×

Michezo

Wapinzani wa Simba Waliwahi Kushinda 79-0, Wakafungiwa

  LIGI ya Mabingwa Afrika inatarajiwa kuanza wikiendi hii, ni michuano ya 25 tangu kuanzishwa kwa mfumo wa ligi hiyo...

READ MORE

Angalia Pialali Alivyomtwanga Mfilipino Tinampay

BONDIA Iddi Pialali wa Bagamoyo Pwani hapa nchini, leo alfajili amefanikiwa kumtwanga Bondia wa Kimataifa Arnel Tinampay kutoka Ufilipino. Tinampay...

READ MORE

Yanga Yaichapa JKT Taifa, Yazidi Kupaa Kileleni

Timu ya Yanga leo Novemba 28 imefanikiwa kuondoka na pointi zote tatu kwenye Uwanja wa Mkapa  jijini Dar, baada ya...

READ MORE

Namungo kuwavaa Al Rabita Leo, Kombe la Shirikisho

  WAWAKILISHI  wa Tanzania kwenye michuano ya Afrika, Namungo, inatarajiwa kushuka dimbani saa moja usiku leo Novemba 28 kwenye dimba...

READ MORE

Mwakinyo Apanda Viwango, Amkaribia Pacquiao

BONDIA  namba moja nchini, Hassan Mwakinyo, ametajwa kuwa bondia wa nyota tatu duniani, akihitaji kutafuta nyota nyingine mbili ili kuingia...

READ MORE

EPL London Derby: Chelsea Kuwakaribisha Tottenham Hotspurs!

  Moja kati ya michezo yenye ushindani wa kipekee ni London Derby, mchezo kati ya Chelsea na Tottenham haujawahi kuwa...

READ MORE

Fahamu Kuhusu Mazishi ya Diego Maradona

Vyanzo mbalimbali vya habari nchini Argentina vimeripoti kuwa Diego Maradona amezikwa mapema asubuhi ya Alhamisi na watu wachache ambao ni...

READ MORE

Al-Ahly Yatwaa Taji Ligi ya Mabigwa Afrika

MABINGWA wa kihistoria wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Al-Ahly ya Misri,  jana usiku Novemba 27 wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa tisa...

READ MORE

Ruvu Shooting Wapania Kuendelea Kugawa Dozi

  UONGOZI wa Ruvu Shooting umeweka wazi kuwa upo tayari kwa ajili ya mechi zote za ligi na wataendelea kugawa...

READ MORE

Straika Mpya Aomba Kuondoka Simba

UPO uwezekano mkubwa wa Simba kumtoa kwa mkopo mshambuliaji wake mpya Charles Ilanfya kwenye usajili wa dirisha dogo litakalofunguliwa Desemba...

READ MORE

Carlinhos Amfunika Morrison

NDANI ya uwanja msimu huu wa 2020/21, kiungo wa Yanga, Carlos Carlinhos, amemfunika vibaya Bernard Morrison wa Simba.   Simba...

READ MORE

Kaseke Ataja Sababu Ya Ubora Wake Ndani Ya Yanga

DEUS Kaseke kiraka wa Yanga amesema kuwa ubora wake ndani ya uwanja unatokana na kufuata maelekezo ambayo anaelekezwa na mwalimu...

READ MORE

Wachezaji Simba Wala Kiapo Nigeria

KIKOSI cha Simba, juzi Jumatano kiliwasili jijini Abuja nchini Nigeria tayari kuwavaa wenyeji wao, Plateau United ya nchini humo katika...

READ MORE

Pialali, Tinampay Anakufa Mtu Kesho, Mtango Ajiweka Rehani

BONDIA  wa ngumi  za kulipwa nchini, Idd Pialali kesho Jumamosi anakibarua kigumu mbele yam kali kutoka Ufilipino, Arnel Tinampay katika...

READ MORE

Diego Maradona: Mfalme wa Soka Aliyeangushwa na Madawa ya Kulevya, Pombe

Dunia imepata pigo, mbuyu mkubwa umeanguka katikati ya msitu na kusababisha miti mingine yote itingishike! Ulimwengu wa soka unazizima, wapenzi...

READ MORE

Hali ya Kibwana Shomari Yaanza Kutengamaa

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa beki wao wa kulia mwenye jukumu la kumwaga mipira kati kwa sasa anaendelea vizuri baada...

READ MORE

Mrithi wa Aristica Cioaba Huyu Hapa, Apewa Mechi Mbili

BAADA ya Arstica Cioaba kufutwa kazi ndani ya Klabu ya Azam FC, jana Novemba 27 mrithi wa mikoba yake ni...

READ MORE

‘Mavituzi’ ya Carlinhos Yamuacha Hoi Kaze

  KOCHA Mkuu wa Yanga, Mrundi, Cedric Kaze, ametaja sifa alizonazo kiungo wake mshambuliaji, Carlos Fernandez ‘Carlinhos’.   Carlinhos raia...

READ MORE

Simba Yapewa Ulinzi wa Kutosha Nigeria, Yaanza Mazoezi Rasmi

UONGOZI wa Simba Sc umeweka wazi kuwa wamepokelewa vizuri nchini Nigeria baada ya kuweka maandalizi ya awali na timu hiyo...

