×

Michezo

Saido Nje Mwezi Mzima Yanga

NYOTA mpya kunako kikosi cha Yanga, Saidi Ntibanzokiza ‘Saido’ raia wa Burundi, imebainika kwamba atakaa nje ya dimba kwa takribani...

READ MORE

Simba Sc Walivyotua Dar Wakitokea DRC – Video

 Wachezaji na viongozi wa klabu ya Simba mchana wa leo Feb 14, 2021 wamefika salama Uwanja wa Ndege wa...

READ MORE

Arteta Afunguka Ishu ya Martinelli

  BOSI wa Arsenal, Mikel Arteta ametaja sababu ambazo zinamfanya kinda wa timu hiyo, kushindwa kuanza kwenye kikosi cha kwanza....

READ MORE

Pogba Ampasua Kichwa Solskjaer

KOCHA wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer, amefunguka kuwa staa wake Paul Pogba ataendelea kuwa nje, huku beki Eric Bailly...

READ MORE

Yanga Yalazimishwa Sare na Mbeya City – Video

KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze amesema kuwa kuna watu ambao wanawakatisha tamaa kuelekea kwenye mbio za kusaka ubingwa wa...

READ MORE

Waziri Mkuu Aipongeza Simba na Namungo Bungeni -Video

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa leo Februari 13, 2021 ameipongeza Simba SC kwa kupata ushindi wa kwanza ugenini kwenye hatua ya...

READ MORE

Mukoko: Nina Deni la Ubingwa Yanga SC

KIUNGO mkabaji wa Yanga, raia wa DR Congo, Mukoko Tonombe amefichua kuwa amekuwa akipambana kwa kuhakikisha Yanga inapata ushindi katika...

READ MORE

Yanga SC: Tunaanzia Tulipoishia

UONGOZI wa Klabu ya Yanga umetamba kuwa umejizatiti kuhakikisha kikosi chao kinauwasha moto na kupata matokeo mazuri zaidi katika michezo...

READ MORE

Fiston: Yanga SC Tulieni, Nitafunga Tu

INGIZO jipya ndani ya kikosi cha Yanga, Fiston Abdoul Razack amesema kuwa atafunga bila kuogopa ndani ya Yanga kila atakapopata...

READ MORE

Lokosa Ashtukiwa, Simba Wamtwisha Zigo Zito

UNAAMBIWA baada ya jana Kocha Mkuu wa Simba, raia wa Ufaransa, Didier Gomes Da Rosa, kumaliza mchezo wake wa kwanza...

READ MORE

Carlinhos Akabidhiwa Majukumu ya Saido leo Mbeya

  KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedrick Kaze amesema kuwa kurejea kwa kiungo mshambuliaji wa timu hiyo Carlos Carlinhos kutaongeza ubora...

READ MORE

Namungo Wawekwa Karantini Angola, Wanyang’anywa Passport

MSAFARA wa watu 32 wa Klabu ya Namungo ya Tanzania umezuiliwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Luanda nchini...

READ MORE

Vigogo Wapangwa Kukutana Robo Fainali FA Cup

DROO ya Robo Fainali imepangwa na sasa ni kama mambo yanaendelea kuwa matamu zaidi kw akuwa vigogo wengi wanatarajiwa kukutana...

READ MORE

Simba Yawatungua AS Vita Kinshasa, Yaongoza Kundi

WAWAKILISHI wa kimataifa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba wakiwa hatua ya makundi jana walianza kwa kasi kwa ushindi wa...

READ MORE

Kaze Ajivisha Mabomu, Atupa Kombora Simba

BAADA ya mchezo wa Dar es Salaam Dabi kusogezwa mbele, Kocha Mkuu wa Yanga Mrundi Cedric Kaze ameibuka na kutamka...

READ MORE

Kisa Simba, Matajiri Wavamia Kambi Mbeya

WAKATI kikosi chao kikitua jana mchana mkoani Mbeya kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara, vigogo matajiri wa Yanga...

READ MORE

Kisa AS Vita, Gomes Ampa Kagere Kazi Maalum

KUELEKEA mchezo wa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AS Vita utakaopigwa leo Ijumaa, Kocha Mkuu wa...

READ MORE

Simba Kila Kitu Fresh DR Congo, Wapangua Fitna Zote

KILICHOBAKIA ni kusubiri dakika 90 zitoe majibu mara baada ya kikosi cha Simba kuwa tayari kusaka ushindi wa kwanza dhidi...

READ MORE

Manchester City Kucheza Na Tottenham Kesho

Kunako Ligi Soka nchini Uholanzi Ijumaa hii, RKC Waalwijk atachuna na FC Emmen. Kupitia Meridianbet, tumekuwekea Odds ya 2.15 kwa...

READ MORE

Mastaa Yanga Wala Kiapo Kuiua Mbeya City

WACHEZAJI wa Yanga wameapa kuibuka na ushindi katika mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbeya City utakaofanyika kesho...

