×

Michezo

Matola: Kuna Timu Hazitamaliza Ligi

KOCHA Mkuu wa Lipuli FC ya Iringa, Selemani Matola, amesema kuwa, kutokana na hali ngumu ambayo inazikabili klabu za ligi...

READ MORE

Bocco: Tunaanza Na Ubin Gwa Wamapinduzi

NAHODHA na mshambuliaji wa Simba, John Bocco ametamba kwamba watauanza mwaka huu mpya kwa kulichukua Kombe la Mapinduzi ambapo litakuwa...

READ MORE

Mo Amuita Aussems Kuwajadili Waarabu

MWEKEZAJI wa Simba Mohammed Dewji ‘Mo’ anatarajia kuteta na kocha mkuu wa timu hiyo, Patrick Aussems ili mikakati ya kufanya...

READ MORE

Heri Ya Mwaka Mpya, TFF Suala La Mdhamini Mlitafutie Ufumbuzi

NINA kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa afya aliyonijaalia na kuweza kunipa kiba­li cha kuuona mwaka 2019, hivyo ninaamini nawe...

READ MORE

KIKOSI CHA YANGA MAPINDUZI CUP, HIKI HAPA

Uongozi wa Yanga umeweka wazi kikosi kinachosafiri hii leo kuelekea visiwani Zanzibar kwaajili ya michuano ya Kombe la Mapinduzi. Michuano...

READ MORE

Hat Trick Yamtesa Okwi Simba SC

MFUNGAJI Bora wa Ligi Kuu Bara msimu uliopita, Emmanuel Okwi, bado anateswa na hat trick aliyoifunga Oktoba 28, 2018 dhidi...

READ MORE

Simba, Yanga Kutua Zanzibar Kibabe Leo

TIMU za Simba na Yanga zinatarajia kuelekea visiwani Zanzibar leo kwa ajili ya kushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi iliyoanza...

READ MORE

Kabwili Amuombea Kakolanya Yanga

KIPA namba moja kwa sasa wa klabu Yanga, Ramadhani Kabwili, amefunguka kuwa kipa mwenzake Benno Kakolanya atarejea hivi punde kujiunga...

READ MORE

Azam TV Yaileta FA Cup Kwa Kiswahili

KAMPUNI ya Azam Media Group kupitia Azam TV, itaonyesha matangazo ya mechi zote za michuano ya The Emirates FA Cup...

READ MORE

Floyd Mayweather Ampiga ‘Knockout’ Mara Tatu Tenshin Nasukawa (VIDEO)

  Floyd Mayweather alihitaji sekunde 140 pekee kumshinda mpinzani wake wa Japan Tenshin Nasukawa katika pigano la maonyesho lililokuwa na...

READ MORE

JKT Queen walitaka kombe lao msimu huu

  MABINGWA watetezi wa Ligi ya wanawake Tanzania maarufu kama Serengeti Lite Women’s Premier League JKT Queens wamepania kufanikiwa kulitetea...

READ MORE

Yanga yafunga Mwaka Kibabe, Yafikisha 50!

MABINGWA mara 27 wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga, wanaufunga mwaka kibabe kutokana na kuweka rekodi ya kipekee msimu huu...

READ MORE

Rekodi ya Makambo Yaitesa Simba

MAMBO ni moto! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya mshambuliaji wa Yanga, raia wa DR Congo, Heritier Makambo, kuandika rekodi...

READ MORE

Kamati ya rufaa kuamua hatma wagombea Yanga

    KUELEKEA Uchaguzi Mkuu wa Yanga, Kamati ya Rufaa ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) inatarajiwa kukutana Januari 4,...

READ MORE

Zahera Awajaza Upepo Nyota Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, ameweka wazi kuwa kasi ya kikosi chake na matokeo wanayoyapata ni kutokana na namna...

READ MORE

Bocco: Tutawazima Waarabu, Tulieni

NAHODHA wa Simba, John Bocco, ameweka wazi licha ya kupangwa na timu mbili kutoka mataifa ya Uarabuni katika Ligi ya...

READ MORE

POGBA APIGA MBILI TENA MAN U IKIUA

NI mechi ya tatu kwa kocha mpya, Ole Gunnar Solskjaer na ni ushindi wa tatu mfululizo kwa Manchester United kwenye...

READ MORE

Makambo Mtu Mbayaaaa! Yanga Yafikisha Pointi 50

HAKUNA namna yoyote ambayo timu yoyote ya Tanzania inaweza kuiondosha Yanga kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara mwaka huu...

READ MORE

Stars Ikifuzu Kuibukia Kwa Misri

KUNA kila dalili kwamba Taifa Stars ikimfunga Uganda Machi 3 mwakani, itafuzu kwa fainali za Afcon ambazo zina nafasi kubwa...

READ MORE

Rashford, Martial Pasua Kichwa Man U

KOCHA wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer anakuna kichwa kumwanzisha Marcus Rashford au Anthony Martial kama straika wa kati kwenye...

