Yazuia BASATA Kukagua Nyimbo za Wasanii

Serikali imesitisha utekelezaji wa kanuni ya kukagua nyimbo za wasanii kabla hazijaenda kwa walaji. Waziri Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo,...

READ MORE

TFF Yasogeza Mbele Mechi Simba na Yanga

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema mechi ya VPL kati ya Simba SC na Yanga SC iliyokuwa ianze...

READ MORE

Ninja: Nipo Tayari, Mleteni Yeyote

BEKI wa kati wa Yanga, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ amesema kuelekea mchezo wa leo Jumamosi dhidi ya Simba yupo tayari kukabiliana...

READ MORE

Marefa Msituharibie Uhondo wa Dabi ya Kariakoo

LEO ndiyo leo pale Chang’ombe Wilaya ya Temeke, ni siku ambayo shuguli zote nchini husimama kwa dakika tisini kupisha shughuli...

READ MORE

Barbara: Bila Kuifunga Yanga, Ubingwa Hautanoga

  MTENDAJI Mkuu wa Klabu ya Simba, Barbara Gonzalez amefunguka kuwa watafanya kila namna leo, Yanga afe pale kwa Mkapa...

READ MORE

Manyika: Yanga Kuwazuia Simba ni Ishu

KOCHA wa makipa wa zamani wa Yanga, Manyika Peter amesema kwa namna ambavyo Simba wanavyocheza ni ngumu kukabiliana nao kwa...

READ MORE

Msiende na Matokeo Yenu Kwenye Mechi ya Dabi

LEO Jumamosi shughuli ni moja tu, pale kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Temeke, jijini Dar ambapo mapacha wa Kariakoo watashuka...

READ MORE

Morrison, Chikwende Wapewa Silaha Kuivuruga Yanga

KATIKA kuonyesha kuwa amepania kupata zaidi ya matokeo katika mchezo wa Dabi ya Kariakoo utakao–pigwa kesho Ijumaa, Kocha Mkuu wa...

READ MORE

Yanga Zenji Watamba Kuimaliza Simba Leo

MASHABIKI wa Yanga wamesema kitakachotokea leo Jumamosi Uwanja wa Mkapa, Dar, kitaweka historia kwa timu ya Simba, hivyo wale ambao...

READ MORE