×

Michezo

Kiungo Mpya Simba Atengewa Mil 300

TAARIFA kutoka ndani ya Klabu ya Simba zinasema kuwa, uongozi wa klabu hiyo umetenga zaidi ya Sh milioni 300 kwa...

READ MORE

Azam Yaitahadharisha KMC

  KUELEKEA mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC unaotarajiwa kupigwa leo Novemba 21, mwaka huu kwenye Dimba la...

READ MORE

Huyo Kocha wa Manula Kazi Anayo Simba

KUONESHA kwamba hataki masihara hata kidogo juu ya makipa wake, Kocha Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck ametangaza atamfanyia usaili wa...

READ MORE

Kagere, John Bocco Wawashika Pabaya Yanga

WASHAMBULIAJI wa Simba, John Bocco na Meddie Kagere, wamewashika pabaya wapinzani wao Yanga kutokana na uimara wa safu yao ya...

READ MORE

Kaze Amuingiza Rasmi Kikosini Kiungo Kinda

BAADA ya kuonesha kiwango kikubwa kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya African Lyon, Benchi la Ufundi la Yanga linaloongozwa na...

READ MORE

Sakata la Bil. 20 Simba, Kigwangala Amsamehe Mo

  ALIYEKUWA Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamisi Kigwangala, leo Novemba 20, 2020,  kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram...

READ MORE

Dar Boxing Derby: Mabondia Washindana Kupanda Ndiga Kali

  MABONDIA Francis Miyeyusho na Deo Samweli leo Jumamosi wanatarajiwa kupanda ulingoni kumaliza ubishi katika pambano la Dar Boxing Derby....

READ MORE

Familia Yamuondoa Gadiel Simba SC

KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroek, amesema beki wa timu hiyo, Gadiel Michael amepata matatizo ya kifamilia jambo ambalo linamfanya...

READ MORE

Simba Yajibu Hoja za FFC Kuhusu Uwekezaji wa Mo

  KLABU ya Simba imetoa maelezo ya awali juu ya uendeshwaji na uwekezaji wa timu kuanzia ilipoanza mchakato huo mpaka...

READ MORE

Benzema Ndiye Mfalme wa Madrid

  KATI ya wachezaji mahiri zaidi kwenye Ligi Kuu ya Hispania, La Liga yupo mshambuliaji wa Real Madrid, Karim Benzema....

READ MORE

Tinampay Atuma Ujumbe, Pialali Ajibu Kibabe

  TAMBO zimezidi kupamba moto kuelekea pambano kali la kimataifa la ngumi kati ya bondia Mtanzania, Idd Pialali na Mfilipino,...

READ MORE

Yanga yawajibu Simba kibabe

KLABU ya Yanga imewajibu watani wao Simba baada ya kuhamishia ofisi zake Mtaa wa Samora Avenue, Posta jijini Dar es...

READ MORE

Game na Yanga, Namungo Yajichimbia Zenji

TIMU ya Namungo FC imeweka kambi Zanzibar kwa ajili ya kujiwinda na michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika ambapo itacheza...

READ MORE

Sven Atoa Masharti Magumu Simba

KOCHA mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck anatarajia kukichuja kikosi chake kabla ya msimu wa sikukuu ya kuanza kwa michuano ya...

READ MORE

Yanga SC Yaanza Mawindo ya Pointi TisaHatari

LICHA ya ugumu wa ratiba yao kwenye michezo mitatu ijayo ya Ligi Kuu Bara, uongozi wa Klabu ya Yanga umesema...

READ MORE

Coastal Union Vs Simba Sc Vita ya Kibabe

NOVEMBA 21, Simba chini ya Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck, itakuwa na kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Coastal Union...

READ MORE

Yanga Yaibua Upya Sakata la Morrison, Yatoa Tamko TFF – Video

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kwa sasa una wasiwasi kuhusu kesi ya mchezaji wao, Bernard Morrison, huenda ikabadilishwa kwa...

READ MORE

Tonombe Aeleza Ishu ya Kwenda Simba

KIUNGO wa kimataifa wa Congo anayekipiga Yanga, Mukoko Tonombe, amesema anaipenda sana Yanga hivyo hawezi kuondoka kwa sasa.    ...

READ MORE

Haruna Niyonzima Apata Ajali

NYOTA wa kikosi cha Yanga, Haruna Niyonzima taarifa zinaeleza kuwa amepata ajali akiwa na mke wake nchini Rwanda wakati gari...

READ MORE

Kisa Yanga… Ntibazonkiza Afanyiwa Dua Burundi

INAELEZWA kuwa baadhi ya mashabiki wa soka Burundi wamepanga kumuaga kwa dua staa wa nchi hiyo Said Ntibazonkiza wakati akiwa...

READ MORE

Ratiba ya Ligi Kuu Bara Leo Ipo Hivi

  LEO Novemba 20 Ligi Kuu Bara inaendelea kwa timu kuingia uwanja kusaka pointi tatu baada ya mapumziko kutokana na...

