×

Michezo

Tonombe, Tuisila Watua Dar Kibabe

WACHEZAJI wapya wa Yanga, winga Tuisila Kisinda na kiungo mkabaji, Mukoko Tonombe wanatarajiwa kutua kibabe jijini Dar leo Alhamisi baada...

READ MORE

Mugalu, Bwalya Wawapagawisha Mashabiki Simba

MASTAA wapya waliosajiliwa na Simba juzi waliteka mazoezi ya timu hiyo walipoanza kufanya kwenye Uwanja wa Simba Mo Arena, Bunju...

READ MORE

Chama: Kwa Huyo Bwalya Subirini Tu

KIUNGO mshambuliaji wa Simba raia wa Zambia, Clatous Chama, amefunguka kuwa kiungo mpya wa timu hiyo, Larry Bwalya atawabeba katika...

READ MORE

Morrison Apanda Mpira Mazoezi Simba Mo Simba Arena -Video

TIMU ya Simba Agosti 17, 2020 wameanza rasmi mazoezi yanayofanyika kwenye Uwanja wao wa Mo Simba Arena uliopo Bunju nje...

READ MORE

Haji Manara Agoma Kustaafu Simba, Bado Yupo Fiti

Msemaji wa Simba Haji Manara leo Agosti 19, 2020 amefuta kauli yake ya kustaafu akisema kuwa jana Agosti 18, 2020...

READ MORE

Viingilio Simba Day Vyatajwa, Diamond Kuburudisha! -Video

AFISA Habari wa Klabu ya Simba, Haji Manara,  leo Agosti 19, 2020,  amesema Simba itacheza na timu kutoka Burundi ya...

READ MORE

Zahera: Tuisila ni Zaidi ya Morrison

ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Yanga, Mkongomani, Mwinyi Zahera ambaye kwa sasa ni Mkurugenzi wa Ufundi ndani ya Gwambina FC, amefunguka...

READ MORE

Barcelona Yamthibitisha Koeman Kocha Wake Mpya

RAIS wa Barcelona, Josep Bartomeu, amethibitisha kuwa Ronald Koeman atapewa kibarua cha kuwafunza miamba hao wa Catalan. Kwa sasa Koeman...

READ MORE

Nusu Fainali UEFA; Bayern Munich Kukiwasha na Olympique Lyonnais!

MCHEZO wa soka umerejea kwa staili ya aina yake! Fainali ya Ligi Ya Mabingwa 2019/2020 katika ubora wake na siku...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumatano, Agosti 19, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 19, 2020 Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Benki ya NBC Yajikita Kukuza Michezo Vyuoni

Benki ya NBC yaendelea kuchangia Maendeleo ya michezo katika vyuo nchini kwa kudhamini tamasha la michezo la “Daruso – DUCE...

READ MORE

UEFA; Leipzig Dhidi ya PSG Kukiwasha Nusu Fainali Leo

Bila shaka fainali ya michuano mikubwa barani Ulaya imekuwa ya aina yake na yenye kusisimua! Ligi ya Mabingwa kwa namna ya kipekee imetuletea matokeo a mbayo hatukuyatarajia. Burudani, kuibuka kwa miamba mipya,...

READ MORE

Deal Done: Dube Atua Azam FC

AZAM Football Club ya jijini Dar es Salaam imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa kimataifa wa Zimbabwe, Prince Dube, kutoka  Highlanders...

READ MORE

Mgunda: Coastal Itasimama Bila Mwamnyeto

KOCHA Mkuu wa Klabu ya Soka ya Coastal Union, Juma Mgunda, amesema kuwa kuondoka kwa nyota wao wanne waliokuwa wakitumika...

READ MORE

Chama Amvuta Shonga Simba

KIUNGO mchezeshaji wa Simba, Clatous Chama, amefunguka kuwa Mzambia mwenzake, Justin Shonga, anaweza kutua klabuni hapo endapo mabosi wa klabu...

READ MORE

Wazir Junior Aahidi Mabao 30 Yanga SC

  STRAIKA mpya wa Klabu ya Yanga, Wazir Junior, amefunguka kuwa mipango yake katika msimu ujao wa Ligi Kuu Bara...

READ MORE

Morrison Ateka Shoo Mazoezi Simba

TIMU ya SIMBA  jana Jumatatu jioni Agosti 17, 2020 ilianza rasmi mazoezi yanayofanyika kwenye Uwanja wao wa Mo Simba Arena...

READ MORE

Kwa Chama Hili Mnatokaje

MNASIKIA au tuongeze sauti? Ndivyo wanavyouliza mashabiki wa Simba kufuatia kufanya usajili wa kufuru waliofanya mpaka sasa na wakijiuliza kwa...

READ MORE

Breaking: Yanga Yamalizana na Kisinda wa AS Vita

Taarifa za uhakika zinaeleza kuwa Klabu ya Yanga imemalizana na AS Vita na kumsajili nyota wa wao raia wa Congo...

READ MORE

Yanga Wamzimia Simu Beki Mnyarwanda

HALI imeenda ndivyo sivyo katika usajili wa Eric Rutanga baada ya beki huyo kusema kuwa mabosi wa Yanga wamemchunia tangu...

