×

Michezo

Bilioni 17 Samatta Anatua England

STRAIKA wa timu ya KRC Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta atatua katika Klabu ya Mid­dlesbrough ya England endapo klabu hiyo...

READ MORE

Simba Wapiga Chini Ofa Ya Milioni 300 Kwa Salamba

  IMEBANIKA kuwa uongozi wa Simba umepiga chini ofa ya dola 150,000 ambazo ni sawa na shilingi milioni mia tatu...

READ MORE

Zahera Awachimba Mkwara Simba

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, ametamba kwamba kwa sasa hana wasiwasi na mechi yao dhidi ya Simba kutokana na...

READ MORE

Anza mwaka 2019 vizuri kwa kubeba mamilioni kirahisi na Sokabet

HII ndiyo Januari ya mwaka 2019, huu ndiyo wakati sahihi wa kufanya maamuzi ya maisha yako kujua ramani itakuwaje kwa...

READ MORE

Tumekuwekea Hapa, Viingilio vya Simba na JS Saoura -Video

Simba  leo imetangaza viingilio vya mechi yao na JS Saoura ya Algeria, hatua ya makundi ya ligi ya Mabingwa Afrika,...

READ MORE

Arsenal Yapangiwa Manchester United Kombe la FA

TIMU ya Arsenal imepangwa kukutana na Manchester United Uwanja wa Emirates katika raundi ya nne ya Kombe la FA. The...

READ MORE

Liverpool Wapigwa na Wolves bao 2-1, Watupwa Nje FA

TIMU ya Liverpool imepigwa mabao 2-1 dhidi ya Wolverhampton Wanderers katika michuano ya Kombe la FA usiku wa kuamkia leo. ...

READ MORE

Kisa Simba, Waarabu Wavuta Jembe Lingine

BAADA ya kumsainisha mshambuliaji Mtanzania, Thomas Ulimwengu, Klabu ya JS Saoura ya Algeria, imevuta jembe lingine tayari kwa kuwakabili Simba...

READ MORE

Ishu ya Yondani, Uongozi Yanga Wakubaliana na Zahera

UONGOZI wa Yanga umemaliza Sakata lililojitokeza hivi karibuni kati ya kocha mkuu wa timu hiyo raia wa DR Congo, Mwinyi...

READ MORE

Yanga Princess Yaongeza Ushindani Ligi ya Wanawake

WAKATI Ligi Kuu Soka ya Wanawake Tanzania Bara (SWPL) iliyoanza hivi karibuni ikipamba moto, ushindani wa ligi hiyo umezidi kushika...

READ MORE

Mwinyi Zahera amuonya Chama

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, Amemuonya kiungo wa Simba, Claytous Chama raia wa Zambia, baada ya kusema kuwa, asitarajie...

READ MORE

Zahera Kiboko Akutana na Yondani, Atoa Mpya

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, amefungukia kisa kilichomfanya atengue unahodha wa Kelvin Yondani na kusisitiza hatamrudisha kwenye nafasi hiyo...

READ MORE

Chelsea Yamtaka Higuain

CHELSEA inasemekana inafanya mazungumzo na AC Milan ili wamchukue straika Gonzalo Higuain kwa mkopo. Higuain anachezea kwa mkopo Milan, akitokea...

READ MORE

JKT Queens Wana Jeuri Hao!

WAKATI leo wakishuka uwanjani kuwavaa Mapinduzi Queens, uongozi wa JKT Queens umesema mazoezi ya kijeshi wanayofanya ndiyo kitu wanachojivunia kwa...

READ MORE

Kocha Simba Ahofia Uzoefu Caf

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems amefunguka kuwa kundi lao katika Ligi ya Mabingwa Afrika lipo wazi kutokana na...

READ MORE

Wachezaji Yanga Wampinga Mwinyi Zahera

MUDA mfupi baada ya wachezaji wa Yanga kumaliza mazoezi kwenye Uwanja wa Chuo cha Polisi Kurasini jijini Dar, kocha wa...

READ MORE

JKT Queens wababe wa Simba, Yanga

MABINGWA watetezi wa Ligi ya Kuu ya Wanawake inayodhaminiwa na Serengeti Lite, JKT Queens, wamezipiga bao klabu za Simba na...

READ MORE

Kocha Fenerbahce Alazimisha Samatta Asajiliwe

MAGAZETI matatu ya Uturuki, jana Ijumaa yaliripoti kuwa Kocha wa Fenerbahce, Ersun Yanal amependekeza Mbwana Samatta asajiliwe haraka kikosini humo....

READ MORE

Mo Apata Msaidizi Simba

WAKATI kikosi cha Simba kikijiandaa na mechi zake za kimataifa za Ligi ya Mabingwa Afrika, wachezaji wa timu hiyo sasa...

READ MORE

Yanga, Azam Ubabe Ubabe Leo

YANGA na Azam FC leo zitashuka kwenye Dimba la Amaan visiwani hapa huku kila mmoja akitamba kumchapa mwenzake kwenye michuano...

