×

Michezo

Dewji Ataka Simba, Yanga Iahirishwe, Banka Atua Bukoba – Video

 LEO Jumatano Yanga watakuwa na dakika 90 za kupambana na Kagera Sugar kwenye mechi ya Ligi Kuu Bara lakini...

READ MORE

Kipa Taifa Stars Ataka Kakolanya Asepe Simba

KIPA wa zamani wa Simba, Yanga na Taifa Stars, Ivo Mapunda, amemshauri kipa wa Simba, Beno Kakolanya, kuondoka klabuni hapo...

READ MORE

Mambo ya Kapombe Magumu, Aikosa Yanga

BEKI kiraka wa Simba, Shomari Kapombe hataonekana tena uwanjani kwenye timu hiyo msimu huu.Kiraka huyo alipata maumivu katika mchezo wa...

READ MORE

Banda la Yanga Saba Saba ni Balaa!

KLABU ya Yanga imeweka historia ya kuwa klabu ya kwanza kutoka Tanzania kuwa na banda kubwa katika Viwanja vya Maonyesho...

READ MORE

Premiere Bet Yaitambulisha SB ZONE – Video

Kampuni ya Kubashiri ya Premiere Bet imetambulisha bidhaa yao mpya ya Premiere Bet SB ZONE ambayo itamuwezesha mteja wake kufurahia...

READ MORE

Bosi Simba: Matola Haendi Popote

OFISA Mtendaji Mkuu wa Simba (C.E.O), Senzo Mazingisa, amesema kuwa kocha msaidizi wa timu hiyo, Selemani Matola, bado yupoyupo sana...

READ MORE

Rais Afungukia Hatma ya Messi Barcelona

MSHAMBULIAJI wa Barcelona na timu ya taifa ya Argentina, Lionel Messi anatarajia kumaliza kufanya kazi na maisha ya soka kwenye...

READ MORE

Kamati Yadai Morrison ni Mwongo

KAMATI ya Katiba, Sheria na Hadhi za wachezaji ya Shirikisho la Soka nchini (TFF) imesema kwamba hakuna mchezaji aliyeruhusiwa kucheza...

READ MORE

Mil 115, Mshahara wa Mil 10 Kumpeleka Tshishimbi Simba

UONGOZI wa Simba unavutana na kiungo wa Yanga, Mkongomani, Papy Tshishimbi, anayetaka dau la usajili la dola 50,000 (zaidi ya...

READ MORE

Kumekucha! Simba Yatua Nigeria

INAELEZWA kuwa, uongozi wa Klabu ya Simba upo kwenye mazungumzo na straika wa timu ya Kiyovu ya Rwanda, Mnigeria, Samson...

READ MORE

Majembe Mpya Yanga Kutua Julai 10

KUANZIA Julai 10, mwaka huu, tunatarajiwa kuyaona majembe mawili mapya ya Yanga kutoka Rwanda na DR Congo yakitua hapa nchini...

READ MORE

Sven: Yanga? Ngojeni

KIWA imebaki wiki moja kabla ya Simba na Yanga hazijapambana katika mchezo wa nusu fainali wa Kombe la FA, Kocha...

READ MORE

Kocha Athibitisha Niyonzima Kuikosa Simba FA

KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael, leo Jumatatu, Julai 6, 2020, amethibitisha kuwa  kiungo wake Haruna Niyonzima, raia wa Rwanda,...

READ MORE

Mapinduzi Balama Ndio Basi Tena Yanga

NYOTA wa Yanga, Mapinduzi Balama huenda asionekane tena uwanjani hadi msimu huu unamalizika kutokana na jeraha lake la kifundo cha...

READ MORE

Kisa Simba, Wachezaji Yanga Walilipwa Mishahara

MMEKWISHA! Hivyo ndivyo utakavyoweza kusema, ni baada ya uongozi wa Yanga kuwalipa wachezaji wake mishahara ya miezi miwili sambamba na...

READ MORE

Tunda Ataja Chanzo ‘Mapele’ Miguuni

BAADA ya picha zinazomu-onesha kuwa na vipele miguuni kuzua gumzo mitandaoni, muuza nyago kwenye video mbalimbali za wasanii wa Bongo,...

READ MORE

Nafasi za Kazi Palace Institute (PI), Administrative Officer

Overview Palace Institute (PI) is a registered Private Institution in Tanzania, with the responsibility to train people on various skills...

READ MORE

Simba: Tunasajili Majembe ya CAF

UONGOZI wa Simba SC umefunguka kuwa sasa kazi imeisha ya kupambania ubingwa wa Ligi Kuu Bara na badala yake wanaangalia...

READ MORE

Yanga SC: Simba Wa Kawaida Tu

KLABU ya Yanga imesema wala haiwaogopi wapinzani wao, Simba ambao watacheza nao Julai 12, katika mchezo wa Kombe la Shirikisho...

READ MORE

Matola wa Simba Huyoo Azam FC

IMEELEZWA kuwa, uongozi wa Azam FC upo mbioni kumshusha Kocha Msaidizi wa Simba, Selemani Matola ili kuongeza nguvu kwenye benchi...

