×

Michezo

Majembe Mapya Yanga Yafichwa Hoteli ya Kishua

MASTAA wa Yanga kutoka nje ya nchi tayari wameripoti katika timu hiyo na kufikia hoteli ya kishua ya The Atriums...

READ MORE

Julio: Hakuna wa Kumnyima Namba Ajibu Simba SC

BAADA ya Ibrahimu Ajibu kusaini Simba, aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Jamhuri kihwelo ‘Julio’, amefunguka kuwa hakuna atakayemuweka benchi mchezaji...

READ MORE

Imethibitishwa! Pogba Kusepa Man U

KIUNGO wa Manchester United, Paul Pogba imethibitika rasmi kuwa anaondoka Manchester United. Wakala wake Mino Raiola juzi aliibuka na kusema...

READ MORE

Gadiel: Nimesaini Simba Miaka Miwili – EXCLUSIVE

GADIEL Michael amelitumia Spoti Xtra kuwaweka wazi mashabiki kuhusiana na utata wa usajili wake. Beki huyo aliyeng’ara Yanga msimu uliopita,...

READ MORE

MARCELO ALIYESAJILIWA SINGIDA UNITED, ATUA YANGA

Mlinzi wa kushoto, Muharami Issa Said amejiunga na Mabingwa wa Kihistoria wa Tanzania Bara Yanga SC kwa mkataba wa miaka...

READ MORE

Wacongo wamuondoa Ulimwengu kwa Waarabu

IMEELEZWa kuwa Klabu ya aS Vita ya Dr Congo imekomaa na mpango wake wa kutaka kumsajili mshambuliaji wa JS Saoura...

READ MORE

WAMEIBADILISHA YANGA

LEO ni siku ya siku 62 yaani miezi miwili tangu Klabu ya Yanga ilipofanikiwa kuwapata viongozi wake wapya katika uchaguzi...

READ MORE

RAIS WA SHIRIKISHO LA MISRI AMPIGA CHINI KOCHA MKUU KISHA NAYE ABWAGA MANYANGA

BAADA ya timu ya Taifa ya Misri kutolewa hatua ya 16 bora na timu ya Afrika Kusini kwa kufungwa bao...

READ MORE

MISRI YATUPWA NJE AFCON KWA KUCHAPWA BAO 1-0 NA AFRIKA KUSINI, LORCH APELEKA MSIBA

Game ya AFCON hatua ya 16 bora imekwisha na wenyeji Misri wanatupwa nje ya mashindano kwa bao 1-0 huku Afrika...

READ MORE

Katumbi acharuka kupanga matokeo Afcon

  RAIS wa TP Mazembe, Moise Katumbi ameruka tuhuma za gazeti moja la Madagascar kwamba alimhonga kipa wa Zimbabwe kwenye...

READ MORE

Sh bil 1.3 Zamwagwa Kusajili Simba

IMEFAHAMIKA kuwa hadi hivi sasa Simba imetumia Sh Bil. 1.3 kwa ajili ya usajili wa msimu ujao wa Ligi Kuu...

READ MORE

Wanyama amkaribisha Samatta Uingereza

KIUNGO wa Harambee Stars na Tottenham Hotspurs ya Uingereza, Victor Wanyama amemkaribisha rasmi nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta katika...

READ MORE

Gadiel Amzunguka Meneja Wake

INADAIWA kuwa beki wa Yanga, Gadiel Michael jana jioni amesaini rasmi mkataba wa miaka mitatu ya kuichezea Simba kwa ajili...

READ MORE

Magori: Ishu ya Mo iko hivi…

BAADA ya kuzuka ghafla kwa taarifa kuwa ndani ya uongozi wa Klabu ya Simba hakuna maelewano huku ikidaiwa mwekezaji klabuni...

READ MORE

Atletico Yakerwa na Barcelona, Yamwamuru Griezmann Arejee Kikosini Haraka

Klabu ya Atletico Madrid imemuamuru Antonie Griezmann kufika klabuni hapo Jumapili kwa ajili ya maandalizi kabla msimu mpya haujaanza. Klabu...

READ MORE

Majembe Yanga Yaanza Kutua Dar

MAMBO ni motoo!!! hivi ndivyo utakavyoweza kusema ni baada ya wachezaji wa Yanga kutoka nje ya nchi wakitua nchini kwa...

READ MORE

Zahera Aanza na Yondani Yanga

WAKATI Yanga ikianza maandalizi ya msimu ujao kesho Jumapili, Kocha Mkuu wa kikosi hicho, Mwinyi Zahera amekuja na mkakati mpya...

READ MORE

Balinya apewa dawa ya kuimaliza Simba

WAKATI uongozi wa Yanga ukiwa katika harakati zake za kukisuka upya kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao, mshambuliaji mpya...

READ MORE

ARSENAL YAMTOKEA PACHA WA LACAZETTE

ARSENAL inaaminika imewasiliana na staa wa Olympique Lyon ya Ufaransa, Nabil Fekir kuhusu uwezekano wa kumsajili. Hata hivyo, dili hilo...

READ MORE

Kahata wa Simba achemsha

KOCHA wa Kenya, Sebastian Migne amekiri kwamba staa mpya wa Simba, Francis Kahata hakuwa na bahati kwenye Afcon ya msimu...

