×

Michezo

Senzo Ataja Sababu ya Kumpa Ukocha Nizar

MSHAURI Mkuu wa Klabu ya Yanga kuelekea kwenye mfumo wa mabadiliko, Senzo Mazingisa amesema kuwa wameamua kuwaongeza vijana ndani ya...

READ MORE

Bumbuli: Sijaridhika na Hukumu, Nitakata Rufaa

BAADA ya kufungiwa miaka mitatu kujihusisha na shughuli za mpira wa miguu ndani na nje ya nchi na Kamati ya...

READ MORE

Video: Rais Magufuli Aipandisha Hadhi Halmashauri ya Kahama

 Rais John Magufuli leo Januari 28, 2021 ameipandisha hadhi Halmashauri ya Mji wa Kahama mkoani Shinyanga kuwa Manispaa, baada...

READ MORE

Global FC na DStv Kucheza Januari 30 UDSM

NAHODHA wa Global FC, Wilbert Molandi, amesema kuwa utapigwa mpira mwingi watakapokutana na wapinzani wao DStv katika mchezo wa kirafiki...

READ MORE

Kocha Simba Afanya Kikao Kizito na Chikwende

MARA baada ya kuanza kibarua cha kukinoa kikosi cha Simba, kocha mkuu wa timu hiyo, Didier Gomes, juzi usiku alifanya...

READ MORE

Ofisa Habari wa Yanga Afungiwa na TFF, Mbali na Kulipa Faini

Kamati ya Maadili ya TFF imemfungia Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli kutojihusisha na mchezo wa mpira wa miguu ndani...

READ MORE

Kaze Aanza na Pacha ya Fiston…

  KOCHA Mkuu wa Yanga, Mrundi Cedric Kaze ameweka wazi kuwa kwa sasa kitu ambacho anakifanya ni kutengeneza muunganiko wa...

READ MORE

FT: TANZANIA 2-2 GUINNEA MICHUANO ya CHAN, NCHINI CAMEROON…

 Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa stars) leo saa nne usiku itashuka dimbani nchini Cameroon kuvaana na timu ya...

READ MORE

Morrison Ang’ara, Simba Ikiua Wasudan 4-1 Uwanja wa Mkapa

KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes leo Januari 27, 2021 kimeibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi...

READ MORE

Stars ni Kufa Au kupona Cameroon Leo

NAHODHA wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, John Bocco na mlinzi Ibrahim Ame wanatarajia kuukosa mchezo wa leo...

READ MORE

Wallace Karia Apitishwa na FIFA

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Wallace Karia amepitishwa kugombea nafasi ya Ujumbe wa Baraza la FIFA kwa nchi...

READ MORE

Kila Wiki Ni Fursa Ya Kutengeneza Faida Na Meridianbet

Baada ya mzunguko wa 4 wa kombe la FA, EPL itaendelea wiki hii. Meridianbet hatukuachi nyuma, tunakwenda na wewe kila...

READ MORE

Fiston: Yanga Hawawezi Kunizuia Kuondoka

FISTON Abdoul Razak nyota mpya wa Klabu ya Yanga amesema kuwa Yanga hawatakuwa na haki ya kumzuia kuondoka ikiwa atafanya...

READ MORE

Lampard Atoa Kauli Nzito Chelsea

ALIYEKUWA Kocha wa Chelsea, Frank Lampard, amefunguka kwa mara ya kwanza tangu alipotimuliwa na klabu hiyo jana kufuatia mwendelezo mbaya...

READ MORE

Simba Yashusha Jembe Tena

KLABU ya Simba imemsajili beki kisiki, Peter Muduhwa, aliyekuwa akikipiga katika Klabu ya Highlanders ya nchini Zimbabwe.   Kupitia ukurasa...

READ MORE

Chikwende Atumia Siku 30 Kuichunguza Yanga

PERFECT Chikwende, nyota mpya wa Simba amesema alitumia muda wa mwezi mmoja kuwasoma wapinzani wakubwa wa Simba ambao ni Yanga...

READ MORE

Rais Weah ‘Amkataa’ Cristiano Ronaldo

MCHEZAJI  wa zamani wa AC Milan ambaye sasa ni Rais wa Liberia, George Weah,  amesema mcheza soka aliye klabu ya...

READ MORE

Nsajigwa Kumrithi Mwambusi Yanga

JUMLA ya majina 30 yametuma wasifu (CV) kuomba nafasi ya kuwa kocha msaidizi ndani ya Yanga, huku nahodha na beki...

READ MORE

Matapeli Wamuibua Fiston Yanga, awatukana

MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, Fiston Abdul Razak, raia wa Burundi, ameibuka na kusema kuwa haijui Kampuni ya Uwakala ya Heritage...

READ MORE

Kiungo Stars: Tutafia Uwanjani Dhidi ya Guinea

KIUNGO mkabaji wa timu ya taifa, Taifa Stars, Baraka Majogoro, amefunguka kuwa wamejipanga kupambana kwa nguvu kubwa kuhakikisha wanawafunga Guinea...