READ MORE

Sakata la Morrison, TFF Yamlima Msolla

TFF imesema imepokea kwa masikitiko madai ya Mwenyekiti wa Yanga SC, Dkt. Mshindo Msolla aliyedai kupitia Vyombo vya Habari kuwa...

READ MORE

Ratiba ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2020/21

Ratiba ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) 2020/21. Ligi hiyo inahusisha timu 18 zitakazocheza michezo 34 kila moja....

READ MORE

Samia Aikabidhi Global Publishers Tuzo ya CRDB

MAKAMU wa Rais,  Samia Suluhu,  ameikabidhi Kampuni ya Global Publishers Tuzo kutoka Benki ya CRDB jana Agosti 16, 2020, ikiwa...

READ MORE

Azam FC Wazindua Azam Festival, Watambulisha Uzi Mpya

KLABU ya Azam FC jana Jumapili, ilizindua tamasha lake la Azam Festival katika shughuli iliyofanyika kwenye Uwanja wa Azam Complex...

READ MORE

Man United Yachezea Kichapo cha Sevilla

KLABU ya Manchester United ilijikuta ikitupwa nje ya michuano ya Europa baada ya kipigo cha bao 2-1 walichokipata kutoka kwa...

READ MORE

Yanga: Tulieni, Mtatuelewa Tu

KOCHA wa viungo wa Yanga raia wa Afrika Kusini ambaye amekabidhiwa kikosi hicho kukiongoza mazoezini tangu Jumatatu ya wiki hii,...

READ MORE

Onyango: Kahata Kanileta Simba SC

KITASA kipya cha Simba, Joash Onyango raia wa Kenya, amefunguka kuwa kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Francis Kahata ndiye aliyemleta...

READ MORE

De Bruyne Mchezaji Bora wa EPL

Kevin De Bruyne amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi kuu soka nchini England msimu wa 2019-20. De Bruyne amewashinda Jordan...

READ MORE

Nonga Arudisha Mkwanja Namungo

PAUL Nonga, nyota mpya wa Gwambina FC inayonolewa na Fulgence Novatus, ilimlazimu arudishe nauli kwa mabosi wa Namungo ambao walikuwa...

READ MORE

Kocha Mpya Yanga Mzigoni Wiki Ijayo

UONGOZI wa Klabu ya Yanga, umefunguka kuwa unatarajia kumtambulisha rasmi kocha wao mkuu mapema wiki ijayo tayari kuanza kazi ya...

READ MORE

Rasmi Mugalu Atua Simba Akitokea Power Dynamo ya Zambia

CRIS Mugalu mshambuliaji aliyekuwa anakipiga ndani ya Power Dynamo ya Zambia, leo Agosti 16 ametambulishwa ndani ya Simba. Nyota huyo...

READ MORE

BREAKING: Haji Manara Atangaza Kustaafu SIMBA “Nipo SIMBA” -VIDEO

MSEMAJI wa Simba SC, Haji Manara, leo Agosti 16, 2020 akizungumza na waandishi wa habari  makao makuu ya Simba, Msimbazi...

READ MORE

Kocha Mkuu wa Simba Atua Nchini Leo

Sven Vandenbroeck Kocha Mkuu wa Simba ndani ya ardhi ya Bongo Agosti 16 kuendelea kukinoa kikosi hicho. Kocha huyo raia...

READ MORE

Ibrahim Ame Atambulishwa Simba, Asaini Miaka Miwili

IBRAHIM Ame beki aliyekuwa akikipiga Coastal Union leo Agosti 16 ametambulishwa ndani ya Klabu ya Simba. Ame amesaini dili la...

READ MORE

Katibu Mkuu TFF Atambulisha Jezi Mpya za Azam FC

Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wilfred Kidao leo Agosti 16, 2020 ametambulisha jezi rasmi za Azam FC...

READ MORE

Nusu Fainali Europa Moto Utawaka; Sevilla vs Man United leo

Vita ya Nusu Fainali ya Ligi ya Europa Kupamba Moto: Nani Ataingia Fainali – Ni Sevilla au Manchester United? Upande wa pili ni Inter Millan au Shaktar...

READ MORE

CRDB Marathon: Mama Samia Akabidhi Mil 200 JKCI Muhimbili

Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu, leo Agosti 16, 2020, amekuwa mgeni rasmi kwenye riadha ya CRDB MARATHON ambapo shindano...

READ MORE

Lyon Yaifanya Kitu Mbaya Man City – Video

Moussa Dembele aliingia uwanjani akitokea kwenye benchi la wachezaji wa akiba na kufunga mabao mawili ya dakika za mwisho wakati...

READ MORE

Mavoko Aibuka na Mapya ya Lulu Diva!

Msanii wa Bongo Fleva, richard Martin ‘rich Mavoko’ amesema siyo kweli kwamba ana uhusiano wa kimapenzi la mwenzake, Lulu Abbas...

READ MORE

Chama la Yanga CAF Hili Hapa

UPO uwezekano mkubwa wa Yanga kucheza Ligi ya Mabingwa Afrika, ni baada ya Shirikisho la Soka Afrika (Caf) kuiondoa nchi...

READ MORE