×

Michezo

CEO Simba Atoa Ufafanuzi Sakata la Morrison na Gomez

  BARBARA Gonzalez, Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba amesema kuwa hakuna ugomvi wowote uliopo kati ya mchezaji wao, Bernard...

READ MORE

Breaking: Kaze Atimuliwa Yanga, Benchi la Ufundi Lavunjwa

BAADA ya kuanza vibaya kwa timu yao katika mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara, uongozi wa klabu ya Yanga ...

READ MORE

Maafande Wawabananisha Yanga

  LICHA ya nyota wao Fiston Abdulazack, kupachika bao la kuongoza kipindi cha kwanza dakika ya 41 halikuwafanya Yanga kusepa...

READ MORE

Messi Mchezaji Bora La Liga

BAADA ya kufunga mabao saba katika mechi tano, staa wa Barcelona, Lionel Messi ameibuka kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi Februari...

READ MORE

FT: Polisi Tanzania 1-1 Yanga, Uwanja Wa Sheikh Amri Abeid

 Yanga wanacheza dhidi ya Polisi Tanzania kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.

READ MORE

Video: Simba Watua Kibabe Kutoka Sudan, Kocha Aitaja Yanga

KIKOSI cha mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba tayari kimeshatua salama kwenye ardhi ya Tanzania kikitokea nchini Sudani. Simba...

READ MORE

Jembe Jipya Larudisha Tabasamu Yanga SC

KUREJEA kwa jembe jipya la Yanga ndani ya kikosi hicho, unaweza kusema tabasamu la Wanayanga limerudi, hii ni baada ya...

READ MORE

Senzo: Tulieni, Tunarudi Kwenye Ubora Zaidi

MSHAURI wa masuala ya mabadiliko wa Klabu ya Yanga, Senzo Mbatha Mazingisa, amewatuliza mashabiki wa timu hiyo na kuwaomba kuendelea...

READ MORE

Yanga Kukipiga na Polisi Tanzania Arusha leo, Watamba Kushinda

YANGA wanasema sasa zile dharau zimefika mwisho na leo wanarudi kwenye ubora wao wa kupata matokeo mazuri ndani ya uwanja...

READ MORE

Al Merrikh Yatimua Kocha Yamtangaza Lee Clark

UONGOZI wa Klabu ya Al Merrikh ya Sudan umethibitisha kumfuta kazi Nasreddine Nabi na wasaidizi wake Hamad Sagheer na El...

READ MORE

Simba Yaibana Mbavu Al Merrikh Sudan

LICHA ya kupata sare ya bila kufungana dhidi ya Al Merrikh ya Sudan Simba imeendelea kuongoza kwenye msimamo wa kundi...

READ MORE

Kocha Simba Awafungia Mziki Mzima Al Merrikh

KIKOSI cha Simba leo kinatarajiwa kujitupa uwanjani kuvaana na Al Merrikh ya nchini Sudan katika mchezo wa tatu wa hatua...

READ MORE

Wasudan Wampa Gomes Siri za Al-Merrikh

KOCHA Mkuu wa Simba, raia wa Ufaransa, Didier Gomes Da Rosa, ameshtuka na kuwataka wachezaji wake wajipange haswa, hiyo ni...

READ MORE

Chama: Al Merrikh Hawatoki leo Jumamosi Sudan

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Mzambia, Clatous Chama, amefunguka kuwa wana kila sababu ya kuhakikisha wanashinda mchezo wa leo ili kujiweka...

READ MORE

Mchawi Wa Yanga, Yumo Ndani Ya Yanga

KUNA mambo mengi ya kupima ili kujua ulichonacho kina uzito au ukubwa upi. Wakati mwingine hauhitaji kukibeba kitu kujua ukubwa...

READ MORE

Simba Mama Lao Yaipiga Yanga Princess 3-0 (Picha +Video)

SIMBA Queens imepania kuhakikisha inatwaa ubingwa kwa mara ya pili mfululizo baada ya jana kuwabanjua Yanga Princess kwa mabao 3-0...

READ MORE

Manchester Derby Kitawaka Etihad Kesho Jumapili

Wikiendi ya kwanza ya mwezi wa tatu kuanza kwa burudani ya kibingwa kwenye soka la Ulaya. La Liga, Bundesliga na...

READ MORE

Simba Queens Yaitungua Yanga Princess Bao 3-0

Timu za watani wa jadi katika soka la Wanawake kati ya Simba Queens dhidi ya Yanga Princess, imechezwa jioni ya...

READ MORE

Luis Aweka Rekodi Tatu CAF

AKITARAJIA kujitupa uwanjani kesho, kiungo mshambuliaji wa Simba, Luis Miquissone, ameweka rekodi tatu katika dakika 90 alizocheza katika mchezo wa...

