×

Michezo

Stars Yalazimisha Sare Dhidi ya Tunisia

  TIMU ya taifa  (Taifa Stars)  usiku jana  Novemba 17, 2020,  imeshindwa kuiutumia vyema faida ya kucheza nyumbani baada ya...

READ MORE

Spoti Xtra Jumanne Lapokelewa kwa Kishindo – (Pichaz + Video)

KAMPUNI namba moja ya habari nchini, Global Publishers inayochapisha magazeti ya michezo ya Championi na Spoti Xtra, kwa kutambua kiu...

READ MORE

Twaha Kiduku: Mwakinyo Asilewe Sifa

BONDIA Twaha Kiduku ameeleza kuukubali uwezo wa Hassan Mwakinyo na kumtaja kuwa ni bondia bora ila akamtahadharisha asije akalewa sifa...

READ MORE

Michuano Cecafa U20 Kuanza Novemba 22 Arusha

  BARAZA la Michezo Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) limetangaza michuano ya vijana chini ya umri wa miaka...

READ MORE

DStv Yaja na Ofa Kabambe ya Msimu wa Sikukuu!

  Katika kunogesha zaidi msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka na mwaka mpya, kampuni ya MultiChoice Tanzania imetangaza ofa...

READ MORE

Tonombe awekewa mkataba mezani Yanga

  KATIKA kumlinda kiungo wao mabosi wa Yanga, Kampuni ya GSM kupitia Mkurugenzi wa Uwekezaji, Injinia Hersi Said, wamefunguka kwamba...

READ MORE

Kufuzu Fainali Kombe la Dunia 2022, Messi Kibaruani Leo

Mataifa ya Amerika yanaendelea na harakati za kuisaka tiketi ya kushiriki Kombe la Dunia 2022. Michezo ya Kufuzu CONMEBOL inaendelea...

READ MORE

Senzo: Hata Mfanye Nini, Yanga Hatutoki Njiani!

MSHAURI wa masuala ya mabadiliko wa Yanga, Senzo Mazingisa, ameweka bayana kuwa licha ya yote ambayo yamemkuta ya kuhojiwa polisi,...

READ MORE

Msuva Ataja Silaha Zitakazombeba Wydad

NYOTA mpya wa Klabu ya Wydad Casablanca ya Morocco, Mtanzania Simon Msuva, amefunguka kwamba kucheza ligi ya nchi hiyo kwa...

READ MORE

Kocha Simba Atimuliwa Sauz

  PATRICK Aussems, kocha wa zamani wa Simba maarufu kama Uchebe, ameripotiwa kufutwa kazi na timu yake mpya ya Black...

READ MORE

Mugalu Mtambo Wa Mabao, Unaoitisha Plateau United

“MECHI ya Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) tuliyocheza na Yanga Julai 12, mwaka huu tulitakiwa kupata ushindi mnono...

READ MORE

Stars Ikifanya Haya, Tunisia Hawachomoki kwa Mkapa

TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, imeendelea na maandalizi ya kujiwinda na mchezo wa marudiano dhidi ya Tunisia unaotarajiwa...

READ MORE

Mo Atenga Mamilioni ya Ubingwa CAF

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’, amesema kuwa ameandaa bajeti kubwa ya fedha itakayowawezesha kufi ka...

READ MORE

Taifa Stars Kibaruani Tena Kesho kwa Mkapa

KESHO timu ya Taifa ya Tanzani  (Taifa Stars) ina kibarua cha kusaka pointi tatu kwenye mchezo wa kufuzu Afcon 2021...

READ MORE

Pogba Asema Hana Furaha Man U

KIUNGO wa kati wa Manchester United na Ufaransa, Paul Pogba, anasema kwa sasa anapitia kipindi kigumu sana cha kazi yake...

READ MORE

Mo Aahidi Private Jet, Simba Champions League – Video

  MWENYEKITI wa wa Bodi ya wakurugenzi wa Klabu ya Simba, Mo Dewji amesema wamejipanga na wana bajeti ya kutosha...

READ MORE

Mchakato Mabadiliko Simba Watua FCC – Video

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Mohammed Dewji amefafanua hatua iliyofikia timu mpaka sasa katika swala zima la...

READ MORE

Mo Dewji Amaliza Utata Chama na Mukoko

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba Mohammed Dewji, amethibitisha kuwa mchezaji Clatous Chama, amesaini mkataba wa miaka...

READ MORE

Twaha Kiduku: Mwakinyo Ananiogopa

BONDIA Twaha Kassim ‘Kiduku’ ambaye makazi yake yapo Kihonda, Morogoro ni moja kati ya mabondia wenye rekodi hapa nchini. Rekodi...

