MZUNGUKO wa pili wa Ligi ya Wanawake inayodhamini na bia ya Serengeti Lite unazidi kushika kasi kwa timu shiriki kupambana...
READ MOREMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar, jana ilishindwa kuendelea na kesi inayowakabili waliokuwa viongozi wa Shirikisho la Soka...
READ MOREUONGOZI wa timu ya Alliance, umesema kuwa kwa sasa umewekeza akili kwenye mchezo wao wa Kombe la Shirikisho dhidi ya...
READ MOREKOCHA Mkuu wa Simba Mbelgiji, Patrick Aussems, ameshindwa kujizuia na kuweka wazi kuwa ni lazima wauchukue ubingwa wa Ligi Kuu...
READ MOREKOCHA wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer, amewaponda wachezaji wake kwa kuwaambia walicheza kama alivyokuwa anawafundisha Jose Mourinho, wikiendi iliyopita....
READ MORELICHA ya kucheza kwa kiwango kikubwa katika mechi ya AS Vita, kiungo wa Simba, Haruna Niyonzima amebainisha kwamba kwenye mechi...
READ MORETIMU ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, Jumapili hii inatarajiwa kujitupa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam...
READ MORENI takriban mwezi mmoja tangu lilipoingia mtaani, Gazeti la Betika, Jumamosi iliyopita lilikuwepo Uwanja wa Taifa ambapo Simba iliweka historia...
READ MOREMSHAMBULIAJI mkongwe wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe, amesikitishwa na matokeo mabaya waliyoyapata dhidi ya Lipuli FC ya Iringa huku akitamba...
READ MOREKIUNGO mchezeshaji fundi Mnyarwanda, Haruna Niyonzima ametaja siri ya kiwango chake kikubwa alichokionyesha kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika...
READ MOREWANANUKA fedha! Ndiyo utakavyoweza kusema kwa wachezaji wa Simba baada ya kupewa shilingi milioni 300 na mwekezaji wao bilionea, Mohammed...
READ MORECLATOUS Chama wa Simba ameitikisa Afrika kwa kutupia mabao ya usiku na muhimu kwa timu yake katika michuano ya Ligi...
READ MOREKOCHA Mkuu wa AS Vita ya Congo, Florent Ibenge, amekiri kuwa wapinzani wao Simba walikuwa bora zaidi yao katika mchezo...
READ MOREKOCHA Msaidizi wa Lipuli, Selemani Matola, amesema kuwa alitumia CD za Yanga kuwasoma mbinu zao pamoja na uzoefu alionao kwenye...
READ MOREBARCELONA inajidai na silaha tatu ambazo inaamini zitakazowasaidia kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu wa 2018/19. ...
READ MOREBAADA ya kikosi cha Azam FC kuwa chini ya kocha Idd Cheche wengi wanapenda kumuita Ole Gunnar amevunja rekodi ya...
READ MOREYANGA wamesema watawafikiria waliokuwa wagombea wa klabu hiyo, Jonas Thiboroha na Baraka Igangula pamoja na wajumbe wengine ambao walichukua fomu...
READ MOREACHANA na mziki wa Simba. Fanya unachofanya lakini ndani ya Uwanja wa Taifa hutoki. Alikuja JS Sauora akapigwa, akasingizia waandishi...
READ MORELIKIWA limetimiza mwezi mmoja tangu liingie mtaani, Gazeti la Betika limezidi kutikisa ambapo kila siku wasomaji wamekuwa wakilimwagia sifa...
READ MOREWAKATI Manchester United imetupwa nje ya michuano ya Kombe la FA, Manchester City iliweka hai matumaini yake ya kutwaa mataji...
READ MOREMASHABIKI wa Yanga wanamtamani, straika wa AS Vita, Jean Makusu lakini Kocha Mwinyi Zahera amewaambia hata wasihangaike kwa vile ni...
READ MOREAS Vita ya Congo jana ililazimika kuvaa maski za kuziba pua na kutoingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo kabla...
READ MOREVIONGOZI waliopo madarakani katika Klabu ya Yanga wanatakiwa kuachia ngazi ili kupisha mchakato wa uchaguzi unaotarajiwa kufanyika wakati wowote kuanzia...
READ MOREKikosi cha timu ya Simba kimeandika historia ya kutinga hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kuibuka...
READ MOREBao pekee la Haruna Shamte mnamo dakiak ya 19 limeinyima alama tatu muhimu Yanga kwa kuipa ushindi Lipuli FC wa...
READ MOREREFA wa mechi ya leo kati ya Simba dhidi ya AS Vita siyo wa kitoto kwani amewahi kuchezesha mechi...
READ MOREWACHEZAJI wa Simba sasa washindwe wenyewe tu kwani kwa kufuru aliyoitoa mwekezaji na mfanyabiashara maarufu, Mohammed Dewji ‘Mo’ ni ya...
READ MOREKOCHA Mkuu wa Simba Mbelgiji, Patrick Aussems ni kama amewamaliza wapinzani wake AS Vita, baada ya juzi kuangalia kwa mara...
READ MOREKATIKA kuhakikisha inapata ushindi kwenye uwanja wake wa nyumbani wa Samora dhidi ya Yanga leo, uongozi wa Lipuli FC, umesema...
READ MOREHALI ya hewa ya joto la Dar es Salaam imeonekana kuwatesa AS Vita wanaocheza na Simba leo usiku. Juzi walisitisha...
READ MOREMSHAMBULIAJI wa Simba, Meddie Kagere ameahidi kufa na kupona kuitungua AS Vita kwenye mchezo wa leo wa Ligi ya Mabingwa...
READ MOREKOCHA Mkuu wa AS Vita Club, Florent Ibenge amesema kama Simba inataka kumsaini JeanMarc Makusu basi wala hakuna shida watoe...
READ MOREAZAM FC imetangaza kumuongeza mkataba mshambuliaji wake, Donald Ngoma huku wakiwa bado kwenye mazungumzo na Obrey Chirwa ambaye inadaiwa amekuwa...
READ MOREARSENAL ambayo usiku wa kuamkia jana Ijumaa iliifunga Rennes mabao 3-0 na kuiondosha timu hiyo kwa jumla ya mabao 4-3...
READ MOREBAADA ya droo ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya kupangwa leo na Barcelona kupangiwa kucheza na Manchester United ikianzia...
READ MORELICHA ya kupata ushindi ugenini dhidi ya Tanzanite, Kocha wa JKT Queens, Ally Ally, amewatupia lawama waamuzi waliochezesha mchezo huo...
READ MOREKOCHA Msaidizi wa Yanga Mzambia, Noel Mwandila amesema kuwa hakuna chochote kitakachoharibika kwa timu yake kupata ushindi kwani tayari bosi...
READ MOREBAADA ya kufanya ‘comeback’ ya hatari dhidi ya PSG, sasa Manchester United imepangwa kukutana na kigogo mwingine kwenye Robo Fainali...
READ MOREWIKIENDI hii gumzo nchini ni mechi ya michuano inayoandaliwa na Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho kati ya...
READ MORESIMBA, kesho Jumamosi inatarajiwa kujitupa uwanjani kucheza na AS Vita ambapo kocha mkuu wa timu hiyo Mbelgiji, Patrick Aussems...
READ MORE