×

Michezo

SALAMBA AFUNGUKA KUOMBA VIATU VYA EVER BANEGA

MSHAMBULIAJI wa Simba, Adam Salamba ameomba radhi kwa kitendo cha kuomba viatu kwa staa wa Sevilla, Éver Banega na kudai...

READ MORE

KOMBE LA SIMBA LAPELEKWA MORO, SIMBA 1-1 BIASHARA TAIFA

MCHEZO wa leo uliochezwa Uwanja wa Taifa kati ya Simba na Biashara United umekamilika kwa timu zote kutoshana nguvu kwa...

READ MORE

Kwasi Aikomalia Simba

BEKI wa kushoto wa Simba, raia wa Ghana, Asante Kwasi, ameonyesha hali ya kuigomea klabu hiyo akisisitiza hayupo tayari kuondoka...

READ MORE

Kiungo Singida Ajiunga Rasmi Yanga

MKATA umeme wa Singida United, Kenny Ally amesema yuko tayari sasa kuitumikia Yanga msimu ujao kwani tayari mabosi wake wa...

READ MORE

Simba kukabidhiwa leo kombe lao Uwanja wa Taifa – Video

MCHEZO wa leo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba dhidi ya Biashara United Uwanja wa Taifa, Dar umepangwa kuanza...

READ MORE

Yanga Yaanza na Tshishimbi

MSIMU ujao kweli utakuwa moto sana kwani Yanga tayari imeshampa mkataba wa miaka mawili kiungo, Papy Kabamba Tshishimbi. Tshishimbi ambaye...

READ MORE

Siri ya Pogba kuhama yafichuka

WAKALA Mino Raiola imebainika ndio chanzo cha Paul Pogba cha kutaka kuondoka Manchester United. Staa wa zamani wa Tottenham na...

READ MORE

Nyika kachinjwa Yanga, 10 wapya kuunda kamati

HATIMAYE Kamati ya Utendaji ya Klabu ya Yanga iliyo chini ya mwenyekiti wake, Dk Mshindo Msolla, inakutana leo Jumamosi kupendekeza...

READ MORE

Fei Toto Ajikabidhi Azam FC

KIUNGO tegemeo wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’, amejikabidhi rasmi Azam FC, baada ya kusema klabu hiyo imekuwa ikimwinda kwa...

READ MORE

Hasheem Thabeet Aitwa Timu ya Taifa

UONGOZI wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF), jana ulitangaza kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania kwa mchezo...

READ MORE

Nahodha Sevilla aitabiria Simba makubwa Caf

NAHODHA na beki wa kulia wa Sevilla FC inayoshiriki La Liga ya Hispania, Jesus Navas amewatabiria makubwa Mabingwa wa Ligi...

READ MORE

Zahera Kumtangaza Mkude Yanga Jumanne

KAMA Yanga kweli wapo siriazi, mashabiki wa Simba wanaweza kukumbwa na mshtuko mkubwa Jumanne ijayo pale Mwinyi Zahera atakapoweka mambo...

READ MORE

Ajibu Aipa Mchongo Yanga

UONGOZI mpya wa Yanga upo kwenye mchakato wa kuboresha mikataba ya wachezaji wao kwa kuhakikisha wanakuwa na muda mrefu kwa...

READ MORE

Makambo awaliza Yanga

KATIKA hali isiyotarajiwa, baadhi ya mashabiki wa Yanga walishindwa kujizuia na kujikuta wakimwaga machozi baada ya straika wao Heritier Makambo...

READ MORE

Manula atia doa usajili wa Kakolanya Simba

BAADA ya kufanikiwa kuvunja mkataba na Yanga, aliyekuwa kipa namba moja wa timu hiyo, Beno Kakolanya anaweza asijiunge na Simba...

READ MORE

POGBA ANAKULA BATA DUBAI

BAADA ya msimu wa Ligi Kuu England kumalizika, staa wa Manchester United, Paul Pogba ameamua kwenda Dubai na mchumba wake,...

READ MORE

Kagere afunguka siri ya ubingwa Simba

MSHAMBULIAJI wa Simba, Meddie Kagere amefunguka kuwa amefurahia kuona ameisaidia timu yake ubingwa, lakini akasisitiza hiyo ni kutokana na ushirikiano...

READ MORE

Simba Yaweka Rekodi Kwa Sevilla Dar, Simba 4-5 Sevilla (Picha + Video)

SIMBA SC ambao ni mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, jana walifanikiwa kuweka rekodi ya kufunga mabao matatu ndani ya...

READ MORE

Meneja: Ajibu Anakwenda TP Mazembe – Video

MENEJA wa nahodha wa Yanga, Ibrahimu Ajibu ambaye ni Athuman Ajibu amelipokea dili la mteja wake kujiunga na TP Mazembe...

READ MORE

Usipime Simba vs Sevilla leo Taifa ni Shoo ya Kibingwa

SIMBA wamewaahidi mashabiki wao shoo ya kibingwa leo Alhamisi usiku kwenye Uwanja wa Taifa dhidi ya Sevilla ya Hispania. Lakini...