READ MORE

Yusuph Mhilu: Tumeanza Kujenga Hali ya Kujiamini

YUSUPH Mhilu mshambuliaji namba moja ndani ya kikosi cha Kagera Sugar kinachonolewa na Kocha Mkuu, Meck Mexime amesema kuwa taratibu...

READ MORE

Mganda Atajwa Kuwa Mbadala wa Fraga Simba

  TADEO Lwanga, kiungo anayecheza soka la kulipwa nchini Misri ndani ya Klabu ya Tanta anatajwa kuingia kwenye rada za...

READ MORE

Kipigo cha Yanga Chamfukuzisha Kazi Kocha Azam

ARISTICA CIOABA amefutwa  kazi ndani ya Azam FC msimu wa 2020/21 kutokana na matokeo mabaya aliyopata hivi karibuni.   Uongozi...

READ MORE

Prince Dube Avunjika Mfupa, Apelekwa Sauz Kutibiwa

TAARIFA kutoka Azam FC inaarifu kuwa mshambuliaji wao, Prince Dube, aliyeumia jana Novemba 25, kwenye mchezo dhidi ya Yanga, atasafirishwa...

READ MORE

Wanaigeria Wachota Milioni Saba Simba SC

WAKATI Simba ikiwa imeondoka jana jioni kuelekea Nigeria, uongozi wa timu hiyo umebainisha umepata wakati mgumu wa kupata vibali vya...

READ MORE

Mfahamu Gwiji wa Soka Diego Armando Maradona

MMOJA wa wachezaji maarufu nchini  Argentina ambao ilijivunia kipaji cha kipekee, madoido ya ajabu akiwa uwanjani, maono na kasi  yalivyovutia...

READ MORE

Kifo cha Maradona, Rais Atangaza Maombolezo Siku Tatu

RAIS wa Argentina, Alberto Fernandez ,ametangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa kufuatia kifo cha gwiji wa soka wa nchi...

READ MORE

Rage Ampa Mbinu Sven Kuwavaa Plateau

ALIYEWAHI kuwa mwenyekiti wa klabu ya Simba, Ismail Aden Rage amempa tahadhari kocha wa timu hiyo, Sven Vandenbroeck kuhakikisha anakwenda...

READ MORE

 Chama Amvuta Kaka yake Simba SC

KIUNGO mchezeshaji wa Simba, Clatous Chama, ameibuka na kuweka wazi shauku yake ya kumuona kaka yake, Adrian Chama akijiunga naye...

READ MORE

Kocha Ligi Kuu Bara aipa Simba ubingwa

KOCHA mkuu wa timu ya Lipuli FC, Meja Abdul Mingange ameitabiria Simba SC kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kutokana...

READ MORE

Simba Yataja Sababu ya Kuwaacha Bongo Nyota Wake Watatu

BAADA ya Simba kuwaacha nyota wake watatu Chris Mugalu, Charles Ilanfya na David Kameta uongozi wa timu hiyo umefunguka juu...

READ MORE

Hazard Afunga Bao la Kwanza Madrid

EDEN Hazard ingizo jipya ndani ya Real Madrid ya Uhispania amefunga bao lake la kwanza kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya...

READ MORE

Kaze Aligundua Azam FC ni Wazito

KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedrick Kaze, amesema kuwa aliwatambua wapinzani wake ni wazito, jambo lililomfanya atumie wachezaji wenye spidi mwanzo-mwisho....

READ MORE

Mwamnyeto Amfunika Maguire

BEKI wa kati wa Klabu ya Yanga ya Bongo amemfunika jumlajumla beki wa kati ya Klabu ya Manchester United, Harry...

READ MORE

Sven Ataja Sababu Ya Kumtema Mugalu

BAADA ya Simba kuwaacha nyota wake watatu Chris Mugalu, Charles Ilanfya na David Kameta uongozi wa timu hiyo umefunguka juu...

READ MORE

Yanga Yaichapa Azam Bao 1-0, Yapaa Kileleni

MCHEZO  wa Ligi Kuu Bara Uwanja wa Azam Complex umekamilika kwa wenyeji Azam FC kuyeyusha jumla pointi tatu na kufungwa...

READ MORE

Youssoufa Moukoko Kinda Tishio Duniani, Hadi Haaland Anamshangaa

MZALIWA wa Yaoundé nchini Cameroon aliyechukua uraia wa Ujerumani, Youssoufa Moukoko, wikiendi iliyopita aliweka rekodi ndani ya Ligi Kuu Ujerumani...

READ MORE

Breaking: Diego Maradona Afariki Dunia

MKONGWE wa soka raia wa Argentina, Diego Maradona amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 60 kwa mshtuko wa moyo,...

READ MORE

Yanga Yaisaidia Namungo Kimataifa

  KOCHA mkuu wa Namungo, Hemed Morroco amesema kuwa sare waliyoipata dhidi ya Yanga ni maandalizi tosha kuelekea katika mchezo...

READ MORE

Simba Yazinasa Siri za Wanigeria

WAMEKWISHA! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mabosi wa Simba kuzinasa mkononi siri zote zinazowahusu wapinzani wao, Plateau United ya Nigereia...

READ MORE

Azam vs Yanga… Vita ya Wakubwa, Kaeni Mbali

JIJI la Dar es Salaam, kwa mara nyingine leo Jumatano litakuwa kimya kwa muda kupisha mechi ya wakubwa wawili, Azam...

READ MORE