×

Michezo

Mkemi wa Yanga Ashikiliwa na TAKUKURU

Aliyekuwa Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga, Salum Abdallah Mkemi anashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa...

READ MORE

Simba Yaipiga 3-0 Mwadui FC Uwanja wa Taifa

MABAO ya Hassan Dilunga na Augustino Samson ambaye amejifunga, yametosha kuipa Simba SC uongozi dhidi ya Mwadui FC katika dakika...

READ MORE

SOMA Hapa RATIBA Ya Mechi za Ulaya LEO na Jumapili – Si za Kukosa

Baada ya mapumziko ya miezi mitatu, mpira unazunguka miguuni tena. Kwanzia leo, tutakuwa na uwezo wa kufurahia Ligi nyingine ya...

READ MORE

Yanga Yaishitaki Simba TFF, Kisa Kuongea na Morrison

UONGOZI wa klabu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam,  umepeleka rasmi malalamiko Shirikisho la Soka nchini (TFF) dhidi ya...

READ MORE

Timu ya JKT Tanzania Yafungiwa na Serikali

Serikali leo Juni 18, 2020 imeifungia timu ya JKT Tanzania kucheza bila mashabiki katika michezo yake yote ya nyumbani ya...

READ MORE

Mil 40 Zamshusha Mnyarwanda Yanga

LICHA ya beki wa kushoto, Eric Rutanga ambaye anawaniwa na Yanga kusaini mkataba na Polisi Rwanda FC, imebainika kuwa hilo...

READ MORE

Breaking: Lamine Akatwa Mshahara Yanga

Klabu ya YANGA imesikitishwa na kitendo kisicho cha kiungwana kilichofanywa na mchezaji Lamine Moro dhidi ya mchezaji Mwinyi Kazimoto wa...

READ MORE

JKT Tanzania Yagawana Pointi Na Yanga Kibabe

JKT Tanzania, leo imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Yanga kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Mchezo...

READ MORE

Samatta Kumvaa Kipa Wa Man United Leo Usiku

STRAIKA wa Aston Villa, Mtanzania Mbwana Samatta leo Jumatano ataanza kazi ya kuipambania timu hiyo kutoshuka daraja kwa kupambana na...

READ MORE

Kusubiri Kumekwisha, Ligi ya Primia Imerejea!

Baada ya kusubiri kwa miezi mitatu kwa wapenzi na mashabiki vindaki ndaki kutoka pande zote – Ligi Kuu ya Uingereza...

READ MORE

Eymael Afunguka Ishu ya Morrison Kutua Simba

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbelgiji, Luc Eymael, ameamua kuvunja ukimya na kuweka wazi juu ya hatma ya winga wa kikosi...

READ MORE

Samatta Aahidi Kuinusuru Aston Villa

MSHAMBULIAJIwa timu ya Aston Villa inayoshiriki Premier League, Mtanzania, Mbwana Samatta amemhakikishia baba yake mzazi, mzee Ally Samatta kuwa atapambana...

READ MORE

Morrison Ana Mkataba wa miaka Miwili Yanga

KLABU ya Yanga kupitia Kampuni ya GSM imemaliza utata sakata la kiungo wa timu hiyo, Bernard Morrison kwamba tayari ana...

READ MORE

Yanga yatua Bungenio Bila Morrison

WACHEZAJI na viongozi wa Yanga leo Juni 15, 2020 wamefika Bungeni Dodoma wakitokea Shinyanga baada ya mchezo wa Ligi kuu...

READ MORE

Yanga Ndiyo Wanaomfanya Manara Atambe

  KUREJEA kwa Ligi Kuu Bara, mambo mengi nayo yamerejea kwelikweli. Tuliyamisi kwa takribani miezi miwili na nusu. Zile pilikapilika...

READ MORE

Lacazette Aipasua Kichwa Arsenal

KLABU ya Arsenal imesema ipo tayari kukaa chini na staa wake, Alexander Lacazette na kujadili mustakabali wake ndani ya klabu...

READ MORE

Arteta Amhofia Guardiola

KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta, amesema anaona hatari kuvaana na bosi wake wa zamani, Pep Guardiola.   Arteta atakutana na...

READ MORE

Solskjaer Kupewa Bil 2.9 Man U Ikitinga Top 4

KOCHA wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer ameahidiwa kupewa kiasi cha pauni 1m (Sh Bil 2.9 za Kitanzania) na bonasi...

READ MORE

Bonucci Amkingia Kifua Ronaldo

BEKI wa Juventus, Leonardo Bonucci, amesema hawaelewi watu wanaomshangaa Cristiano Ronaldo kukosa penalti kwani ni kitu cha kawaida.   Juzi...

READ MORE

Usajili wa Bei Mbaya Ulivyofanya Uwanjani

MASUALA ya usajili kwenye soka hivi sasa yamebadilika sana. Wachezaji wamekuwa wakinunuliwa kwa fedha nyingi tofauti na zamani.   Tukirudi...