READ MORE

16 Bora Afcon 2019… Moto utawaka balaa

HATUA ya makundi ya michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (Afcon) inayofanyika nchini Misri, ilimalizika Jumanne ya wiki hii kwa...

READ MORE

Ajibu Akataa Jezi Simba

AJIBU ameliamsha Msimbazi baada ya kugomea kukabidhiwa jezi namba 23. Namba hiyo 23 ilikuwa inavaliwa na kiungo huyo mtaalam wa...

READ MORE

MO Dewji: Sikubali Kufanya Kazi na Mtu Anayehujumu Malengo

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba, ambaye pia ni mwekezaji wa timu hiyo, Mohammed Dewji ‘Mo’ ameendelea...

READ MORE

Ajibu Kufuru Simba, Kulipwa Tsh.Mil 1,250,000 kwa Wiki

LANCHI ya juzi haikuwa na raha kwa mashabiki wa Yanga, baada ya Simba kumtambulisha rasmi Ibrahim Ajibu kwamba amerejea Msimbazi....

READ MORE

Okwi, Simba Njia Panda

HABARI za ndani zinasema kwamba Kaizer Chiefs ina asilimia 85 za kumnasa Emmanuel Okwi, lakini Simba wamecharuka na kujipanga kivingine....

READ MORE

Mzee Akilimali: Ajibu alikuwa kirusi Yanga

BAADA ya juzi Jumatano, Simba kumtangaza Ibrahim Ajibu kuwa mchezaji wao mpya, Katibu wa Baraza la Wazee la Yanga, Ibrahim...

READ MORE

Francis Kahata Atua Simba, Jeshi Limekamilika Sasa!

Wakati kukiwa bado kuna sintofahamu juu ya kujiondoa kwa Mkurugenzi wa Bodi ya Wadhamini ya Klabu ya Simba ambaye pia...

READ MORE

NIYONZIMA KUIBUKIA CONGO

IMEELEZWA kuwa nyota wa Simba, Haruna Niyonzima yupo kwenye mazungumzo ya mwisho na klabu ya AS Vita ya Congo na...

READ MORE

Meddie Kagere ampagawisha Kahata Simba

FRANCIS Nyambura Kahata amethibitisha kwamba mazungumzo yake na Simba yamekamilika kwa asilimia 95 na anafurahia kuungana na Medie Kagere.  ...

READ MORE

Taifa Stars Wawasili Tanzania Wakitokea Misri – Video

  Timu ya Taifa ya Tanzania, ‘Taifa Stars’ imewasaili leo Alhamisi Julai 4, 2019 mchana na kupokelewa na kundi kubwa...

READ MORE

Breaking News: Lampard Kocha Mkuu Chelsea

FRANK LAMPARD  amesaini kandarasi ya miaka mitatu kuwa meneja mpya wa klabu ya Chelsea akichukua mikoba ya Maurizio Sarri aliyejiunga...

READ MORE

Baada ya Kudaiwa Kuachana na Simba, ‘Mo’ Atoa Ujumbe Mzito

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba, ambaye pia ni mwekezaji wa timu hiyo, Mohammed Dewji ‘Mo’ amejibu...

READ MORE

WABRAZIL SIMBA WAPIGA TIZI LA SAA MBILI DAR

WACHEZAJI watatu raia wa Brazil waliosajiliwa na Simba hivi karibuni, tayari wameanza mazoezi jijini Dar huku kikosi kamili cha Simba...

READ MORE

Samatta, Msuva Wawaandikia Ujumbe Watanzania Baada Kutolewa Afcon

NAHODHA wa timu ya taifa, Taifa Star,  Mbwana Samatta na mchezaji mwenzake, Simon Msuva,  kupitia kurasa zao za Instagram,  wameandika...

READ MORE

Zana Coulibaly Bado Yupoyupo

KAMA utani vile beki wa kupanda na kushuka ndani ya kikosi cha Simba Zana Coulibaly amerejea Bongo ambapo kwa sasa...

READ MORE

Kiiza: Kwa Balinya, Yanga imelamba dume

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Mganda, Hamis Kiiza ameusifu usajili mpya wa mshambuliaji, Juma Balinya aliyetokea Polisi ya Uganda.  ...

READ MORE

Zahera Awaka Kuhusu Gadiel Michael “Mnambembeleza wa Nini?”

KOCHA Mkuu wa Yanga Mkongomani, Mwinyi Zahera amesikia taarifa za beki wake wa pembeni, Gadiel Michael kugomea kusaini mkataba akasonya...

READ MORE

OKWI, SIMBA WATUNISHIANA MISULI

MITANDAO na Magazeti ya kuaminika ya Afrika Kusini yamesema uwezekano wa Emmanuel Okwi kusaini Kaizer Chiefs ni asilimia 85, lakini...

READ MORE

Yanga rasmi yamuachia Gadiel Simba SC, walirudisha jembe

UONGOZI wa Yanga umekubali yaishe na kumuachia beki wao wa pembeni, Gadiel Michael kutua Simba kwenye usajili wa msimu ujao...

READ MORE

Kahata Rasmi Asaini Simba, Akomba Sh Mil. 80

RASMI kiungo mchezeshaji wa Timu ya Taifa ya Kenya, Harambee Stars na Klabu ya Gor Mahia, Francis Kahata ni mali...

READ MORE