READ MORE

‘Mo Salah Anapoteza Muda Liver’

IMEELEZWA kuwa Mohamed Salah ‘Mo Salah’ atakuwa tayari kuondoka Liverpool ikiwa vigogo wa Hispania, Barcelona au Real Madrid watamfuata kwa...

READ MORE

Wambura amuandikia barua Karia

AMEANZA kazi! Unaweza kusema hivyo kufuatia Makamu wa rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Michael Richard Wambura, kumuandikia barua...

READ MORE

Zahera Awanyatia Bocco, Kagere, Chama

  MSIMU wa 2018/19 unaendelea na sasa hivi ndiyo mambo yanazidi kushika kasi, licha ya kuwa dirisha la usajili limeshafungwa,...

READ MORE

Breaking: Mwinyi Zahera Amvua Yondani Unahodha Yanga, Ampa Ajibu

KOCHA wa Yanga, Raia wa Congo DR, Mwinyi Zahera amefanya maamuzi magumu baada ya kumvua unahodha beki kisiki wa timu...

READ MORE

Liverpool Wapigwa na Manchester City Bao 2-1

USIKU wa kuamkia leo Januari 4, 2019 timu ya Liverpool imekutana na kipigo kwenye Ligi Kuu England kutoka kwa Manchester...

READ MORE

Aussems Aitoa Mapinduzi Cup Akilini Mwake

KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems amesema yupo visiwani hapa kushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi, lakini katika kalenda yake,...

READ MORE

Wagombea Yanga SC Kujulikana Leo

    KAMATI ya Rufaa ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) inatarajia kutoa hukumu ya rufaa ya wagombea wawili wa...

READ MORE

Tambwe ampora Okwi tuzo, ampa Makambo

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Yanga, Heritier Makambo, ametabiriwa kuwa ndiye atakayekuwa mfungaji bora msimu huu tena kwa kuzivunja rekodi mbili...

READ MORE

Mashabiki Wamvamia Masau Bwire Mwanza

  OFISA Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire, juzi Jumatano alijikuta katika wakati mgumu baada ya kuvamiwa na mashabiki na...

READ MORE

Zahera Ataja Kinachombakisha Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, raia wa DR Congo ameweka wazi kuwa kitu pekee ambacho kinachomfanya aendelee kubaki kuifundisha...

READ MORE

Kakolanya Atuma Ujumbe Muhimu Yanga

KIPA wa Yanga, Benno Kakolanya amewatumia salamu wenzake kwenye kikosi chake huku akiwataka wazidi kupambana ili kulinda nafasi wanayoishikilia kwa...

READ MORE

Simba SC ya MO Dewji balaa!

UONGOZI wa Simba chini ya muwekezaji Mohammed Dewji ‘Mo’ ni mafi a kwelikweli. Yaani wakati wapinzani wao kwenye Ligi ya...

READ MORE

Zahera Aendeleza Ubabe Yanga

KOCHA wa Yanga, Mkongo, Mwinyi Zahera ameendelea kuweka rekodi ndani ya kikosi hicho baada ya kumzidi aliyekuwa kocha wa timu...

READ MORE

OKWI ATUA KISTAILI ZENJI

STRAIKA kipenzi cha mashabiki wa Simba, Emmanuel Okwi jana Jumatano alitua kwa ndege mjini Zanzibar huku wachezaji wenzie wakipanda boti....

READ MORE

Vitoto Vya Yanga Uwanjani Zenji Leo

  YANGA jana walitua Zanzibar kwa ajili ya michuano ya Mapinduzi Cup lakini nyuma ikiwaficha nyota wake akiwemo, Ibrahim Ajibu...

READ MORE

Mtanzania Amtwanga Mchina Kwa ‘Knockout’

Mwanafunzi wa Tanzania anayesoma nchini China, Isaack Ibrahim Emmanuel,  juzi ameibuka kidedea katika mchezo wa kick boxing baada ya kumpiga...

READ MORE

Simba Wavunja Rekodi Yao

  MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba, wamevunja rekodi waliyoiweka msimu uliopita katika Ligi Kuu Bara baada ya kucheza...

READ MORE

Makambo Atawafunga Sana

  KOCHA wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema straika wake mwenye mabao 11, Heritier Makambo atatupia sana mzunguko wa pili kama...

READ MORE

Ajibu Ampa Makambo Mabao Manne Bara

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Ajibu, amekuwa msaada mkubwa kwa mshambuliaji Heritier Makambo ambaye kwa sasa anaongoza kwa ufungaji akiwa...

READ MORE

Mbelgiji Wa Simba Aigomea Yanga SC

KOCHA mkuu wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems amesema katika mechi zao 24 za Ligi Kuu Bara zilizobaki, hawatafungwa kwenye uwanja...

READ MORE