READ MORE

Solskjaer Akiri Kiwango Man United Kinamtisha

OLE Gunnar Solskjaer amekiri kuwa anapata hofu kuhusu kushuka kwa kiwango cha timu yake na kushindwa kufunga mabao baada ya...

READ MORE

Balama Arejea Dimbani Yanga

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Balama Mapinduzi ‘Kipenseli’, unaambiwa amepata nafuu ya majeraha yake na hivi karibuni anatarajiwa kuanza mazoezi mepesi....

READ MORE

Neymar Ajinasia Kidege Emilia Wa Argentina

NYOTA anayesakata kabumbu katika klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) ya nchini Ufaransa, Neymar da Silva Santos Júnior ‘Neymar’ (28), amepata...

READ MORE

Sababu za Beki Mzimbabwe Kutocheza Simba Hizi Hapa

KOCHA Mkuu wa Simba, Didier Gomes, amesema amefurahishwa na uwezo mzuri aliouonesha beki wake wa kati, Peter Muduhwa raia wa...

READ MORE

CAF Yamchongea Luis Kwa Al Merrikh

UNAAMBIWA kitendo cha Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kulitaja bao la Luis Miquissone, kama bao bora la wiki katika Ligi...

READ MORE

Mo Anunua Bao Sh 200 Mil

KATIKA kuwaongezea morali na hali ya kujituma katika mchezo wa tatu wa hatua ya makundi kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika,...

READ MORE

Wagosi wa Kaya Waicharaza Yanga Mkwakwani

VINARA wa ligi kuu bara Yanga leo Machi 4, wameshindwa kufurukuta katika dimba la mkwakwani jijini Tanga, baada ya kukubali...

READ MORE

Kikosi Chochote Hapa cha Simba, Yanga Wanapigwa

Gomes awashushia JKT muziki mnene KUWACHAPA wababe wa Afrika, Waarabu Al Ahly kwa bao 1-0 kumewazidisha jeuri mashabiki wa Simba...

READ MORE

Hakuna Namna! Pele Ajisalimisha Kwenye Chanjo ya Corona

GWIJI wa soka duniani Edson Arantez do Nascrimento maarufu kama ‘Pele’ amekuwa miongoni mwa Wabrazil wa kwanza kupewa kinga ya...

READ MORE

Simba Yaifuata Al Merrikh Kimafia

MSAFARA wa wachezaji 25 wa Simba na viongozi saba, jana Jumatano ulisafiri kuelekea nchini Sudan kimafia tayari kucheza mchezo wa...

READ MORE

Yanga, Coastal Union Watamba …Lazima Tuwanyooshe

YANGA imekuwa ikipata tabu zaidi ndani ya Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga ambapo leo itacheza hapo dhidi ya wenyeji wao,...

READ MORE

Monalisa Atangazwa Kuwa Msemaji wa Simba

Machampioni watetezi wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara Simba Queens, wamemtangaza rasmi Msanii nguli wa filamu Bongo, Monalisa kuwa...

READ MORE

Jembe la Kaze Larejea Kikosini Yanga

RASMI sasa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mburkinabe Yacouba Songne, atakuwa sehemu ya kikosi cha keshokutwa kitakachocheza na Coastal Union ya...

READ MORE

Gomes Aweka Rekodi ya Kibabe Simba

BAADA ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya JKT Tanzania kwenye mchezo uliopigwa juzi Jumatatu, Kocha Mkuu wa...

READ MORE

Yanga Yatoa Tamko Kuhusu Kaze

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba bado una imani na Kocha Mkuu wa timu hiyo Cedric Kaze licha ya timu...

READ MORE

Nyota Wanne Simba Waweka Rekodi Ligi Kuu

NAHODHA wa Simba, John Bocco anaongoza kwa wazawa wenye mabao mengi ndani ya Ligi Kuu Bara akiwa nayo tisa kibindoni...

READ MORE

Aliyemzimisha Manula Afunguka Kilichotokea

BAADA ya kipa wa Simba Aishi Manula kutolewa uwanjani na kukimbizwa na hospitali baada ya kupata majeraha hatimaye aliyesabisha tukio...

READ MORE

Kaze: Siogopi Presha Yanga

  WAKATI akiwa kwenye presha kubwa ya kibarua chake kuota nyasi kutokana na matokeo ambayo hayawafurahishi mabosi wake pamoja na...

READ MORE

Waturuki Watua Kuijenga Upya Yanga

TAARIFA ilizozipata Spoti Xtra kutoka ndani ya Klabu ya Yanga zinasema kwamba, kampuni moja kutoka nchini Uturuki, hivi karibuni ilifika...

READ MORE

Manara: Manula Aruhusiwa Kutoka Hospitali – Video

UONGOZI wa Simba umesema kuwa hali ya kipa namba moja wa timu hiyo Aishi Manula kwa sasa ipo sawa baada...

READ MORE