READ MORE

Morrison, Mugalu Wapewa Jukumu Zito DR Congo

KUTOKANA na uzoefu wake alionao wa kuwahi kucheza soka Kinshasa, DR Congo, benchi la ufundi la Simba limempa jukumu zito...

READ MORE

Kocha Simba Awafanyia Sapraizi AS Vita

KOCHA Mkuu wa Simba, Mfaransa, Didier Gomes, amepanga kukifumua kikosi chake kitakachoivaa AS Vita ya DR Congo katika mchezo wao...

READ MORE

Yanga Yaifuata Mbeya City Full Mziki

MSAFARA wa watu 38 ukiwa na wachezaji 24 wa Yanga na viongozi 14 wa timu hiyo, leo Alhamisi  Feb 11,...

READ MORE

Yacouba: Kucheza Yanga Nitacheza Siwahofii Saido, Fiston

MIONGONI mwa sehemu ambazo mabosi na benchi la ufundi la Yanga lilifanya usajili mkubwa ni ushambuliaji ikiwa ni baada ya...

READ MORE

Kibarua cha Kocha Ndayiragije Chaota Nyasi Stars

SHIRIKISHO soka nchini, (TFF) leo Februari 11, 2021, limekubaliana kuvunja makubaliano na Kocha wa Taifa Stars, Etienne Ndayiragije.  Hii ni...

READ MORE

Morrison, Mugalu Gumzo Kila Kona DRC

MASHABIKI wa soka jijini hapa wanazungumzia zaidi uwepo wa Bernard Morrison na Chris Mugalu kwenye kikosi cha Simba kitakachowavaa AS...

READ MORE

Straika Al Ahly Awatangazia Vita Simba

MSHAMBULIAJI wa Al Ahly, raia wa DR Congo, Walter Bwalya amefunguka kitendo cha timu yake kupangwa kundi moja na Simba...

READ MORE

Kaze Afanya Kikao Kizito na Fiston

KOCHA Mkuu wa Yanga Mrundi Cedric Kaze amefanya kikao na mshambuliaji wake Abdoul Razak Fiston na kumwambia asisikilize presha ya...

READ MORE

Kocha wa Liverpool Afiwa na Mama Yake Mzazi

KOCHA wa Liverpool, Jurgen Klopp amepata pigo baada ya kufiwa na mama yake mzazi, Elisabeth aliyefariki leo Jumatano, februari 10,...

READ MORE

Simba Watua Dr Congo Kamili Kuivaa As Vita

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba leo Februari 10, 2021 wamewasili salama Kinshasha, DR Congo kwa ajili...

READ MORE

Ndayiragije Adaiwa Kuvunjiwa Mkataba Stars

TETESI za kuvunjwa kwa mkataba wa kocha wa timu ya taifa la Tanzania ‘Taifa Stars’, Etienne Ndayiragije na Shirikisho la...

READ MORE

Saido Awekwa Chini ya Ulinzi…

ZIKIWA zimebaki siku nne pekee kabla ya kuwavaa Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, presha imeshuka ndani ya...

READ MORE

Carlinhos Apewa Majukumu Mapya Yanga

SASA rasmi Kocha Mkuu wa Yanga, Mrundi Cedric Kaze amembadilishia majukumu kiungo wake raia wa Angola, Carlos Fernandez ‘Carlinhos’ kwa...

READ MORE

Ibenge Ampa Ulinzi Jonas Mkude Congo

KOCHA Mkuu wa AS Vita ya DR Congo, Florent Ibenge amesema kuwa kuelekea mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika...

READ MORE

Kagere Awapania AS Vita Kwao

MSHAMBULIAJI wa Simba, Mnyarwanda, Meddie Kagere amefunguka kuwa wanakwenda kucheza na AS Vita ambao wanawajua vizuri hivyo hawatokuwa wanyonge kwa...

READ MORE

Gomes Ampa Mchongo Luis, Chama Simba SC

KATIKA kuelekea mchezo wao wa kwanza wa hatua ya makundi wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Kocha Mkuu wa Simba, Mfaransa,...

READ MORE

Patrick Ausems Atambulishwa AFC Leopards ya Kenya

KOCHA wa zamani wa Simba SC, Patrick Ausems leo Februari 9, 2021 ametambulishwa rasmi kuwa Kocha mkuu wa klabu ya...

READ MORE

Simba, Yanga Wahitimisha Chemsha Bongo ya Spoti Xtra

ILE Chemsha Bongo iliyokuwa inaendeshwa na Gazeti la Spoti Xtra ambayo ilikuwa inawapa fursa wasomaji wa gazeti hilo kujishindia zawadi...

READ MORE

Atalanta Kukiwasha na Napoli Kesho Coppa Italia

Wiki hii kunamuendelezo wa mashindano kadha wa kadha kunako soka la Ulaya. FA Cup, Coppa Italia na La Liga ni...

READ MORE

Simba Yaifuata AS Vita Kijeshi, Yabeba Maji

KIKOSI cha Simba, kinatarajiwa kuondoka leo Jumanne kuelekea nchini DR Congo tayari kwa mchezo wao wa kwanza wa hatua ya...

READ MORE