×

Michezo

SIMBA WAFUNGWA NA NKANA FC BAO 2-1, ZAMBIA

TIMU ya  Simba imefungwa bao 2-1 dhidi ya Nkana FC kwenye Uwanja wa Nkana, Kitwe, Zambia unaobeba mashabiki 10,000 katika...

READ MORE

Salah Mwanasoka Bora Afrika Mwaka 2018 wa BBC

Mshambuliaji wa timu ya Liverpool na Misri, Mohamed Salah,  amenyakua kwa mara ya pili mfululizo tuzo ya Mwanakandanda Bora wa...

READ MORE

Bosi Simba Atua Sauz Kukamilisha Dili La Okwi

BOSI mmoja wa juu ndani ya Klabu ya Simba, ameshawasili nchini Afrika Kusini na kukutana na mabosi wa Kaizer Chief...

READ MORE

Mkude: Kwa Mbinu Hizi Nkana Wanakufa Mapema

KIUNGO mkongwe ndani ya kikosi cha Simba, Jonas Mkude amesema kutokana na kazi maalumu aliyopewa yeye na kiungo Claytous Chama...

READ MORE

KOCHA YANGA AMKATAA BENO, ASEMA ATAFUTIWE TIMU

Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga, Mkongomani, Mwinyi Zahera, amekataa kumpokea kipa wake Beno Kakolanya baada ya kugomea kuitumikia timu...

READ MORE

TFF Watangaza vita na MUSIBA, Wampa Siku 7 Tu! – Video

Shirikisho la Soka chini TFF limekanusha taarifa zilizochapishwa katika baadhi ya vyombo vya habari kuwa limehusika na matumiza mabaya ya...

READ MORE

Bocco: Lazima Tuwafunge Nkana

NAHODHA wa Simba, John Bocco amesema kuwa, wana kazi kubwa ya kufanya ili kuibuka na ushindi katika mchezo wa kesho...

READ MORE

BREAKING: BASI LA SIMBA LAPATA AJALI ZAMBIA

BASI la timu ya Simba  lililokuwa limebeba mashabiki wa Simba na wadau wa michezo, limepata ajali mchana wa leo eneo...

READ MORE

Siri Ya Mabao Ya Makambo Yafichuka

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera ameitaja siri ya mshambuliaji wa timu hiyo, Heritier Makambo kuwa na kiwango kizuri kwa...

READ MORE

Wagombea Uchaguzi Yanga Wahofia Kufanya Kampeni

KAMPENI za wagombea wa nafasi mbalim­bali za uongozi ka­tika Klabu ya Yanga zilizopangwa kuanza jana Alhamisi, zimea­hirishwa baada ya wagombea...

READ MORE

Mzungu Apewa Mkataba Wa Okwi

  BAADA ya timu ya Kaizer Chief ya Afrika Kusini kutuma barua kwa uongozi wa Simba kuhitaji kumsajili mshambuliaji wao,...

READ MORE

Samatta Ahojiwa Ubelgiji, Aanika Maisha Yake ya Soka Kuanzia Mbagala

Nahodha wa Taifa Stars na klabu ya KRC Genk, Mbwana Samatta amefunguka juu ya historia ya maisha yake ya soka...

READ MORE

Zahera Amkimbiza Kiungo Yanga

KIUNGO msham­buliaji wa Yan­ga, Emmanuel Martin ameondoka kwenye timu hiyo na kwenda kujiunga na Ruvu Shooting katika usajili huu wa...

READ MORE

Chirwa Arudi Yanga, Akutana Na Viongozi

MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Obrey Chirwa, jana Alhamisi aliibukia Makao Makuu ya Klabu ya Yanga kwa ajili ya kushughulikia baadhi...

READ MORE

Chama Amaliza Mchezo Zambia

SIMBA tayari imefanikiwa kuwamaliza wapinzani wao Nkana FC nje ya uwanja na kilichobaki ni ndani ya uwanja, hiyo ni baada...

READ MORE

Breaking News: Boban Asaini Yanga Miezi Sita

  Kiungo wa kikosi cha African Lyon na mchezaji wa zamani wa Simba, Haruna Moshi ‘Boban’ leo  amesaini mkataba wa miezi...

READ MORE

LUIS WA LA LIGA ATEMBELEA GLOBAL GROUP

Mwakilishi wa  La Liga nchini, Luis Cardenas leo Alhamisi, Desemba 12, 2018 ametembelea ofisi za Global Group zilizopo Sinza-Mori jijini...

READ MORE

Banda Ang’oka Baroka Aenda Kaizer

  KWA mujibu wa Magazeti ya Afrika Kusini, beki Mtanzania,anayeichezea Baroka FC Abdi Banda ataondoka kwenye klabu hiyo muda wowote...