READ MORE

Yanga Yaipiga Mbeya City 2-1, Makambo Kama Kawa

KIKOSI cha Yanga leo  kimefanikiwa kushinda bao 2-1  dhidi ya Mbeya City katika Uwanja wa Sokoine ambayo yamefungwa na Heritier...

READ MORE

Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti Premium Lite kuzinduliwa leo

  LIGI Kuu ya Wanawake inayodhaminiwa na Serengeti Premium Lite inatarajiwa kuzinduliwa leo Jumamosi kwa mchezo mmoja kupigwa kwenye Uwanja...

READ MORE

ROMA “STAMINA Ni Mzuri/ Tutawainua Ili Wapate Timu Kubwa” – Video

 TIMU Rotasm imecheza mechi ya Kirafiki dhidi ya Mbagala United lengo ikiwa ni kuwaweka watu karibu ili kuhuhuria kwa...

READ MORE

Tshishimbi Aizimia Simu Yanga SC

KIUNGO aliyesajiliwa kwa mbwembwe nyingi ndani ya kikosi cha Yanga, raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi Kabamba, amedaiwa kuwazimia simu...

READ MORE

Aliyewafunga Yanga Hat Trick Atoweka

  YULE straika wa Stand United aliyeweka rekodi ya kuwafunga Yanga mabao matatu ‘hat trick’, Alex Kitenge, raia wa Burundi,...

READ MORE

SIMBA YAPANGWA NA AL-AHLY, MAKUNDI YAPO HAPA

LEO Ijumaa droo ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika imepangwa katika Mji wa Cairo nchini Misri. Simba kutoka Tanzania,...

READ MORE

Tambwe anaipeleka Yanga kimataifa

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Amissi Tambwe, amedhamiria kuibeba timu yake hiyo msimu huu baada ya kusema atahakikisha msimu ujao inashiriki michuano...

READ MORE

Okwi Asepa Simba Na Mabegi Yote

MSHAMBULIAJI wa Simba, Em­manuel Okwi, juzi Ju­manne, aliwashangaza wengi baada ya kuondoka nchini na kwenda kwao Uganda huku akibeba mabegi...

READ MORE

Fei Toto, Ngassa Kuivaa Mbeya City

VIUNGO wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ na Mrisho Ngassa ambao walikosekana katika mechi zilizo­pita za Ligi Kuu Bara, wanatarajiwa...

READ MORE

Kombe La FA Ndani Ya Azam TV

KATIKA kuhak­ikisha Azam TV inakidhi mahita­ji na matakwa ya wa­teja wao, Kampuni ya Azam Media itaanza kurusha matangazo ya mechi...

READ MORE

Timu zilizofuzu Kucheza Raundi ya nne Kombe la Shirikisho

Timu zilizofuzu kucheza raundi ya nne (32 bora). Michezo ya Raundi ya nne itatachezwa mwishoni mwa mwezi Januari 2019.

READ MORE

Cheka Apigwa Kwa ‘Knock Out’ na Dulla Mbabe ( PICHA +VIDEO)

Usiku wa kuamkia leo Jumapili, bondia Francis Cheka alichezea mkong’oto kwenye pambano lake na  Abadallah Pazi aka Dulla Mbabe katika Ukumbi...

READ MORE

Sasa mtaijua Yanga, Yaifuata Mbeya City Kwa Ndege

YANGA ina dakika ngumu 180 kuthibi­tisha kwamba hawakuwa wakibahati­sha kwenye mzunguko wa kwanza. Timu hiyo itakayopata viongozi wapya kwenye uchaguzi...

READ MORE

KOCHA WA YANGA ALIVYOTUA NCHINI SAA 9 USIKU ASEMA HAYA -VIDEO

 Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera amefunguka baada ya kutua nchini akitokea nchini Ufaransa kwenye biashara zao. ”Mimi kocha Mwinyi...

READ MORE

Simba Wapigwa na Mashujaa 3-2, Watupwa Nje Kombe la Shirikisho

  SIMBA  leo wametupwa nje ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports katika mchezo wake wa kwanza kwa...

READ MORE

Caf Yampigia Saluti Chama

KIUNGO wa Simba, Clatous Chama, ameweka rekodi kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kushika nafasi ya pili...

READ MORE

ZAWADI MAPINDUZI CUP ZAONGEZWA, RATIBA YAWEKWA HADHARANI

Mashindano ya Kombe la Mapinduzi 2019 yataanza kutimua vumbi lake tarehe 1 Januari na kumaliza tarehe 13 Januari 2019, yakihusisha...

READ MORE

Dilunga Aweka Rekodi Ya Kimataifa

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Hassan Dilunga, ameweka rekodi ya kimataifa katika ardhi ya Bongo kutokana na kuzivusha timu mbili kimataifa...

READ MORE

Kagere, Makambo na Okwi Wababe Wa Ligi Kuu Bara

  MZUNGUKO wa kwanza wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2018/19 unatara­jia kufikia tamati hivi karibuni baada ya timu zote...

READ MORE