READ MORE

Kilimanjaro Premium Lager Marathon 2021 Yazinduliwa Jijini Dar

IJUMAA Novemba 13, 2020, msimu  wa 19 wa mbio  maarufu za Kilimanjaro Premium Lager Marathon 2021  umezinduliwa  jijini Dar es...

READ MORE

Simba, Yanga, Azam… Vita Ya 3 Bora ni Moto

NGOMA inazidi kupigwa kwa sasa ndani ya Ligi Kuu Bara ambapo vita ya kuwania ubingwa imeanza kukolea kwa timu tatu...

READ MORE

 Ishu ya Chilunda Kubadilishiwa Timu Morocco Iko Hivi

    KUMBE ishu ya mchezaji wa zamani wa Klabu ya Azam, Shabani Idd Chilunda kubadilishiwa timu nchini Morocco ilichangiwa...

READ MORE

Ureno Wautema Ubingwa wa Uefa Nations League

TIMU ya Taifa ya Ufaransa imekuwa timu ya kwanza kutinga kwenye Fainali za UEFA Nations League ambazo ( zile timu...

READ MORE

Ntibazonkiza Afanya Balaa Huko Burundi, Apiga Bonge la Bao

KIUNGO mshambuliaji mpya wa Yanga, Mrundi, Said Ntibazonkiza, amethibitisha ubora wake kwa kuifungia timu yake bao la kusawazisha timu yake...

READ MORE

Kaze Aanza Kazi na Programu Maalumu Yanga

    KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze, ameanza kukinoa kikosi chake jana Alhamisi baada ya mapumziko mafupi huku akiwa...

READ MORE

Chama Apewa Mshahara wa Kufuru Simba

AMINI usiamini, sasa ni wazi kuwa zile kelele juu ya usajili wa kiungo mshambuliaji wa Simba, Clatous Chama, zimeisha namna...

READ MORE

Sven Anasa Faili

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Sven Vandenbroeck, amewasikia wapinzani wake atakaokutana nao katika hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa...

READ MORE

Yanga Yaukomalia Ubingwa wa Simba

KIUNGO mzawa Feisal Salum, ameweka bayana kuwa wamekubaliana kupambana msimu wa 2020/21 kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara. Yanga ipo...

READ MORE

Lamine Yupo Fiti Kuwavaa Azam FC

BEKI tegemeo na nahodha wa Yanga, Mghana Lamine Moro, hajapata majeraha makubwa baada ya juzi kufanyiwa kipimo cha X-Ray kilichoonyesha...

READ MORE

Plateau Waanza Kuwatisha Simba SC

PLATEAU United ni wapinzani wa Simba katika Ligi ya Mabingwa Afrika lakini uongozi wa timu kutoka nchini Nigeria, umesema kuwa...

READ MORE

Yanga SC Kutesti Mitambo kwa Lyon

BAADA ya kupumzika tangu walipocheza mechi yao ya dabi dhidi ya Simba wikiendi iliyopita, leo Alhamisi jeshi la Yanga linarudi...

READ MORE

Tanzania Yanyakua Ubingwa wa COSAFAWU17

  TIMU  ya Wanawake Chini ya Umri wa Miaka 17 #Under17 ya Tanzania imeibuka mshindi wa mashindano ya #Cosafa 2020 baada ya...

READ MORE

Yanga SC Wafungukia Mwamnyeto, Fei Toto Kwenda TP Mazembe

BAADA ya tetesi kuzagaa za kiungo fundi wa Yanga, Feisal Salum na beki wa kati wa timu hiyo, Bakari Mwamnyeto...

READ MORE

Msuva Ataja Kilichompeleka Wydad Casablanca

WINGA machachari Mtanzania, Simon Msuva, amethibitisha kujiunga na Klabu ya Wydad Casablanca ya nchini Morocco kwa mkataba wa miaka minne...

READ MORE

 Chama Awekewa Ulinzi Mkali Zambia

SIMBA wameanza kupata hofu na kiungo wao Clatous Chama baada ya kumwekea ulinzi kila mahali ili asinaswe na wapinzani wao....

READ MORE

Pombe Zahatarisha Uhai wa Maradona

MCHEZAJI  mkongwe wa Argertina, Diego Maradona, ametolewa hospitali siku ya Jumatano, na kuelekea kliniki ya kurekebisha tabia ili kuacha kutegemea...

READ MORE

Hapatoshi! Ronaldo, Mbappe uso kwa Uso Leo

  Ikiwa ni muendelezo wa Mashindano ya UEFA Nations League, Ureno watawakaribisha Ufaransa huu ukiwa ni mchezo unaowakutanisha – Bingwa...

READ MORE

Vitasa Hatari! Mwakinyo Amfanya Kitu Mbaya Muargentina – Video

BONDIA Mtanzania, Hassan Mwakinyo ameshinda na kuetetea mkanda wake wa WBF Intercontinental Super Welterweight dhidi ya Jose Carlos Paz raia...

READ MORE