READ MORE

Winga AS Vita Ataja Siku ya Kutua Yanga

UKIONA hivi karibuni jembe jipya linatua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar, basi fahamu huyo...

READ MORE

Molinga, Mkwasa Freshi Yanga

HATIMAYE mshambu liaji wa Yanga, David Molinga, amemuomba radhi kocha msaidizi wa timu hiyo, Charles Boniface Mkwasa na sasa mambo...

READ MORE

Winga AS Vita Ataja Siku ya Kutua Yanga

UKIONA hivi karibuni jembe jipya linatua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar, basi fahamu huyo...

READ MORE

Simba Kukipiga na Ruvu Taifa leo, Simba Watamba

BAADA ya kupita takribani miezi miwili na nusu bila ya kuchezwa mechi ya Ligi Kuu Bara, hatimaye jana Jumamosi ligi...

READ MORE

Azam FC Yaiandalia Dozi Mbao FC

UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa unajiweka sawa kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbao...

READ MORE

Yanga Yainyoosha Mwadui Yasepa Na Pointi Tatu

YANGA, leo imeibuka na ushindi wa bao 1-0 mbele ya Mwadui FC kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Kambarage, Shinyanga leo...

READ MORE

Morrison Alizua Yanga, Amenikera Kocha

  KOCHA Mkuu wa Klabu ya Yanga, Mbelgiji, Luc Eymael, amefichua kuwa, amekerwa na kitendo cha winga wa kikosi hicho,...

READ MORE

Mbelgiji Yanga Ataka Molinga Apewe Mkataba

INAELEZWA kuwa Klabu ya Yanga inaweza kumpa mkataba mpya mshambuliaji wao, David Molinga baada ya kocha mkuu wa timu hiyo,...

READ MORE

Promosheni ya Baba Lao Yafikia Patamu, Wasomaji Wapagwa!

LILE shindano la wasomaji wa magazeti ya bora ya michezo yanayoongoza kwa habari za uhakika zilizofanyiwa uchunguzi wa kina, Championi...

READ MORE

Washindi wa Droo ya Tatu ya Baba Lao Waondoka na Mtonyo

Wale washindi sita waliopatikana kupitia droo ya tatu ya bahati nasibu ya Jishindie Gari na Championi au Baba Lao hatimaye...

READ MORE

Mkude Ahamishiwa Hospitali ya Muhimbili

KIUNGO mkabaji wa Simba, Jonas Mkude amehamishiwa kwenye Hospitali ya Muhimbili akitokea Hospitali ya Rabininsia Memorial ya Tegeta ili kuhakikisha...

READ MORE

Bao la Morrison Lafungia Bajeti Kuu ya Serikali

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango Juni 12, 2020 kufungia hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka...

READ MORE

Zahera Amtaja Mshambuliaji Anayeondoka Yanga SC

KOCHA wa zamani wa Yanga, Mwinyi Zahera raia wa DR Congo, amefunguka kuwa mshambuliaji wa timu hiyo, David Molinga ataondoka...

READ MORE

Molinga Apewa Mkono Wa Kwaheri Yanga SC

TAARIFA zinasema kuwa, Yanga imeamua kuonyesha waziwazi kuachana na straika wake David Molinga baada ya jana kumuacha kwenye msafara wa...

READ MORE

Mo Atumia Sh Mil 60 Kusajili Viungo Wawili Simba

IMEFAHAMIKA kuwa, Mwekezaji wa Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’ ametumia Sh Mil 60 kusajili viungo wawili, Mzamiru Yassin na Said Ndemla...

READ MORE

Soka Linarejea Hispania na Meridianbet

BAADA ya miezi mitatu mirefu – Hatimaye soka linarejea Hispania! Kila mechi ambayo itachezwa kule Hispania wakati ligi ikiendelea itaacha...

READ MORE

Kiungo Rayon Awaaga Mashabiki, Kutua Yanga

15 HATIMAYE kiungo anayehusishwa kujiunga na Yanga, Fabrice Mugheni, amewaaga rasmi mashabiki wa timu yake ya Rayon Sports ya Rwanda...

READ MORE

Wawa: Tutawang’oa Azam, Tunaitaka Nusu FA

BEKI wa kazi wa Simba, Muivory Coast, Pascal Wawa, amebainisha kwamba licha ya ugumu ambao watakutana nao kwenye mechi dhidi...

READ MORE

Molinga, Sibomana, Makame Kukatwa Mishahara Yanga

JUMA Abdul, nahodha msaidizi wa Klabu ya Yanga, amesema kuwa Kocha Mkuu, Luc Eymael aliwaambia wachezaji kwamba atakayeongezeka uzito atakatwa...

READ MORE