READ MORE

Mtupiaji Namba Moja Bongo Aingia Rada za Yanga

ADAM Adam, staa anayekipiga ndani ya JKT Tanzania anatajwa kuingia kwenye rada za Yanga ambao wanahitaji saini yake. Nyota huyo...

READ MORE

Yanga Yatangaza Bosi Mpya, Yaanika Sakata la Morrison, Kabwili – Video

  UONGOZI wa Klabu ya Yanga SC, leo Novemba 20 umemtangaza Hajji Mfikirwa kuwa Kaimu Katibu Mkuu  mpya ambaye anachukua...

READ MORE

Van Dijk Atajwa Kuanza Mazoezi Mepesi Liverpool

  HABARI njema kwa mashabiki wa Liverpool ni kwamba beki kitasa wa timu hiyo Virgil Van Dijk anatajwa kuanza kufanya...

READ MORE

Msuva Ataja Sababu Zitazomfanya Aanze First Eleven Casablanca

  NYOTA mpya wa Klabu ya Wydad Casablanca ya Morocco, Mtanzania Simon Msuva, amefunguka kwamba kucheza ligi ya nchi hiyo...

READ MORE

Morrison Aunganishwa Kwenye Kikosi, Ruksa Kuwavaa Coastal Union

BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu Sven Vandenbroeck huenda atakuwa sehemu ya kikosi...

READ MORE

Messi Achoshwa na Lawama Barcelona

NYOTA  wa timu wa kimataifa wa Argentina,  Lionel Messi, amevunja ukimya na kueleza bayana kuwa amechoshwa na zigo la lawama...

READ MORE

Serikali Yamkana Mo, Manara, Sakata Mabadiliko Simba

SUALA la mabadiliko ndani ya Simba limeleta sura mpya baada ya Serikali kujibu mapigo ya viongozi wa klabu hiyo ambao...

READ MORE

La Liga: Messi, Suarez Kazi Ipo Leo

Michezo ya timu za taifa kwenye UEFA League of Nations imeisha, sasa soka linarejea tena kwenye viwanja vyote nchini Hispania!...

READ MORE

Abdi Banda Ajisogeza Simba

ABDI Banda, nyota wa zamani wa Klabu ya Simba ambaye alisajiliwa na kikosi hicho msimu wa 2014 akitokea Coastal Union...

READ MORE

Sven Sasa Alia na Fraga Simba

  KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, amesema kuwa anasikitika kuwa kiungo wake raia wa Brazil, Gerson Fraga, hatakuwa sehemu...

READ MORE

Guardiola Asaini Mkataba Mpya Man City

KOCHA wa Timu ya Manchester City, Mhisipaniola Pep Guardiola, amekubali kuongeza mkataba wa miaka miwili ambao utamfanya  kuwepo kwenye timu...

READ MORE

Mzimu wa Morrison Waondoka na Kigogo Yanga

BAADA ya kutolewa shutuma za kuihujumu klabu ya Yanga, kamati ya utendaji ya klabu hiyo imefikia uamuzi wa kumsimamisha kazi...

READ MORE

Simba Yamvutia Kasi Kiungo Mkabaji wa Kaizer Chief

  INAELEZWA kuwa Simba inavutiwa na kiungo wa Kaizer Chiefs na timu ya Taifa ya Kenya, Anthony Teddy Akumu. Hesabu...

READ MORE

Bale Achekelea Kurejea Tottenham

  GARETH Bale nyota wa Klabu ya Tottenham Hotspurs ambaye ni nahodha wa timu ya Taifa ya Wales amesema kuwa...

READ MORE

Fraga Atibua Mipango Simba

SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba, amesema kuwa kukosekana kwa nyota wake, Gerson Fraga, kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa...

READ MORE

Kaze: Carlinhos Atanipa Nguvu

  CEDRIC Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga, amesema kuwa uwezo wa kiungo wake, raia wa Angola, Carlos Carlinhos, ni wa...

READ MORE

Alichofanyiwa Luis Huko Msumbiji, Balaa Tupu!

KIUNGO msumbufu wa Simba, Luis Miquissone, juzi akiwa kwenye majukumu yake ya timu ya Taifa ya Msumbuji alikuwa kwenye wakati...

READ MORE

Kocha Mkuu Namungo Afutwa Kazi

IMEELEZWA kuwa Hitimana Thiery amefutwa kazi ndani ya Klabu ya Namungo FC inayotumia Uwanja wa Majaliwa kwa mechi zake za...

READ MORE

Kigogo Yanga Akanusha Uzushi, Amzungumzia Morrison

MKURUGENZI wa Sheria na Wanachama wa Klabu ya Yanga SC, Patrick Simon, jana mchana alitoa waraka kukanusha tuhuma zinazotolewa na...

READ MORE