READ MORE

Mashine Mpya Yatambulishwa Simba

KLABU ya Simba imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa zamani wa Esperance YA Tunisia, ambaye ni raia wa Nigeria Junior Lokosa...

READ MORE

 Zahera: Kagere, Chama Wataibeba Simba Caf

Kocha wa zamani wa Yanga, Mwinyi Zahera, raia wa DR Congo, amefunguka kuwa anaamini Simba itafika mbali katika Ligi ya...

READ MORE

Simba, Yanga Wazidi Kunufaika na Zawadi za Spoti Xtra

NEEMA imezidi kuwashukia wasomaji wa Gazeti la Spoti Xtra ambalo linazidi kutoa zawadi mbalimbali kupitia chemsha bongo inayoendeshwa ndani ya...

READ MORE

Kortini kwa Tuhuma za Kukamatwa na Bangi – Video

  Wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama Machinga, Twaga Sultan na Abeid Ismail wakazi wa jijini Dar es Salaam wamefikishwa katika Mahakama...

READ MORE

Breaking News: Chelsea Yamtimua Frank Lampard

KLABU ya soka ya Uingereza, Chelsea,  imemfuta kazi kocha wake mkuu, Frank Lampard, kutokana na mwendelezo mbaya wa matokeo ya...

READ MORE

Wachezaji 4, Rais, Rubani Wafariki kwa Ajali ya Ndege Brazil

WACHEZAJI wanne akiwemo rais wa klabu ya soka ya Palmas, Brazil, na rubani wamefariki katika ajali ya ndege ndogo jana,...

READ MORE

Liverpool Yachapwa na Man United, Yatupwa Nje Fa Cup

HALI imekuwa mbaya zaidi kwa Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp baada ya jana usiku kutupwa nje ya michuano ya FA...

READ MORE

Mo Afunguka Kuwa Bilionea wa 13 Afrika

BILIONEA  wa Kitanzania, Mohammed Dewji maarufu MO amefunguka juu ya kutajwa kwenye orodha ya mabilionea wanaoongoza kwa utajiri barani Afrika....

READ MORE

Gkanji: Simba Tutafika Nusu Fainali CAF

KIUNGO mpya wa Simba, Doxa Gkanji, amesema malengo yake ndani ya timu hiyo ni kuisaidia kufi ka mbali katika Ligi...

READ MORE

Simba Yatangaza Kocha Mpya, Mfaransa Kutoka El Merrick (Picha +Video)

UONGOZI wa klabu ya Simba leo Januari 24, 2021 umemtambulisha rasmi Mfaransa, Didier Gomes Da Rosa kuwa Kocha Mkuu wa...

READ MORE

Yanga Princess Haikamatiki WPL

TIMU ya Yanga Princess inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara, imeen-delea kuwa moto wa kuotea mbali katika ligi hiyo...

READ MORE

Mkude Apewa Masaa 24 Simba Atozwa Faini

KAMATI ya Nidhamu ya Klabu ya Simba chini ya Mwenyekiti wake Suleiman Kova imetangaza Januari 23, 2021 hukumu ya kiungo...

READ MORE

Zahera: Simba Itaifunga AS Vita Nje Ndani

LIYEKUWA Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera raia wa DR Congo, amefi chua kuwa Simba wana nafasi kubwa ya kushinda mechi...

READ MORE

Taifa Stars Yaichapa Namibia, Yafufua Matumaini CHAN

TAIFA Stars jana imefanikiwa kupata ushindi wake wa kwanza kwenye michuano ya mataifa ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za...

READ MORE

Simba SC Wampambania Chikwende CAF

MABOSI wa Simba wameanza taratibu za kumuombea kibali kiungo wao mshambuliaji Mzimbabwe Perfect Chikwende katika Shirikisho la Soka Afrika (Caf)...

READ MORE

Video: Junior Lokosa wa Simba Atua Bongo

Mchezaji Mpya wa Simba Mnigeria Straika Junior Lokosa ametua katika uwanja wa Ndege wa Kimatifa Jumamosi ya January 23, 2021...

READ MORE

Murray Aambukizwa Covid-19 Huenda Asiende Australia

ANDY MURRAY nyota wa mchezo wa tenis duniani (Mwingereza) amegundulika kuambukizwa ugonjwa wa Covid-19 kabla ya kusafiri kwenda Melbourne (Australia)...

READ MORE

Kocha Mpya Simba ni Huyu Hapa

PAMOJA na Klabu ya Simba kutotaja majina ya makocha waliowasilisha CV zao hadi muda huu, hatimaye imefahamika kuwa jina la...

READ MORE

Man Utd Ikimtaka Sancho, Anapatikana Bei Chee!

MANCHESTER United inaweza kumsajili Jadon Sancho katika dirisha dogo la usajili mwezi huu kwa urahisi kama wakiamua kufanya hivyo.  ...

READ MORE

De Bruyne Nje Wiki Sita

Klabu ya Manchester City imepata pigo kufuatia taarifa za kiungo wake Kevin de Bruyne kuripotiwa kuwa atakaa nje ya uwanja...

READ MORE