READ MORE

Arsenal Kupoteza Mastaa Wake Sita

ARSENAL ipo katika hatari ya kupoteza mastaa wake sita kutokana na kukwama kuwaongeza mikataba yao. Kufuatia hali hiyo huenda Arsenal...

READ MORE

Siri Yafichuka Bale Kuigomea Real

SIRI imefichuka ya kisa cha fowadi wa Real Madrid, Gareth Bale kugoma kuondoka klabu hiyo licha ya kutotakiwa na kocha...

READ MORE

KOCHA ZAHERA Athibitisha AJIBU Kuchukuliwa na TP MAZEMBE – Video

UONGOZI mpya wa Yanga chini ya Mwenyekiti wake, Mshindo Msolla umeanza mazungumzo na wachezaji wake muhimu nyota wanaomaliza mikataba yao....

READ MORE

MBAPPE ANA BIFU NA KOCHA

STRAIKA yosso wa Paris St. Germain, Kylian Mbappe inasemekana haelewani na kocha wake, Thomas Tuchel na ndio chanzo cha kutoa...

READ MORE

Zahera aweka hadharani mastaa 8

YANGA ikimaliza mechi na Azam tu kwenye Uwanja wa Uhuru Jumanne ijayo, Kocha Mwinyi Zahera ataweka hadharani mastaa wote wapya...

READ MORE

SEVILLA WAIPA ‘BIG UP’ SIMBA KWA KUTWAA UBINGWA

KIKOSI cha klabu ya Sevilla FC cha nchini Hispania ambacho kimewasili nchini usiku wa kuamkia leo na kupokelewa kwa shangwe...

READ MORE

MO DEWJI Awapa Bodaboda Wachezaji Wote Simba, Afungukia Usajili – Video

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba, Mohammed Dewji, ametoa usafiri kwa wachezaji wote wa Simba msimu huu ikiwa ni...

READ MORE

Ajibu atembea na mkataba wa Yanga SC

UONGOZI mpya wa Yanga chini ya Mwenyekiti wake, Mshindo Msolla umeanza mazungumzo na wachezaji wake muhimu nyota wanaomaliza mikataba yao....

READ MORE

Aussems Awaingia Sevilla na Mbinu Mpya

WAKATI kesho Alhamisi Simba wakiivaa Sevilla ya Hispania kwenye mechi ya kirafiki, kocha mkuu wa Simba, Patrick Aussems anaingia kwenye...

READ MORE

Sevilla yashusha full mziki, nyota 18 watua Dar

MASTAA 18 wa kikosi cha Sevilla ya nchini Hispania, jana walitua nchini kwa ajili wa kucheza mchezo wa kirafiki dhidi...

READ MORE

Msolla ashikilia hatma ya Boban Yanga SC

Mkataba wa kiungo wa Yanga, Haruna Moshi ‘Boban’ ndiyo unamalizika ndani ya klabu hiyo lakini hawezi kuzungumza kwa sasa na...

READ MORE

Kagere aingia levo za Aubameyang, Salah

KITENDO cha mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere kufunga mabao 23 kwenye Ligi Kuu Bara kimemfanya mshambuliaji huyo raia wa Rwanda...

READ MORE

Simba Yatwaa Ubingwa 2018/2019

USHINDI walioupata Simba leo mbele ya Sindida United kwa kuifunga mabao 2-0 uwanja wa Namfua umetosha kutetea ubingwa wao walioutwaa...

READ MORE

Championi Yamtunuku Nyota wa GOLF, Amwaga Machozi – Video

MTANZANIA ambaye ni nyota wa mchezo wa golf Afrika Mashariki, Angel Eaton, amejikuta akimwaga machozi baada ya kukabidhiwa tuzo ya...

READ MORE

Malkia wa GOLF Tanzania, Bingwa wa Afrika Mashariki Mwenye Tuzo 34 – Video

MWANADADA wa Kitanzania, Angel Eaton, kwa mara ya kwanza amezungumza kuhusu magumu aliyopitia mpaka kutoboa na kufanikisha kunyakua jumla ya...

READ MORE

Simba Bingwa Asilimia 99

SASA ni uhakika wa asilimia 99 kwamba Simba ni bingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu wa 2018/19. Huu...

READ MORE

KISA UBINGWA, MO AFANYA KUFURU

MWEKEZAJI wa Simba, bilionea, Mohamed Dewji ‘Mo’ ameahidi kuwapa bonsai ya shilingi milioni tano wachezaji wa timu hiyo wagawane kwa...

READ MORE

ZAHERA AKATAA MSHAHARAWA SH MILIONI 34

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amewashangaza vilivyo viongozi wa klabu hiyo baada ya kuwaambia kuwa alikataa mshahara wa dola...

READ MORE

Yanga Yavuta Mkali wa Okwi

YANGA wametua kwa straika mzawa mwenye mabao sawa na Heritier Makambo anayeondoka Jangwani. Lakini kilichowanogea ni kwamba huyo jamaa ambae...

READ MORE