READ MORE

Aishi Manula Awapoteza Makipa Yanga

AISHI Manula, mlinda mlango namba moja wa Simba, amewapoteza makipa wawili wa Yanga katika kukusanya clean sheet na kuwazidi dakika...

READ MORE

Samatta Uso Kwa Uso Na Van Dijk

STRAIKA Mtanzania anayecheza Aston Villa, Mbwana Samatta, leo anatarajiwa kuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo kitakacho pambana na mabingwa...

READ MORE

Kodi Zamrudisha Ninja Yanga

NAELEZWAbeki wa kimataifa wa Tanzania, Abdallah Shaibi ‘Ninja’ amekubali kurejea nchini kujiunga na Yanga kufuatia kushindwa kuvumilia makato ya kodi...

READ MORE

Tshishimbi, Yanga Kimeeleweka

HATIMAYE kiungo wa Yanga, Papy Tshishimbi amevunja ukimya wa muda mrefu na kusema kwamba, kesho Jumatatu anatarajia kusaini mkataba wa...

READ MORE

Morrison: Nimerudi Kuitungua Simba FA

“AMENIAHIDI kufunga bao au kutengeneza nafasi ya kufunga dhidi ya Simba,” hiyo ni kauli ya Kocha wa Yanga, Mbelgiji Luc...

READ MORE

Tetesi za Soka Ulaya July 05 2020

Inter Milan imeanza mazungumzo na Chelsea ya kumnunua beki wa kushoto wa Italia Emerson Palmieri, 25, kutoka klabu ya Stamford...

READ MORE

Ninja Aingia Anga za Eymael

KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael, amesema kuwa anamtazama kwa ukaribu beki wa zamani wa timu hiyo, Abadlah Shaibu ‘Ninja’...

READ MORE

Simba Queens Yampiga Mtu 10

ILiKUWa siku mbaya kwa timu ya Panama girls ya iringa ilipojikuta wavu wake ukitikiswa mara 10 na wachezaji wa Simba...

READ MORE

John Bocco: Hatufungwi Tena na Yanga

NAHODHA wa Klabu ya Simba, John Bocco amesema kuwa nyota wa kikosi hicho wameapa kuwa hawatakubali kufungwa tena na Yanga...

READ MORE

Kapombe Kuikosa Ndanda, Apelekwa Muhimbili

BEKI kiraka wa pembeni wa Simba, Shomari Kapombe ameondolewa kwenye msafara wa timu hiyo ulioelekea mkoani Mtwara kucheza na Ndanda...

READ MORE

Tshishimbi Aiwahi Simba FA Cup

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbelgiji, Luc Eymael amefunguka kuwa ana uhakika nahodha wa timu hiyo, Papy Tshishimbi, raia wa DR...

READ MORE

Safari ya Okwi Simba, Dili Limeiva

MSHAMBULIAJI Emanuel Okwi ambaye ni rafiki mzuri wa kufumania nyavu, unaweza kusema kuwa rasmi kwa mara nyingine anaelekea kuwa mali...

READ MORE

Msuva Aongeza Mwaka Morocco

WINGA wa kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva ameongeza mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kuitumikia klabu ya Difaa El Jadida inashiriki...

READ MORE

Eymael: Simba Tulieni Dozi Yenu Ipo Tayari

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbelgiji, Luc Eymael ameibuka na kusema kuwa hana presha na Simba kuwafuata katika Hatua ya Nusu...

READ MORE

Sven: Nilikuwa Nawataka Yanga Kombe la FA

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Sven Vandenbroeck, amesema kuwa alikuwa anataka akutane na Yanga, ndiyo sababu ya kuwafunga wapinzani wao,...

READ MORE

TFF Yamrudisha Morrison Yanga

BAADA ya sekeseke la siku kadhaa kuhusu mshambuliaji wa Yanga, Bernard Morrison kutofautiana na klabu yake, habari ni kuwa mambo...

READ MORE

Kitawaka Mechi ya Juventus vs Lazio, Meridianbet Watoa Ofa

MSIMU wa soka unaendelea “daluga” zikishika moto taratibu. Mpambano wa kufurahisha zaidi ni kati ya mabingwa Juventus dhidi ya Lazio...

READ MORE

Mo Kushuka Na Sapraizi Ya Dubai

MWEKEZAJI wa Klabu ya Simba, Mohamed Dewji ‘Mo’ anatarajiwa kuwasili nchini wakati wowote kuanzia sasa akitokea Dubai tayari kwa baada...

READ MORE

SportPesa Yaikabidhi Simba Sh 100m Za Ubingwa (Picha +Video)

KAMPUNI ya Burudani na Michezo SportPesa Limited, jana iliwakabidhi mabingwa wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2019/2020, Simba hundi ya...

READ MORE

Kocha: “MORRISON Atacheza DHIDI Ya SIMBA -Video

 KOCHA wa Yanga Luc Eyamel amesema kuwa kikosi chake kimejiandaa vyema katika michezo yake miwili dhidi ya Biashara United...

READ MORE