READ MORE

SIMBA SC ITAUZA WENGI SANA ULAYA

KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems amesema kama wachezaji wake wataendelea kucheza kwa kiwango cha juu katika michuano ya kimataifa...

READ MORE

SIMBA KUCHEZA MECHI YAO SAA 9 ZAMBIA

MECHI ya Nkana na Simba kwenye hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa itachezwa saa 9 alasiri mjini Kitwe, Zambia...

READ MORE

Simba, Yanga Zapewa Vibonde FA

ROO ya mechi za FA, zimepangwa Ji­jini Dar es Salaam na kushuhudia timu 64 zikipangwa kwenye makundi mawili ya A...

READ MORE

Juuko Apigwa Chini Simba, Mkude Yamkuta Makubwa

BEKI wa kati wa Simba, Juuko Murshid, juzi Jumatatu alizuiwa kufanya mazoezi na kikosi hicho kwa kile kilichoelezwa ni utovu...

READ MORE

Kisa TFF, Wagombea 28 Wafutwa Uanachama Yanga

JUMLA ya wanachama 28 wanaogombea nafasi za uongozi wa Klabu ya Yanga, wanatarajiwa kufutwa uanachama kutokana na kosa la usaliti...

READ MORE

Yanga Yamnasa Haruna Boban Yampa Gari

YANGA imeonekana kupania kumaliza kipindi hiki cha usajili kwa kishindo baada ya kumshusha winga mwingine matata, huku wengine watatu wakitarajiwa...

READ MORE

MWISHO WA VITA YA MAKUNDI UEFA LEO

MICHUANO ya Ligi ya Mabingwa Ulaya inaendelea tena leo kwa mechi za mwisho za makundi huku timu kadhaa zikihitaji juhudi...

READ MORE

Makambo Afunika Rekodi Ya Okwi Bara

STRAIKA Heritier Makambo wa Yanga hivi karibuni alivunja rekodi yake aliyoiweka ya kufunga mabao saba katika kipindi cha kwanza kwenye...

READ MORE

Zahera Awaonya Simba Kwa Bomba

  KOCHA mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera ametamba kwamba wamelamba dume baada ya kumnasa winga Reuben Bomba kutoka DR Congo...

READ MORE

Timu zilizofuzu 16 bora UEFA, Liverpool na Tottenham Ndani

Timu zilizofanikiwa kufuzu kucheza hatua ya 16 bora UEFA Champions League ni Barcelona, Tottenham, Dortmund, Atletico Madrid, PSG, Liverpool, Schalke...

READ MORE

TFF Yafafanua Utata wa Milioni 300

Shirikisho la soka nchini TFF, limejitokeza na kutoa ufafanuzi juu ya taarifa zinazosambaa kuwa ndani ya chombo hicho cha juu...

READ MORE

Viporo vya Simba vyazua maswali Yanga

KITENDO cha Yanga juzi Jumapili kucheza mechi yake ya 15 katika Ligi Kuu Bara huku Simba ikiwa na mechi 12,...

READ MORE

Pluijm autaka ubingwa mapema

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Hans van Der Pluijm, amefunguka kuwa ndoto yake ni kuipa timu yake ubingwa wa ligi...

READ MORE

Winga Mcongo azuiwa mazoezini Yanga

KATIKA hali ya kushangaza, juzi Jumamosi, Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera alimzuia kiungo mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Ruben...

READ MORE

Simba kuwafuata Nkana Jumatano kwa mafungu

KIKOSI cha mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba, kinatarajiwa kuondoka keshokutwa Jumatano kwa mafungu kuelekea nchini Zambia ili...

READ MORE

IMEVUJA! KAKOLANYA ATOROKA KAMBINI USIKU WA MANANE – VIDEO

KIPA namba moja wa timu ya Yanga, Beno Kakolanya ameondoka kwenye kambi ya timu yake hiyo usiku wa manane wakiwa...

READ MORE

ZAHERA Amchambua KINDOKI Ammwagia Misifa NINJA – Video

Licha ya kushindwa kucheza katika mchezo wa jana dhidi ya Biashara United ya mkoani Mara, Kocha Mkuu wa Klabu ya...

READ MORE

NINJA, MAKAMBO WAIMALIZA BIASHARA UTD – VIDEO

Kikosi cha Yanga kimeendeleza rekodi yake ya kucheza bila kupoteza mchezo katika Ligi Kuu Tanzania Bara, baada ya kufanikiwa kuifunga...

READ MORE

TFF Yawapa Wawili Nafasi ya Manji Yanga

KAMATI ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) imempitisha Baraka Igangula na Jonas Tiboroha kugombea nafasi ya Uenyekiti...

READ MORE

Zahera Aibuka Na Sura Tatu Mpya Taifa

KWA takwimu zilivyo, ni maajabu ya soka pekee yanayoweza kuinusuru Biashara United leo Jumapili kwenye mechi dhidi ya Yanga ndani...

READ MORE